- 62
- 108 104
Habari Leoleo
เข้าร่วมเมื่อ 11 มิ.ย. 2017
Zitto Atuma Ujumbe Mzito kwa Rais Samia
Zitto amemtaka Rais Samia asifanye makosa ya kusalimisha siasa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
#actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #chadema
#actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #chadema
มุมมอง: 9
วีดีโอ
Polisi Mjibuni Zitto Swali Hili
มุมมอง 404 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheria gani za jeshi la polisi zinazoruhusi Afisa wa Jeshi hilo kuingiza kura bandia kituoni. #actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #chadema
Zitto Kabwe: Polisi Hawa Wapumbavu, Hawana Akili.
มุมมอง 29710 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amekemea vitendo vya baadhi ya polisi kushiriki kwenye kuhujumu uchaguzi. Zitto anadai kuwa kuna Inspeta wa Polisi aliyediriki kuingiza kura feki kwenye kituo cha kupiga kura. #actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #chadema
Zitto Kabwe: Polisi Imeshiriki Kunajisi Uchaguzi.
มุมมอง 3512 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kijana wetu alitekwa na CCM. Halafu wakampeleka polisi; akapigwa sana. Watu wa Polisi ambao wanaishi kwa kodi zetu-wanashiriki kipumbavu kabisa katika kunajisi mchakato wa uchaguzi." KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe #actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #chadema #samiasuluhuhassan
Zitto Kabwe: Uchaguzi Si Halali.
มุมมอง 3514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Zitto Kabwe amesema, Uchaguzi umepoteza maana kabisa! Kwa sababu ya kura nyingi feki zilizokamatwa mtaani. " Serikali ya awamu ya sita imefanya yaleyale ya awamu ya tano." #actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #chadema
Zitto: Msiwatii Wenyeviti wa Mitaa Walioshinda kwa Wizi wa Kura
มุมมอง 18515 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kiongozi wa Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewata watu wote nchini kutowatii na kutowapa ushirikiano watu walioshinda uchaguzi kwa wizi wa kura. #actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #WiziwaKura #chadema #kurafeki
Zitto Acharuka, Ampa Makavu Rais Samia Waziwazi
มุมมอง 81417 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe atumia sauti kali kulaani vitendo vya CCM kuvuruga Uchaguzi.
ACT Wazalendo: Huu si Uchaguzi, Huu Uchafuzi wa CCM.
มุมมอง 1972 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Kiongozi wa Chama hicho, Dorothy Semu kimesema CCM imevuruga uchaguzi, na kwamba matokeo yafutwe na uchaguzi uitishwe upya. #actwazalendo #ccm #serikalizamitaa #chadema #Tanzania
Mchengerwa Atangaza Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa
มุมมอง 432 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mchengerwa ametangaza CCM imeshinda kwa 99% Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
POLISI WAPIGA MABOMU, KISHA WAONDOKA NA MASUNDUKU YA KURA.
มุมมอง 484 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Polis wametupiga mabomu, mtendaji ametokomea kusiko julikana, matokeo ya kijiji cha Igumbilo, kata ya Chimala, Wilayani Mbarali hayajatangawa wala kubandikwa sehemu yoyote. Gari za polis zimeondoka na mabox yote ya kura. #ccm #actwazalendo #chadema #uchaguzi #serikalizamitaa
ACT IMESHINDA, CCM PAMOJA NA WIZI WAKE WA KURA IMESHINDWA
มุมมอง 4.5K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Chama cha ACTwazalendo kimeshinda Mtaa wa Nyambwela ulioko Kata ya Tandika Jimbo la Temeke; ambapo sasa Mwenyekiti wa Mtaa na wajumbe wote wa Serikali ya Mtaa huo wanatoka ACT Wazalendo. Mwenyekiti aliyeshinda ni Mussa Bakar Mussa. #actwazalendo #ccm #Serikali #Serikalizamitaa
CCM WAVURUGA UCHAGUZI. SHANGWE AYO WA ACT WAZALENDO AFUNGUKA KILA KITU
มุมมอง 7K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji limeingia dosari baada ya CCM kutuhumiwa kuingiza kura feki.
KIGOMA WACHINJA NGAMIA ILI KUPAMBANA NA WIZI WA KURA
มุมมอง 60321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KIGOMA WACHINJA NGAMIA ILI KUPAMBANA NA WIZI WA KURA
WATU WAFUNGWA RUMANDE KISA KUULIZA MAPATO NA MATUMIZI YA KIJIJI.
มุมมอง 100วันที่ผ่านมา
WATU WAFUNGWA RUMANDE KISA KUULIZA MAPATO NA MATUMIZI YA KIJIJI.
Msomi wa UDSM: Shobo Hupelekea Vijana Wasiwe Viongozi
มุมมอง 226 หลายเดือนก่อน
Msomi wa UDSM: Shobo Hupelekea Vijana Wasiwe Viongozi
MCHUNGAJI MASHIMO: YANGA TUMENI SADAKA MSHINDE
มุมมอง 3124 ปีที่แล้ว
MCHUNGAJI MASHIMO: YANGA TUMENI SADAKA MSHINDE
ABDILATIF ABDALLAH: MAISHA YA PROF. MOHAMMED HYDER
มุมมอง 4895 ปีที่แล้ว
ABDILATIF ABDALLAH: MAISHA YA PROF. MOHAMMED HYDER
Dudubaya apewa za uso na Roma Mkatoliki.
มุมมอง 2.4K5 ปีที่แล้ว
Dudubaya apewa za uso na Roma Mkatoliki.
Hakika vyombo vya Dola(serikaki, bunge na mahakama) wamepora mamlaka ya wananchi nchi aliyopigania mwl Nyerere inaelekea kubaya kwa tamaa ya madaraka na ubinafsi wa CCM
@@ClementMercelli umenena kweli
🙉
CCM majiziiiiiiiiiiiiiiiiiiii
From 🇧🇮 😂😂😂 kweli police walikuwa na ccm na njo wanawapa kiburi 😂
Ayo unayo ongea ni kweli ila shida, hupaswi kutengana na Chadema wape ushilikiano,
Hawa ndio viongozi wa Tanzania serikali ya CCM Ina hofu na viongozi wa upinzani.askari wetu tender haki. tambueni hukumu mbinguni."mungu yupo endeleeni kuwa. machawa wa serikali ya ccm
Vipi kikosi kazi ulichohusika? Yaani bwn ZK lazima mkubali kusimama kwa miguu yenu wenyewe km kweli n wa upinzani wa kweli lasivyo mtaisha km CUF na nccr
Ccm matapel ccm wauaji ccm watekaji ccm wezi ccm magaidi ccm ipo siku watataga chuma😢😢😢😢
@@OFFICIALNERYBOY kikosi si kazi cha Samia?
❤❤💪🏻💪🏻
Safii 🎉🎉🎉
Kwa kifupi ccm hakuna anaye itaka ..basi tu ..ila uchaguzi mkuu ..wataelewa yani kutakuwa na fujo hambazo hazijawah kutokea wasipo kuwa makini hawa waizi wa ccm
Hongera
Msilalamike maendeleo 😂
😂😂😂
Uchaguzi ukiwa huru na haki ccm wataambulia 10%
Safi mnoo
😂
😊😊😊😊😊😊
Itakuwa kg
🎉🎉🎉🎉🎉🎉penda
Vyama vya upinzani wanayajuwa haya na washayazowea na ndipo walianza kudai ktba mpya na tume huru lkn ilishindikana sasa vijipange na kufanyiwa madudu na mara hii fujo huenda ikawa kubwa bara au visiwani
Safiiiiiiiii🎉
Ccm wana hofu ya kushinda na hawajashindapo
Je baada ya kuthibitika kwa kuhusika kufanya namna au wizi wa kura muhusika anachukuliwa hatuwa gani na jee kosa kama hili si kosa la jinai?na hukumu yake ni nini?
Saf sanaaaa zito
Wapi hapo
Kata ya Tandika Mtaa wa Nyambwela
CCM kwa kweli hawajawa tayari lakini wajuwe tu hii ni dunia na kuna leo na kesho msijasahau m.mungu hachezewi
Watanzania wengi ndio tatizo wanauza sana utu wao kwa hella sijui ni shida au ni kukosa kujitambua kwa hali ya maisha ilivyo
Kifua kipana wapii Mkeweee!!?
Mkwe Mwenye kifua ameharibu uchaguzii mpaka kura fakee!!!! Mkwe asimamie uchaguzii kisa MamaMkwe aendelee kutawalaa .!!!! Mkwe vipiiii!??
Hili swala la kura feki tulisema muda zizingatiwe
Hakuna haja ya kuumiza watu acheni waendelee na serikali yao
Msijisumbue watazania achen ccm wabaki wenyewe hakuna haja ya uchaguzu
Nimeenda kupiga kura kigambon mtaa wa upendo kisiwan nimepata jina lang namba 998 lakin msimamiz anadai nishapiga kura nikadai mbona ndio nimefika sasaiv hata wino Sina naambiwa wewe chama gan nikasema ccm Ili nijue mkakat wao askal akasema nyie mnasomba watu mnawapa majina mpaka yakwenu sasa yan hii nnch mmh
aiseee hatari sana hii, kumbe ndio mbinu yao.
Samia kama anajielewa afute uchaguzi huu ufanyike pamoja na wamadiwani na wabuge na raisi
Jamani tuwe wastaarabu mbona huku ulaya unaenda na kitabulisho chako linatafutwa jina lako unapiga unaondoka hakuna kugombana wala kukauka koo tumetaka vyama vingi basi tuyakubali tu
Huku tanzania wee baki na mambo ya ulaya
Katiba mpya inahitajika ! Haraka!
Duh!
Maigizo yaliyoandaliwa
Uchaguzi ufutwe hakuna uchaguzi
Huu uchafuzi ufutiliwe mbali,mfumo urekebishwe,vyote vikafanyike mwakani,inawezekana kabisa.✍️🏿
Shirk haikubaliki❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌ tuungane pamoja kuitokomeza
sio shiriki hiyo ni dua tu, na dua imeswii.
@leoleonews alie fundisha dua hiyo ni nani ktk wema waliotangulia? Mtume ? Swahaba? Taabiina?atbaaut taabiina? au je ni imam yupi ktk maimamu wa madhaahib manne alie juzisha jambo hilo? Imam Malik? Imam shaafi? Imam Ahmad? Au imam abuu haniifa?
nitakupigia kuraaa babaaa
Huyu safi anafaa sana 😊😂😂😂😂😂😂😂
Usiku umekomaa pambazuko limekaribia.
hii ndio dawa yao mkuu
Shairi zuri saana. Mara nyingi nimelisikia
Nakubali
Enriching
Such a talented poet. Allah Akurahamu.
🎉🎉
Nakuona🎉
Shukran sana ndugu