Yoram Changala
Yoram Changala
  • 646
  • 289 475

วีดีโอ

Wachungaji wavuana nguo hadharani (Wewe unao uwezo wa kurudisha nyota) wewe mganga.?
มุมมอง 469 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wachungaji wavuana nguo hadharani (Wewe unao uwezo wa kurudisha nyota) wewe mganga.?
Watu wagoma kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura hii imekaaje "Dalili ni mbaya hii kwa Tanzani
มุมมอง 919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Watu wagoma kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura hii imekaaje "Dalili ni mbaya hii kwa Tanzani
Hawa wanahubiri injili au wanamfanyia mzaha Mungu.? ona walivyovaa na muonekano wao
มุมมอง 11วันที่ผ่านมา
Hawa wanahubiri injili au wanamfanyia mzaha Mungu.? ona walivyovaa na muonekano wao
Mtoto wa Mbarikiwa amvaa vikali Kamanda Muluro, Huyu Mafwele auawe kwa vinywa vya mashahidi wawili.!
มุมมอง 8วันที่ผ่านมา
Mtoto wa Mbarikiwa amvaa vikali Kamanda Muluro, Huyu Mafwele auawe kwa vinywa vya mashahidi wawili.!
Kumekucha Mbarikiwa amvaa Mtekaji mkuu Mafwele na RCO wa Mbeya Kantimbo
มุมมอง 2014 วันที่ผ่านมา
Kumekucha Mbarikiwa amvaa Mtekaji mkuu Mafwele na RCO wa Mbeya Kantimbo
Baada ya Mbarikiwa kutoka Mahakamani (Mtoto wake ajilipua hadharani ) msikilize
มุมมอง 1121 วันที่ผ่านมา
Baada ya Mbarikiwa kutoka Mahakamani (Mtoto wake ajilipua hadharani ) msikilize
Mch huyu alipuka vikali "Kama hamtaki maswala ya Demkrasia basi msionee watu" Amjibu Poul Makonda
มุมมอง 1728 วันที่ผ่านมา
Mch huyu alipuka vikali "Kama hamtaki maswala ya Demkrasia basi msionee watu" Amjibu Poul Makonda
Mbarikiwa aimba wimbo wa kuonesha masikitiko yake juu ya kukamatwa kwa Lissu Mbowe nk. kuzuiliwa....
มุมมอง 12หลายเดือนก่อน
Mbarikiwa aimba wimbo wa kuonesha masikitiko yake juu ya kukamatwa kwa Lissu Mbowe nk. kuzuiliwa....
Tungepata viongozi wa dini wanaopiga kelele kama Mbarikiwa nchi ya Tanzania tungekua salama sana
มุมมอง 18หลายเดือนก่อน
Tungepata viongozi wa dini wanaopiga kelele kama Mbarikiwa nchi ya Tanzania tungekua salama sana
Ikisipotumika busara ila ukatumika ubabe huu Tanzania patachafuka zaidi "Maandamano ya Dar"
มุมมอง 26หลายเดือนก่อน
Ikisipotumika busara ila ukatumika ubabe huu Tanzania patachafuka zaidi "Maandamano ya Dar"
Yoram Changala akiwa Mbeya kwa Mzee wake Mbarikiwa Mwakipesile
มุมมอง 21หลายเดือนก่อน
Yoram Changala akiwa Mbeya kwa Mzee wake Mbarikiwa Mwakipesile
Kimeumana Mbarikiwa awavaa vikari machawa wa Mama "Ninyi siyo watu ninyi na Mashetani"
มุมมอง 10หลายเดือนก่อน
Kimeumana Mbarikiwa awavaa vikari machawa wa Mama "Ninyi siyo watu ninyi na Mashetani"
Mbarikiwa amvaa Mwalimu, kwanini wewe haukemei dhuruma na mauaji kama Abiudi na Rolinga.?
มุมมอง 19หลายเดือนก่อน
Mbarikiwa amvaa Mwalimu, kwanini wewe haukemei dhuruma na mauaji kama Abiudi na Rolinga.?
Safari ya kwenda mbeya hatua kwa hatua, Mpaka kambi kuu by Yoram Changala
มุมมอง 4หลายเดือนก่อน
Safari ya kwenda mbeya hatua kwa hatua, Mpaka kambi kuu by Yoram Changala
Hawa wanajiteka wenyewe kutafuta kiki za uchaguzi wa 2025.? je hili siyo pigo kwa Taifa zima.?
มุมมอง 21หลายเดือนก่อน
Hawa wanajiteka wenyewe kutafuta kiki za uchaguzi wa 2025.? je hili siyo pigo kwa Taifa zima.?
Mbarikiwa aagiza washirika wake kuja ibadani na ungo wa kichawi
มุมมอง 14หลายเดือนก่อน
Mbarikiwa aagiza washirika wake kuja ibadani na ungo wa kichawi
Mbarikiwa aomba maombi mazito kwa wanaojihusisha na utekaji, "Wapasuke matumbo yao kwa jina la Yesu"
มุมมอง 33หลายเดือนก่อน
Mbarikiwa aomba maombi mazito kwa wanaojihusisha na utekaji, "Wapasuke matumbo yao kwa jina la Yesu"
Mzee wa Upako atema nyongo kwa Bunge na Serikari acheni kuteka watu na kuua, huku mkesema hamjui
มุมมอง 25หลายเดือนก่อน
Mzee wa Upako atema nyongo kwa Bunge na Serikari acheni kuteka watu na kuua, huku mkesema hamjui
Ikiwa Viongozi wa makanisa ni wazinzi washirika watashindaje dhambi.?
มุมมอง 28หลายเดือนก่อน
Ikiwa Viongozi wa makanisa ni wazinzi washirika watashindaje dhambi.?
Kiboko ya wachawi asema tanzania ni marofa sana msikilize hapa
มุมมอง 19หลายเดือนก่อน
Kiboko ya wachawi asema tanzania ni marofa sana msikilize hapa
Kimenuka Mbarikiwa akinukisha tena Msikilize hapa Magufuli kwanini alikaa kimya.?
มุมมอง 22หลายเดือนก่อน
Kimenuka Mbarikiwa akinukisha tena Msikilize hapa Magufuli kwanini alikaa kimya.?
Kauli ngumu zaidi na za kutisha za CCM zimezidi kuwa gumzo wasikilize hapa
มุมมอง 410หลายเดือนก่อน
Kauli ngumu zaidi na za kutisha za CCM zimezidi kuwa gumzo wasikilize hapa
Hema la kikosi kazi cha injili Dodoma laboreshwa zaidi tena kuna wakawaka 🔥🔥🔥🔥
มุมมอง 29หลายเดือนก่อน
Hema la kikosi kazi cha injili Dodoma laboreshwa zaidi tena kuna wakawaka 🔥🔥🔥🔥
Jamaa baada ya kutapeliwa na manabii hawa aanza kumtukana Mungu hadharani msikilize hapa, Part 1
มุมมอง 12หลายเดือนก่อน
Jamaa baada ya kutapeliwa na manabii hawa aanza kumtukana Mungu hadharani msikilize hapa, Part 1
Mbarikiwa amlalua vibaya Mwamposa "Acha kutumika vibaya kupotosha watu"
มุมมอง 282 หลายเดือนก่อน
Mbarikiwa amlalua vibaya Mwamposa "Acha kutumika vibaya kupotosha watu"
Waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa ulinzi tunataka mtueleze...
มุมมอง 132 หลายเดือนก่อน
Waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa ulinzi tunataka mtueleze...
Taharuki Nawaonya Jeshi la Polisi Tanzania "Ukombozi wa Mungu ukitokea na ninyi mtaumizwa...
มุมมอง 542 หลายเดือนก่อน
Taharuki Nawaonya Jeshi la Polisi Tanzania "Ukombozi wa Mungu ukitokea na ninyi mtaumizwa...
Makonda arudi kazini tena ofisi ya Arusha
มุมมอง 332 หลายเดือนก่อน
Makonda arudi kazini tena ofisi ya Arusha
CCM mtasababisha Machafuko makubwa kabla ya 2025
มุมมอง 122 หลายเดือนก่อน
CCM mtasababisha Machafuko makubwa kabla ya 2025

ความคิดเห็น

  • @FredrickNyangweso
    @FredrickNyangweso 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    unacho sema ni kweli maanake wenye wakataa sheria ya ndiyo wamekasirika na wewe wambiye kabisa Mungu akupe maisha marefu Kwa kusimama na ukweli

  • @LuganoMwakalinga-p3k
    @LuganoMwakalinga-p3k 3 วันที่ผ่านมา

    Upumbavuu mtupu,na giza tupu na huyu anayejiita nabii ni wakala wa nani? kama siyo wakala wa shetani,huo ni uwakala wa shetani pumbavuuu.

  • @UKoo-wa-Yesu
    @UKoo-wa-Yesu 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni mhuni

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 5 วันที่ผ่านมา

    Dini zanini jamani mbona hazina faida yoyote

  • @UKoo-wa-Yesu
    @UKoo-wa-Yesu 8 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa Tz wangetafuta kuwasikiliza watu wa Mungu hii nchi isingefika huku,

  • @dicksonalex2291
    @dicksonalex2291 8 วันที่ผ่านมา

    Siku zote ukiwa mkweli ndo unaonekana mbaya ila ulichozungumzia ndo kilichopta uko

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 9 วันที่ผ่านมา

    Hubiri, acha matusi

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala 9 วันที่ผ่านมา

      @@josephifanda5626 Kuhubiri ni nini.?

  • @عمرانالحجري
    @عمرانالحجري 9 วันที่ผ่านมา

    Kwan faza ulishindwa kukaa kimya. We pambana na unachokiamin sio kuataki mtu. Kila mtu anafata njia yake faza

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala 9 วันที่ผ่านมา

      @@عمرانالحجري Kwani wewe hauatak watu.? Mbona unaniambia nipambane na yakwangu kwanini wewe haujapambana na yakwako ila umeniatak.?

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 17 วันที่ผ่านมา

    Yesu tu Yesu tu

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 17 วันที่ผ่านมา

    Tanzania uko wakwanza kwa injiri wewe ukomwenda mbingu kabisa

  • @BarnabaPangani
    @BarnabaPangani 20 วันที่ผ่านมา

    Wekijana haujui unachofanya muache mwaposa aende wewe utaaibika siyo mda mlefu

  • @Charitémapendo-c3j
    @Charitémapendo-c3j หลายเดือนก่อน

    Napenda hizo Misha hiri niwe nazo kama hiyo niukweli

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala หลายเดือนก่อน

      @@Charitémapendo-c3j Ni kweli soma Waebrania_11:32-40 na Ufunuo_6:9-11

  • @DismasJosephKivumi
    @DismasJosephKivumi หลายเดือนก่อน

    Mhhh

  • @MartineJames-t1f
    @MartineJames-t1f หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba yangu kwa moyo huo,bado najifunza sana kwa moyo huo.Hapa hakuna kurudi nyuma ni kuendelea kupambana mpaka mwisho,alimadam tumeshaingia vitani tayari,Amen

  • @kyando150
    @kyando150 หลายเดือนก่อน

    Amenena ukweli

  • @IsayaYohana-mc4ox
    @IsayaYohana-mc4ox หลายเดือนก่อน

    Amen amen babaangu

  • @ZubedaVicent
    @ZubedaVicent หลายเดือนก่อน

    AMIINA AMIINA SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU PEKEE

  • @MartineJames-t1f
    @MartineJames-t1f หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba yangu,hongera kwa kufika salama, Safari bado ni ndefu sana,hivyo tunahitaji kukusanya nguvu za kutosha kwenye ibada.MITHALI 8:14

  • @HawaOman
    @HawaOman หลายเดือนก่อน

    Wewe mbarikiwa umefurahi liboko alivufukusuwa ulisema anachukua hela za watu je mbona wengi wanachua milo moja na nusu hauseme

  • @IndalesioHenery
    @IndalesioHenery หลายเดือนก่อน

    Nani anaweza kuupigigateke mchokoo

  • @IbrahimKamwela-vp8nd
    @IbrahimKamwela-vp8nd หลายเดือนก่อน

    𝘼𝙢𝙚𝙚𝙣𝙞 ⛪

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 หลายเดือนก่อน

    UKWELI KABISA SHETANI ANADANGANYA WATU LAKINI MWISHO WAKE WATALIA USIOGOPE MTUMISHI MAANA MUNGU YUKO PAMOJA NAWE.UNA HEKIMA YA KUTOSHA

  • @UKoo-wa-Yesu
    @UKoo-wa-Yesu หลายเดือนก่อน

    Wazungu walitudanganya sana

  • @AGATHACLAVERYMAKANTA
    @AGATHACLAVERYMAKANTA หลายเดือนก่อน

    Ameeni ameen baba, barikiwa sana

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 หลายเดือนก่อน

    Roho ya chuki

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 หลายเดือนก่อน

    Itikadi kali😂

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 หลายเดือนก่อน

    Kijana anaroho mbaya sana,

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 หลายเดือนก่อน

    Hawavijana wameshaharibiwa, tena hawa ni vijana hatari sana, serikali iwaanglie kwa jicho la pili, hajui hata kufafanua bibilia masikini ya Mungu,

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala หลายเดือนก่อน

      Mnaojua tatizo lenu mmekaa kimya mnajua kukoment kwa wasijua 🙄🙄

  • @Mgayapaulina
    @Mgayapaulina หลายเดือนก่อน

    Kiukweli webaba sikupendi wewe yaani kila mtumishi wekwako hana mungu. Haya basi mbona wewe unawatukana watu? Malauwaite waimbaji malaya nikweli unatafuta ugali. Lakini fanya yako yawatu hutayaweza

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala หลายเดือนก่อน

      @@Mgayapaulina Kwani we unapendwa na watu wote.? Sembuse Yesu aliwalisha na mikate lakini bado mlimuua.!

  • @SokratesStallin
    @SokratesStallin หลายเดือนก่อน

    Nyie mtawapiga wajinga kamanyie mnatapeli watu

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala หลายเดือนก่อน

      @@SokratesStallin Kwahiyo we umepata simu leo umeona uanze kukoment kwetu.? Embu tufuatilie clip zote uone kama sisi ni matapeli kama manabii wenu wahuni, wanaowadanganya

    • @SokratesStallin
      @SokratesStallin หลายเดือนก่อน

      @@Yoram_Changala kwani hii yutubu niyakwako nyie mnadanganya watu wasiona upeo waakili napia hakuna mungu

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala หลายเดือนก่อน

      Kuandika kwako tu kunadhihirisha na uwezo wa akili yako ikoje.!

    • @SokratesStallin
      @SokratesStallin หลายเดือนก่อน

      @@Yoram_Changala kumanina zenu

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala หลายเดือนก่อน

      Ndomana nilisema wewe ni limbukeni, wa simu,

  • @shahdujamada7804
    @shahdujamada7804 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn หลายเดือนก่อน

    Nyie si ndugu zake na Shetani.

  • @petrothegreat2919
    @petrothegreat2919 หลายเดือนก่อน

    Kame kaa kiroho

  • @EzekielCharles-j8x
    @EzekielCharles-j8x 2 หลายเดือนก่อน

    Ww bangi hazijaisha Mungu akusaidie

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala หลายเดือนก่อน

      Wewe ambaye zimetoka umefanya nini cha maana.?

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 2 หลายเดือนก่อน

    YANI WEWE UKIENDELEA HIVYO UTAKUWA SANA HAPA DUNIANI MUNGU AKUTUMIE USAIDIE WATU WATOKE KWA DHAMBI KWELI INABARIKI ITIA UCHUNGU KWA SABABU NI KWELI KABISA.NDIO WANAKUFUTA MUNGU AKUTUMIE KABISA MAANA WACHUNGAJI WOTE WAMESHAANGUKA HAKUNA HATA MMOJA ANASEMA UKWELI,ASANTE SANA AMEN.

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 2 หลายเดือนก่อน

    Wenye macho tunaona na wenye akili yakireason tunareason

  • @RebeccaBhoke
    @RebeccaBhoke 2 หลายเดือนก่อน

    Neno linasema. Siku za mwisho kutakua na manabii wengi wa uongo. Pia wahubiri wa kweli waenende Katika Sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawasawa na neno la Mungu kwao hakuna asubuhi

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 2 หลายเดือนก่อน

    Joe Davie, mimi ni mdhambi sana sana sana. Lakini, umelaaniwa wewe katika wanaume wote! Mshenzi mpuuzi mwizi tapeli mkuu wewe.

  • @PonsSalimu
    @PonsSalimu 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @WilliamWitalya
    @WilliamWitalya 2 หลายเดือนก่อน

    Mwakasege ni mtumishi mzur kila mtu anamjua usipambane nae utaonekana huna hekima

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 2 หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe sana sana na MUNGU muumba mbingu na nchi, kwa hapo ni sehemu ya hatu za Ushindi.

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala 2 หลายเดือนก่อน

      @@ugalidona-cs2yn We ndugu uko wapi.?

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mbarikiwa huna jipya iyo ni dalili ya kushindwa huduma yako

  • @jonasjoe3623
    @jonasjoe3623 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe boya sana ,kasome acha ujinga,

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 2 หลายเดือนก่อน

    Barikikiwa mtumishi

  • @EzekielShartiel
    @EzekielShartiel 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli 😢

  • @EzekielShartiel
    @EzekielShartiel 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli 😢

  • @EzekielShartiel
    @EzekielShartiel 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli 😢

  • @EzekielShartiel
    @EzekielShartiel 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli 😢

  • @EzekielShartiel
    @EzekielShartiel 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @EzekielShartiel
    @EzekielShartiel 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisa