REDEEMER DIGITAL TV
REDEEMER DIGITAL TV
  • 63
  • 15 186
WAKULIMA WA MBEGU ZA NGANO ASA ARUSHA WAFIKIWA NA MBOLEA ZA AGRAMI
Kampuni ya aGrami Afrika inayoagiza, kusambaza na kuuza mbolea za kimiminika imewafikia wakulima wa ngano wa Shamba la ASA Ngaramtoni Arushana kuwapa elimu ya matumizi sahihi ya mbolea hizo kwa matokeo mazuri ya mbegu bora za ngano.
@mzuriafrika ‎@redeemer06Newsalerttz Subscribe hizo channel upate habari mbalimbali za kilimo...
มุมมอง: 77

วีดีโอ

TAHA ARUSHA WATUMIA MBOLEA ZA AGRAMI, MATOKEO YAVUTIA WAKULIMA
มุมมอง 29411 หลายเดือนก่อน
Mtangazaji na Mtayarishaji KOLETA MAKULWA Mpiga picha na Mhariri ALOYCE MTANGA Picha hizi zinatengenezwa na AGRAMI AFRIKA & MZURI AFRIKA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka AGRAMI AFRIKA & MZURI AFRIKA Hakimiliki © Agrami Afrika & Mzuri Afrika - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa w...
SUPER GRO SIYO MBOLEA
มุมมอง 23ปีที่แล้ว
Subscribe TH-cam yetu kupata taarifa muhimu za kilimo ufugaji teknolojia na utafiti wa sekta hizo
KILIMO HIFADHI NA MATUMIZI YA MASHINE YA MZURI PRO TIL KUTOKA MZURI AFRIKA
มุมมอง 74ปีที่แล้ว
KILIMO HIFADHI NA MATUMIZI YA MASHINE YA MZURI PRO TIL KUTOKA MZURI AFRIKA
HUU NDIYO UTOFAUTI WA MBOLEA ZA AGRAMI NA NYINGINEZO ZIKIWA SHAMBANI
มุมมอง 142ปีที่แล้ว
HUU NDIYO UTOFAUTI WA MBOLEA ZA AGRAMI NA NYINGINEZO ZIKIWA SHAMBANI
TAZAMA: MAAJABU YA MBOLEA ZA AGRAMI SHAMBANI
มุมมอง 136ปีที่แล้ว
TAZAMA: MAAJABU YA MBOLEA ZA AGRAMI SHAMBANI
DC GAIRO AWATAKA WAKULIMA KUCHANGAMKIA FURSA YA MBOLEA YA RUZUKU, KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA KILIMO.
มุมมอง 57ปีที่แล้ว
DC GAIRO AWATAKA WAKULIMA KUCHANGAMKIA FURSA YA MBOLEA YA RUZUKU, KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA KILIMO.
ETG WAJIPANGA KUFIKISHA MBOLEA KWA WAKULIMA KWA BEI YA RUZUKU.. WASEMA MBOLEA IPO YA KUTOSHA.
มุมมอง 60ปีที่แล้ว
ETG WAJIPANGA KUFIKISHA MBOLEA KWA WAKULIMA KWA BEI YA RUZUKU.. WASEMA MBOLEA IPO YA KUTOSHA.
JINSI YA KUPIMA AFYA YA UDONGO WA SHAMBA LAKO, TUPIGIE 0654765510 AU 0746998988
มุมมอง 256ปีที่แล้ว
Karibu u subscribe, comment, like na ku share
LINDI KUCHELE, TFRA YAWAHAMASISHA WAKULIMA KUTUMIA MBOLEA
มุมมอง 91ปีที่แล้ว
Ni ukingoni mwa maonesho ya wakulima wafugaji na wavuvi maarufu nanenane kanda ya mashariki katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi ambapo mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania TFRA kanda ya mashariki wametoa elimu ya matumizi ya mbolea kwa wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara, ili kuongeza hamasa ya matumizi ya mbolea kwenye mikoa hiyo. Karibu u subscribe, comment, like na ku share
TUMEJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MBOLEA YA RUZUKU: TFRA KANDA YA MASHARIKI
มุมมอง 62ปีที่แล้ว
TUMEJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MBOLEA YA RUZUKU: TFRA KANDA YA MASHARIKI
KILIMO CHA TEMBELE KINAVYOINGIZA PESA
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
Subscribe, comment, like na ku share
TFRA KANDA YA MASHARIKI YAJIBU MASWALI YA WAKULIMA NANENANE MOROGORO
มุมมอง 202ปีที่แล้ว
Mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania TFRA kanda ya mashariki inashiriki maonesho ya kilimo na kujibu maswali ya wakulima wanaotembelea katika banda lao. Miongoni mwa maswali hayo ni kuhusu mbolea ya ruzuku awamu ya pili. Karibu u subscribe, comment, like na ku share
MABADILIKO YA TABIA NCHI NI FURSA KWA VIJANA
มุมมอง 87ปีที่แล้ว
Karibu u subscribe, comment, like na ku share na engine. Usisahau kubonyeza alama ya kengele uwe wa kwanza kupata taarifa mbalimbali tunapo post.
AMDT yaiwezesha TARI Ilonga uzalishaji mbegu bora za alizeti
มุมมอง 98ปีที่แล้ว
Subscribe like comment na kushare kupata taarifa mbalimbali
MAGEREZA WACHANGAMKIA TEKNOLOJIA YA KILIMO HIFADHI
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
MAGEREZA WACHANGAMKIA TEKNOLOJIA YA KILIMO HIFADHI
FATMA MWASSA RC MOROGORO: ''TUMEPOKEA RUZUKU YA MBOLEA, TUNAJIPANGA KUFUNGUA MASHAMBA YA VIJANA''
มุมมอง 16ปีที่แล้ว
FATMA MWASSA RC MOROGORO: ''TUMEPOKEA RUZUKU YA MBOLEA, TUNAJIPANGA KUFUNGUA MASHAMBA YA VIJANA''
''TUTAONGEZA TIJA YA UZALISHAJI KUPITIA MBOLEA YA RUZUKU'': FATMA MWASSA MKUU WA MKOA MOROGORO
มุมมอง 20ปีที่แล้ว
''TUTAONGEZA TIJA YA UZALISHAJI KUPITIA MBOLEA YA RUZUKU'': FATMA MWASSA MKUU WA MKOA MOROGORO
MBOLEA YAIPAISHA MOROGORO MIKOA MITANO INAYOONGOZA UZALISHAJI CHAKULA NCHINI.
มุมมอง 125ปีที่แล้ว
MBOLEA YAIPAISHA MOROGORO MIKOA MITANO INAYOONGOZA UZALISHAJI CHAKULA NCHINI.
TAZARA YANUNUA BEHEWA LA KUBEBA TANI 200 MIZIGO YA UJENZI BWAWA LA NYERERE.
มุมมอง 79ปีที่แล้ว
TAZARA YANUNUA BEHEWA LA KUBEBA TANI 200 MIZIGO YA UJENZI BWAWA LA NYERERE.
TAZARA YACHANGIA 95% UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWL. NYERERE.
มุมมอง 3.8Kปีที่แล้ว
TAZARA YACHANGIA 95% UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWL. NYERERE.
KTO YAFUNGUA FURSA SOKA LA WANAWAKE NCHINI
มุมมอง 42 ปีที่แล้ว
KTO YAFUNGUA FURSA SOKA LA WANAWAKE NCHINI
KEEN FEEDERS YANOGESHA KILIMO KWA BIDHAA BORA
มุมมอง 4632 ปีที่แล้ว
KEEN FEEDERS YANOGESHA KILIMO KWA BIDHAA BORA
MABAKI YA MIMEA KUTENGENEZA NISHATI MBADALA
มุมมอง 552 ปีที่แล้ว
MABAKI YA MIMEA KUTENGENEZA NISHATI MBADALA
UTAFITI WA ALIZETI KUPUNGUZA UAGIZAJI MAFUTA NJE YA NCHI
มุมมอง 4812 ปีที่แล้ว
UTAFITI WA ALIZETI KUPUNGUZA UAGIZAJI MAFUTA NJE YA NCHI
MAONESHO YA MAUZO YA VITABU TANZANIA YAFUNGUA FURSA KUJISOMEA
มุมมอง 212 ปีที่แล้ว
MAONESHO YA MAUZO YA VITABU TANZANIA YAFUNGUA FURSA KUJISOMEA
CHANGIA DAMU KUOKOA MAISHA YA MGONJWA NA KUBORESHA AFYA YAKO.
มุมมอง 122 ปีที่แล้ว
CHANGIA DAMU KUOKOA MAISHA YA MGONJWA NA KUBORESHA AFYA YAKO.
ALIZETI NI FURSA YA KIUCHUMI
มุมมอง 362 ปีที่แล้ว
ALIZETI NI FURSA YA KIUCHUMI
CHUO CHA USAFIRI WA ANGA CHAPANDISHWA HADHI KIMATAIFA
มุมมอง 412 ปีที่แล้ว
CHUO CHA USAFIRI WA ANGA CHAPANDISHWA HADHI KIMATAIFA
KILIMO CHA MKONGE CHAFUNGUA FURSA YA UCHUMI
มุมมอง 1762 ปีที่แล้ว
KILIMO CHA MKONGE CHAFUNGUA FURSA YA UCHUMI

ความคิดเห็น

  • @MagenLucas
    @MagenLucas 9 หลายเดือนก่อน

    Gharama ya upimaji wa udongo nishingapi

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz 9 หลายเดือนก่อน

      Inategemea ulipo...piga namba ya simu inayopita kwenye video

  • @MUHONGOJAMESItote
    @MUHONGOJAMESItote 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera ngosha

  • @ZubedaAbdallah-yy6zh
    @ZubedaAbdallah-yy6zh 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera nami nipo morogoro natamani kujifunza kitu kwako unapatikana wapi no yako tafadhali

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz 10 หลายเดือนก่อน

      Shamba lake lipo kasanga darajani kabla hujavuka daraja mkono wa kushoto ukitokea msamvu

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz 10 หลายเดือนก่อน

      Shamba lake lipo kasanga darajani kabla hujavuka daraja mkono wa kushoto ukitokea msamvu

    • @ZubedaAbdallah-yy6zh
      @ZubedaAbdallah-yy6zh 10 หลายเดือนก่อน

      Asante nitafika kwake

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Sanaa kwa shuhuda,je ni mbolea asilia!. Pili inafaa kwa mazao ya nafaka, mfano; mahindi & mpunga. Salaam toka mwanza 🐟

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz 11 หลายเดือนก่อน

      Inafaa kwa mazao yote ya chakula, biashara mbogamboga na matunda...ni mbolea isiyo na kemikali hatarishi kwa mtumiaji...pia mbolea zetu zina sifa ya nyongeza ya kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo ukame wa wastani na mvua zilizopitiliza...tunazo mbolea za aina tisa kwa mazao tofauti na viunilishe tofauti kulingana na mahitaji ya mkulima...mbolea zimesajiliwa TFRA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania

  • @Marco_mathias_lugwisha
    @Marco_mathias_lugwisha 11 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @suzan638
    @suzan638 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi na mawasiliano yenu

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz ปีที่แล้ว

      Tunapatikana Arusha mjini lakini tunakufikia popote ukituhitaji...piga namba hizo kwenye video kwa maswali zaidi

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 ปีที่แล้ว

    Hivi ndo vitu vya kushea

  • @psj1564
    @psj1564 ปีที่แล้ว

    Wso izi nyimbo ndio zenye maudhui mazuri

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk ปีที่แล้ว

    Mpya kwa wapi? Jamani kwa Nini huwa mnapenda kudanganya watu mchana wakati hiyo hiyo mashne za miaka mingi eti teknologia mpya mbona,,

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz ปีที่แล้ว

      Ni teknolojia mpya...inatumika na nchi za dunia ya kwanza kurahisisha shughuli za kilimo, kutunza ardhi na mazingira pamoja na kupunguza gharama za kilimo na kuokoa muda...ungepata nafasi ya kufikia shambani uone inavyofanya kazi ungetambua utofauti...hatuzungumzii hiyo tractor tunazungumzia mashine zilizofungwa ambazo zinavutwa na hiyo tractor...kwa Africa hizo mashine zipo mbili zinapatikana Kenya na sasa ipo Tanzania...Karibu kwa maswali zaidi nikuunganishe na wamiliki wa hyo mashine ujionee utofauti na ulizozizoea

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz ปีที่แล้ว

      Mashine hyo ni kwaajili ya Kilimo hifadhi cha kisasa sio cha jembe la mkono...Karibu kwa maswali zaidi

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk ปีที่แล้ว

      Hiyo Ni mashine Ni ya dunia ya Kwanza kiongozi, Toleo la mwaka gani? Utujuze tuelewe maana mkiliswa matango pori kutudanganya ili tuingie mkenge Ni jadi yetu!

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz ปีที่แล้ว

      @@IsayaSosolo-nx8zk Ukihitaji kuinunua utanicheki nikuunganishe na mwenye kiwanda yupo Polland au wakala wake yupo Dar es salaam...kwa afrika hizo mashine zipo mbili Kneya na Tanzania ipo Morogoro ukiwa tayari kuiona na kuuliza maswali zaidi nipo tayari kukupeleka andaa usafiri tuu...mashine tupu bila tractor inauzwa milioni 400 mpya, zipo mashine kubwa zaidi hiyo ni ndogo... Karibu sana ni toleo la mwaka 2022 zipo

  • @alphoncenestorybishirangon1836
    @alphoncenestorybishirangon1836 ปีที่แล้ว

    Hii mitambo ipo hapahapa tz!? Safi sana

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz ปีที่แล้ว

      Unaagiza nchini Polland...kwa hapa Tanzania ipo moja unaweza kukodi....ukiwa tayari utanijulisha

  • @benmuberwa2092
    @benmuberwa2092 ปีที่แล้ว

    Muda umefika kufikilia kuboresha reli ya Tazara ianze kutumia umeme katika uendeshaji

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 ปีที่แล้ว

    Well done Tanzanians

  • @Thayomaster
    @Thayomaster ปีที่แล้ว

    Mama yupo kazini

  • @frenkreuben5650
    @frenkreuben5650 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa kutujuza

  • @vegraborganicfarmingltd8460
    @vegraborganicfarmingltd8460 2 ปีที่แล้ว

    Great and thanks for your effective informations

  • @dianasimon9131
    @dianasimon9131 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @ahmadjumaamsaka7461
    @ahmadjumaamsaka7461 2 ปีที่แล้ว

    My Lovely Sister koleta Makulwa kwema lakni....

  • @ndabemeyeludovick6871
    @ndabemeyeludovick6871 2 ปีที่แล้ว

    Big up Koleta, you're keeping Tanzanians aware of opportunities in Agriculture and Agribusiness.God bless you

  • @panaafricaqualityavocados9980
    @panaafricaqualityavocados9980 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba maelezo jinsi ya kujisajili

    • @redeemer06Newsalerttz
      @redeemer06Newsalerttz 2 ปีที่แล้ว

      Unapaswa kwenda kwenye ofisi ya mtendaji wa kijiji unachoishi... Mtendaji atakuuliza baadhi ya maswali ikiwemo ukubwa wa shamba na mazao unayolima shamba lilipo... n.k

  • @mwanawanyambo7432
    @mwanawanyambo7432 2 ปีที่แล้ว

    Hongera saana dada ang