MJAWIR ONLINE TV
MJAWIR ONLINE TV
  • 35
  • 158 102
JIONEE WANAFUNZI WAKICHEZA NYIMBO YA KIARABU UTAPENDA|OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2025
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo kila yanapotoka kwa wakati sahihi.
kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no :
WhatsApp: 0625523243
call: 0779242002
ASANTENI NA KARIBUNI
มุมมอง: 73

วีดีโอ

TARAB LIVE ZANZIBAR |OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2025
มุมมอง 1022 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
HIGH VIEW SCHOOL |IGIZO|OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
มุมมอง 10616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
NASHEED |KARIBUNI PEMBA KISIWANI|OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
มุมมอง 7416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
WACHA KUJIGAMBA |OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
มุมมอง 15916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
JIONEE WANAFUNZI WAKIMUIMBIA MWALIM WAKO KATIKA SHEREHE YA HARUSI
มุมมอง 17416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
ZANZIBAR WEDDING
มุมมอง 381วันที่ผ่านมา

ABEID AMAN KARUME SCHOOL| UTENZI|OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
มุมมอง 31714 วันที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
ABEID AMAN KARUME SCHOOL | GRADUATION SONG | OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
มุมมอง 35414 วันที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
GRADUATION DANCE | OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
มุมมอง 59321 วันที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
NEW QASWIDA 2024 |UKHTY RASHNA|OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE
มุมมอง 32921 วันที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
ZANZIBAR WEDDING
มุมมอง 30521 วันที่ผ่านมา

มุมมอง 65821 วันที่ผ่านมา

SHUFAIYYAH NURSERY SCHOOL| NEW QASWIDA 2024| OFFICIAL PERFORMANCE VIDEO
มุมมอง 89K21 วันที่ผ่านมา
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
NASHEED MPYA| UPENDO| OFFICIAL VIDEO
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
Kwa mahitaji ya qaswida mpya,nasheed,mawaidha,na matukio mbali mbali ya kijamii usisahau ku SUBSCRIBE , LIKE,COMMENTS ,SHARE ili uwe wa kwanza kupata matukio hayo yanapotoka kwa wakati sahihi. kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no : WhatsApp: 0625523243 call: 0779242002 ASANTENI NA KARIBUNI
JIONEE WANAFUNZI WAKICHEZA NYIMBO YA KINGAZIJA UTAPENDA HD VIDEO
มุมมอง 29K2 หลายเดือนก่อน
JIONEE WANAFUNZI WAKICHEZA NYIMBO YA KINGAZIJA UTAPENDA HD VIDEO
QASWIDA MPYA|UKHTY RASHMA |HONGERA DR MWINYI |OFFICIAL PERFORMANCE VIDEO 2024
มุมมอง 3042 หลายเดือนก่อน
QASWIDA MPYA|UKHTY RASHMA |HONGERA DR MWINYI |OFFICIAL PERFORMANCE VIDEO 2024
JIONEE WANAFUNZI WAKICHEZA NYIMBO YA KIARAB UTAPENDA| OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
มุมมอง 2.9K3 หลายเดือนก่อน
JIONEE WANAFUNZI WAKICHEZA NYIMBO YA KIARAB UTAPENDA| OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE 2024
QASWIDA MPYA | UKHTY RASHMA | HUBA |Official audio 2024
มุมมอง 2424 หลายเดือนก่อน
QASWIDA MPYA | UKHTY RASHMA | HUBA |Official audio 2024
UKHTY MWANACHA |QASWIDA MPYA| ABEID AMANI KARUME SCHOOL | OFFICIAL PERFORMANCE VIDEO 2024
มุมมอง 7K4 หลายเดือนก่อน
UKHTY MWANACHA |QASWIDA MPYA| ABEID AMANI KARUME SCHOOL | OFFICIAL PERFORMANCE VIDEO 2024
QASWIDA MPYA 2024 | NIBEMBELEZE |OFFICIAL PERFORMANCE
มุมมอง 1405 หลายเดือนก่อน
QASWIDA MPYA 2024 | NIBEMBELEZE |OFFICIAL PERFORMANCE
NASHEED MPYA 2024 ~NIWEWE | OFFICIAL PERFORMANCE
มุมมอง 8605 หลายเดือนก่อน
NASHEED MPYA 2024 ~NIWEWE | OFFICIAL PERFORMANCE
QASWIDA MPYA| HIGH VIEW SCHOOL | OFFICIAL PERFORMANCE VIDEO 2024
มุมมอง 18K6 หลายเดือนก่อน
QASWIDA MPYA| HIGH VIEW SCHOOL | OFFICIAL PERFORMANCE VIDEO 2024
NASHEED ILIYOWALIZA WANAFUNZI (HIGH VIEW SCHOOL NASHEED -2024) (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 4.5K6 หลายเดือนก่อน
NASHEED ILIYOWALIZA WANAFUNZI (HIGH VIEW SCHOOL NASHEED -2024) (OFFICIAL VIDEO)
UKHTY RASHNA_QASWIDA MPYA 2024/HAPPY BIRTHDAY/ /OFFICIAL VIDEO
มุมมอง 2198 หลายเดือนก่อน
UKHTY RASHNA_QASWIDA MPYA 2024/HAPPY BIRTHDAY/ /OFFICIAL VIDEO
QASWIDA MPYA 2024_FURAHA YA EID _ UST YASIR & UST ABDALLAH _ OFFICIAL VIDEO
มุมมอง 3358 หลายเดือนก่อน
QASWIDA MPYA 2024_FURAHA YA EID _ UST YASIR & UST ABDALLAH _ OFFICIAL VIDEO
QASWIDA MPYA 2024/EID NJEMA/ UKHTY RASHNA / UKHTY MUZDA & UKHTY FATMA/ DIRECTOR KING
มุมมอง 8208 หลายเดือนก่อน
QASWIDA MPYA 2024/EID NJEMA/ UKHTY RASHNA / UKHTY MUZDA & UKHTY FATMA/ DIRECTOR KING
zanzibar wedding
มุมมอง 73811 หลายเดือนก่อน
zanzibar wedding
GRADUATION OF ZANZIBAR UNIVERSITY (ZU) 2023
มุมมอง 485ปีที่แล้ว
GRADUATION OF ZANZIBAR UNIVERSITY (ZU) 2023
EWE MJA ZINDUKA NEW NASHID ZANZIBAR
มุมมอง 43ปีที่แล้ว
EWE MJA ZINDUKA NEW NASHID ZANZIBAR

ความคิดเห็น

  • @AmbilikikeMageremwasapile
    @AmbilikikeMageremwasapile วันที่ผ่านมา

    Upuzi hawa ni wa dini gani mwanzo

  • @MachanoZ
    @MachanoZ 3 วันที่ผ่านมา

    Matokeo mitihani kidstucha Saba skuli ya hamidiamer

    • @Mjawironlinetv
      @Mjawironlinetv 3 วันที่ผ่านมา

      @@MachanoZ kist.ac.tz/bmz/result/std7-2024

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 3 วันที่ผ่านมา

    Unadhani kuna matokeo mazuri hapa sahauni

  • @እረህመት-ዘ5ተ
    @እረህመት-ዘ5ተ 4 วันที่ผ่านมา

    Enalilhe wenalilhy rajeun musek???

  • @AshaKukana-d5w
    @AshaKukana-d5w 4 วันที่ผ่านมา

    Si vizuri msichana kucheza mbele wavulana wakiona😮😮😮

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 4 วันที่ผ่านมา

    Msio na tanamaduni waacheni walo nazo wazidumishe...pili acheni kuchukua jukumu la MUNGU lakuhukumu kila mtakacho kiona...tuombeaneni mwisho mwema sote maaana hata wewe na wanao hamuujui mwisho wenu utakuaje.

    • @Mjawironlinetv
      @Mjawironlinetv 4 วันที่ผ่านมา

      @@hamisimwagarashi9501 Perfect

  • @NajmaAbdallah-k4h
    @NajmaAbdallah-k4h 4 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kazi nzuri hapo mutajuta huko mbeleni watoto wenu wakiwa wanamuziki bora Innalillah wainnailaihi rajiuon

  • @KarimFadhil-z1l
    @KarimFadhil-z1l 5 วันที่ผ่านมา

    Kwaharka utaona kma ni uzuri lakin kwa jicho la kchamungu nmtihan mkubwa kwa sabab nyimbo hziongoz kwenye uchmung znaishia watkuwa sanii aibu ktoka

  • @SalomeMwadongo
    @SalomeMwadongo 5 วันที่ผ่านมา

    Mko vizuri wototo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 5 วันที่ผ่านมา

    Kuna wt wanajisahau kusudio lakuumbwa sisi binaadamu na majini badalayake wanaabudu tamaduni Allah awaongoe.

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f 5 วันที่ผ่านมา

    Wachach ndio tutaelew hiii culture

  • @HusseinKhamis-m4i
    @HusseinKhamis-m4i 5 วันที่ผ่านมา

  • @RahemaOman
    @RahemaOman 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂❤

  • @RahemaOman
    @RahemaOman 7 วันที่ผ่านมา

    IyonI komolo

  • @KanungoNdile
    @KanungoNdile 7 วันที่ผ่านมา

    Kikwetu kitamu wallahi

  • @saidaahmedshapi7783
    @saidaahmedshapi7783 8 วันที่ผ่านมา

    Ache I kutusi watoto be proud of your culture and tradition, wacha asili I mtu wa. Watoto mashalla ❤

  • @MinskBelarus-il2tl
    @MinskBelarus-il2tl 8 วันที่ผ่านมา

    Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun

  • @HamidaKassim-r7w
    @HamidaKassim-r7w 8 วันที่ผ่านมา

    Mashalaaa Allah awaongoze zaid

  • @WaNuHu-h6l
    @WaNuHu-h6l 9 วันที่ผ่านมา

    I don't understand this language but the voice is beautiful ❤

  • @AjrasMobile-q8j
    @AjrasMobile-q8j 9 วันที่ผ่านมา

    Nmewapenda wtt❤

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 9 วันที่ผ่านมา

    Nyie mmeambiwa kuwa ni shughuli ya kiislam au mmeona watu wamevaa kanzu. mkajua shughuli ya kiislam lah hao kuvaa kanzu ni utamaduni wao kama waturuki hawavai kanzu wanaosema dini ni Imani SI kanzu.si kila anayevaa kanzu muislam lah ukienda Bukoba kanzu huko vijijini ni vazi la wazee bila kujari dini

  • @OmarShee-s9s
    @OmarShee-s9s 10 วันที่ผ่านมา

    Shenzi sana

  • @SophiaMbogo-in7yt
    @SophiaMbogo-in7yt 10 วันที่ผ่านมา

    Aki dini ya 😢😢😢kiislamu tuwafunza nn dini zengine

  • @ZahorAbdallah
    @ZahorAbdallah 10 วันที่ผ่านมา

    Jamani c burudani2 kwani kaa uchi apoo

  • @ZohraZz-g8p
    @ZohraZz-g8p 11 วันที่ผ่านมา

    Iyo ni sherehe ya haruc sio maulid

    • @mwajumsleman9070
      @mwajumsleman9070 10 วันที่ผ่านมา

      Wp wamesema maulid n ww 😂😂😂😂😂wameandika nyimbo y kingazija 😅😅😅😅😅 N ck hz madrasa nako wanacheza mnanda hauna tofaut n wanavocheza apo

  • @zulfaKhamis-e1b
    @zulfaKhamis-e1b 11 วันที่ผ่านมา

    So njaa wala roho mbaya hiii sio dini yetu y kislamu manaharibu watoto wa kiislamu na jukumu hawana wao munalibeba nyinyi hiii ni dhambi ni mambo y kishaitwani

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 10 วันที่ผ่านมา

      Acha ujinga kwn hao wikina zuchu na wengine huwaoni??

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Maashallah

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Wewe na watoto wako mpo salaama na wasafi kiasi Gani mbele zamungu ,mpaka unawatukana ,wazazi wawatoto Hawa ,wamekukosea Nini jamani , jiukumu mwenyewe kwanza ,😂😂😂😂😂😂😂

    • @HoseaRsm
      @HoseaRsm 10 วันที่ผ่านมา

      Weww mwenyewe unae watukana wazazi wawatoto hawa nimaraya wakwaza duniani naraana zamungu zikushukie mpaka unapoenda kukutana namungu wako

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Asilimia kubwa watu wanaojifanya wema ndio wabaya katika hii Dunia ,na ndio wanao mkufulu mungu ,nakufanya Lana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @HoseaRsm
      @HoseaRsm 10 วันที่ผ่านมา

      Nawakwaza wake niwewe maraya. tangu upo mchanga umaraya umeuweka k8chwani

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Acheni kusema watoto Hawa ,wenye kipaji ,chao , Mimi naona wamefanya vyema ,sana kamaunaona uwelewi acha kuangalia , wewe mja una roho mbaya ,sana ,Kwa watoto Hawa ,

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Wote wanaongea na kusema mabaya Kwa watoto Hawa ,nyinyi mna roho mbaya na uchawi wenye njaa , sana wapongezeni watoto Kwa heri . Sio Kwa mabaya Mimi sioni BAYA hapa Kwa watoto Hawa ,Mimi naona kipaji kimewatawala .

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Acheni wivu na roho mbaya wapongezeni watoto wetu 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @Theworld1tv
      @Theworld1tv 7 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi ndo wajinga mnaosababisha mabalaa ulimwenguni,awa siwatoto wakike,kisha mseme wanabakwa kumbe mnawafundisha wenyewe ushangingi na ushenzi"haya kateni viuno watu wakobee"washenzi nyi. Kazi kuwaharibu tu awo watoto kisha unampata mtu anasapoti ujinga kama yeye alivyo mjinga. Watoto wanajikamata viuno wakidimka ndo malezi gani ayo,wapelekeni wakasome uko.watoto wa ulaya wanashinda kwenye maabara na makompyuta wakijiongezea maarifa nyi mnawashindisha staili za kukata viuno wapuuzi wakubwa nyi

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki sana Kwa kipaji

  • @TabuHome
    @TabuHome 11 วันที่ผ่านมา

    Watoto ongereni sana ,Kwa kipaji chenu ,mmeweza sana

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 11 วันที่ผ่านมา

    Hapo wamekwambia ngomq ya king akija na si maulidi na kisi hiyo ni Harusi na si maulidi ya mungo sita

  • @امينهسالم-ذ7د
    @امينهسالم-ذ7د 11 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah wtoto na walim wenu

  • @ednamachocho3059
    @ednamachocho3059 13 วันที่ผ่านมา

    Inna lillah wa inna illahi raǰiun

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 13 วันที่ผ่านมา

    Utasikia apo eti mtoto wa sheikh

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 8 วันที่ผ่านมา

      Martha Mwaipaya pia ni Mtoto wa SHEIKH 😮😮😮

  • @MariamBiringi-dc9bw
    @MariamBiringi-dc9bw 13 วันที่ผ่านมา

    Wonderful

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 13 วันที่ผ่านมา

    Wazazi wenye njaa wanauza watoto wao kwa tamaa ya dunia hawastiri vizazi vyao

  • @PanyaBuku-qo7tu
    @PanyaBuku-qo7tu 13 วันที่ผ่านมา

    Upumbavu mtupu mpka sura zimewakomaa wazazi washenzi kabisa kama watoto wenu hao

  • @AbdallaAli-g7q
    @AbdallaAli-g7q 14 วันที่ผ่านมา

    Acheni ujinga huo vitu vya hovyo hivo

  • @fatnamasinde877
    @fatnamasinde877 14 วันที่ผ่านมา

    Hapo sio dini wangazija wak0 unguja had pemba hayo ni mavazi Yao kwenye sharehe muhimu sio masuala ya dini ndio utamaduni wao

    • @Mjawironlinetv
      @Mjawironlinetv 14 วันที่ผ่านมา

      @@fatnamasinde877 True 👍

  • @kautharjay5868
    @kautharjay5868 14 วันที่ผ่านมา

    Tamaduni zinawekwa kwenye dini Allah atuepushe kuweka vitu vipya

  • @LatifaElmi-x1e
    @LatifaElmi-x1e 15 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Sakina-j2b
    @Sakina-j2b 15 วันที่ผ่านมา

    Sas hii Ni nn watanzania jamani Dini wachanganya sas nitaaranu ama kaswida

    • @Salsabiil12
      @Salsabiil12 11 วันที่ผ่านมา

      Yaan ni mtihani

  • @NasraKambimtoni
    @NasraKambimtoni 15 วันที่ผ่านมา

    Jaman kuna wat wanapenda sifa ataasipo cheating akiwa mchez nimshez tu watu wanachungwa na wanaluka maget kwani unafikili watt wanao alibika hawaangaliw

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 15 วันที่ผ่านมา

      Wacha ujinga kwa iyo tulipoitwa wachunga tutaulizwa kwa tulichokichunga Allah alikosea au

    • @NasraKambimtoni
      @NasraKambimtoni 15 วันที่ผ่านมา

      Kwanza na wwe achafikra mbay na siku zote aliwazo mjiga ndiyo umkuta atauyo mchugaji mbuz ng" ombe kuku uwa upotea ihaimaanishi mchungali ajuw kuchunga siyo kweli

  • @SurprisedDrill-ky9fi
    @SurprisedDrill-ky9fi 15 วันที่ผ่านมา

    HONGERENI SANA ALLAAH AWAFUNGULIE ELIMU YA DUNIA NA AKHERA INSHAALLAH ,,NI MIMI NDUGU YENU WA DAMU SH MAULID OMAR IN OMAN

  • @ednamachocho3059
    @ednamachocho3059 15 วันที่ผ่านมา

    Tuambizane ukweli jmn je ni sawa hiyo watoto kuwafundisha usanii mapema hivyo?