Point Podcast
Point Podcast
  • 54
  • 117 224
KAMA MKOJO WAKO NI WA NJANO SANA | DR AELEZEA SABABU KUU | KIPIMO CHA MIMBA KWENYE MKOJO
Karibu Sana kwenye Point Podcast. Karibu kwenye Afya Point. Leo tumepata nafasi ya pekee kukutana na kupiga story na Dr Winifrida, alitulelezea Kwa undani kuhusu Mambo muhimu Sana kuhusu mkojo, akifafanua Mambo mengi Sana.
Karibu tujifunze na update elimu Bora ya Afya na mwili wa Binadamu.
KURASA ZA VIDEO
00:00 - Snip
00:40 - Utangulizi
01:45 - Break
02:27 - Mkojo ni nini?
04:15 - Mkojo hutengezwaje ndani ya mwili?
05:43 - Kemikali mwilini hutokea wapi?
06:20 - Mkojo umeundwa na nini?
07:05 - Rangi halisi ya mkojo ni Ipi?
09:10 - Mtu akishndwa kukojoa ni tatizo?
11:42 - Mtu anatakiwa kupata mkojo baada ya muda gani?
16:00 - Mkojo kuwa wa njano Sana tatizo ni nini?
18:00 - Kwasiku mtu anywe Maji kiasi gani?
23:25 - Kipimo cha mimba kwanini mkojo unatumika?
26:18 - Kufunga
27:15 - Mwisho
................................................................................................................................................
SOCIAL MEDIA
TIK TOK : www.tiktok.com/@afya.point1?_t=8qRsHwPQM7x&_r=1
INSTAGRAM : afya_pointtzprofilecard/?igsh=MzNzd2M0OWthY3Ru
................................................................................................................................................
TAGS :
#music #afyayako #karaoke #diamond #love #e750 #e7bits #gospelmusic #edit #platform #6000 #harmonize #jayjagannath #foryou
มุมมอง: 268

วีดีโอ

DR AELEZEA KUHUSU NIMONIA | AFAFANUA SABABU, DALILI NA MATIBABU | UMUHIMU WA KUJIFUKIZA | AFYA POINT
มุมมอง 28721 วันที่ผ่านมา
Karibu Sana kwenye Point Podcast. Karibu kwenye Afya Point. Leo tumepata nafasi ya pekee kukutana na kupiga story na Dr Winifrida, alitulelezea Kwa undani kuhusu Pneumonia. Karibu tujifunze na update elimu Bora ya Afya na mwili wa Binadamu. ................................................................................................................................................ SOCIAL MEDI...
Dalili Kuu 7 za ugonjwa wa Typhoid (Homa ya Tumbo).
มุมมอง 1.1K4 หลายเดือนก่อน
Dalili Kuu 7 za ugonjwa wa Typhoid (Homa ya Tumbo).
Aina Kuu Za Maumivu Ya Kichwa.
มุมมอง 264 หลายเดือนก่อน
Aina Kuu Za Maumivu Ya Kichwa.
Hathari 5 Mbaya za KISONONO (GONO)
มุมมอง 376 หลายเดือนก่อน
Hathari 5 Mbaya za KISONONO (GONO)
KISUKARI : Ukimwona Mtu Ana Dalili Hizi 9 jua Ni Kisukari.
มุมมอง 507 หลายเดือนก่อน
KISUKARI : Ukimwona Mtu Ana Dalili Hizi 9 jua Ni Kisukari.
KWA WANAWAKE: Kama hutaki au Unateswa na UTI Isiyopona Basi fuata Njia Hizi 9 Sahihi.
มุมมอง 347 หลายเดือนก่อน
KWA WANAWAKE: Kama hutaki au Unateswa na UTI Isiyopona Basi fuata Njia Hizi 9 Sahihi.
KWA WANAUME: Ukiona Dalili Hizi Basi Una UTI Sugu.
มุมมอง 757 หลายเดือนก่อน
KWA WANAUME: Ukiona Dalili Hizi Basi Una UTI Sugu.
Zifahamu Dalili 5 za Hatari za Upungufu wa Damu Mwilini.
มุมมอง 1.1K7 หลายเดือนก่อน
Zifahamu Dalili 5 za Hatari za Upungufu wa Damu Mwilini.
Dalili 5 za Upungufu wa Damu wakati wa ujauzito.
มุมมอง 297 หลายเดือนก่อน
Dalili 5 za Upungufu wa Damu wakati wa ujauzito.
Hizi ni sababu UTOSI WA MTOTO KUBONYEA CHINI.
มุมมอง 7788 หลายเดือนก่อน
Hizi ni sababu UTOSI WA MTOTO KUBONYEA CHINI.
Je Mzunguko Wako wa Hedhi Una Siku Ngapi? | Kama Hujui Basi Usiache KUANGALIA VIDEO HII.
มุมมอง 8552 ปีที่แล้ว
Je Mzunguko Wako wa Hedhi Una Siku Ngapi? | Kama Hujui Basi Usiache KUANGALIA VIDEO HII.
Tatizo la Upungufu wa Damu (ANEMIA) @KAMedInfo
มุมมอง 1.9K2 ปีที่แล้ว
Tatizo la Upungufu wa Damu (ANEMIA) @KAMedInfo
UPUNGUFU WA DAMU MWILINI @KAMedInfo
มุมมอง 2932 ปีที่แล้ว
UPUNGUFU WA DAMU MWILINI @KAMedInfo
HISTORIA: COVID-19 | UVIKO-19 | CORONA | NOVEL CORONA VIRUS | 2021
มุมมอง 483 ปีที่แล้ว
HISTORIA: COVID-19 | UVIKO-19 | CORONA | NOVEL CORONA VIRUS | 2021
NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.
มุมมอง 773 ปีที่แล้ว
NJIA ZA UZAZI WA MPANGO.
SITZ BATH : Ifahamu kwa undani Sitz Bath | Faida zake kiafya | KA MED INFO
มุมมอง 3.8K3 ปีที่แล้ว
SITZ BATH : Ifahamu kwa undani Sitz Bath | Faida zake kiafya | KA MED INFO
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI | Jinsi ya kujikinga na Bawasiri | HEMORROIDS | SEHEMU 04 | KA Med Info
มุมมอง 1.1K3 ปีที่แล้ว
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI | Jinsi ya kujikinga na Bawasiri | HEMORROIDS | SEHEMU 04 | KA Med Info
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI: Jinsi ya kutibu BAWASIRI ukiwa nyumbani | Sehemu ya 3
มุมมอง 18K3 ปีที่แล้ว
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI: Jinsi ya kutibu BAWASIRI ukiwa nyumbani | Sehemu ya 3
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI | Sababu na Dalili | HEMORROIDS | SEHEMU 02 | KA Med Info
มุมมอง 7003 ปีที่แล้ว
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI | Sababu na Dalili | HEMORROIDS | SEHEMU 02 | KA Med Info
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI | HEMORROIDS | SEHEMU 01 | KA Med Info
มุมมอง 4623 ปีที่แล้ว
KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI | HEMORROIDS | SEHEMU 01 | KA Med Info
DALILI ZA MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA UZAZI | ECTOPIC PREGNANCY SIMPTOMS | Part 2
มุมมอง 10K4 ปีที่แล้ว
DALILI ZA MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA UZAZI | ECTOPIC PREGNANCY SIMPTOMS | Part 2
MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA UZAZI | ECTOPIC PREGNANCY (2020)
มุมมอง 6954 ปีที่แล้ว
MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA UZAZI | ECTOPIC PREGNANCY (2020)
UMUHIMU WA FOLIC ACID WAKATI WA MIMBA🤰🏾🤰🏾
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
UMUHIMU WA FOLIC ACID WAKATI WA MIMBA🤰🏾🤰🏾
MAGONJWA/MATATIZO YA NGOZI👨🏽‍🔬👨🏽‍🔬👨🏽‍🔬🕵🏽‍♂🕵🏽‍♂.
มุมมอง 1.5K4 ปีที่แล้ว
MAGONJWA/MATATIZO YA NGOZI👨🏽‍🔬👨🏽‍🔬👨🏽‍🔬🕵🏽‍♂🕵🏽‍♂.
MAPACHA WANAVYOPATIKANA PART 03
มุมมอง 2134 ปีที่แล้ว
MAPACHA WANAVYOPATIKANA PART 03
MAPACHA WANAVYOPATIKANA PART 02
มุมมอง 1224 ปีที่แล้ว
MAPACHA WANAVYOPATIKANA PART 02
MAPACHA WANAVYOPATIKANA PART 01
มุมมอง 2754 ปีที่แล้ว
MAPACHA WANAVYOPATIKANA PART 01
KUPATA MTOTO WA KIUME/KIKE: Njia sahihi ya kupata mtoto wa kiume // KA med Info.
มุมมอง 4.6K4 ปีที่แล้ว
KUPATA MTOTO WA KIUME/KIKE: Njia sahihi ya kupata mtoto wa kiume // KA med Info.
KUPATA MTOTO WA KIKE/KIUME: Jinsi mimba inavyotungwa // Urutubishwaji wa yai // KA med Info
มุมมอง 4.7K4 ปีที่แล้ว
KUPATA MTOTO WA KIKE/KIUME: Jinsi mimba inavyotungwa // Urutubishwaji wa yai // KA med Info

ความคิดเห็น

  • @AbishaiSimfukwe
    @AbishaiSimfukwe วันที่ผ่านมา

    Kama mtu akilala anaona Kuna uvimbe pembeni na maumivu makali chini ya kitovu na mimba Ina miezi miwili na mwili kuchoka,, kichefuchefu inaweza kua ni Moja ya kiashiria Cha Mimba kutungwa nje?

  • @veronicamaganga8737
    @veronicamaganga8737 2 วันที่ผ่านมา

    Dr, hizo fefo zina faida gani miezi 3 kabla ya kua mjamzito?

  • @NellyNafula-nc4um
    @NellyNafula-nc4um 3 วันที่ผ่านมา

    Me nasikia kutabika na sitabiki hiyo itakua n nn ...aki

  • @SusanKundi
    @SusanKundi 9 วันที่ผ่านมา

    👏👏

  • @Oscar143emmanuel
    @Oscar143emmanuel 9 วันที่ผ่านมา

    Congrats

  • @Oscar143emmanuel
    @Oscar143emmanuel 9 วันที่ผ่านมา

  • @marynkuye-n2d
    @marynkuye-n2d 9 วันที่ผ่านมา

    Safi Sana myala

  • @veronicakomba2791
    @veronicakomba2791 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @Highzuru_Aman-highzuru5
    @Highzuru_Aman-highzuru5 10 วันที่ผ่านมา

    #afyapoint 🙌🙌🙌 DOKITA😁 wa yomba kisogha❤🥰🩺

  • @JaphetKazilo
    @JaphetKazilo 10 วันที่ผ่านมา

    Ooh waaooh that's good Dr Win❤

  • @mohamedithabiti4476
    @mohamedithabiti4476 10 วันที่ผ่านมา

    thank you for providing us with education, Dr. winfrida

  • @RachelSakaila
    @RachelSakaila 15 วันที่ผ่านมา

    Amina Dr ubalikiwe na wewe pia

  • @RachelSakaila
    @RachelSakaila 15 วันที่ผ่านมา

    Asant dr

  • @jescamaige4328
    @jescamaige4328 19 วันที่ผ่านมา

    Nimejifunza, Elimu nzuri sana hii👍👍

  • @reminiscaeliamini
    @reminiscaeliamini 19 วันที่ผ่านมา

    Nimesabsraibu

  • @RoseGasper-y2i
    @RoseGasper-y2i 20 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana maokoto tunasubili

  • @AbdallahBaqeers
    @AbdallahBaqeers 20 วันที่ผ่านมา

    Dreamer!

  • @FadhiliBasimwaki
    @FadhiliBasimwaki 20 วันที่ผ่านมา

    Nice❤

  • @jennifajasson5353
    @jennifajasson5353 21 วันที่ผ่านมา

    Woiiii❤❤❤ hongera sana menta wangu

  • @prettyG-c9d
    @prettyG-c9d 21 วันที่ผ่านมา

    Mimi nina vinyama mda mrefu sana mwanzo vilikua vinauma lakni sahv haziumi kabisa je nifanyeje?

  • @jmmobilefix7588
    @jmmobilefix7588 21 วันที่ผ่านมา

    Hongera schoolmate 😊

  • @LizedFexta
    @LizedFexta 21 วันที่ผ่านมา

    Congratulations doctor❤

  • @swaumuramadhani3078
    @swaumuramadhani3078 21 วันที่ผ่านมา

    Asee Asante saana kwa elimu hii Tunaomba uendelee kutupa madini😢🥹 Haki mwanangu alikua anaumwa nimonia kila mara nikawa nahisi wamemroga🥲

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      Tunashukuru Sana Kwa kuwa Masada kwako na Kwa wengine wote....Comment yako imetupa nguvu Sana ya Kuendelea kutoa elimu juu ya Afya na mwili wa Binadamu. Mungu akujalie Afya Tele🙏🏽🙏🏽

    • @WinfridaMihayo
      @WinfridaMihayo 10 วันที่ผ่านมา

      Hongera kwa kuelewa elim hii❤

  • @ShijaSimon-n5m
    @ShijaSimon-n5m 21 วันที่ผ่านมา

    Wow! Asee nilikua sijui jamani kuhusu nimonia🥹 Nashukuru saana nimeelewa labda naweza kujikinga🥲

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      Tunashukuru na tunafurahi kwa kuelewa sasa tunaamini utakuwa Mwalimu Kwa wengine pia....Lengo tuweze kuwaokoa watanzania wengi ambao bado hawajapata elimu ya Afya na mwili wa Binadamu.

  • @SusanKundi
    @SusanKundi 22 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      🙏🏽🙏🏽

  • @TillaMwasaka
    @TillaMwasaka 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera daktari

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      🙏🏽🙏🏽

  • @dr.titoabsalom118
    @dr.titoabsalom118 22 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri Dr Mihayo

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      🙏🏽🙏🏽

  • @MustafaJeremia
    @MustafaJeremia 22 วันที่ผ่านมา

    Congratulations to you Binam,, Umetuelimisha

  • @noelychengula6320
    @noelychengula6320 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera dactari

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      🙏🏽🙏🏽

  • @stavykongobe934
    @stavykongobe934 22 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥

  • @WinfridaMihayo
    @WinfridaMihayo 22 วันที่ผ่านมา

    ❤🎉

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      Dr Winifrida Mungu akupe maisha marefu....Watanzania umewaokoa Kwa elemu yako juu ya Ugonjwa wa Pneumonia. Tunashukuru Sana Kwa kupokea mwaliko Kuja kutupa elimu hii kubwa. Tunakukaribisha tena siku nyingine utufumbue macho Zaidi!

  • @MerycianaMapundu
    @MerycianaMapundu 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera Sana mdogo wangu mzuriii ❤❤❤

    • @KAMedInfo
      @KAMedInfo 21 วันที่ผ่านมา

      🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @MiltonZuber
    @MiltonZuber 22 วันที่ผ่านมา

    Tear

  • @HawaAbdallah-l4w
    @HawaAbdallah-l4w 24 วันที่ผ่านมา

    naanzaje kupata dawa

  • @ShabaniEzekiel
    @ShabaniEzekiel 26 วันที่ผ่านมา

    Tayari

  • @JaphethMasunga
    @JaphethMasunga หลายเดือนก่อน

    Uvimbe je

  • @JaphethMasunga
    @JaphethMasunga หลายเดือนก่อน

    Uvimbe je

  • @JaphethMasunga
    @JaphethMasunga หลายเดือนก่อน

    Jekuvimba hakuusiani naupungufu

  • @DijeiMoo
    @DijeiMoo หลายเดือนก่อน

    tear

  • @RahimuKomba
    @RahimuKomba หลายเดือนก่อน

    Bro vp kama mtu hizo dalii zote anazo lakini anahisi na kichefuchefu bila kutapika

  • @NancyLazaro-p8b
    @NancyLazaro-p8b หลายเดือนก่อน

    Doctor ni Muda gani mtu unatakiwa kuacha kuzimeza izo Folic Acid? Baada Ya kuzimeza pakto moja na likaisha? Kifup yapaswa Kuziacha Mimba ikishafikisha Miezi mingapi?

  • @NaomiAlfred-y9y
    @NaomiAlfred-y9y หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @AzizaMtali
    @AzizaMtali หลายเดือนก่อน

    Kaka mim nimetoka kinyama kinauma hatari

    • @musason1680
      @musason1680 หลายเดือนก่อน

      Kaka wewe ulijisaidiaje kutoka kwenye iyo changamoto

  • @habiribatoni
    @habiribatoni หลายเดือนก่อน

    Je mtu anaweza kuumwa bawasili matatu Yani ikawa inajirudi ad mala tatu

    • @DanielKilamian
      @DanielKilamian หลายเดือนก่อน

      Ndio Endapo 😢ujapata TIBA nzuy

  • @AnicetMinde-r4w
    @AnicetMinde-r4w 2 หลายเดือนก่อน

    Dawa zipi tafadhali

  • @FatmaSuleiman-r4m
    @FatmaSuleiman-r4m 2 หลายเดือนก่อน

    Hii bawasili ya ndani tiba yake inakuaje

  • @MarthaHaro-l7j
    @MarthaHaro-l7j 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman maomba musaada pia mm nko hivyo

  • @KarimuMdirikath
    @KarimuMdirikath 2 หลายเดือนก่อน

    Nawezaje kupata dawa

  • @livingwaterchurchmbulukahama
    @livingwaterchurchmbulukahama 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nina magonjwa ya ngozi kama MBA yananisumbua Sana nimetumia dawa nyingi Sana bila majibu, nifanyeje?

  • @opportunekambenga2557
    @opportunekambenga2557 3 หลายเดือนก่อน

    Tayari