MAISHABORA TV
MAISHABORA TV
  • 83
  • 103 260

วีดีโอ

MAFUNZO JINSI YA KUPRINT MANENO KWENYE TSHIRTS ,special course kwa wanao anza kujifunza .0679000577
มุมมอง 488ปีที่แล้ว
karibu katika screen printing course sehemu ya printing baada ya session ya kwanza ya uchomaji wa screen sasa tunaingia kwenye printing kwa mifano . mahitaji rangi slow thiner squeezer screen na tshirt kwa msaada piga simu masomo yanapatikana online kwa njia ya video au unaweza kuja kiwandani
SCREEN PRINTING MY HOOD JUMPER .
มุมมอง 92ปีที่แล้ว
karibuni wote kwa huduma ya screen printing za tshirt, vifingashio batiki na vikoi kwa garama nafuu
Batiki fabrics available in retail/ wholesale
มุมมอง 108ปีที่แล้ว
Batiki fabrics available in retail/ wholesale
batiki made by @batikiprintstz@gmail.com on sofa seats.
มุมมอง 117ปีที่แล้ว
batiki made by @batikiprintstz@gmail.com on sofa seats.
BATIKI PRINTS TANZANIA (mafunzo online na offline..jumla na rejareja zipo pia.
มุมมอง 267ปีที่แล้ว
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
TUNATOA MAFUNZO YA BATIK ZA MSHUMAA, TIE DYE, SCREEN PRINTING VIJORA,VIKOI UJASIRIAMALI NA BIASHARA
มุมมอง 173ปีที่แล้ว
je ungependa kujiajiri karibu @MAISHABORATV ujipatie ujuzi wa mikono na elimu ya biashara. piga 0679000577 kwa maelezo zaidi
TUNATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA BATIKI ZA AINA ZOTE,VIJORA VIKOI NA SCREEN PRINTING.
มุมมอง 167ปีที่แล้ว
TUNATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA BATIKI ZA AINA ZOTE,VIJORA VIKOI NA SCREEN PRINTING.
TUNAUZA BATIKI AINA ZOTE KWA JUMLA NA REJAREJA NA TUNATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI AJIRA NA BIASHARA.
มุมมอง 22ปีที่แล้ว
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
BATIKI AINA ZOTE,SCREEN PRINTING,NGUO ZA KUSHONA,TIE DYE TSHIRTS NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
มุมมอง 478ปีที่แล้ว
BATIKI AINA ZOTE,SCREEN PRINTING,NGUO ZA KUSHONA,TIE DYE TSHIRTS NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
BuGa challenge #bugachallenge #batik
มุมมอง 2462 ปีที่แล้ว
BuGa challenge #bugachallenge #batik
a quick test to my heat press
มุมมอง 1362 ปีที่แล้ว
a quick test to my heat press
TBS NA VIWANGO,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
มุมมอง 992 ปีที่แล้ว
TBS NA VIWANGO,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
GS1 KUPATA BARCODE,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA,KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
มุมมอง 2932 ปีที่แล้ว
GS1 KUPATA BARCODE,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA,KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
TRA NA KODI,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
มุมมอง 552 ปีที่แล้ว
TRA NA KODI,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
LESENI HALMASHAURI,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA,KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
มุมมอง 502 ปีที่แล้ว
LESENI HALMASHAURI,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA,KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
BRELA,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
มุมมอง 632 ปีที่แล้ว
BRELA,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
SIDO,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
มุมมอง 902 ปีที่แล้ว
SIDO,UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
introductions UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
มุมมอง 922 ปีที่แล้ว
introductions UJASIRIAMALI NA BIASHARA.(KUANZISHA,KUENDESHA, KUKUZA BIASHARA NDOGO NA ZA KATI)
UJASIRIAMALI''uanzishaji uendeshaji na ukuzaji wa biashara ndogo na za kati(SIDO, TRA,TBS,GS1,BRELA
มุมมอง 2372 ปีที่แล้ว
UJASIRIAMALI''uanzishaji uendeshaji na ukuzaji wa biashara ndogo na za kati(SIDO, TRA,TBS,GS1,BRELA
BATIKI TIE-DYE. JINSI YA KUPATA MAFUNZO YA BATIKI AINA ZOTE
มุมมอง 4372 ปีที่แล้ว
BATIKI TIE-DYE. JINSI YA KUPATA MAFUNZO YA BATIKI AINA ZOTE
Batiki vitenge tie dye t shirts screen printig vijora Batiki
มุมมอง 7042 ปีที่แล้ว
Batiki vitenge tie dye t shirts screen printig vijora Batiki
mama africa( dera la batiki ya mshumaa ) somo la 5
มุมมอง 3212 ปีที่แล้ว
mama africa( dera la batiki ya mshumaa ) somo la 5
batiki vitege vya wax vinavyo tengenezwa bila mshiene wala umeme
มุมมอง 2792 ปีที่แล้ว
batiki vitege vya wax vinavyo tengenezwa bila mshiene wala umeme
mama africa( dera la batiki ya mshumaa )
มุมมอง 1732 ปีที่แล้ว
mama africa( dera la batiki ya mshumaa )
batiki za mshumaa katika matumizi ya foronya za mito na mapazia kwa bei za jumla a rejareja
มุมมอง 6433 ปีที่แล้ว
batiki za mshumaa katika matumizi ya foronya za mito na mapazia kwa bei za jumla a rejareja
Utambulisho wa kijora batiki na kipimo cha ukataji, uwekaji wa rangi
มุมมอง 1.4K3 ปีที่แล้ว
Utambulisho wa kijora batiki na kipimo cha ukataji, uwekaji wa rangi
BATIKI,SOMO, JIFUNZE KUTENGENEZA VITENGE(ONLINE WORKSHOP)
มุมมอง 4.1K3 ปีที่แล้ว
BATIKI,SOMO, JIFUNZE KUTENGENEZA VITENGE(ONLINE WORKSHOP)

ความคิดเห็น

  • @batonnichorous229
    @batonnichorous229 18 วันที่ผ่านมา

    Naomba kujifundisha kutengeneza za dizain kama hizi nimezipenda sana

  • @batonnichorous229
    @batonnichorous229 18 วันที่ผ่านมา

    Nivizuri sana

  • @AnithaCostantine-l9e
    @AnithaCostantine-l9e หลายเดือนก่อน

    Nzur san

  • @JaneMerengo
    @JaneMerengo หลายเดือนก่อน

    Mnapatikana wapi?

  • @donatusbaltazar2790
    @donatusbaltazar2790 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji batiki toka kwenu, lkn hampokei simu. Tuwasiliane tafadhali

  • @ApolinaJulius
    @ApolinaJulius 4 หลายเดือนก่อน

    Muko Dodoma sehemu gani nataka kujifunza

  • @ApolinaJulius
    @ApolinaJulius 4 หลายเดือนก่อน

    Muko Dodoma sehemu gani

  • @agnes-es6rl
    @agnes-es6rl 5 หลายเดือนก่อน

    Bei gani kujifunza

  • @AbigaelRuhweza
    @AbigaelRuhweza 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba kujua vifaa vyote vya kutengenezea

  • @Made_in_China_
    @Made_in_China_ 5 หลายเดือนก่อน

    😄Chapisho hili ni zuri sana^Nimevutiwa kukufahamu☺⚽⭕Ufanisi uwe rafiki yako katika kazi zote

  • @JoycNdelwa
    @JoycNdelwa 6 หลายเดือนก่อน

    Ninaitaji kujifunza unapatikana wapi mimi nipo dar

  • @Emmymajula5838
    @Emmymajula5838 9 หลายเดือนก่อน

    Hujibu

  • @JanethJames-eo1go
    @JanethJames-eo1go 9 หลายเดือนก่อน

    Bei gan?

  • @UsiaWema
    @UsiaWema 9 หลายเดือนก่อน

    Ni nzur sana na weza kujifunza?

  • @AsiaElias-e6n
    @AsiaElias-e6n 11 หลายเดือนก่อน

    Mi naitaj nba yakoo ya wasap

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 ปีที่แล้ว

    Had video inaisha batik haijaisha naelewaje sasa

  • @minakhalfan6220
    @minakhalfan6220 ปีที่แล้ว

    Tunawaomba mnaotengeza nguo za batiki cc wa zanzibari tunataka mitandio iwe mikubwa kiasi kama kanga itufunike mikono hata kama itaongezeka bei maana tunayapenda sana shukran

  • @allyjuma9299
    @allyjuma9299 ปีที่แล้ว

    Et

  • @seciliajohn1456
    @seciliajohn1456 ปีที่แล้ว

    Nimezipenda batiki zenuu, je mnafundishia shi ngapi?

  • @JosephDaudi-v1r
    @JosephDaudi-v1r ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi?

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Sijaelewa iyo mombasa yani mnauzia mombasa

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Zinafaida nilishawai kutengeneza na kuuza sana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Nilikuwa natengeneza sana uwo mtindo nimeuza sana mduara

  • @yvonneventurelli2676
    @yvonneventurelli2676 ปีที่แล้ว

    Trovo orribile mai fa vedere il finale..nn guarderò piu

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq ปีที่แล้ว

    Vip online unafundisha bei gan

  • @shillavaa765
    @shillavaa765 ปีที่แล้ว

    I really live your prints. How many meters , and price , your location please

  • @shillavaa765
    @shillavaa765 ปีที่แล้ว

    Where are you located

  • @shillavaa765
    @shillavaa765 ปีที่แล้ว

    How much are you selling

  • @jacquewilbert3636
    @jacquewilbert3636 ปีที่แล้ว

    Unafundisha darasa la batiki za mshumaa?

  • @floridasimkonda1779
    @floridasimkonda1779 ปีที่แล้ว

    👌👌👌🥰

  • @yvonneventurelli2676
    @yvonneventurelli2676 ปีที่แล้ว

    Mandate,in italia? O mi dici come si chiama? Grazie

  • @EvaPeter-qb4vs
    @EvaPeter-qb4vs ปีที่แล้ว

    Nihitaji kujifunza

  • @dorothyomanya8130
    @dorothyomanya8130 ปีที่แล้ว

    Unazi uza pia?

  • @4ngoscreenprintingcompany775
    @4ngoscreenprintingcompany775 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @femidaidd8659
    @femidaidd8659 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako pls nina shida na wewe nataka kujifunza

  • @salamaokama5463
    @salamaokama5463 ปีที่แล้ว

    Vigezo vipoje?

  • @wasakitaatv3767
    @wasakitaatv3767 ปีที่แล้ว

    kaka nilikuw nahitaji mafunzo ya kuprint

  • @neemapeter4572
    @neemapeter4572 ปีที่แล้ว

    Adorable

  • @neemapeter4572
    @neemapeter4572 ปีที่แล้ว

    Nahitaji jora zima

  • @KhadijaNzali-mz9vr
    @KhadijaNzali-mz9vr ปีที่แล้ว

    Nahitaji nazipataje hizo

  • @neemapeter4572
    @neemapeter4572 ปีที่แล้ว

    Kunyunyuza natumia sponji yeyote

  • @nanahenrico3885
    @nanahenrico3885 ปีที่แล้ว

    Sehemu ya pili!?

  • @stelacharles8867
    @stelacharles8867 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kujifunza

  • @dominicodominico-td8gl
    @dominicodominico-td8gl ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mwalimu naomba kuulizia morogoro ofic yenu inapatikana wap ili nipate mafunzo nimependa somo

    • @mariajoram9759
      @mariajoram9759 ปีที่แล้ว

      Naomb na mmi Kaka nipate mafunzo yko yabariki mimependa

  • @floridasimkonda1779
    @floridasimkonda1779 ปีที่แล้ว

    Nzuri hongerasana tcha 👏👏👏

  • @stelacharles8867
    @stelacharles8867 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kujifunza

  • @floridasimkonda1779
    @floridasimkonda1779 ปีที่แล้ว

    Ww ni mwalimu ninae kukubali sana sana huna udanganyifu na unafundisha Kwa faida ya mwanafunzi👏👏👏

  • @floridasimkonda1779
    @floridasimkonda1779 ปีที่แล้ว

    Hongera sana tcha wangu

  • @floridasimkonda1779
    @floridasimkonda1779 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri teacher wangu MUNGU akupe neema ya kufika mbali zaidi

  • @maryjames2614
    @maryjames2614 ปีที่แล้ว

    Hii material nigani please inaitwa. Aje ??