- 518
- 106 534
Ndalini Media Solution Limited
เข้าร่วมเมื่อ 5 ธ.ค. 2018
NDALINI MEDIA SOLUTIONS LTD NI KAMPUNI YA UTENGENEZAJI VIDEO DOCUMENTARY, MATANGAZO YA TV NA RADIO
PROF. HOZEN MAYAYA AFURAHISHWA NA KAULIMBIU YA NANENANE 2024
Mkuu wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini, Prof. Hozen Mayaya, amefurahishwa na Kaulimbiu ya Maonesho ya Kitaifa ya Nanenane 2024 yanayofanyika Jijini Dodoma katika Viwanja vya Nzuguni. Kaulimbiu ya mwaka huu ni Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini ni chuo kinachotoa kozi mbalimbali ikiwapo kozi ya uongozi, hivyo kaulimbiu hii inaeendana kabisa na falsafa ya chuo hiko.
มุมมอง: 89
วีดีโอ
PPPC - WAKULIMA NJOONI MJIPATIE FURSA ZA KILIMO
มุมมอง 312 หลายเดือนก่อน
TUULINDE NA KUUTUNZA MUUNGANO WETU
มุมมอง 662 หลายเดือนก่อน
Watanzania wametakiwa kuulinda Muungano wetu, kwani ndio Tunu ya Taifa kwa Kizazi chetu na Kizazi cha baadae.
TUMIENI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
มุมมอง 532 หลายเดือนก่อน
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy, amewataka watanzania kutumia Nishati Safi ya Kupikia na kuacha dhana potofu kuwa, chakula kinachopikwa kwa Kuni na Mkaa ni bora kuliko kinachopikwa kwa Gesi au Umeme.
PASS LEASING YAENDELEA KUTOA FURSA KWA WAKULIMA
มุมมอง 682 หลายเดือนก่อน
Kampuni ya PASS Leasing Company Ltd, imeendelea kuwashika mkono Wakulima, kwa kuwakopesha Nyenzo mbalimbali za Kilimo hasahasa Matrekta. Ugawaji wa Nyenzo hizo umefanyika katika kilele cha wiki ya Maonesho ya Nanenane 2024, Kitaifa Jijini Dodoma.
TUNAJIVUNIA UCHUMI WA BULUU
มุมมอง 892 หลายเดือนก่อน
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Ashatu Kijaji (Mb), amedadavua ni kwa namna gani Tanzania inajivunia juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha Nchi inakuwa kiuchumi hususani Uchumi wa Buluu.
WAKULIMA WAFURAHIA MBEGU ZA MAZAO YA BUSTANI EAST-WEST SEED
มุมมอง 1072 หลายเดือนก่อน
Wananchi wanaotembelea Maonesho ya Nanenane, katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, wamefurahishwa na Kampuni ya East-West Seed Tanzania, kwakuwaletea mbegu mkombozi za Mazao ya Bustani.
KARIBUNI MJIUNGE NA CHAMA CHA WATAFITI
มุมมอง 562 หลายเดือนก่อน
Chama cha Watafiti Tanzania (ATARE) kimewataka Watafiti wote Nchini, kujiunga na chama hiko ili kuboresha utendaji wao wa kitafiti. Hayo yamemwa leo na Rais wa Chama hicho Profesa Joseph Ndunguru, katika Kilele cha Maonesho ya Nanenane 2024, Viwanja vya Nzuguni Dodoma.
BOT - TUNA FURSA NYINGI ZA KILIMO
มุมมอง 332 หลายเดือนก่อน
Benki Kuu ya Tanania (BOT) imewataka Wakulima Nchini, kuchangamkia fursa za mikopo ya Kilimo katika Taasisi mbalimbali za fedha ili kulima Kiteknolojia na Kisasa zaidi. Hayo yamejiri leo katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo (Nanenane) 2024, katika Viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma.
GCLA - TUNA MAABARA ZA KISASA ZA KUCHUNGUZA KEMIKALI ZA AINA ZOTE
มุมมอง 122 หลายเดือนก่อน
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) , leo Tarehe 7/ 8/ 2024, katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo (Nanenane) 2024, imetabanaisha yakwamba, wapo makini katika kudhibiti kemikali zinazoingia Nchini, kwani wana Maabara za kisasa za kufanya uchunguzi wa kina na kitaalam. Hayo yamesmwa na Dkt. Shimo Peter, Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Bidhaa na Mazingira.
GAVANA WA BOT ATEMBELEA MAONESHO YA NANENANE 2024 JIJINI DDOMA
มุมมอง 252 หลายเดือนก่อน
Leo Tarehe 7/ 8/ 2024, Gavana wa Benki Kuuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba, ametembelea Maonesho ya Kilimo Tanzania (Nanenane) katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, huku akisema ni kwa namna gani Uchumi wa Tanzania ulivyo imara.
WAKAZI WA DODOMA WAZIDI KUMIMINIKA BANDA LA WIZARA YA FEDHA NANENANE 2023
มุมมอง 942 หลายเดือนก่อน
Wakazi wa Jiji la Dodoma na maeneo ya jirani, wameendelea kutembelea Maonesho ya Nanenane hususani kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwaajili ya kujipata Elimu ya Fedha pamoja na fursa zipatikanazo katika Kilimo. Maonesho haya yanafanyika Kitaifa Jijini Dodoma katika Viwanja vya Nzuguni.
WADAU WA WIZARA YA FEDHA WATOA ELIMU KWA UMMA NANENANE 2024
มุมมอง 2022 หลายเดือนก่อน
Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Nchini, zimetoa Elimu kwa Wakulima wanaotembelea Maonesho ya Kiliimo (Nnanenane) Kitaifa Jijini Dodoma 2024, katika Viwanja vya Nzuguni. Moja ya Elimu iliyotolewa kwa Wakulima ni fursa ya mikopo kwa Wakulima Nchini
TALIRI YAJA NA TEKNOLOJIA YA MIFUGO
มุมมอง 2.2K2 หลายเดือนก่อน
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) imekuja na Teknolojia ya Mifugo ili kuhakikisha Wafugaji Nchini, wanafuga Kisasa na kuongeza thamani ya Mifugo yao. Hayo yemesmwa leo Tarehe 6/ 7/ 2024 katika Wiki ya Maonesho ya Kilimo Nchini (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa Katika Viwanja vya Nzuguni JIjini Dodoma.
PPRA YATOA ELIMU KWA UMMA
มุมมอง 262 หลายเดือนก่อน
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA, imeendelea kutoa Elimu kwa Wakazi wa Jiji la Dodoma Katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) 2024, yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni Dodoma.
Video ya bilionea leizer 3:27
Mbeya mpo wapi
Mm nimevutiwa na hayo majani yanayo zuiya wadudu waharibifu
Nipo singida tanzania nitaipataje pia ni bei gan pia mashart yakoje
Naomba mnijibu niweze jua maana nahitaj sana
Nawapata sana , lakin mbona cpea au vipul vya iyo powe tella hujaweka waz upatikanaji wake
Kwan power tella n bei gani
Hatuutaki Muungano Zanzibar, msilazimishe utamaduni wa Zanzibar ji tofauti sana na bara kila nchi iwe huru kivyake tuwe majirani wema km mlivyo na Kenya au Uganda itoshe hiyo tu
Viruga Biocide ndo mkombozi wa wakulima Tanzania
tanzanite how much
Mbali na 77 mnapatikana wap duka lenu????cos wengne tuko mbali hatuwez fika hko
Nahitaji ila nipo mbali napataje
🔥🔥..
👌🏾
🤝
🤝
👌🏾
Mati ni pana
Je wanafunzi wapya wanaanz kijiung mwez w ngp
Napataje mkopo wa pawatila 16 hp naomba utatibu
Huwezi kusomea degree
Kama mtu hajafaulu mathematics
Ada shingapi
Mbn hamutaji bei zake munataja asilimia tu
Namba zenu please mbona hamtoi
SASA TUNAPATAJE HIYO ELIMU YA MIGOMBA?
Naomba mamba ya cimu ya Whatsapp.
Je Njombe maeneo ya Makambako Migomba inastawi?
Tari hoyeeee,
Namba mbon hazieleweki weka namba
Naitwa juma napatikana tabola naitaji pawatina
Nitaipaja pawatila Mimi Niko tabola
👍🏽👍🏽👍🏽
❤
Niko musoma mara, nahitaji Mkopo wa powertiler
Ada zake shingapi
Naomba kuonana na mhe. Ilivin mugeta... jaji mfawidhi mahakama kituo jumuishi mirathi na ndoa temeke
Hongera sana Doctor Charles Mwamwaja kwa kuendeleza program ya uelimishaji juu ya elimu ya fedha kwa Watanzania. Watanzania wengi hatuna elimu hii. Tunaamini hadi kufikia 2025 tutakuwa tumeelimika. Tunahitaji kusikia zaidi na zaidi juu ya elimu hii kwani ni hakika ni " Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi" hongereni sana!
Hongereni Sana
Wapi hiii inapatikana
Nic
Je Kuna mashine ya kupima madini kwenye duala ukajua Kuna mzigo kiasi Gani naomba msaada
Naomba kujua namna ya kujiunga na chama hiki
Kwa keshi na sh ngapi na kwa dar mpo wapi?
Mbegu gan Ina stamili mkame images tofauti Na 306
Safi thanaaa
Je, unachanganya bolea kiasi ngani katika kalashimo la kupanda ndiz
Udereva mnafundixha
Hongera sana Tume ya Mahakama kwa usimamizi wa Maadili! Hakika mmeweka mfano bora
Naomba kuuliza kwa makampuni ya microfinance je kwasasa je bdo wanapata leseni kutoka viwanda na biashara?
Miradi upande miti kutakuwa na jangwa