EBONY  DIGITAL
EBONY  DIGITAL
  • 376
  • 2 919 190

วีดีโอ

MBUNGE JESCA MSAMBATAVANGU NA KAMPENI YA GUSA 2025
มุมมอง 4112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mbunge wa Iringa Mjini @jescamsambatavang , amemeungana na Redio Ebony Fm Kwenye kampeni iitwayo "GUSA 2025 SISI NI FAMILIA," inayolenga kutoa elimu kwa watoto wanaoishi katika mazingira Hatarishi katika mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe, Dodoma, na Dar es Salaam. Akizungumza kwenye kipindi cha *Vuta Pumzi* cha Radio Ebony FM, Mbunge @jescamsambatavang alishukuru kituo hicho cha radio kwa ...
SAPC ALLAN BUKUMBI AZINDUA KAMPENI YA GUSA 2025 YA EBONY FM SISI NI FAMILIA
มุมมอง 7414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SAPC ALLAN BUKUMBI AZINDUA KAMPENI YA GUSA 2025 YA EBONY FM SISI NI FAMILIA
MAHARI ZA KIHEHE ZAMANI NI JEMBE NA SHILINGI 200 TU!.
มุมมอง 3016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kumbe Mahari za Kihehe ni Shilingi Mia Mbili, Unahisi Kwanini Saizi Mahari ni Kubwa Zaidi? @vincentlaurentjrr @tk_shangazi @mc_tinna_tuner #menyumfwelele #ebony18menyumfwelele
50 CENT PESA YAKE YA KWANZA ALIVYOTUMIA, JAY MOE ACHANGIA
มุมมอง 4319 ชั่วโมงที่ผ่านมา
50 CENT PESA YAKE YA KWANZA ALIVYOTUMIA, JAY MOE ACHANGIA
FOBY: UBORA HAUSHUKI, PUMZIKA USIFANYE MUZIKI.
มุมมอง 2919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ukimzungumzia FOBBY ni mojawapo mwa majina ya mwanamuziki wanaotajwa kuwa na Kalamu nzuri ya uandishi wa ngoma kibwena za kwake mwenyewe na Wanamuziki wenzie. Historia yake inaonenya ni mwanamuziki ambae kipaji chake kilivumbuliwa na Mama yake Mzazi ambaye ni kama Role Model wake…. Lakini safari yake ya kujiamini kwenye sanaa ilianzia pale alipoimba kwenye mchongo wa Birthday ya Mzungu huko mas...
WOLPER NA RICH MITINDO TALAKA YAIPONZA NDOA
มุมมอง 13019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Nyota wa maigizo nchini, Wolper Stylish, amethibitisha kupitia Instagram kwamba ameachana na mume wake, Rich (Baba P), na yupo katika mchakato wa talaka. Alieleza kuwa amepokea meseji nyingi za pole na faraja kutoka kwa mashabiki na marafiki, lakini alitaka kuwaondoa wasiwasi kuhusu furaha yake na amani ya moyo wake. Wolper alisema kwamba yeye na mume wake hawapo pamoja tena na walikubaliana ku...
BALOZI AFUKUZWA KAZI ADAIWA KUTAKA KUNYOLEWA SEHEMU ZA SIRI NA WAFANYAKAZI WA KIUME
มุมมอง 13K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#JAMBOBEAT Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, amemfuta kazi Balozi wa nchi hiyo nchini Afrika Kusini, Bi. Mazuba Monze, baada ya kutoa maagizo yasiyo ya kidiplomasia kwa wafanyakazi wake wa kiume kuwa wanapaswa kumnyoa sehemu zake za siri. Wafanyakazi hao walikataa kutii maagizo hayo, wakisema kuwa si sehemu ya majukumu yao. Baada ya kushindwa kutii, Balozi huyo aliwafuta kazi na kupeleka sual...
MASHABIKI WANAFURAHISHA (WAPALILA)
มุมมอง 6728 วันที่ผ่านมา
MASHABIKI WANAFURAHISHA (WAPALILA)
HAMMER Q: SHOW YANGU YA KWANZA NILILIPWA DEMU.
มุมมอง 9428 วันที่ผ่านมา
HAMMER Q: SHOW YANGU YA KWANZA NILILIPWA DEMU.
ISAKALILO WAFUNDWA SOKA NA YOUNG STARS
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
ISAKALILO WAFUNDWA SOKA NA YOUNG STARS
KILLE KUSIN: SINA UWEZO WA KUMLIPA RAYVANNY, STATUS YANGU IMEKUA.
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
KILLE KUSIN: SINA UWEZO WA KUMLIPA RAYVANNY, STATUS YANGU IMEKUA.
CCM SAMORA YAMOTO
มุมมอง 26หลายเดือนก่อน
CCM SAMORA YAMOTO
NUSU FAINALI MKOA WA IRINGA
มุมมอง 34หลายเดือนก่อน
NUSU FAINALI MKOA WA IRINGA
COUNTRY WIZZY: BARAKA ZA WAZAZI NDIO ZIMENIFIKISHA HAPA
มุมมอง 59หลายเดือนก่อน
COUNTRY WIZZY: BARAKA ZA WAZAZI NDIO ZIMENIFIKISHA HAPA
WAKAZI: NYAKATI ZIMEBADILIKA SIWEZI KUWAPONDA
มุมมอง 44หลายเดือนก่อน
WAKAZI: NYAKATI ZIMEBADILIKA SIWEZI KUWAPONDA
WANASIMBA IRINGA WACHANGIA DAMU
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
WANASIMBA IRINGA WACHANGIA DAMU
TUNATAKA TAWI LETU LA SIMBA LIWE MFANO
มุมมอง 53หลายเดือนก่อน
TUNATAKA TAWI LETU LA SIMBA LIWE MFANO
AKAA NA MAITI YA MCHUNGAJI WAKE MIEZI MIWILI AKIMWOMBEA ILI AFUFUKE
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
AKAA NA MAITI YA MCHUNGAJI WAKE MIEZI MIWILI AKIMWOMBEA ILI AFUFUKE
FRIDA AMANI ETI NIACHE MUZIKI.
มุมมอง 32หลายเดือนก่อน
FRIDA AMANI ETI NIACHE MUZIKI.
AY MASTAA MUZIKI SIO VIEWS
มุมมอง 54หลายเดือนก่อน
AY MASTAA MUZIKI SIO VIEWS
MAVOKALI: WCB HAPANA, MASHABIKI WANATAMANI, YANGA HAIKOSESHI NA SIKUNJIWI.
มุมมอง 73หลายเดือนก่อน
MAVOKALI: WCB HAPANA, MASHABIKI WANATAMANI, YANGA HAIKOSESHI NA SIKUNJIWI.
BRIGHT MUSIC HAUJAWA MWAKA MZURI, TUMELELEWA TOFAUTI, KUNA MATAPELI
มุมมอง 102หลายเดือนก่อน
BRIGHT MUSIC HAUJAWA MWAKA MZURI, TUMELELEWA TOFAUTI, KUNA MATAPELI
B2K: AMBER LULU SHE IS MY BABY, WANANGU WALINIKATAA.
มุมมอง 49หลายเดือนก่อน
B2K: AMBER LULU SHE IS MY BABY, WANANGU WALINIKATAA.
ZEE CUTY: TUMETENGANA NA HAMADAI, NILIAMBIWA SIJUI KUIMBA, SIWEZI KUMTOA MTU.
มุมมอง 34หลายเดือนก่อน
ZEE CUTY: TUMETENGANA NA HAMADAI, NILIAMBIWA SIJUI KUIMBA, SIWEZI KUMTOA MTU.
DARAJA LIMEBOMOKA TUNAPITA KWA WASIWASI IPAMBASILO (ILULA)
มุมมอง 35หลายเดือนก่อน
DARAJA LIMEBOMOKA TUNAPITA KWA WASIWASI IPAMBASILO (ILULA)
NYANDU TOZZY 26 NUMBER NI HESHIMA
มุมมอง 19หลายเดือนก่อน
NYANDU TOZZY 26 NUMBER NI HESHIMA
KUOGA KWETU NDOTO MABOMBA YAPO KAMA MAPAMBO WANANCHI IKUVALA ILULA
มุมมอง 47หลายเดือนก่อน
KUOGA KWETU NDOTO MABOMBA YAPO KAMA MAPAMBO WANANCHI IKUVALA ILULA
MO MUSIC: MILANGO MIGUMU KUIGONGA, SINA MHEMKO MUNGU KAPANDA VIPAWA NDANI YETU.
มุมมอง 56หลายเดือนก่อน
MO MUSIC: MILANGO MIGUMU KUIGONGA, SINA MHEMKO MUNGU KAPANDA VIPAWA NDANI YETU.
RUVUSHOOTING BAADA YA USHINDI NAHODHA AITAMBIA TUTES
มุมมอง 38หลายเดือนก่อน
RUVUSHOOTING BAADA YA USHINDI NAHODHA AITAMBIA TUTES