- 54
- 63 460
Patrick Wambua
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 9 ก.พ. 2014
Welcome to Patrick Wambua's channel! Join us for uplifting Catholic psalms that bring peace to your week. Here, we also dive into music and piano lessons, designed to inspire and guide you on your musical journey. Subscribe for soulful worship and empowering musical skills!
DOM. YA 3 MAJILIO|PAZA SAUTI ZA FURAHA NA SHANGWE|ZABURI YA KUITIKIZANA
Paza Sauti Za Furaha Na Shangwe,Maana Ametukuzwa Ndani Yako, Mtakatifu Wa Israeli!
***************************************
Ndiye Mungu Wa Wokovu Wangu;
Namtumainia, Wala Sina Hofu Tena.
Kwa Kuwa Bwana Ni Nguvu Yangu Na Wimbo Wangu,
Amekuwa Wokovu Wangu.
Nanyi Mtateka Maji Kwa Furaha
Kwenye Chemchemi Za Wokovu.
***************************************
Mshukuruni Bwana,
Liiteni Jina Lake;
Tangazeni Kati Ya Mataifa Matendo Yake Makuu,
Wakumbusheni Ya Kuwa Jina Lake Ni Tukufu Sana.
***************************************
Mwimbieni Bwana, Maana Ametenda Miujiza;
Itangazwe Duniani Kote.
Paza Sauti Za Furaha Na Shangwe, Enyi Watu Wa Sioni,
Maana Ametukuzwa Ndani Yako, Mtakatifu Wa Israeli!

มุมมอง: 458
วีดีโอ
Ee Bwana Nakuinulia Roho Yangu| Zaburi Ya Kuitikizana
มุมมอง 21914 วันที่ผ่านมา
Ee Bwana, Nakuinulia Roho Yangu. Ee Bwana, Unionyeshe Njia Zako, Unijulishe Mapito Yako. Uniongoze Katika Uaminifu Wako, Unifundishe, Maana Wewe Ndiwe Mungu Mwokozi Wangu. Bwana Ni Mwema, Tena Mwenye Haki, Kwa Hiyo Huwajulisha Wakosefu Njia Zake. Huwaongoza Wanyenyekevu Katika Haki, Na Kuwafundisha Njia Yake. Mapito Yote Ya Bwana Ni Uaminifu Na Kweli Kwa Wale Washikao Agano Na Amri Zake. Bwana ...
Dominika ya Kristu Mfalme| Zaburi ya 93| Bwana Ametamalaki Amejivika Adhama| Zaburi ya Kuitikizana
มุมมอง 54921 วันที่ผ่านมา
Bwana Ametamalaki, Amejivika Adhama. Bwana Ametamalaki, Amejivika Adhama. Bwana Amejivika Utukufu, Amejifunga Uweza. Ameukaza Ulimwengu Usitikisike. Kiti Chako Ni Imara Tangu Mwanzo; Tangu Milele Wewe Upo, Ee Mungu! Maagizo Yako Yaaminika Kabisa; Nyumba Yako Imepambwa Utakatifu, Ee Bwana, Kwa Siku Zisizo Na Mwisho.
Kiitikio Dominika ya 33 Mwaka B| Unilinde Ee Mungu Kwa Maana Nakimbilia Kwako| Zaburi 16
มุมมอง 723หลายเดือนก่อน
Unilinde, Ee Mungu, Kwa Maana Nakimbilia Kwako. Bwana, Ndiwe Urithi Wangu Na Kikombe Changu, Ndiwe Uishikiliaye Hatima Yangu. Nimemweka Bwana Mbele Ya Macho Yangu Daima; Kwa Kuwa Yuko Kulia Kwangu, Sitatikisika. Kwa Hiyo Moyo Wangu Unafurahi, / Roho Yangu Inashangilia; Mwili Wangu Utapumzika Salama, / Kwani Hutaiacha Nafsi Yangu Kuzimuni, / Wala Hutakubali Anayekuamini Aone Uharibifu. Umenijuli...
Zaburi 18 DOM 31 Nakupenda Ee Bwana Uliye Nguvu Yangu
มุมมอง 442หลายเดือนก่อน
Nakupenda, Ee Bwana, Uliye Nguvu Yangu. Nakupenda, Ee Bwana, Uliye Nguvu Yangu, Bwana, Mwamba Wangu, Ngome Yangu, Mwokozi Wangu. Mungu Wangu, Mwamba Wangu Ninakokimbilia, Ngao Yangu, Pembe Ya Wokovu Wangu, Ngome Yangu! Namwita Bwana, Astahiliye Kusifiwa! Nimeokolewa Kutoka Kwa Adui Zangu. Bwana Na Aishi! Asifiwe Aliye Mwamba Wangu! Kwa Masifu Atukuzwe Mungu, Mwokozi Wangu! Umempa Mfalme Wako Us...
BWANA ALITUTENDEA MAMBO MAKUU TULIKUWA TUKIFURAHI ~ DOMINIKA YA 2 YA MAJILIO MWAKA C~ ZABURI 126
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
Bwana Alitutendea Mambo Makuu; Tulikuwa Tukifurahi! Bwana Alipowarudisha Mateka Wa Sioni, Tulikuwa Kama Wanaoota Ndoto. Hapo Kinywa Chetu Kilijaa Kicheko, Na Ulimi Wetu Kelele Za Furaha. Ndipo Waliposema Kati Ya Mataifa, "Bwana Amewatendea Makuu." Bwana Alitutendea Mambo Makuu, / Tulikuwa Tukifurahi! Ee Bwana, Uwarudishe Wafungwa Wetu, Kama Vijito Huko Negebu. Waliopanda Kwa Machozi / Watavuna ...
Utushibishe Upesi Kwa Huruma Yako, Ee Bwana, Nasi Tutashangilia Dominika ya 28 Mwaka B
มุมมอง 8022 หลายเดือนก่อน
Utushibishe Upesi Kwa Huruma Yako, Ee Bwana, Nasi Tutashangilia. Utufundishe Kuzihesabu Siku Zetu Vyema, Tujipatie Moyo Wenye Hekima. Urudi, Ee Bwana! Mpaka Lini? Uwahurumie Watumishi Wako! Utushibishe Upesi Kwa Huruma Yako, Nasi Tutashangilia Na Kufurahi Siku Zetu Zote. Utufurahishe Kadiri Ya Siku Ulizotutesa, Kadiri Ya Miaka Tuliyoona Mabaya. Matendo Yako Yaonekane Kwa Watumishi Wako, Na Utuk...
Utushibishe Upesi Kwa Huruma Yako Ee Bwana Nasi Tutashangilia Dom. ya 28 Mwaka B| Zaburi 90
มุมมอง 2542 หลายเดือนก่อน
Utushibishe Upesi Kwa Huruma Yako Ee Bwana Nasi Tutashangilia Dom. ya 28 Mwaka B| Zaburi 90
Amri Za Bwana Ni Za Haki Zafurahisha Moyo By Patrick Wambua
มุมมอง 7182 หลายเดือนก่อน
Amri Za Bwana Ni Za Haki Zafurahisha Moyo By Patrick Wambua
Amri Za Bwana Ni Za Haki, Zafurahisha Moyo.| Zaburi 19| by Patrick Wambua
มุมมอง 4612 หลายเดือนก่อน
Amri Za Bwana Ni Za Haki, Zafurahisha Moyo.| Zaburi 19| by Patrick Wambua
Tazama, Bwana Ananitegemeza Mimi |Zaburi Dominika ya 25 | Mwaka B | By Patrick Wambua
มุมมอง 7352 หลายเดือนก่อน
Tazama, Bwana Ananitegemeza Mimi |Zaburi Dominika ya 25 | Mwaka B | By Patrick Wambua
Tazama, Bwana Ananitegemeza Mimi Zaburi Dominika ya 25 Mwaka B By Patrick Wambua
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
Tazama, Bwana Ananitegemeza Mimi Zaburi Dominika ya 25 Mwaka B By Patrick Wambua
Nitatembea Mbele Za Bwana Katika Nchi Za Walio Hai By Patrick Wambua | Dominika Ya 24 Mwaka B
มุมมอง 1.5K3 หลายเดือนก่อน
Nitatembea Mbele Za Bwana Katika Nchi Za Walio Hai By Patrick Wambua | Dominika Ya 24 Mwaka B
Nitatembea Mbele Za Bwana By Patrick Wambua
มุมมอง 1.2K3 หลายเดือนก่อน
Nitatembea Mbele Za Bwana By Patrick Wambua
UMSIFU BWANA EE NAFSI YANGU| DOMINIKA YA 32 & 23 MWAKA B| BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 1.6K3 หลายเดือนก่อน
UMSIFU BWANA EE NAFSI YANGU| DOMINIKA YA 32 & 23 MWAKA B| BY PATRICK WAMBUA
EE BWANA NANI ATAKAYEKAA KATIKA HEMA YAKO DOMINIKA YA 22 MWAKA B BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 1.4K3 หลายเดือนก่อน
EE BWANA NANI ATAKAYEKAA KATIKA HEMA YAKO DOMINIKA YA 22 MWAKA B BY PATRICK WAMBUA
EE BWANA NANI ATAKAYEKAA KATIKA HEMA YAKO KIITIKIO DOMINIKA YA 22 MWAKA B BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 7563 หลายเดือนก่อน
EE BWANA NANI ATAKAYEKAA KATIKA HEMA YAKO KIITIKIO DOMINIKA YA 22 MWAKA B BY PATRICK WAMBUA
ONJENI MWONE JINSI BWANA ALIVYO MWEMA BY PATRICK WAMBUA PLUS 254-726-961-228
มุมมอง 1.1K4 หลายเดือนก่อน
ONJENI MWONE JINSI BWANA ALIVYO MWEMA BY PATRICK WAMBUA PLUS 254-726-961-228
ONJENI MWONE JINSI BWANA ALIVYO MWEMA BY PATRICK WAMBUA PLUS 254726961228
มุมมอง 7534 หลายเดือนก่อน
ONJENI MWONE JINSI BWANA ALIVYO MWEMA BY PATRICK WAMBUA PLUS 254726961228
BWANA ALIWAPA MKATE WA MBINGUNI KIITIKIO DOMINIKA YA 18 MWAKA B WA KANISA BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 9734 หลายเดือนก่อน
BWANA ALIWAPA MKATE WA MBINGUNI KIITIKIO DOMINIKA YA 18 MWAKA B WA KANISA BY PATRICK WAMBUA
BWANA ALIWAPA MKATE WA MBINGUNI KIITIKIO DOMINIKA YA 18 MWAKA B WA KANISA BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 3204 หลายเดือนก่อน
BWANA ALIWAPA MKATE WA MBINGUNI KIITIKIO DOMINIKA YA 18 MWAKA B WA KANISA BY PATRICK WAMBUA
WEWE WAUFUMBUA MKONO WAKO,NA KUKIDHI HAMU YETU DOMINIKA YA 17 MWAKA B| ZABURI 145| BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 1.5K4 หลายเดือนก่อน
WEWE WAUFUMBUA MKONO WAKO,NA KUKIDHI HAMU YETU DOMINIKA YA 17 MWAKA B| ZABURI 145| BY PATRICK WAMBUA
WEWE WAUFUMBUA MKONO WAKO, EE BWANA,NA KUKIDHI HAMU YETU -DOMINIKA YA 17 MWAKA B - BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 8524 หลายเดือนก่อน
WEWE WAUFUMBUA MKONO WAKO, EE BWANA,NA KUKIDHI HAMU YETU -DOMINIKA YA 17 MWAKA B - BY PATRICK WAMBUA
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU, SITAPUNGUKIWA NA KITU DOMINIKA YA 16B BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 17K4 หลายเดือนก่อน
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU, SITAPUNGUKIWA NA KITU DOMINIKA YA 16B BY PATRICK WAMBUA
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU| DOM 16B| BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 8864 หลายเดือนก่อน
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU| DOM 16B| BY PATRICK WAMBUA
UTUONYESHE WEMA WAKO, EE BWANA;UTULETEE WOKOVU WAKO.| ZABURI 85 |DOM 15 MWAKA B |BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 9965 หลายเดือนก่อน
UTUONYESHE WEMA WAKO, EE BWANA;UTULETEE WOKOVU WAKO.| ZABURI 85 |DOM 15 MWAKA B |BY PATRICK WAMBUA
UTUONYESHE WEMA WAKO ZABURI 85 DOM 15 MWAKA B BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 5755 หลายเดือนก่อน
UTUONYESHE WEMA WAKO ZABURI 85 DOM 15 MWAKA B BY PATRICK WAMBUA
MACHO YETU YAMWELEKEA BWANA, MUNGU WETU| DOM. 14 MWAKA B 2024| ZABURI 123 |BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 2.9K5 หลายเดือนก่อน
MACHO YETU YAMWELEKEA BWANA, MUNGU WETU| DOM. 14 MWAKA B 2024| ZABURI 123 |BY PATRICK WAMBUA
MACHO YETU YAMWELEKEA BWANA, MUNGU WETU BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 2.7K5 หลายเดือนก่อน
MACHO YETU YAMWELEKEA BWANA, MUNGU WETU BY PATRICK WAMBUA
NAKUTUKUZA, EE BWANA |DOM 13 MWAKA B| ZABURI YA KUITIKIZANA| BY PATRICK WAMBUA
มุมมอง 2.6K5 หลายเดือนก่อน
NAKUTUKUZA, EE BWANA |DOM 13 MWAKA B| ZABURI YA KUITIKIZANA| BY PATRICK WAMBUA
Video waiting
Yes mwalimu
@@carolinemaina8302 hi
❤
Wonderful ❤
I remember this being recorded at Lwanga studios Mombasa
Super voices ✅
That's wow dad❤
❤
❤
Nice 😊
@@Arati3 thanks
good work, ongera😊
@@lundajeanharmony6962 thanks 🙏
Coming back
tuma mziki😂😂😂
@@lundajeanharmony6962 done
A good n blessing message
How often do you record this good anti_fona?
Thank you,@@carolynmose2392 We record and release the psalms every week. Individual voice recordings are completed by Wednesday, and the combined voices are finalized by Friday. We’re also excited to announce that we’ll soon begin uploading the antiphons for each Sunday, with uploads planned before Wednesdays.
Ubarikiwe sana ❤
@@DanielEmmanueli 🙏
❤
❤
Share the score bro, this piece is on another level
❤
❤
Blessing song
❤
❤
❤
Sauti tamu 👏👏
Nice one mwalimu
www.hymscolibrary.com/post/nakupenda-dominika-31-mwaka-a
Hi patrick naomba notes please
@@emmanuelmutuku1191 utapaje?; share your WhatsApp line
@@emmanuelmutuku1191 www.hymscolibrary.com/post/nakupenda-dominika-31-mwaka-a
Welcome
Well done
❤
Nice one mwalimu
Nice
Thanks
🙏
@@CHRISTINEMWENI-n6v 🙏
Imetulia sana 🙏👏
🙏 thanks
Good job ...Mungu apewe sifa na utukufu
@@PaulineKyengo-po1rk Asante
❤lovely melody Mwalimu
@@NOBELCHIMENYI thanks 🙏
Nice one mwalimu
@@simonkahindi8119 thanks
Amen amen
@@catholicprayersnovena4008 🙏
Magugu
Nice one.
Thank you! Cheers!
Amina
Good job Mwalimu 👏👏🙏
@@life_line1 thanks
🎉
Nice
Nisaidie nota nijiadae
@@franciskagunda3461 thanks brother
𝑺𝒂𝒇𝒊 𝒔𝒂𝒂𝒏𝒂
🎉best
Safi sana Mwalimu.Keep the fire burning. Be blessed
@@kefamichael2533 welcome
nota zipo?
@@abacuschess6664 utapata
Kazi Safi mkurugenzi Tricko very touching and solemn especially tenor na Bass moto Sana ❤🎉keep the good work