Vision Tv Tanzania
Vision Tv Tanzania
  • 36
  • 170 748
UCHAWI HADHARANI: LIFAHAMU SOKO LA KUUZA UCHAWI AKODESSEWA TOGO
Soko la Voodoo liliyopo nchini Togo, kwnye mji wa Lomé, ni soko maarufu sana kwa vifaa vinavyotumika kwenye masuala ya uchawi na dini ya voodoo. Unapata vitu kama vile vichwa vya wanyama, madawa ya kienyeji, mifupa, na vitu vingine vinavyotumika kwa shughuli za kiroho na tiba.
#uchawi #togo #tanzania #maajabu #sumbawanga #mauaji #fahamu #africa #juju #news #tourism #voodoo #voodoofactz #witchcraft #witchdoctor
มุมมอง: 80

วีดีโอ

MWL J.K NYERERE: SABABU YA KIFO NA MWISHO WA UTAWALA WAKE TANZANIA (Eng Sub)
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, baba wa taifa la Tanzania, aliaga dunia mnamo tarehe 14 Oktoba, 1999 huko London, Uingereza. Kifo chake kilikuwa pigo kubwa kwa taifa la Tanzania na bara zima la Afrika. . . 0:00 Opening theme 0:07 Utangulizi/ Introduction 0:28 Sababu za Kifo / Cause of death 0:44 Athari za kifo/ Impact of his death 1:04 Urithi wa Mwalimu Nyerere/ Legacy of Mwalimu Nyerere 1:43...
MUUAJI ALIYEPENDWA NA SERIKALI NA WATU WOTE WA BRAZIL: CHIKO PÉ DE PATO
มุมมอง 98หลายเดือนก่อน
Mfahamu Francisco Vatal da Silva maarufu kama Chiko Pe de Pato aliyejizolea umaarufu na kupendwa na watu wa Brazil kwa mauaji ya waarifu aliyokuwa akiyafanya. #history #brazil #tanzania #mauaji #crime #daressalaam #mpira #thestorybookwasafimedia #kenya #upendo #ukatili #shujaa #haki #family #chicopedepato
BRIGEDIA ISAAC MALIYAMUNGU: MWANAJESHI KATILI NA BINAMU WA IDI AMIN DADA #uganda #idiamin
มุมมอง 9K2 หลายเดือนก่อน
Makala hii inaelezea maisha ya Isaac Maliyamungu kuanzia kuwa mlinzi wa kiwanda hadi kuwa kamanda mkuu wa jeshi. #uganda #tanzania #kampala #facts #isaac #maliyamungu #idiamin #museveni #ukatili #nyerere #jwtz #kagera #vita #ugandatanzania #kenya #operationkampala #majasusu #utawala #daressalaam #nairobi #rwandaupdate #congo #drc #burundi #habari #hadithi #zilipendwa #greatdepression #greatecon...
THE MIDNIGHT SUN: JUA LA USIKU WA MANANE NCHINI NORWAY #midnight #norway #tanzania
มุมมอง 6K3 หลายเดือนก่อน
Nchi ya Norway ni moja kati ya nchi ambazo wakati wa kiangazi hupata bahati ya kuwa na jua ndani ya masaa 24 kwa zaidi ya miezi mitatu. Karibu kutazama na kupata ufafanuzi zaidi. #tanzania #nairobi #daressalaam #kenya #sunrise #utalii #kaziiendelee #muda #dunia #pole #light #night #africa #maajabu
DR SULE KUHUSU NYERERE: ALISHINDWA KUONGOZA NCHI, MWINYI NDIYO ALIIBADILISHA TANZANIA.
มุมมอง 1.4K7 หลายเดือนก่อน
Kwenye kipindi cha makala maalumu siku ya leo tumekuletea mahojiano ya Dr/ Sheikh Sulle. Katika mahojiano haya Dr Sule ameelezea jinsi nchi ya Tanzania ilivyopita kwenye misukosuko ya umasikini wakati wa utawala wa Rais Mwl J.K Nyerere. Na pia ameelezea ni kwa namna gani Raisi Alli Hasan Mwinyi alivyo ikomboa nchi kutoka kwenye hali ya umasikini. Karibu na tukutakie utazamaji mwema. #poverty #m...
MOBUTU SESE SEKO: KIFO NA MWISHO WA UTAWALA WAKE DRC (Eng Sub)
มุมมอง 17K8 หลายเดือนก่อน
Kwenye video hii tumechambua na kuelezea maisha ya uongozi dharimu wa mobutu na kuelezea kiundani chanzo cha kifo chake. Karibu kwa kutazama. @MTIGAABDALLAH #tanzania #mobutu #kaziiendelee #wasafi #drc #kinshasa #congo #africa #siasa #zanzibar #kabila #safari #nairobi #uganda #neocolonialism #utawala #samiasuluhu #diamondplatnumz #alikiba #death #desease #botswana #kenya
NYERERE NA MAGUFULI: NAFSI YA BABA WA TAIFA ILIVYOMMILIKI RAIS MAGUFULI
มุมมอง 1.1K8 หลายเดือนก่อน
Makala hii imeelezea kwa undani zaidi suala la uwepo wa nafsi ya baba wa taifa kwa baadhi ya viongozi japo kuwa baba wa taifa alishatutoka tangu 14.10.1999. Endelea kutufuatilia. #nyerere #taifa #magufuli #samiasuluhu #tanzania #mwalimu #soul #nafsi #reborn #ikulu #ikulumawasiliano #daressalaam #babawataifa #baba #familia #taifamoja #afrika #diamondplatnumz #kenya #eastafrica #uganda #kondegang...
ROMANI KATORIKI NA UKRISTO: MWANZO WA KANISA KATOLIKI CHANZO CHA UKRISTO DUNIANI KOTE
มุมมอง 6K10 หลายเดือนก่อน
ROMANI KATORIKI NA UKRISTO: MWANZO WA KANISA KATOLIKI CHANZO CHA UKRISTO DUNIANI KOTE
AJALI YA TITANIC: MELI YA TITANIC ILIYOTABILIWA KUWA HAITIZAMA MILELE
มุมมอง 39910 หลายเดือนก่อน
AJALI YA TITANIC: MELI YA TITANIC ILIYOTABILIWA KUWA HAITIZAMA MILELE
KUZALIWA KWA YESU KRISTO: UKWELI NI KWAMBA MWOKOZI HAKUZALIWA CHRISTMAS, DECEMBER 25
มุมมอง 15610 หลายเดือนก่อน
KUZALIWA KWA YESU KRISTO: UKWELI NI KWAMBA MWOKOZI HAKUZALIWA CHRISTMAS, DECEMBER 25
FIMBO YA BABA WA TAIFA: HAYA NDIYO MAAJABU YAKE USIYO YAFAHAMU @TBC_Online @ikulutanzania255
มุมมอง 9K11 หลายเดือนก่อน
FIMBO YA BABA WA TAIFA: HAYA NDIYO MAAJABU YAKE USIYO YAFAHAMU @TBC_Online @ikulutanzania255
ZIWA JUU YA MLIMA: MAAJABU YA ZIWA NGOZI MBEYA TANZANIA
มุมมอง 424ปีที่แล้ว
ZIWA JUU YA MLIMA: MAAJABU YA ZIWA NGOZI MBEYA TANZANIA
BUSTANI YA EDENI: HAPA NDIPO INAPOPATIKANA BUSTANI YA ADAM NA EVA
มุมมอง 592ปีที่แล้ว
BUSTANI YA EDENI: HAPA NDIPO INAPOPATIKANA BUSTANI YA ADAM NA EVA
KABILA LA HAMAR SOUTH SUDAN: WANAWAKE HUFURAHIA KITENDO CHA WAUME WAO KUWAPIGWA FIMBO
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
KABILA LA HAMAR SOUTH SUDAN: WANAWAKE HUFURAHIA KITENDO CHA WAUME WAO KUWAPIGWA FIMBO
LUCKY DUBE: HISTORIA NA MAUAJI YA KINYAMA YA NGURI WA MUZIKI WA REGGAE SOUTH AFRICA
มุมมอง 19Kปีที่แล้ว
LUCKY DUBE: HISTORIA NA MAUAJI YA KINYAMA YA NGURI WA MUZIKI WA REGGAE SOUTH AFRICA
NYERERE NA KENNETH KAUNDA: HISTORIA YA MAENDELEO KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA
มุมมอง 2.1Kปีที่แล้ว
NYERERE NA KENNETH KAUNDA: HISTORIA YA MAENDELEO KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA
TANZANIA, KENYA KUTENGANA NA AFRIKA: BARA JIPYA KUZALIWA
มุมมอง 27Kปีที่แล้ว
TANZANIA, KENYA KUTENGANA NA AFRIKA: BARA JIPYA KUZALIWA
ISRAEL-HAMAS CONFLICT: HIKI NDIYO CHANZO CHA VITA IZRAEL NA GAZA
มุมมอง 370ปีที่แล้ว
ISRAEL-HAMAS CONFLICT: HIKI NDIYO CHANZO CHA VITA IZRAEL NA GAZA
NYERERE NA UGANDA: ALIITAWALA UGANDA KIKOLONI BAADA YA IDI AMIN KUTOLEWA MADARAKANI
มุมมอง 2.8Kปีที่แล้ว
NYERERE NA UGANDA: ALIITAWALA UGANDA KIKOLONI BAADA YA IDI AMIN KUTOLEWA MADARAKANI
MFAHAMU MOBUTU SESE SEKO: TAJIRI WA RUSHWA NA KUJILIMBIKIZIA MALI ZA SERIKALI
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
MFAHAMU MOBUTU SESE SEKO: TAJIRI WA RUSHWA NA KUJILIMBIKIZIA MALI ZA SERIKALI
UTAWALA WA IDI AMINI: VITA DHIDI YA WAZUNGU MPAKA KUNG'OLEWA MADARAKANI NA JWTZ
มุมมอง 14Kปีที่แล้ว
UTAWALA WA IDI AMINI: VITA DHIDI YA WAZUNGU MPAKA KUNG'OLEWA MADARAKANI NA JWTZ

ความคิดเห็น

  • @rashadmurshid
    @rashadmurshid 9 วันที่ผ่านมา

    Sio mkandamizaji Acha upumbavu wewe

  • @rashadmurshid
    @rashadmurshid 9 วันที่ผ่านมา

    Allah amrehem idd amin

  • @udakuonline1
    @udakuonline1 17 วันที่ผ่านมา

    😂 hata sumbawanga kuna soko la uchawi 😂😂😂😂

  • @udakuonline1
    @udakuonline1 17 วันที่ผ่านมา

    Nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu

  • @erastoirenge7459
    @erastoirenge7459 23 วันที่ผ่านมา

    acheni unafiki angeshindwa nchi aliweza vipi kukomboa nchi za kusikini mwa afrika?kikubwa waziri mkuu wa uingereza,na raisi reagani walimuona mwalim kama mtu anaehatarisha masrahi yao afrika wakaweka vikwazo vya uchumi .kuwa mwl.anasaidia magaidi wapigania uhuru kusini mwa afrika na vita dhidi ya amin vikavuruga uchumi,leo mnaleta udini,mwinyi ndio alivuruga nchi leo tunaona mafisadi kila kona ya nchi alipovunja azimio la arusha

  • @kassimnyuni4340
    @kassimnyuni4340 27 วันที่ผ่านมา

    Nyerere alikuwa na mapungufu watu wakikosowa musitukane hakuwa malaika alikosea pia kama binadamu

  • @OmaryShekihio
    @OmaryShekihio หลายเดือนก่อน

    xi

  • @MakameSilima-y4f
    @MakameSilima-y4f หลายเดือนก่อน

    maasha allah nikwel Dr. mwinyi ni simba wa mageuzi ya Tz

  • @Christophergaspar-qe7wk
    @Christophergaspar-qe7wk หลายเดือนก่อน

    we acha upotoshaji, ni waganda wenyewe ndio waliomteua Prof. Yusuph Lule, na siyo Mwl. Nyerere.

  • @maishandilila4021
    @maishandilila4021 หลายเดือนก่อน

    Kumbe watu 50 tuu ata bulton anawamudu😂😂

  • @EdmundSixmund-cs5mv
    @EdmundSixmund-cs5mv หลายเดือนก่อน

    Chico pede Pato🙌

  • @EggosTv
    @EggosTv หลายเดือนก่อน

    Malaika wa kisasi

  • @SalehLofy
    @SalehLofy หลายเดือนก่อน

    Nyerere alikuwa hajui mambo ya uchumi na bila uchumi nchi haiwezi kwenda

  • @serijofesto9068
    @serijofesto9068 หลายเดือนก่อน

    Wa elf 2 Hawa

  • @IsaacSamuel-z1j
    @IsaacSamuel-z1j 2 หลายเดือนก่อน

    Wow 🎉

  • @SisoPotashiumz-c7n
    @SisoPotashiumz-c7n 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂bure kabisa

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli sulle huna nidhamu elewa nyerere alikuwa amaweka msingi kulijenga taifa ili lijitegemee ,Sasa leo kama nyerere alishindwa kuongoza ,waliofuata walifanya yapi kama sio kuharibu nchi na kuwauzia waarabu toka hapo sulle kwanza huo ni udini tu ndo unao kusumbua kafiri wewe

  • @IssaMgawe
    @IssaMgawe 2 หลายเดือนก่อน

    Zama za kuwadanganyaaaa watu zimeshapitaaaaa mzeee watu asa iv tunajitambuaa kwa iyo usiongeee uongo kwa watu wenyeee akili timamuuu

  • @KiriaKipara
    @KiriaKipara 2 หลายเดือนก่อน

    Spingi mungu amurehem

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 หลายเดือนก่อน

    Hata sisi tume pitia hayo maisha, TV tuli kuwa tuna zisikia

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa maneno yako sheikh Allah akuhifadhi yaarab

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 หลายเดือนก่อน

    Afazari tuhamie uraya we

    • @SisoPotashiumz-c7n
      @SisoPotashiumz-c7n 2 หลายเดือนก่อน

      Utaongea nn huko wakat ww tu huwezi kuandika afazali

  • @EdmundSixmund-cs5mv
    @EdmundSixmund-cs5mv 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana kilaza😂

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao mitume wa yesu inakuaje wote Wana majina ya kitaliano wakati yesu alikua mayahudi na alihubiri Palestine kwanini hao mitume wasiwe mayahudi hii inaonyesha huu ni mpango wao wapagani wa kiroma kumponga yesu ili waendelee kuitawala Dunia

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน

      Uislamu ni upagani ni dini iliyo tengenezwa na warabu wa saudia arahia

  • @visiontvtanzania
    @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kwenye channel yetu... Let the community grow to 10k subs

  • @visiontvtanzania
    @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kwenye channel yetu... Let the community grow to 10k subs

  • @visiontvtanzania
    @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kwenye channel yetu... Let the community grow to 10k subs

  • @visiontvtanzania
    @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kwenye channel yetu... Let the community grow to 10k subs

  • @visiontvtanzania
    @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kwenye channel yetu... Let the community grow to 10k subs

  • @visiontvtanzania
    @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kwenye channel yetu... Let the community grow to 10k subs

  • @visiontvtanzania
    @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kwenye channel yetu... Let the community grow to 10k subs

  • @professorimmah
    @professorimmah 2 หลายเดือนก่อน

    Ni ufreemason

  • @anordrutumbi3107
    @anordrutumbi3107 2 หลายเดือนก่อน

    Humu tuuu😂😂😂

  • @anordrutumbi3107
    @anordrutumbi3107 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hii kaka

  • @feisalkhamis9445
    @feisalkhamis9445 2 หลายเดือนก่อน

    Na vipi Nyerere kuuwa watu wasio na hatia Zanzibar yeye sio katili

  • @MugaruraIssa-z8e
    @MugaruraIssa-z8e 2 หลายเดือนก่อน

    Hata Nyerere ka acha Tz uchumi wa chini

  • @JoramMtanzania
    @JoramMtanzania 2 หลายเดือนก่อน

    The magic narrator ⭐

    • @visiontvtanzania
      @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

      📈📈 up here. We go!!!

  • @ShimaKilairo
    @ShimaKilairo 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwa ww choko ww

  • @BjStudio004
    @BjStudio004 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @MussaLutema
    @MussaLutema 2 หลายเดือนก่อน

    Uwongoooooo😂

  • @venansiamvunyi2311
    @venansiamvunyi2311 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndo ilivo kuwa

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน

    Hujui chochote kuhusu kifimbo cha nyerere kaa kimya NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 2 หลายเดือนก่อน

    Na sanamu zilizomo walianzisha mitume au bada ya mitume kuondoka wviongozi walianzisha?

  • @victormbaga5772
    @victormbaga5772 2 หลายเดือนก่อน

    Niyakichawi .achakudanganya watu.kila chief nimchawi

  • @PascoalMaluta
    @PascoalMaluta 2 หลายเดือนก่อน

    Nôtre champion

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 2 หลายเดือนก่อน

    hakuna uhusiano naelimu hii niushenz ,ushahidi haupo kasome maandiko yamungu

    • @visiontvtanzania
      @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi sana, ni kweli kimaamdiko hakuna ushahidi. Lakini kijiografia ushahidi upo

  • @bernadinebwemas
    @bernadinebwemas 2 หลายเดือนก่อน

    Tumsifu yesu kristu natamani kujua maana ya namba 777

    • @visiontvtanzania
      @visiontvtanzania 2 หลายเดือนก่อน

      Milele amina! Samahani kwa kuchelewa kukujibu. 777 inawakilisha ukamilifu wa kimungu wa Utatu Mtakatifu; mara nyingi huitwa “Namba ya Mungu.” 777 pia inaashiria utimilifu na mpango mtakatifu wa Mungu. Kwenye kitabu cha Mwanzo 2:2-3, 7 imeandikwa mara 3 kuelezea Mungu kuumba Mbingu na Dunia kwa siku 7. Natumai imeeleweka.

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 3 หลายเดือนก่อน

    Asante. Lakini nilitaraji kuona video za ulichoeleza kwenye video yako!

    • @visiontvtanzania
      @visiontvtanzania 3 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa maoni, lakini video na picha unazo ziona hapo zimepigwa na kurekodiwa usiku.

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 3 หลายเดือนก่อน

      @@visiontvtanzania Ok.