- 24
- 204 427
Dhabihu Za Sifa
เข้าร่วมเมื่อ 13 มิ.ย. 2015
DHABIHU ZA SIFA(Hebrews 13:15) Is an Interdenominational Organization based on Pentecostalism faith. Aiming on teaching and influencing heart of Praise And Worship to the people. Founded since 2013 by Caleb Mwanjoka And Robert Mahona.
Ninaushuhuda (Dhabihu za sifa)
Kwasababu ya kutembea na huduma hii ya dhabihu za sifa kwa miaka kumi na vile alivyo mwema kwa watu wake
Song:Ninaushuhuda
artist:Dhabihu za sifa
Albam:10 years anniversary
Audio production:Calebu mwanjoka (triple J studio)
Music director : Baraka Waya
Video production :Gidion Swila (skylevel)
Song:Ninaushuhuda
artist:Dhabihu za sifa
Albam:10 years anniversary
Audio production:Calebu mwanjoka (triple J studio)
Music director : Baraka Waya
Video production :Gidion Swila (skylevel)
มุมมอง: 2 036
วีดีโอ
Mungu wetu ni wa Ajabu(Dhabihu za sifa)
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Kwasababu ya kutembea na huduma hii ya dhabihu za sifa kwa miaka kumi na vile alivyo mwema kwa watu wake Song:Mungu wetu ni wa Ajabu artist:Dhabihu za sifa Albam:10 years anniversary Audio production:Calebu mwanjoka (triple J studio) Music director : Baraka Waya Video production :Gidion Swila (skylevel)
Dhabihu Za Sifa - Shangwe (Official Music Video)
มุมมอง 1K2 ปีที่แล้ว
Dhabihu Za Sifa - Shangwe (Official Music Video)
Dhabihu Lifecoaching Session : Live Perfomance by Debora
มุมมอง 4523 ปีที่แล้ว
Dhabihu lifecoaching session Iliyofanyika 28th Februari 2021
Dhabihu Lifecoaching Session : Live Perfomance by Lulu
มุมมอง 4403 ปีที่แล้ว
Dhabihu lifecoaching session Iliyofanyika 28th Februari 2021
Dhabihu Lifecoaching Session : Live Perfomance by Sigy Fred
มุมมอง 5623 ปีที่แล้ว
Dhabihu lifecoaching session Iliyofanyika 28th Februari 2021
Nina Haja Nawe - Dhabihu Za Sifa
มุมมอง 3.8K4 ปีที่แล้ว
Online live session iliyofanyika live katika mitandao yetu ya kijamii katika kipindi cha corona.
Manukato (Sedekia) - Cover by Dhabihu Za Sifa
มุมมอง 55K4 ปีที่แล้ว
Online live session iliyofanyika live katika mitandao yetu ya kijamii katika kipindi cha corona.
Ewe mwokozi (I Worship You) - Dhabihu Za Sifa
มุมมอง 4.6K5 ปีที่แล้ว
Ewe mwokozi (I Worship You) - Dhabihu Za Sifa
Shauku yangu(My Thirst) - Dhabihu za Sifa
มุมมอง 9K6 ปีที่แล้ว
Shauku yangu(My Thirst) - Dhabihu za Sifa
Short Interview Session - Dhabihu za Sifa Event
มุมมอง 2.1K8 ปีที่แล้ว
Short Interview Session - Dhabihu za Sifa Event
Dhabihu za Sifa - April Event HIGHLIGHTS
มุมมอง 3.8K8 ปีที่แล้ว
Dhabihu za Sifa - April Event HIGHLIGHTS
Dhabihu Za Sifa - I Know who I Am (Cover)
มุมมอง 1.2K8 ปีที่แล้ว
Dhabihu Za Sifa - I Know who I Am (Cover)
Where did this amazing group go😢
Amen amen
Mungu awabariki watumishi wa Mungu ❤
hakika Nina ushuhuda🙏🙏
Wao amazing song Be blessed
Hata Uhai wangu ni Shuhuda Tosha, Mungu asante kwa uhai na uzima
Nina ushuhuda kwa kweli, kwa kuwa Bwana amefanya Mengi sana kwangu... mzidi kuinuliwa na Bwana ZZS
Mungu awabariki mno Familia na waalimu wangu katika huduma hii. Hongereni kwa kazi njema na yenye utukufu wa Mungu.
Hongera kwa Wimbo Mzuri, Sauti na Mdundo Umepangika Vizuri
Kweli Bwana amefanya nina ushuhuda. Powerful song
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Maishani mwani Nina ushuhuda kwakuwa Mungu ametenda
Barikiwa sana nayaona majembe ktk shamba la Kristo Caleb na Baraka hongera sana
Beautiful ❤🎉love from Kenya ❤
Jamani huu wimbo, nimeusibili Kwa ham sana, Bora umetoka nishuudie 🙏🙏🙏
Amefanya hakika
Nina ushuhuda, mungu hajawai kuniacha
Hakika
Hakika tunao ushuhuda hongera sana dhabihu za sifa
🔥🔥🙏
Hakika nina ushuhuda unaoishi ambao nimetendewa na huyu Mungu 🙏🏼🔥🔥🔥
Groly to God❤
🔥🔥🔥🔥🔥
Mbalikiwe family,this is very power full song.
🔥🔥🔥
This is so powerful
Amina
Nina ushuhuda🙏
Hatumae umetoka. Nina ushuhuda
Nina ushuhuda kwa kweli. Maana ameifanya mengi kwenye maisha yangu.
Anointing power🙌
Aloooooh this song🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We are waiting 🔥🔥🔥🔥
Excellent Sir
Tunasubiriiiiiiiiii
Nice
Wow we. are waiting🙏🙏
Was powerful 😊
Mbona nyimbo zingine hazitoki
Amen ❤
Such blessing! Thank you Sigy.
Mungu awabariki sana kazi yenu ni njema sanaa❤
Wonderfu
Kazi nzuri sana aiseee
Wow❤
Amen Amen 👏👏
Amen, a good song
Happy to see Emmanuel joe keep moving brother
Mungu wetu anatenda maajabuu🙌
Hakika Mungu wetu ni wa ajabu.