- 11
- 620 498
NYUKI TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 17 ก.ย. 2024
Channel description
Karibu Nyuki TV! | Welcome to Nyuki TV!
Nyuki TV ni chaneli ya burudani na elimu inayolenga kukuza tamaduni, sanaa, na maisha ya Afrika Mashariki. Tunakuletea vipindi vya kuvutia kama vile:
🎥 Filamu na tamthilia za Kiswahili
🌍 Maisha halisi, simulizi, na safari za kuvutia
Nyuki TV is your ultimate channel for entertainment and education focused on promoting East African culture, arts, and lifestyles. We bring you captivating content such as:
🎥 Swahili movies and drama series
🌍 Real-life stories, tales, and exciting journeys
Usisahau ku-subscribe na kuwasha kengele ili usipitwe na chochote kipya! | Don’t forget to subscribe and hit the notification bell to stay updated!
Contact Us
WhatsApp number +61 416 593 217
Email nyukitv@gmail.com
INSTAGRAM www.instagram....
@nyuki_tv
Filmmaking Est Africa Tanzania
Romantic Drama | Shortfilm | Love Story | Web Series | Swahili movie's
Copyright © 2024 Nyuki TV. All rights reserved

I MISS YOU | FULL MOVIE | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV | DONTA TV
Amanda ni mwanamke aliye katika ndoa yenye changamoto za kihisia na mawasiliano na mume wake, Peter. Mwaka mpya unapokaribia, Amanda anahisi kuchanganyikiwa na hali ya maisha yake, hasa kuhusu uhusiano wake na Nyuki, mwanaume aliyekuwa na nafasi kubwa maishani mwake siku za nyuma.
Hadithi hii inaangazia umuhimu wa mawasiliano katika ndoa, safari ya kujipenda, na dhamira ya kuanza upya licha ya makosa ya zamani.
masuala ya upendo, msamaha, na mabadiliko ya kibinafsi. Ni hadithi yenye mvuto wa kimahusiano, ikionesha maumivu, matumaini, na urejesho wa uhusiano wa ndoa.
#love
CASTING
NYUKI
AMANDA
THABIT ABDUL
TWIZY DADY
CREW
DIRECTED BY
BABA SOUD
WRITTEN BY
NYUKI FX
DIRECTOR OF PHOTOGRAPHY
BABA SOUD
GRAPHICS
BEN DIRECTOR
EX.PRODUCER
NYUKI TV
Contact Us
WhatsApp number +61 416 593 217
Email nyukitv@gmail.com
Filmmaking Est Africa Tanzania
Romantic Drama | Shortfilm | Love Story | Web Series | Swahili movie's
Copyright © 2025 Nyuki TV. All rights reserved

มุมมอง: 15 363
วีดีโอ
3 DAY'S EPISODE 3 | SIKU 3 | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV | DONTA TV
มุมมอง 38K14 วันที่ผ่านมา
Siku 3 za Mateso | Siku 3 za usaliti | Siku 3 za furaha | Siku 3 za maumivu Katika ulimwengu wa migogoro, mapenzi, na siri zisizotarajiwa, Nyuki anakutana na changamoto kubwa zinazoibadilisha kabisa maisha yake. Filamu hii inachunguza nguvu za ujasiri, uaminifu, na jinsi maamuzi magumu yanavyoweza kubadilisha hatima. Je, atasimama imara dhidi ya kila dhoruba au atasalimu amri? Tazama filamu hii...
3 DAY'S EPISODE 2 | SIKU 3 | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV | DONTA TV
มุมมอง 64Kหลายเดือนก่อน
Siku 3 za Mateso | Siku 3 za usaliti | Siku 3 za furaha | Siku 3 za maumivu Katika ulimwengu wa migogoro, mapenzi, na siri zisizotarajiwa, Nyuki anakutana na changamoto kubwa zinazoibadilisha kabisa maisha yake. Filamu hii inachunguza nguvu za ujasiri, uaminifu, na jinsi maamuzi magumu yanavyoweza kubadilisha hatima. Je, atasimama imara dhidi ya kila dhoruba au atasalimu amri? Tazama filamu hii...
3 DAY'S (SIKU 3) | PART 1 | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV | DONTA TV
มุมมอง 163Kหลายเดือนก่อน
Siku 3 za Mateso | Siku 3 za usaliti | siku 3 za furaha | siku 3 za maumivu Katika ulimwengu wa migogoro, mapenzi, na siri zisizotarajiwa, Nyuki anakutana na changamoto kubwa zinazoibadilisha kabisa maisha yake. Filamu hii inachunguza nguvu za ujasiri, uaminifu, na jinsi maamuzi magumu yanavyoweza kubadilisha hatima. Je, atasimama imara dhidi ya kila dhoruba au atasalimu amri? Tazama filamu hii...
MAPENZI NA PESA | FULL MOVIE | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV | DONTA TV
มุมมอง 116Kหลายเดือนก่อน
Katika "MAPENZI NA PESA", Tally anaishi na mpenzi wake Kelvin, ambaye wanapendana kwa dhati. Hata hivyo, changamoto kubwa inajitokeza kwa Kelvin, ambaye hana pesa za kutosha kumhudumia Tally na kumuwezesha maisha bora. Kwa hiyo, Tally anajikuta katika hali ngumu ambapo anahitajika kuamua kati ya upendo wa kweli kutoka kwa Kelvin na mtindo wa maisha unaohitaji fedha, jambo linalomlazimisha kuwa ...
WRONG SMS | SHORT FIM | LOVE STORY | NYUKI TV
มุมมอง 39K2 หลายเดือนก่อน
WRONG SMS | SHORT FIM | LOVE STORY | NYUKI TV
PENZI LA BODA BODA PART 3 | FINAL | Love story 💕 | NYUKI TV
มุมมอง 18K3 หลายเดือนก่อน
PENZI LA BODA BODA PART 3 | FINAL | Love story 💕 | NYUKI TV
PENZI LA BODA BODA PART 2 FULL MOVIE | Love story 💕 | NYUKI TV
มุมมอง 19K3 หลายเดือนก่อน
PENZI LA BODA BODA PART 2 FULL MOVIE | Love story 💕 | NYUKI TV
PENZI LA BODA BODA PART 1 FULL MOVIE | Love story 💕 | NYUKI TV
มุมมอง 33K3 หลายเดือนก่อน
PENZI LA BODA BODA PART 1 FULL MOVIE | Love story 💕 | NYUKI TV
NDOA YA KAHABA | FULL MOVIE | Love story 💕 | inspiration | NYUKI TV | DONTA TV
มุมมอง 122K3 หลายเดือนก่อน
#love
Kali🎉
Nani amepiga uji
Lakini Denis mbna unacheka,,wewe mnafiki
This movie is so boring 😴
Tunashuru mnatuelimisha na tunafurahia kazi zenu ila mjitahid kumaliza Kila mnayo ianzisha
Jmn mm naomba kujua hizi nyimbo mbili zilizo tumiwa humu ndn anae zijuia walio imba has ya kwanza hy I miss you
Daah 🎉🎉🎉 kazi nzr sana
Sinyuki uliunza😅vibaya huu mwaka pole😅😅😅😅😅🎉🎉
Nyuki hata kama ni adhabu inatosha wagungulie wenzip watakufa njaa
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nipitie pia
Giza limezidi
Nyuki tv mulitukatia mke wa rafiki njiani
Habar zenu wadau kwakwel sijawahi kukoment ila kwa hii move yaani kma nimetungiwa mm huu movie maisha hya ndo yamenitokea na mm ktk maisha yangu na mm nimeacha mtu nimpendae nikabak na ndoa yangu
movies zako ni mzuli shida yako moja baaz ya movie haziishi kwann
Amanda una figure poa na nyuki kakuchanganya na uko na maisha yko❤❤
🎉❤❤nzuri
Yaani hii movie imekosa viwango kabisa tena kabisa si kwa ubaya, ila kiukweli vipande vinajirudia hapo kwa hapo tena kwa dakika nyingi na hatuoni muktadha wake kama ni series basi ni sawa ila kama ni single movie tu basi kwa kweli hii movie haina ubora
Jamani nyuki tumaliziye kwanza mtoto wa Boss uyu amanda yawezekana unaupenda sana
Tunataka 3days muendelezo
Amanda I love you, anda Miss you kipenz
❤❤❤❤
1:39:48 ❤❤❤❤
❤❤❤
Hv ile nyingine mloshikana ugoni iliisha MN naisubiria
❤❤❤❤🎉❤❤
Hongera sana ,bonge la lovestory
Kazi nzuri xana nyuki MUNGU Akutangulie .yaani mi nampenda nyuki wakimxalitidi au akiachwa anakuwa mdg kama pili tonii......
Amanda kipenzi Cha wengi hata nmefurahi kabra sija iangalia we miss u siz
Nimewamis pia ❤
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Amanda umefanya maamuzi bora 🎉🎉tulia unakopendwa❤❤
Team nyuki nipitieni🎉🎉🎉
Good job babe congratulations 🎉❤🎉🎉🎉
🎉🎉
Nice song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana❤
Wow. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Zuri sana❤❤❤❤❤❤
Nice one,,,mwambie nyuki nko hii ingne ache kusumbuka😂😂😂
Hatariii🎉
Mr nyuki🎉🎉😂
Harafu mukianza movie hamuziendelezi munaziacha munatoa nyingine tutafika kweli kwenye ubora sasa
Mm najikuta nacheka cheka tu 😂😂😂 yatima wa mapenz
😂😂😂 pole
Hay naomben like hapa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Munawahi nadhani hatamuvi hamujaiangaria munakoment