میں ڈیگ مسٹر ڈیز سکنے ھے
Na shida na mwalimu
Vizuri sana
Naomba urudie kukumis draft iyo
Namba ya simu jamn
Nice
mashaAllah ❤❤❤
Nzuri hongera sana 😍😍🔥
Mmoja ajitokeze tafanyekazi
Mungu aibariki kaz yako
Wow
Masha Allah👍👍
Naomba kujifunza kutengeneza batiki plz
Mikunjo yenu n mizur sana nimeipendaa
Hongeren sana ,mtu anayeanza anatakiwa kuanza na mtaji wa sh ngap
Mwalimu contact please
Maashaallah naomb namba zenu
Kazi nzuri
Naitaji kujifunza live nipe muongozo
Amjaonesha mlivyo kunja
Can you explain in English please I want to understand
Kazinzurii naminitajiunga kwani napenda
samahan tunafua kabla ya kuanika? cjaelewa apo,au tunaanika,tunafua then tunaanika tena n kupas?
mnapatikana wapi
naomba namba zenu walimu wa batik
Naombeni namba za simu
wekeni namba niwatafute mi niko gongo la mboto
iyo draft mmeikunjaje cjaona ona et
Mbona hiyo miguu hujajikinga Mwalimu
tunatumia kitambaa aina gani
Dailes Ngonya pleni wax
plan wax
Na madawa ni caustic pekee au mmeweka nyingine? Nimependa sanaaa mikunjoo
Vitambaa plain mnavinunua wapi
Rangi za aina ngapi?