CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
  • 161
  • 45 773
HUDUMA YA MAJI KWA WOTE/ MSIPANDISHE KIHOLELA BILI ZA MAJI
MSIPANDISHE KIHOLELA BILI ZA MAJI
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA), kutopandisha Ankara za maji kiholela ili kuhakikisha huduma ya maji inafikika kwa wananchi wote, hususan wa hali ya chini.
Akizungumza wakati wa kuzindua bodi mpya ya KUWASA, Andengenye amesisitiza umuhimu wa usawa katika utoaji wa huduma hii muhimu.
Kwa upande mwingine, Mkurugenzi Mtendaji wa KUWASA, Poas Kilangi, amefafanua changamoto za upotevu wa dira za maji 331 zilizoibwa katika kipindi cha miezi kumi na mbili iliyopita, hasa katika maeneo ya Nazaret na Bangwe, Manispaa ya Kigoma Ujiji, lakini akaeleza juhudi zinazofanywa kutatua tatizo hilo.
Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa KUWASA, amesema Serikali kupitia imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 2.92 kwa ajili ya ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji na kituo cha kusukumia maji katika maeneo ya Kazegunga na Masanga, huku mikataba ya ujenzi ikitarajiwa kusainiwa Disemba 11, mwaka huu.
Pamoja na changamoto, KUWASA imefanikiwa kuzalisha lita milioni 42 za maji kwa siku baada ya kukamilika kwa mradi wa chanzo cha maji cha Amani Beach, ambao umegharimu Shilingi Bilioni 42 na sasa unakidhi mahitaji ya wananchi wa Kigoma Ujiji na Wilaya ya Kigoma kwa ujumla.
#CloudsDigitalUpdates
มุมมอง: 37

วีดีโอ

ALIPOANZIA MBUNGE MAGRETH MKANGA
มุมมอง 8114 วันที่ผ่านมา
THE INSIDE TUNAKUKUTANISHA NA MWALIMU WA WANASIASA MBALIMBALI NCHINI AKIWEMO HALIMA MDEE, DKT JASMINE TISEKWA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA HALIMA DENDEGO, MAJAJI MADAKATARI NA WATAALAM KATIKA FANI MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA, HUYU SI MWINGINE NI MBUNGE MSTAAFU VITI MAALUM KWA TIKETI YA WENYE ULEMAVU BI MAGRETH MKANGA.LEO KATIKA INSIDE TUNAKUKUTANISHA NA MWALIMU WA WANASIASA MBALIMBALI NCHINI ...
MAADILI KWA WATOTO YAZINGATIWE SHULENI.
มุมมอง 2621 วันที่ผ่านมา
MAADILI KWA WATOTO YAZINGATIWE SHULENI. Shule za binafsi mkoani Kigoma, zimetakiwa kuendelea kujikita katika kutoa elimu kwa kufuata mtaala wa elimu wa serikali na siyo kuingiza mafundisho mengine ya tamaduni za kimagharibi yanayoweza kubomoa misingi ya maadili ya kitanzania kwa watoto. Hayo yameelezwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la FPCT Misheni ya Mwanga Kigoma, Mchungaji Zacharia Andrea, ...
WANASIASA WATAKIWA KUCHUNGA NDIMI ZAO WAKATI WA UCHAGUZI
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
WANASIASA WATAKIWA KUCHUNGA NDIMI ZAO WAKATI WA UCHAGUZI. Zikiwa zimebakia chini ya saa 72 kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, wanasiasa wametakiwa kuchunga ndimi zao ili kuepuka uvunjifu wa amani. Kauli hiyo imetolewa na viongozi wa dini wa kamati ya amani na maridhiano mkoa wa Kigoma, walipozungumza na waandishi wa habari kwa lengo la kutoa tamko la kuitakia nchi uchaguzi wa amani na salama.
Wachimbaji vijana ambazo zilikuwa hazina tija/ Matumizi binafsi ya mtu inakuwa ni vigumu sana.
มุมมอง 65หลายเดือนก่อน
"Sio tu kwenye madini hata hapa Dar es Salaam watu wanauza nyumba za urithi na tunakutana nao na wanatumia hela zinaisha kwenye umri wa ujana inategemea mtu anajilinda vipi. Matumizi binafsi ya mtu inakuwa ni vigumu sana mtu kumpangia kwa sababu anavyopata anakuwa anapambana peke yake. "Ndani ya Chama chetu kuna vijana wengi ambao wamesoma na wengine hawajasoma tutajitahidi kutoa semina ili wat...
WANAWAKE NA FURSA ZA UONGOZI
มุมมอง 60หลายเดือนก่อน
WANAWAKE NA FURSA ZA UONGOZI
Mwaka 2014 Serikali kupitia wizara ya elimu ilipitisha sera ya elimu na mafunzo
มุมมอง 42หลายเดือนก่อน
"Udhibiti wa Elimu umetikana na sheria ya elimu ya mwaka 1978 kwenye Aya ya 41-44 kumetaja majukumu ya ukaguzi wa shule. Kwahiyo Udhibiti umetokana na Udhibiti wa shule. Aya zile zilizotaja Udhibiti wa elimu kwa maana ya ukaguzi wa shule katika ujumla wake inaeleza ni ile hatua ya kuhakikisha ya kwamba sera ya sheria, miongozo na kanuni zote zilizotungwa kwa ajili ya kuona kwamba elimu ya Tanza...
Ukiwa na Green Card bado utakuwa na passport yako ya Tanzania na uraia wako wa Kitanzania.
มุมมอง 323หลายเดือนก่อน
"Na ukiwa na Green Card bado utakuwa na passport yako ya Tanzania na uraia wako wa Kitanzania. Kinachotokea ni kwamba kila mwaka Serikali ya Marekani inatoa nafasi Elfu 55 kwa ajili ya kuikaribisha dunia iweze kuomba wahamie kule. Na Marekani ni Taifa la wahamiaji na kila mwaka linapenda kuikaribisha tamaduni tofauti tofauti. Watu wa aina tofauti na rangi tofauti na kuna umuhimu wake ilitunga s...
Nilikuwa naota ndoto mbaya, Unajua haya mambo ya ushirikina huwezi kushtaki Serikalini
มุมมอง 2.8Kหลายเดือนก่อน
"Nilikuwa naota ndoto mbaya. Vitu vibaya vinanitokea na unajua familia haiwezi kukubali mtoto wao upotee japokuwa waliniweka ulemavu wa upofu. Wakati nazaliwa nilikuwa naona vizuri. Nilipoteza uoni wa kuona nikiwa na miezi Tisa"- Godfrey Mteule, Msanii kutoka Kigoma akielezea jinsi alivyofanyiwa vitendo vya ushirikina. "Unajua haya mambo ya ushirikina huwezi kushtaki Serikalini. Nilipofanyiwa i...
WAUZAJI WA MBWA KUDUMISHA UMOJA
มุมมอง 434หลายเดือนก่อน
Wafugaji ,wanununuzi pamoja na wauuzaji wa Mbwa Mkoani Tabora Wameadhimia kudumisha umoja unaowaunganisha waunganisha wafugaji na Wafanya biashara wote wanoahusika katika ufugaji wa mbwa ili kuweka mikakati imara ya kuboresha upatikanaji wa bidhaa hiyo. naelezwa mbwa ni miongoni mwa wanayama wa mwanzoni kufugwa na binadamu na mara kadhaa hutumika kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye maeneo mba...
Mgomo wa Madereva na makondakta wa daladala za Mwenge coca cola
มุมมอง 2712 หลายเดือนก่อน
Madereva na makondakta wa daladala wa njia ya Mwenge wamelazimika kusitisha shughuli za usafirishaji kufuatia madai yao kwa mamlaka husika ya kutaka kuanza kupakia abiria katika stendi mpya ya Mwenge na kutozwa faini kiholela ambayo ni laki nne badala ya efu thelethini.
Serikali mkoani Shinyanga imewataka Wananchi kutowachagua Kigeni katika Nafasi za uongozi
มุมมอง 792 หลายเดือนก่อน
Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Serikali mkoani Shinyanga imewataka Wananchi kutowachagua Kigeni katika Nafasi za uongozi na badala yake Wawachague Viongozi wanaokubalika na wasiojihusisha na vitendo vya Rushwa. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Annamringi Macha wakati akizindua zoezi la uandikishaji wa Daftari la mpiga kura ambalo linalotarajiwa kuanza October 11...
WADAU WA MCHEZO WA DRAFT WAOMBA KUWEPO KWA SHIRIKISHO
มุมมอง 152 หลายเดือนก่อน
Wachezaji wa mchezo wa Draft Mkoani Mwanza wameiomba serikali na wadau wa michezo nchini kuupa kipaumbele mchezo huo pamoja na kuwepo kwa shirikisho la mchezo ili uweze kutambulika na kutoa fursa kwa wanamichezo hao kimataifa Wadau hao wa mchezo wa Draft wametoa kauli hiyo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza,wakati wa mashindano yaliyoandaliwa na Mbunge wa jimbo la Sengerema Hamis Tabasamu ambayo ...
WANANCHI WAMEANZA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA BAADA YA KUTEMEA UMBALI MREFU KWA MIAKA MINGI
มุมมอง 402 หลายเดือนก่อน
Wakazi wa kijiji cha Kabage kilichopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameondokana na adha ya miaka mingi ya kutembea Zaidi ya kilomita tano kwa kufuata maji safi na salama ambapo hii leo maji safi na salama yameanza kupatikana. Wananchi hao wamesema kukamilika kwa mradi huo wa maji safi na salama katika kijiji cha Kabage kumeondoa changamoto iliyokuwepo ya ukosefu wa maji. E...
CHANZO CHA MAPOROMOKO MLIMA HANANG
มุมมอง 1282 หลายเดือนก่อน
SERIKALI YATOA CHANZO CHA MAPOROMOKO YA TOPE MLIMA HANANG. Kamati ya Wataalamu iliyoundwa kuchunguza chanzo cha kutokea maporomoko ya udongo,mawe na tope katika mlima Hanang' imebaini kuwa chanzo kilikuwa mipasuko ya miamba iliyohifadhi maji ya mvua iliyonyesha mfululizo kushindwa kuhimili na kusababisha udongo kuanza kuserereka na kuleta maafa kwa wananchi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa ...
Afya ya akili ni uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi, Stress ni sehemu ya maisha
มุมมอง 972 หลายเดือนก่อน
Afya ya akili ni uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi, Stress ni sehemu ya maisha
Ukiwa Unaingia Kwenye Mitandao angalia sehemu yenye gepu
มุมมอง 402 หลายเดือนก่อน
Ukiwa Unaingia Kwenye Mitandao angalia sehemu yenye gepu
MGOMBA WENYE SANDA WAZUA TAHARUKI
มุมมอง 2792 หลายเดือนก่อน
MGOMBA WENYE SANDA WAZUA TAHARUKI
CHEKA TU KUBWA KULIKO 2024
มุมมอง 3.2K2 หลายเดือนก่อน
CHEKA TU KUBWA KULIKO 2024
Wiki ya huduma kwa Wateja na uboreshaji wa huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira kutoka DAWASA
มุมมอง 482 หลายเดือนก่อน
Wiki ya huduma kwa Wateja na uboreshaji wa huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira kutoka DAWASA
Mradi wa maji ya bomba katika Halmashauri ya Wilaya Geita ulioghalimu zaidi ya Bilioni 4.9
มุมมอง 792 หลายเดือนก่อน
Mradi wa maji ya bomba katika Halmashauri ya Wilaya Geita ulioghalimu zaidi ya Bilioni 4.9
WAZIRI MKUU AAGIZA WATUMISHI WANNE KIGAMBONI WAFIKISHWE MAHAKAMANI
มุมมอง 4732 หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU AAGIZA WATUMISHI WANNE KIGAMBONI WAFIKISHWE MAHAKAMANI
Wamiliki wa Pamba Jiji, watakaa na managements kuzungumza kuona tatizo lipo wapi
มุมมอง 652 หลายเดือนก่อน
Wamiliki wa Pamba Jiji, watakaa na managements kuzungumza kuona tatizo lipo wapi
Moyo wa Mawingu Clouds imeendelea kuwagusa Watanzania wengi wenye mahitaji na wanaohitaji Faraja
มุมมอง 162 หลายเดือนก่อน
Moyo wa Mawingu Clouds imeendelea kuwagusa Watanzania wengi wenye mahitaji na wanaohitaji Faraja
KP KWENYE UWEKEZAJI WA TAIFA
มุมมอง 852 หลายเดือนก่อน
KP KWENYE UWEKEZAJI WA TAIFA
UMUHIMU WA ELIMU KIDIGITALI
มุมมอง 432 หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA ELIMU KIDIGITALI
Nina madeni ya kuwalipa Watanzania"- Suma Mnazaleti @Sumamnazaleti_
มุมมอง 202 หลายเดือนก่อน
Nina madeni ya kuwalipa Watanzania"- Suma Mnazaleti @Sumamnazaleti_
Vijana wamekuwa na dharau na sipendi 'stress' mtu anapoleta dharau huwa nam-block" princedullysykes
มุมมอง 752 หลายเดือนก่อน
Vijana wamekuwa na dharau na sipendi 'stress' mtu anapoleta dharau huwa nam-block" princedullysykes
Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne
มุมมอง 6082 หลายเดือนก่อน
Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne
TRA YAVUNJA REKODI YAKE. ACT NA TEMBO WAHARIBIFU. NI 23 BORA YA TAIFA STARS, WAWILI WANYONGWA TANGA.
มุมมอง 342 หลายเดือนก่อน
TRA YAVUNJA REKODI YAKE. ACT NA TEMBO WAHARIBIFU. NI 23 BORA YA TAIFA STARS, WAWILI WANYONGWA TANGA.

ความคิดเห็น

  • @NpierreFabian
    @NpierreFabian 5 วันที่ผ่านมา

    Wabembe ndokazi nimaji ya kunywa kufitini wanawetu, Mungu Mt awepamoja nawew

  • @Holinessshineworship
    @Holinessshineworship 11 วันที่ผ่านมา

    M❤

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 11 วันที่ผ่านมา

    Serikari muwachie watuhawa maana maji ni muhimu na kama serikari maji yawe bule nyie uzembe mnao ufanya hamkamatwi majikilakona yanamwagika hamji kutengeneza ila kukamata mnakuja mkija kukamata nasie tutachukuwa wandishi kuonyesha uzembe wenu

  • @jimmykidult
    @jimmykidult หลายเดือนก่อน

    I’ve got it rightly my brother. Keep being that insightful bro.

  • @masterkey536
    @masterkey536 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @shabansalum1848
    @shabansalum1848 หลายเดือนก่อน

    Muujiza umekataa😢

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mkuu wetu wamkoa

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 หลายเดือนก่อน

    Safiiii mkuuuu

  • @JosfatiMwamengo
    @JosfatiMwamengo 3 หลายเดือนก่อน

    Swala sio kutumia nguvu kuzuia maandamano swala nikuja namajibu yakile kinachoendelea kuhusu utekaji

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 หลายเดือนก่อน

    Kama chadema wamezuia tena mandamano aya bas mi kwa nzia sasa sita kuja tena kuwa na chama tena maana zaid ya chadema sina chama kingine kwa upande wa ccm siipendi yaani siitak ata kuisikia asa ivi yupo mama uyu ndio amezidisha mara mia kuto kuipenda ccm ila kwa kua wamesema kushinda ni lazima bas goja tuwaangalie viongozi wetu watasema nn

    • @AizackKalenge-ro5rc
      @AizackKalenge-ro5rc 3 หลายเดือนก่อน

      Wana siasa wanaotumia vibaya polisi wetu,Wanachafua sifa ya Nchi yetu,

  • @Wabriged
    @Wabriged 3 หลายเดือนก่อน

    Halooo

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 3 หลายเดือนก่อน

    lazima waibe punguzeni bili zamaji

  • @OmanOman-t5p
    @OmanOman-t5p 3 หลายเดือนก่อน

    Mefunga ziwa tanganyika kwamiez 3 jamani maisha lazima yawe magum muwasamehe

  • @HaniphaMwanga
    @HaniphaMwanga 4 หลายเดือนก่อน

    Chombo kimetimiza miaka 60 ytupasa kukipongeza sana

  • @gidofond5119
    @gidofond5119 4 หลายเดือนก่อน

    Aisee 🙌

  • @mambas264
    @mambas264 4 หลายเดือนก่อน

    Brigadier General😎

  • @MaregesiKorogo
    @MaregesiKorogo 4 หลายเดือนก่อน

    Jambo afande

  • @FrankAmoni
    @FrankAmoni 4 หลายเดือนก่อน

    Tim zetu zajesh zisishiliki michezo maana samtaim wanazingua mfanomzuli ona yulebondiawetu kajanambwembwe mp wakutosha Yan full unfom harafu anapigwa kama mtoto, kamavp mje kama sio askal aje kama laia mwingne

  • @tanzaleo8670
    @tanzaleo8670 4 หลายเดือนก่อน

    hivi hawaweki mashindano ya shabaha

  • @josephissara3599
    @josephissara3599 ปีที่แล้ว

    Naomba maelekezo ya kukopa,ni menyu gani?au ni app gani?

    • @DanielaZawad
      @DanielaZawad 5 หลายเดือนก่อน

      Omba namb

  • @hajimizozo9313
    @hajimizozo9313 4 ปีที่แล้ว

    soo haki

  • @hajimizozo9313
    @hajimizozo9313 4 ปีที่แล้ว

    kwer

  • @allexchriss5425
    @allexchriss5425 4 ปีที่แล้ว

    Fanya mambo yako tuache na mila zetu

  • @jaziumusa4131
    @jaziumusa4131 5 ปีที่แล้ว

    Wewe kweri ni fala mweu

  • @mbalamsa8995
    @mbalamsa8995 5 ปีที่แล้ว

    Abbas pira nakukubali kaka

  • @jimmyludamila6849
    @jimmyludamila6849 5 ปีที่แล้ว

    Namba ya simu

  • @dorcassteven7863
    @dorcassteven7863 5 ปีที่แล้ว

    Jmn asantee tunashukuru karibu kijiji kwetu nasi mapalanga

  • @ganonmwakyeja9948
    @ganonmwakyeja9948 6 ปีที่แล้ว

    mateso yako palepale, watu hawana pa kuuza vyama vya ushirika vinakopa tena bei zimeshuka sana mkulima anapata shida sana.

  • @abuabid380
    @abuabid380 6 ปีที่แล้ว

    Unaweza sana

  • @abuabid380
    @abuabid380 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana king pira nakukubali sana

  • @allykingo3558
    @allykingo3558 6 ปีที่แล้ว

    Mwewe umechemka kwa hilo

  • @aliduku2796
    @aliduku2796 6 ปีที่แล้ว

    Keeper ana uwezo mkubwa sana

  • @aliduku2796
    @aliduku2796 6 ปีที่แล้ว

    Pira nakukubali keeper we played together

  • @rafadaudi4427
    @rafadaudi4427 6 ปีที่แล้ว

    Keeper mkali sana kudaka crosi

  • @rafadaudi4427
    @rafadaudi4427 6 ปีที่แล้ว

    Communication yake anaogea dakika tisini zote yuko fiti sana

  • @rafadaudi4427
    @rafadaudi4427 6 ปีที่แล้ว

    Anajua sana kupiga penalty

  • @rafadaudi4427
    @rafadaudi4427 6 ปีที่แล้ว

    Yani ana speed ana power ya diving keeper mkali sana

  • @rafadaudi4427
    @rafadaudi4427 6 ปีที่แล้ว

    Bonge la keeper pira keeper mkali sana

  • @aguerorashid7434
    @aguerorashid7434 6 ปีที่แล้ว

    Tunakuhitaji Dodoma FC Abbas pira

  • @aguerorashid7434
    @aguerorashid7434 6 ปีที่แล้ว

    Karibu Dodoma FC utudakiye tupande daraja Goalkeeper

  • @aguerorashid7434
    @aguerorashid7434 6 ปีที่แล้ว

    Karibu Dodoma FC utudakiye

  • @aguerorashid7434
    @aguerorashid7434 6 ปีที่แล้ว

    Welcome Dodoma FC Abbas pira utusaidiye kutudakiya uko vizuri sana

  • @aguerorashid7434
    @aguerorashid7434 6 ปีที่แล้ว

    Yeah Man Safi sana keep hustling karibu Dodoma FC keeper uko vizuri sana

  • @homeboyboy2068
    @homeboyboy2068 6 ปีที่แล้ว

    Chukua Form Coastal Union uwadakiye Bado wanakuhitaji Abbas pira

  • @homeboyboy2068
    @homeboyboy2068 6 ปีที่แล้ว

    Rudi kwa Wagosi Wa kaya unahitajika Bado Pira

  • @homeboyboy2068
    @homeboyboy2068 6 ปีที่แล้ว

    Rudi Coastal Union Abbas pira Bado unahitajika pale

  • @homeboyboy2068
    @homeboyboy2068 6 ปีที่แล้ว

    Rudi Coastal Union Abbas pira wanakuhitaji Bado

  • @homeboyboy2068
    @homeboyboy2068 6 ปีที่แล้ว

    Yeah pambana Abbas pira Goal keeper hatari Safi sana

  • @kevinronaldo2526
    @kevinronaldo2526 6 ปีที่แล้ว

    Hongera Goal keeper Abbas pira

  • @kevinronaldo2526
    @kevinronaldo2526 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana fighter