Classic Finishes
Classic Finishes
  • 208
  • 100 655
August 1, 2023
August 1, 2023
มุมมอง: 65

วีดีโอ

MKEKA WA MBAO
มุมมอง 78ปีที่แล้ว
Tupo site👷🏽‍♂️ tunaendela na zoezi la kuweka #mkekawambao kwa mteja wetu. ☺️😇 Fundi anaendelea na kazi kwa usitadi wa hari ya juu kama unavyoona na muda sio mrefu tutapost kukuonesha eneo lilivyopendezeshwa na mkeka wa mbao. Stay tuned👌🏼 Unawezafika kwenye Showroom yetu iliyopo 📍Kawe Mwai Kibaki Road, MBEZIYACHINI au 📍Madare. Au Piga simu zetu uhudumiwe haraka sasa kwa namba zetu. 📌Kawe Mwai Ki...
Delivery Mikoa Yote
มุมมอง 90ปีที่แล้ว
MKEKA WA MBAO NA BIDHAA ZETU ZENGINE IKIWEMO SPC SKIRTINGS, WALL PANELS. 👇👇👇👇 TUNASAFIRISHA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA PAMOJA NA ZANZIBAR🚚⛵️🛬🚤🛳 NA WATAALAMU WETU WANASAFIRI MIKOA YOTE NA VISIWANI PIA. KWA AJILI YA KUKUWEKEA MKEKA WA MBAO, WALL PANELS BILA KUSAHAU SPC SKIRTINGS. TUNAPATIKANA KAWE MWAI KIBAKI, ROAD ☎️☎️0747753566 ☎️☎️0735282811 MADALE BRANCH PIGA NAMBA HII ☎️☎️0655819992 Ahsante...
GUARANTEE WARMTH
มุมมอง 92ปีที่แล้ว
TIZAMA MKEKA WA MBAO UNAVYOWAPA UHURU WAREMBO HAWA
MKEKA KWENYE NIL FLOOR
มุมมอง 244ปีที่แล้ว
💥🎺📢Mwezi March tunauanza hivi💥🎺 Kwa kufanya Full House Installation MKEKA WA MBAO bila kusahau SPC SKIRTING Kwenye Nyumba Mpya kabisa ambayo imepigwa NIL FLOOR YAANI SAKAFU YA KAWAIDA KABISA Ungana na @engineer_construct na team uone watakavyopendezesha NYUMBA Hii na MKEKA WA MBAO BILA KUSAHAU SPC SKIRTING NGUMU NA IMARA NA HAZIATHIRIWI NA MAJI. KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA HI...
IRINGA NA MKEKA WA MBAO
มุมมอง 126ปีที่แล้ว
hapo ni IRINGA tunaweka Mkeka wa Mbao 0747753566
MZIGO MPYA UMEFIKA
มุมมอง 56ปีที่แล้ว
0747753566/0735282811
MEGA FM ARUSHA NA MKEKA WA MBAO
มุมมอง 46ปีที่แล้ว
SULUHISHO LA KUFANYA OFISI YAKO AMA STUDIO YAKO IPENDEZE NA KUVUTIA MUDA WOTE NI MKEKA WA MBAO. AHSANTENI SANA WADAU WETU @megafm_tz WAZEE WA 92.9 ARUSHA KWA KUPENDEZESHA STUDIO YENU NA MKEKA WA MBAO WENYE SIFA KADHA WA KADHA NI SOUND PROOF 🎧 UNASAFISHIKA KIRAHISI HAUTUNZI VUMBI HAUPIGI KELELE UNAPOTEMBEA KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYINGINE USAFI WAKE NI RAHISI SANA. TUNAZIDI KUBADILISHA WADAU W...
MZIGO WA PAVING MOULDS UMEFIKA
มุมมอง 268ปีที่แล้ว
CLASSIC FINISHES INAKUPA UNAFUU WA KUPENDEZESHA UWANJA WAKO,BUSTANI YAKO,OFISI YAKO NA PAVEMENTS ZA GHARAMA NAFUU. NA PAVING MOULDS MAUMBO YA KISASA YANAYOFYATUA PAVEMENTS HAPOHAPO SITE YAMEREJEA TENA. BEI NI NAFUU SANA SAFARI HII TUMELETA MAUMBO MATANO YALIOKUWA YANAULIZIWA NA WADAU WENGI SANA MODEL C,BEI YAKE NI 60000 MODEL D,BEI YAKE NI 60000 MODEL E,BEI YAKE NI 40000 MODEL H, BEI YAKE NI 50...
SUGAR OAK KINONDONI
มุมมอง 76ปีที่แล้ว
📢📢🤍LEVELS MKEKA WA MBAO AINA YA 🎺👇🏾 🔊💥MKEKA WA MBAO AINA YA SUGAR OAK🪨GREY ILIOPOA. WAPENDEZESHA DUKA HILI✍️ 📢📢🎺BEI YAKE NI 35000 PER SQ M🔥🪙 NI MKEKA MGUMU NA IMARA SANA UNASAFISHIKA KIRAHISI UNAKUKINGA NA AJALI ZA KUTELEZA NA KUANGUKA. UNAHAMISHIKA PIA ☎️☎️0735282811 ☎️☎️0747753566(MWAI KIBAKI ROAD-KAWE MBEZIYACHINI) MADALE BRANCH PIGA NAMBA HII ☎️☎️0735282811 KARIAKOO FIKA MHD DUKA NAMBA 77 ☎...
VIFAA VYA FINISHING
มุมมอง 192ปีที่แล้ว
UNGANA NA ENG EDISON @engineer_construct MKUU WA MAFUNDI KUTOKA CLASSIC FINISHES AKIELEZEA VIFAA VYA FINISHING TUNAVYOVITUMIA KUHAKIKISHA MKEKA WA MBAO UNAKUWA NA MUONEKANO MZURI NA WA KUVUTIA. ENJOY THE SHOW💥💥💥 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 MKEKA WA MBAO UNADUMU KWA MUDA MREFU, UNAPOCHAGUA MKEKA WA MBAO UJUE UMECHAGUA FLOOR YA KUDUMU. TUNAPATIKANA MWAI KIBAKI ROAD-KAWE (MBEZIYACHINI) ☎️☎️0747753566 ☎️☎️0735282811 ...
MKEKA WA MBAO JUU YA TILES
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
👇🏾👇🏾👇🏾 NENDA TARAATIBU NA VIDEO 📸 INAVYOKWENDA UONE NAMNA FLOOR YA TILES ILIVYIOPATA MUONEKANO MPYA NA MKEKA WA MBAO WOOOOW💥💥💥🔥🌿 BACKGROUND IMEBADILIKA KABISA NA KUPENDEZA MKEKA WA MBAO,UMEONGEZA MVUTO WA NYUMBA HII. NI MKEKA MGUMU NA UNAVUTIA KWELIKWELI. UKIHAMA UNAHAMA NAO UNA UIMARA MKUBWA. PIGA SIMU YAKO LEO UJIPATIE MKEKA HUU ☎️☎️0747753566 ☎️☎️0735282811(MWAI KIBAKI ROAD, MBEZIYACHINI) MA...
UK TOTO NA MKEKA WA MBAO
มุมมอง 81ปีที่แล้ว
MKEKA WA MBAO NA WALL PANEL KWA PAMOJA ZILIPENDEZESHA DUKA LA UK TOTO LILILOPO PANDE ZA SINZA MADUKANI
MKEKA WA MBAO,UNAVYOUNGANISHWA
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
MKEKA WA MBAO,UNAVYOUNGANISHWA
COLUMBIAN OAK MAKONDE
มุมมอง 142 ปีที่แล้ว
COLUMBIAN OAK MAKONDE
EPISODE 2 HATUA ZA KUWEKA MKEKA
มุมมอง 802 ปีที่แล้ว
EPISODE 2 HATUA ZA KUWEKA MKEKA
EPISODE 1, MKEKA HATUA ZA KUWEKA MKEKA
มุมมอง 2852 ปีที่แล้ว
EPISODE 1, MKEKA HATUA ZA KUWEKA MKEKA
CHALET OAK YAPENDEZESHA DUKA HILI
มุมมอง 482 ปีที่แล้ว
CHALET OAK YAPENDEZESHA DUKA HILI
PAVING MOULD E, IMERUDI TENA
มุมมอง 642 ปีที่แล้ว
PAVING MOULD E, IMERUDI TENA
FIKA KWENYE SHOWROOM YETU
มุมมอง 1002 ปีที่แล้ว
FIKA KWENYE SHOWROOM YETU
MWANZA YAPENDEZESHWA NA PANEL
มุมมอง 132 ปีที่แล้ว
MWANZA YAPENDEZESHWA NA PANEL
SALON NA MKEKA WA MBAO
มุมมอง 272 ปีที่แล้ว
SALON NA MKEKA WA MBAO
TUNAFIKA MIKOA YOTE KUWEKA MKEKA WA MBAO
มุมมอง 82 ปีที่แล้ว
TUNAFIKA MIKOA YOTE KUWEKA MKEKA WA MBAO
Mwaka Mpya na Classic Finishes
มุมมอง 82 ปีที่แล้ว
Mwaka Mpya na Classic Finishes
MKEKA WA MBAO GOBA
มุมมอง 162 ปีที่แล้ว
MKEKA WA MBAO GOBA
MZIGO WA WPC WALL PANEL UMEFIKA
มุมมอง 152 ปีที่แล้ว
MZIGO WA WPC WALL PANEL UMEFIKA
AHSANTE BAGAMOYO
มุมมอง 422 ปีที่แล้ว
AHSANTE BAGAMOYO
AHSANTENI WADAU WETU
มุมมอง 142 ปีที่แล้ว
AHSANTENI WADAU WETU
WATERPROOF LAMINATE NEW FLOORING IN TOWN
มุมมอง 232 ปีที่แล้ว
WATERPROOF LAMINATE NEW FLOORING IN TOWN
WPC WALL PANEL ZIMERUDI TENA
มุมมอง 72 ปีที่แล้ว
WPC WALL PANEL ZIMERUDI TENA

ความคิดเห็น

  • @MtenziMgata
    @MtenziMgata หลายเดือนก่อน

    Naitaji

  • @bettylyandah6500
    @bettylyandah6500 2 หลายเดือนก่อน

    Can it be done over a cemented floor?

  • @JamesKirindo
    @JamesKirindo 2 หลายเดือนก่อน

    Nipe namba

  • @rosemachui8949
    @rosemachui8949 3 หลายเดือนก่อน

    Naipataje

  • @demi5378
    @demi5378 3 หลายเดือนก่อน

    Love this! Going to try this. How long should it sit b4 removing mold? TY

  • @JamesKirindo
    @JamesKirindo 3 หลายเดือนก่อน

    Namba za simu vp

  • @nasramussadaudi
    @nasramussadaudi 4 หลายเดือนก่อน

    Hii haichaniki km kapet ?

  • @Maryam-o3i6j
    @Maryam-o3i6j 5 หลายเดือนก่อน

    Mupo wapi

  • @bonifaceboniface-s5o
    @bonifaceboniface-s5o 5 หลายเดือนก่อน

    Habari upo mkeka wa mbao wa ukutani?

  • @aminiDedy
    @aminiDedy 6 หลายเดือนก่อน

    Nitumie namba ya sim nahitaji hizo plastic

  • @NehaMullah
    @NehaMullah 6 หลายเดือนก่อน

    Mnapatikana wapi

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 6 หลายเดือนก่อน

    Inapakwa nje au ndani

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona hatuoni no

  • @jerlincosmas4239
    @jerlincosmas4239 6 หลายเดือนก่อน

    Bei gan kwa roll moja?

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 6 หลายเดือนก่อน

    Inapatksna wap hiyo mikeka ya mbao

  • @dorothylyimo5378
    @dorothylyimo5378 7 หลายเดือนก่อน

    Ni bei gani na zinapatikana wp,

  • @fadhilalmaawiy7804
    @fadhilalmaawiy7804 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie mafala mnaongea tu hamjibu mnayoulizwa.

  • @StephanoNdimbo
    @StephanoNdimbo 7 หลายเดือนก่อน

    tuwasiliane

  • @lawmasse
    @lawmasse 7 หลายเดือนก่อน

    Gharama yake n kias gan

  • @JumaTengeni
    @JumaTengeni 8 หลายเดือนก่อน

    Square meter shingap

  • @ShabaniSalum-nt4py
    @ShabaniSalum-nt4py 8 หลายเดือนก่อน

    Tupe namba zako mkuu

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona no zenu Hazina whatsap

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 9 หลายเดือนก่อน

    Mita kiasi gani

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 9 หลายเดือนก่อน

    No tafadhali

  • @winnievincent9063
    @winnievincent9063 9 หลายเดือนก่อน

    Mnapatikania wapi?.

  • @PauloLyimo-id5ow
    @PauloLyimo-id5ow 9 หลายเดือนก่อน

    Bei gan panel

  • @MwanaRamadhani-kq4uo
    @MwanaRamadhani-kq4uo 9 หลายเดือนก่อน

    Ofisi zenu zinapatikanawapi?

  • @aminiDedy
    @aminiDedy 9 หลายเดือนก่อน

    Nitazipata wapi

  • @NuruKitamuyo
    @NuruKitamuyo 9 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba namba

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 10 หลายเดือนก่อน

    Samona namaakuna

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona namba akuna

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 10 หลายเดือนก่อน

    Tairs bd nzur anaweka mkeka

  • @JamesKawogo
    @JamesKawogo 10 หลายเดือนก่อน

    Being zake zikoje kwa roller moja na ina Square metre ngapi

  • @MussaElias-c3n
    @MussaElias-c3n 11 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji contact zenu

  • @MussaElias-c3n
    @MussaElias-c3n 11 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji naipataje

  • @MussaElias-c3n
    @MussaElias-c3n 11 หลายเดือนก่อน

    mnapatikana wapi

  • @ahmadjbaloz5695
    @ahmadjbaloz5695 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba contact

  • @SadickomarKisala
    @SadickomarKisala 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni fundi rangi ninapenda kujiendeleza jee mafundisho?

  • @mikewasike7601
    @mikewasike7601 ปีที่แล้ว

    Please give your phone number

  • @jumalimbe2127
    @jumalimbe2127 ปีที่แล้ว

    M2 tshs ngapi kununua na kuwekaje

  • @estermwakalindile6932
    @estermwakalindile6932 ปีที่แล้ว

    Kumbe mkeka unawekwa juu ya malumalu au hata kwenye lafuuu

  • @julianafransissiza4275
    @julianafransissiza4275 ปีที่แล้ว

    unauzwa kwa mita na ni bei gani

  • @josephfissoo7674
    @josephfissoo7674 ปีที่แล้ว

    naomba phone number plz

  • @elizabeththomas7447
    @elizabeththomas7447 ปีที่แล้ว

    Mnaptikan wap

  • @yesayapatrick3233
    @yesayapatrick3233 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ปีที่แล้ว

    Mimi ni fundi wa finishing nahiitaji huu ujuzi nami nizitumie bidhaa zenu nawapataje?

  • @salha6596
    @salha6596 ปีที่แล้ว

    Mita moja bei gani?

  • @Samora-wz4re
    @Samora-wz4re ปีที่แล้ว

    Naomba contact yenu

  • @ZainabHassanAmeir
    @ZainabHassanAmeir ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza unaweza kuuweka ata kama chini hujaweka taiz

  • @asiaamri3662
    @asiaamri3662 ปีที่แล้ว

    Mtoe namba za sim