- 8
- 227 493
BROTHER_ LEE
เข้าร่วมเมื่อ 27 ส.ค. 2021
วีดีโอ
Brother Lee || Dharau zenu (Official lyric video)
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
#nasaaimluheta#yahyaally#brotherlee
Brother Lee ft Abu Absam - Kijana mwenzangu(Official Nasheed Video)
มุมมอง 33K2 ปีที่แล้ว
Brother Lee & Albaalawy - Kijana mwenzangu(Coming soon)
มุมมอง 2.1K2 ปีที่แล้ว
Brother lee_Narudi mama
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Brother lee_nasheed familia za kimasikin (official audio)
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Brother Lee - Najuta(Official Nasheed Video)
มุมมอง 150K3 ปีที่แล้ว
EL SALMY# NASHEED #NAJUTA !
มุมมอง 1.9K3 ปีที่แล้ว
USISAHAU KUSABSCRIBE MY CHANNEL ILI UWE WAKWANZA KUJIPATIA KAZI NZURI
V
🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉🎉
❤
Wallah brother Lee umekua alhamdulillah Mungu akufanyie wepesi ktk utafutaji wako
❤❤🥰🥰
Maa shaa Allah, Allah akujaalie kheri in shaa Allah 🤲ujunbe ni mazui sn hususan kw wanachui
mashaallah uko wap mdogo wAng
Brother naasir kaanzaje kati swala la kuiga mufsiduuna na hivi ss yuwapi katika jambo lake? Hatimaye na yy kawa miongon mwao asa akhii alama na ishara za usanii na pigo za kihuni unazo hivo jiepushe kakangu, ni nasaha na kukumbushana ktk haqqi.
unachoharibu katiaka asali kutia shubiri ni nadhwaria unayo tuletea kwayo katika baadh ya anaashiid kikweli ile taqliid yakuiga nadhwariya ya muonekano wa mtume huna na una uigaj wa pigo za kisanii kabsaa,kwanzia uvaaji onyoaji na uimbaji kadhalika مالك يا أخ الكريم wasubir nn kuiga muonekano wa mtume.kiukweli anaashiid za hivi ss mwaenda ziharibu,em zizuien nafsi kunako kutawaliwa na ibilisi kuwatoa katika njia nzur nakuwapeleka katika upotovu wa wazi,
TOP 10 EAST AFRICA NASHEED 2010 2024 th-cam.com/video/5xgF5q7q2MQ/w-d-xo.htmlsi=ADJlUaQSQiiheUpi
safi sana
Mashaallah❤❤❤❤
So heartouching wallah 😢😢 Allah akuzidishie brother mtukumbushe mengi na mengi insha'Allah
Nasheeed nzr mashallah yaan mpka imeniliza jamani 😭😭
Mashaallah kaz nzr ❤ujembe mzr umetufika
Mashallah brother ❤❤❤
Mashaallah❤❤
Jina langu ni Abdishkam man ❤🎉
Mashaalah❤
Swadakta 👌
Ujumbe mzito sana haswa kwa wanachuo
Mashallah tumejififunza mengi allah akupe maisha marefu ili update kutuelumisha Amiiiiiiiin ♥️♥️♥️🤲🤲🥰
😍😍😍😍😍😍😍😍
Mashaaaalllah
Ahsante kaka lee
Mashaallah ujumbe mzuri .wengi wetu tunasahau lengo tunafany yacyo maana .allah atusameh nawalio ingiya wote waache wawe weny kumch Allah. Inshaaallh
❤❤❤❤❤
❤❤
Kombo ajua linaloongelewa au atukusa kichwa tu 😂😂
MashaaAllah, on fire
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Umetisha 😢😢❤
Mashallah ujumbe tumeusikia 🤔🤔🤔
Kazi mzuri brother lee❤
Mashallah ❤❤
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Mashallah
Good one masha Allah❤
Maa shaa Allah
Pole sana
Ujumbe mzur kaz mzur 🔥
Maa shaa Allah
Mashallah kazi nzuri
Dah nikiwa Kama mama imenigusa sana maana kizazi chetu kinagusa hapa Shukran kwa ujumbe Allah atawasimamia watoto wetu watafanikiwa na malengo yao inshaallah nawe Allah akulipe ujira mwema kwa ujumbe Shukran sana
Mashaallah Shukran sana kwa ujumbe
Mambo shawarma hapa❤😢🎉
....Mashallah brother lee 😊 Shkran Kwa ujumbe mzur😢 ..... Allah akuzidishie kipaji uzid kutupa mazur inshaallah......✍️
Maa shaa Allah tabaraka Allah. Allah awanusuru vijana wote wa kiislamu kutokana na mihadarati na awahifadhi na Kila shari
Ujumbe mzuri Mashaa Allah
Maashallh