- 4
- 1 730
HAPO ULIPO 94.9
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 22 มี.ค. 2021
Kipindi pendwa..kinacho kujia kila siku ya jumatatu hadi ijumaa Saa nne hadi saa saba ndani ya SunriseRadio:94.9 (Odo, Jamila muu & KajoliMasai)
Team "Hapo Ulipo" Jamilah, Odo na KajoliMasai wamefunga safari na kwenda kumtembelea Fausta,
Mama alietelekezwa na mumewe huku akibaki na Watoto walemavu. (Kama una chochote tumsaidie jamani).
มุมมอง: 265
วีดีโอ
HAPO ULIPO - HATUKAUKIWI KOO, NOVIDA NDIO RAFIKI YETU MKUBWA
มุมมอง 281หลายเดือนก่อน
Ladha ya Nanasi, Masai kazoea maziwa lakini hii kaikubali....Ataelewa tu.
HAPO ULIPO - ODO, KAJOLIMASAI NA JAMILA MOhapo ulipo Hasidi kama hasidi mjini kurushana roho
มุมมอง 503หลายเดือนก่อน
HASIDI KAMA HASIDI: MJINI KURUSHANA ROHO
UMESHAKUTANA NA MKUSANYA HELA ZA TAKA MKOROFI!!? HAPO ULIPO 94.9 (Sunrise Radio)
มุมมอง 683หลายเดือนก่อน
Umesha kutana na mkusanya hela za taka mkorofi!!!!?
Nakipenda hiki kipindi
waao hapo ulipo nawapenda 😮
❤❤❤❤ nawapenda sana
Jamn mwenz mung awabarki moyo huo mulionao,,,na mwendele kuwa nao hongeren san🎉❤,, nawapenda,, mim Irene kutoka njiro
Ahsante Irene
Jamn hongren san ❤
Jaman hongereni sana wewe odo wewe ndo wewe mbona mpole hvyo wewe ndo yule unaechambaga hvyo😂
Kumbe Jamila muu ni muquite jaman nilikuwa natamani kuwaona maasi mungu awabariki Odo soda zote mmh
@@BingoBoy-c6w 😁😁
Odoo jmn nimefrah kuwaona nyie ni wazur sanaa ❤❤
Sijawah kucoment sehem ila Leo nimefurah kuwaona
@@NambuaMshana Shukrani sana mdau wetu
Jamila na odo na masaii nakupa tank nawapenda mungu awabariki❤
Barikiwaaaaa ndugu yetu
Mmh jamil
@@FestoMworia Ana mambo sana born here here
Haaaa!!! nilijua jamila ni bonge kumbe ni pisi kali
@@MiriamGodwin-l5v Haaa🤣🤣🤣
Nimewapata Mimi mama kareemu kutokea lemara ccm
Ahsante sana udugu wetu .....Mama Kareemu
😂😂😂 nimefurahi kuwaona live hasidi yangu ni kajoli mbona yeye hana miwani jamani
@@HalimaAbdallah-b2i 🤣🤣🤣Tutamchangia aipate
Acid wangu ni nyie apo mnasema Kuna kreti la studio lakin mbona kusaga na tesha hawanywi au kwavile kipindi chao ni asubuh Kuna baridi??
@@GABRIELSWAI-n3j 🤣🤣Wao wanachai zao
Odo, jamila na masai kwema jmni nawakubali sanaa mamu wa mwanama
@@MariamLoth-r8v 👏👏👏Barikiwa sana
Masai nakuomba uje uwe mss. Nitafite bas
@@NyangeNyange-t2u Shukrani sana
Hongereni sana Mc Masai Odo na Jamila kwa kipindi chenu kizuri nimefurahia kuwaona
@@eugenurasa5272 Shukrani sana
Odo,Jamilah na Masai.Naombeni novida Moja.Nicodemus Mathias wa mwanama.
@@nicodemusmathias3787 Wewe ni swahiba wetu, ukitutembelea lazima upate
Joseph nikiwa simanjiro nawapata vizuri Sana mkiwa live kumbe odo na Jamila niwarembe ivyo
@@JosephatJoseph-z1n Warembo sana
Mimi Nelson john nawapata vizuri nikiwa matejo
@@NelsonJohn-s9z Ahsante sana udugu wetu
😂nimemuona jamilaa Leo saut ya bes😅😅😅❤❤❤❤
Born here here😂
@@JosephatJoseph-z1n 🤣🤣
Hapo ulipo
@@salimujumatv2864 Ndipooo