- 9
- 22 178
HVS CHOIR
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 27 พ.ค. 2023
Tumetumwa na Mungu Tumetumwa na Baba kuwaleta watu Kwa Yesu.
Walete Madhabahuni - The Heaven Voice Singers, AICT Mbezi Luis Church (Official AudioMusic)
Walete Madhabahuni - The Heaven Voice Singers, AICT Mbezi Luis Church (Official AudioMusic)
มุมมอง: 112
วีดีโอ
HVS - Mzee wa siku (Official video)
มุมมอง 14K9 หลายเดือนก่อน
God, the old man of days, He deserves honor and glory. We affirm that he is unfailing and superior to all kingdoms. Heaven and the earth are filled with his glory. Daniel 7:9 “I beheld till ,the thrones were cast down, and the Ancient of the days did sit, whose garment was white as snow, and the hair of his head like pure wool: his throne was like the fiery flame, and his wheels as burning fire...
Walete Madhabahuni - The Heaven Voice Singers, AICT Mbezi Luis Church (Official Video Music) 4K
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Walete madhabahuni ni wimbo unaotukumbusha hasa majukumu ambayo Mungu ametupa watumishi wake katika kuwafanya mataifa,kuwa wana wa Mungu ili wazitangaze nguvu na kazi za Mungu (Mathayo 28:19-20). Saa ya ukombozi nayo imeshatimia walete madhabahuni wawe huru(mathayo11:28). Song written by: Benjamin Mpanduji. Credits: Video-Directed&Edited by: Rahim. Audio-captured,mixed&mastered by: Quillian kil...
Nice
Mungu awabariki mo ❤
Mungu awabariki ❤
Utukufu.apewe.Mungu.muumba.mbingu.nainchi👍
Kazi ya MUNGU izidi kwenda mbele mbarikiwe sanaaaaa
Kazi yenu ni njema sana watumishi nawapenda❤
Anijua mm ni wakwake.
Mbarikiwe watumishi wa Mungu wa kweli.
Fundi mitambo, sauti ziko chini kulikoni?
mfalme WA utukufu yupo apa
🎉🎉🎉🎉
💥💥💥
Mungu asifiwe sana
hakika tulibarikiwa sana Mungu awabariki nyote
Kazi ya Bwana inasonga mbele
Kazi nzuri
Kazi nzuri
Mungu azidi kuwainua
🎉❤
Sifa na utukufu ni kwa bwana.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉❤
❤
❤🎉🎉
Mungu awabariki
❤❤❤❤❤
Nimewapenda sana, Mungu awabariki
Eish it's like I was sleeping n when I m up you guys your praise it's up to standard Eish praise God with you n I'm sure the praise will be given to Africa Africa
Mungu anafanya Go Go Hvs❤🦅🦅🦅🦅💯💥💥
Endeleeni kuwa serious na Mungu hatawaacha
Watumishi hii ni 🔥 🔥 HVS Go go go go.... Mungu awalinde
Amen Mungu akubariki mtumishi.
Wimbo mzuri sana .
Waooh, nice namuona kipnz changu 🥰 G kazi yako nzur ❤
Kwa kuwa ni kazi ya Mungu siwezi kulinganisha kwaya ipi ni bora maana kwaya zote zinafanya kazi ya kumtangaza Yesu Kristo. Ila niseme team yenu ni jeshi sahihi la kutangaza habari njema za mwokozi Yesu Kristo. Mwenyezi Mungu aendelee kuwatunza kwa umoja na unyenyekevu wenu ili muweka alama hapa duniani na mbinguni. Amen!
Mbarikiwe my team
Kazi. Nzuri
Kazi. Nzur
Kazi. Nzuri
kazi nzuri
Hakika wewe ni mzee wa Siku.Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu nimewapenda sana
Amina, Mungu akubariki
Mungu mwema Sana mbarikiwe
Amina, Mungu akubariki pia.
Ongeren jaman ❤❤❤
Kazi nzuri sana
Kazi nzuri. Sana
Mungu wa Mbinguni akainue kazi hii ya mikono yenu🙏
Amina
Congratulations 🎉🎉🎉🎉 keep it up
Asante sana mtumishi Jackson kwa ku- subscribe tuma na kwa wengine wafanye hivyo
Thank you so much
Barikiweni sana
Ubarikiwe pia Mwana wa Mungu
Hongereni sana kazi njema mnoooo 🔥🔥❤
Tunakuomba wewe uliyetazama kazi hii share na kwa wengine ili tuzidi kumuinua Mzee wa siku
Mmeimba vzrii nakuona mdgo wangu Rebecca ❤️❤️❤️
Mungu awainue zaidi
Kazi nzuri sana
Amina, Jina la Bwana Yesu lihimidiwe.