- 22
- 29 429
MADINA ONLINE TV
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 4 ส.ค. 2023
MAPOKEZI YA WAGENI KUTOKA YEMEN ||MADRASATUL MADINA AMKENI 20/9/2023
MAPOKEZI YA WAGENI KUTOKA YEMEN ||MADRASATUL MADINA AMKENI 20/9/2023
มุมมอง: 807
วีดีโอ
MADRASATUL MADINA AMKENI WAKIFURAHIKIA USHINDI WA UST SAID UMAR DHIDI YA BACHU 24/9/2023
มุมมอง 12Kปีที่แล้ว
furaha hii imepatikana baada ya mjadala wa ustadh said umar na muhammad bachu tarehe 24/9/2023 kujadili kitabu cha Sayyid jaafar barzanji. Bachu adai kua barzanji ni mrongo na ust said umar akimthibitishia kua ni mweli Hatimae akabainika mshindi kua ni said umar baada ya bachu kukimbia mjadala kwa kushindwa kujibu swali aliloulizwa..Ushindi huu ni wa twariqa kwa jumla na kushidwa kwa bachu ni k...
HISTORIA YA SAID BIN JUBEIR||UST ABDALLAH SHEE || MADRASATUL MADINA AMKENI
มุมมอง 193ปีที่แล้ว
23/9/2023
HALAQA ZA FIQHI BAADAL FAJRI MADINA AMKENI ||عمدة السالك|| UST SWALEH SAID ABDALLAH
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
HALAQA ZA FIQHI BAADAL FAJRI MADINA AMKENI ||عمدة السالك|| UST SWALEH SAID ABDALLAH
HISTORIA YA IMAAM MALIK || برنامج مع الطلبة ليلة الخميس ||UST RASHID CHIGAMBA
มุมมอง 202ปีที่แล้ว
HISTORIA YA IMAAM MALIK || برنامج مع الطلبة ليلة الخميس ||UST RASHID CHIGAMBA
HALAQA ZA FIQIHI BAADAL FAJRI || AQIIQAH ||متن الغاية والتقريب||UST ABDALLAH SHEE
มุมมอง 459ปีที่แล้ว
HALAQA ZA FIQIHI BAADAL FAJRI || AQIIQAH ||متن الغاية والتقريب||UST ABDALLAH SHEE
NASAHA ZA SHEIKH MAHMOUD ABDULBAARY KWA WANAFUNZI WA MADINA (AMKENI) 28/8/2023
มุมมอง 693ปีที่แล้ว
NASAHA ZA SHEIKH MAHMOUD ABDULBAARY KWA WANAFUNZI WA MADINA (AMKENI) 28/8/2023
MAPOKEZI YA SHEIKH MAHMOUD ABDULBAARY KUTOKA SOMALIA 28/8/2023
มุมมอง 775ปีที่แล้ว
MAPOKEZI YA SHEIKH MAHMOUD ABDULBAARY KUTOKA SOMALIA 28/8/2023
HALAQAT ZA TASWAWWUF MADRASATUL MADINA|| منهاج العابدين|| UST QAYS
มุมมอง 539ปีที่แล้ว
HALAQAT ZA TASWAWWUF MADRASATUL MADINA|| منهاج العابدين|| UST QAYS
MARADHI YA HASAD|| SHALI ABDILLAHI SHALI
มุมมอง 394ปีที่แล้ว
MARADHI YA HASAD|| SHALI ABDILLAHI SHALI
ZEFE KATIKA HAULI YA AL-MARHOOM SHEIKH SALIM BIN AHMAD TAIB BAJABER
มุมมอง 931ปีที่แล้ว
ZEFE KATIKA HAULI YA AL-MARHOOM SHEIKH SALIM BIN AHMAD TAIB BAJABER
MIRTHAAT YA MARHOUM SHEIKH SALIM BIN AHMAD TAIB BAJABER
มุมมอง 512ปีที่แล้ว
MIRTHAAT YA MARHOUM SHEIKH SALIM BIN AHMAD TAIB BAJABER
HAULI YA AL-MARHOOM SHEIKH SALIM BIN AHMAD TAIB BAJAABIR 2023
มุมมอง 794ปีที่แล้ว
HAULI YA AL-MARHOOM SHEIKH SALIM BIN AHMAD TAIB BAJAABIR 2023
Waliyyul Ahdi shk Said Salim Bajaabir akipokea zawadi kutoka kwa walimu wa Madrasatul Madina 2022
มุมมอง 864ปีที่แล้ว
Waliyyul Ahdi shk Said Salim Bajaabir akipokea zawadi kutoka kwa walimu wa Madrasatul Madina 2022
Watoto wadogo wa madrasatul madina wakitoa Qaswida ya twampenda mtume S.a.w
มุมมอง 4.9Kปีที่แล้ว
Watoto wadogo wa madrasatul madina wakitoa Qaswida ya twampenda mtume S.a.w
هل يجوز استعمال الحديث الضعيف؟؟ || الطالب: أشرف طالب علي||مدرسة المدينة المنورة
มุมมอง 483ปีที่แล้ว
هل يجوز استعمال الحديث الضعيف؟؟ || الطالب: أشرف طالب علي||مدرسة المدينة المنورة
MashaAllah habaaib
Mashallah
Naameshindwa kujib pale amejitetea uwongo hadith munkar naenga mbele ndokabisa badilikeni vijan namuje katika haki
Hhh swali sheikh said hajajib hata mim siwez kusema kumuita muongo barazanj hata skumoja yalikuwemo kwnye kitabu yale ni uwongo ameahindwa kuelewa swali kwa alieon munaqash bachu yupo sahih
ومن عذلنا وحاربنا..... ❤
Mashaaalllah tabarakallah
Kumbe ndizo hoja zenu zile naona hapakutolewa dalili hata moja ya kuitetea barzanji sasa ushindi huu umetokea wapi? Maana kama munawaaminisha watu uwongo wenye akili tumeshaelewa teyari
TabaarakAllahh ...♥️
Maswahaba, taabiina, tabi-tabiin,. Hizo ndo karne bora kama alivyosema Mtume (saw). Kama ni kheri kufanya hivyo wangetangulia wao kufanya. ''Shetan alifkiria namna ya kukupotezeni ndani ya Madras zenu akakuleteen madufu tahamaki mmeacha kuhifadh quran sasa mnapiga ngoma''
Damu zamwagika Palestine..Waislamu wapokonywa Ardhi zao kwa nguvu na lazima..watoto wanakufa na wamama..huku watu washerekea..SubhnAllaah Allah atuongoze kwa njia ya Haki
Mashallah sisi na mtume mtume na sisi
Aswaliwe mtume
Subuhana llah😢 Allah awaongoze ktk haqi
Mashallah sharrif
Mashallah my madras najutia kutoroka subhanallah 😭😭
Allah awatoe kwenye ujinga..... Nyinyi pamoja na vizazi vyenu amiin... Ngoma si ibada ndugu zangu
Tutapiga dufu na mtume tuta msifu milele
Mashallah
إنا لله و إنا إليه راجعون ... نسأل الله العافية
Subhannallah 🎉mambruk
tusomeni sio mtu aseme hii uwongo hii biidhaa tusitumie vitu vyote vilivyokuwa hajatumia mtume Muhammad s w
MUNGU AMRAHAMU USTAADH WETU ALY MAALLIM ALY😢😢😢 MUNGU AWAHIFADHI WATOTO WETU YAA ALLAH.
Allah awaongowe Ameen
Ngoma bado vinanda tu
Mashallah
Kama tari ni ngoma njoo tukusomeshe
MashaAllah..
Aina za ushoga ni kuchezacheza
Hawa ni wasanii hakuna dini yenye haimo kwa quran wala sunna hawa hufata bidaa zao zakufuraisha hawaa zao
Mnasherekea munkar subhanallah.
Ushindi gani uo ni ubishoo kwenye dini ya Allah...tupatieni dalili wanyama walitamka wapi...
Sijaona,ushindi kwa kweli Mungeweka nia ya ya kumswalia rasul saw mukapata ajar kubwa than istihzai
Mashaallah natamani namm ningekuwepo
Aliyeshinda na aliyeshindwa wote ni waislamu,kwa ujumla wote wameshindwa sbb maadui wa uislamu wanagonga cheers
Wakristo wanapga Ngoma na waislamu nao wanapga Ngoma ALLAAH ATUNUSURU
Elimu muhimu ndugu tafuta hadithi MTUME SAW ametaja watu wapige dufu
Jamaa amethibitisha wapi urongo ulipo ktk kitabu cha Barazanji???
Mashaallah ustadh swaleh kunywa soda kwa no 4 nalipa
Mashaallah ❤
Allah awaongoze katika sunna
Mashaallah.
Masufi mwazisheherekea
Maa sha Allah
Mashia kwa ngoma hamuwezekani
Innaa lillaahi waina ilyhi raajiuun,huu ni msiba kweli! Yaanai mnathubutu kuaminisha watu UONGO HALI YA KUWA KTK MUNAAQASHA HAMJATOA HATA HOJA MOJA SI MOMBASA HATA TANGA KUITETEA BARZANJ??
Nitakapokutana na ustadh said siku yyt mwaka wowote nina zawadi zake InshaAllah
Mpe
Ina sikitisha sana kuona vijana wakipotezewa wakati kwa kuchezeshwa ngoma na kujazwa aqida mpotofu badala ya kuilimishwa aqida na sunnah za bwana mtume zilizo swahihi ndo waje wawe viongozi wema ktk jamii w
Kumbavu sana ww unaongea nn sasa bidaa ni ww
@@khalifamwenye3632 السكوت للسفيه جواب،والأعراض عنه عقاب،ومباعدته ثواب
Umesahau kama Mahabeshi walicheza, na Mtume Sallallahu 'Alayhi Wasallam akawatizama na kufurahia isitoshe akamwita na mke wake Nana Aysha aje kutizama. Jamani hamutuwezi hata kidogo.
@@KhuluudHamouda2380je uko na dalil kwa unayo yasema ??? Ama wasema tu?
Suala la kujiuliza Mtume katk enzi zake ni kwa namna gani aliifurahia siku yake ya kuzaliwa ?
Hadith ya bibi Aysha isemayo mtume alikua akimuekea membari hasani bin thabiti akawa anasimama kwenye hiyo membar akimsifu mtume
@@jumafaki2891 Sisi hatuzungumzii kumsifu Mtume , usichanganye file , Mtume alikuwa akisherehekea birthday hili ndio swali ?
Rariqa♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Upumbavu mtupu
MaashaAllh