- 27
- 91 916
KWAYA YA MT. PAPA YOHANE PAULO WA PILI-UDOM
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 15 พ.ค. 2021
Karibuni sana katika Channel yetu ya kwaya upate kufurahia injili kutoka katika nyimbo za kwaya ya Mt. Papa Yohane Paulo wa Pili-Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM). Parokia ya Mt.Fransisco Ksavery-UDOM
Jimbo Kuu Katoriki la Dodoma.
Jimbo Kuu Katoriki la Dodoma.
NI VEMA KUMSHUKURU. BY ANDRE I MAKANGA//KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO WA II UDOM
Karibuni Tumshukuru Mungu pamoja kwa kutazama, kusikiliza na kutafakari wimbo huu.
JINA LA WIMBO:- NI VEMA KUMSHUKURU
MTUNZI:- ANDRE I MAKANGA
WAIMBAJI:- KWAYA YA PAPA YOHANE PAULO WA II UDOM
KINANDA:- FABIANO JOSEPH
AUDIO & VIDEO:- TANGANYIKA PRODUCTION
JINA LA WIMBO:- NI VEMA KUMSHUKURU
MTUNZI:- ANDRE I MAKANGA
WAIMBAJI:- KWAYA YA PAPA YOHANE PAULO WA II UDOM
KINANDA:- FABIANO JOSEPH
AUDIO & VIDEO:- TANGANYIKA PRODUCTION
มุมมอง: 1 591
วีดีโอ
MSHINDO WA SIFA. BY P.FUBUSA// KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO II UDOM
มุมมอง 4K14 วันที่ผ่านมา
Karibuni kutazama, kusikiliza na kutafakari matendo makuu ya Mungu kupitia wimbo huu wa MSHINDO WA SIFA. Ukiwa ni wimbo wa albamu ya 5(vol. 5) ya kwaya hii. Tafadhali subscribe, like na toa maoni yako, ili uweze kupata kwa urahisi nyimbo nyingine za albamu hii, pindi zitakapo pakiwa. JINA LA WIMBO: Mshindo wa Sifa MTUNZI: PIUS PAUL FUBUSA WAIMBAJI: KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO II UDOM KINANDA:...
UZINDUZI UZINDUZI UZINDUZI!!!!!!!!!!!
มุมมอง 42021 วันที่ผ่านมา
UZINDUZI UZINDUZI UZINDUZI!!!!!!!!!!!
BWANA NI MFALME BY R.SAMSON
มุมมอง 788หลายเดือนก่อน
Karibuni waamini kutazama wimbo wa katikati Dominika 34 mwaka B wa kanisa,adhimisho la Misa takatifu sikukuu ya Kristo mfalme. Wimbo; Bwana mfalme Mtunzi; Richard Samson Kinanda; Emmanuel
MEGAMIX NYIMBO ZA SHUKURANI. KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO WA PILI UDOM
มุมมอง 4875 หลายเดือนก่อน
Karibu kutazama nyimbo za shukurani dominika ya 16 "B" #gospelmusic#papayohanepaulo.udom
HONGERA PADRE CHRISOGON BY S. MWANISENGA// KWAYA YA MT YOHANE PAULO II UDOM
มุมมอง 4.3K6 หลายเดือนก่อน
karibuni kutazama, kusikiliza na kutafakari wimbo wa jubilei ya padre CHRISOGON VULSTAN. Paroko wa parokia ya Mt Fransisko Ksaveri CHUO KIKUU CHA DODOMA Jimbo kuu katoliki la Dodoma. Jina la Wimbo: Hongera padre Chrisogon Mtunzi: Simon Mwanisenga Waimbaji: Kwaya ya Mt Yohane Paulo wa pili UDOM Soloist: Despina Mdende Kinanda: Ephrahim Kashusha& Simon Mwanisenga STUDIO Audio: Ave Maria productio...
HERI TAIFA BY E. OGEDA. KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO WA PILI. PAROKIA YA MT FRANSISCO XAVERY UDOM
มุมมอง 4487 หลายเดือนก่อน
HERI TAIFA BY E. OGEDA. KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO WA PILI. PAROKIA YA MT FRANSISCO XAVERY UDOM
HERI TAIFA BY E.OGEDA KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO WA II MAANDALIZI YA DOMINIKA YA UTATU MTAKATIFU
มุมมอง 6587 หลายเดือนก่อน
Karibuni kutazama kusikiliza na kutafakari wimbo wa heri taifa ikiwa ni maandamizi ya Dominika ya sherehe ya Utatu Mtakatifu Mtunzi : Ernest Ogeda Waimbaji- Kwaya ya Mt Papa yohane Paulo wa pili UDOM Kinanda: Simon Mwanisenga Mtiribu: Edwin Asante Eneo: UDOM SOCIAL
CHARITY(MATENDO YA HURUMA) KIJIJI CHA MATUMAINI/KISASA
มุมมอง 5911 หลายเดือนก่อน
CHARITY(MATENDO YA HURUMA) KIJIJI CHA MATUMAINI/KISASA
EE BWANA UNIJULISHE BY REMIGIUS KAHAMBA.KWAYA YA MT. PAPA YOHANE PAULO WA PILI UDOM-(SOCIAL)
มุมมอง 1.1K11 หลายเดือนก่อน
Karibu kusikiliza wimbo wa katikati zab. 25:4-9 Dominika ya Tatu ya mwaka B. January 21/2024 JINA LA WIMBO: EE BWANA NIJULISHE NJIA YAKO VERSION 1 MTUNZI: REMIGIUS KAHAMBA WAIMBAJI: KWAYA YA MT PAPA YOHANE PAULO WA PILI UDOM KINANDA: SIMON MWANISENGA MTIRIBU: THEONEST VUMILIA. MAHALI: KIGANGO CHA MT YOHANE MVUVI (SOCIAL.
Wahitimu kwaya ya mtakatifu Papa Yohane Paulo wa Pili UDOM 2023
มุมมอง 406ปีที่แล้ว
Wahitimu kwaya ya mtakatifu Papa Yohane Paulo wa Pili UDOM 2023
AGNUS DEI. TRADITIONAL. Harmonized by seminarians. Spiritan missionary seminary. Njiro- Arusha.
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
AGNUS DEI. TRADITIONAL. Harmonized by seminarians. Spiritan missionary seminary. Njiro- Arusha.
HURUMA YAKE NI YA MILELE. BY PF MWARABU|| GOG'S MERCY. Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa pili UDOM
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
karibuni kutazama na kusikiliza wimbo huu wa huruma ya Mungu
MSALABA WAKO. TRADITIONAL. WIMBO WA IJUMAA KUU. KWAYA YA MT. YOHANE PAULO WA PILI UDOM
มุมมอง 565ปีที่แล้ว
MSALABA WAKO. TRADITIONAL. WIMBO WA IJUMAA KUU. KWAYA YA MT. YOHANE PAULO WA PILI UDOM
Mungu na atufadhili na kutubariki by E.Ogeda
มุมมอง 9372 ปีที่แล้ว
Tazama Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili Wakiimba wimbo wa Katikati Jumapili ya tarehe 1/2023.
LEO AMEZALIWA BY ERNESTUS OGEDA Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili
มุมมอง 7912 ปีที่แล้ว
LEO AMEZALIWA BY ERNESTUS OGEDA Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili
SIKU ZAKE YEYE MTU MWENYE HAKI By Fabiano Michael. Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM
มุมมอง 8592 ปีที่แล้ว
SIKU ZAKE YEYE MTU MWENYE HAKI By Fabiano Michael. Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM
YESU WANGU-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili_UDOM(OFFICIAL VIDEO_HD)
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
YESU WANGU-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili_UDOM(OFFICIAL VIDEO_HD)
Karibuni Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa pili UDOM
มุมมอง 5502 ปีที่แล้ว
Karibuni Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa pili UDOM
Mpigieni Mungu kelele za shangwe by. Kwaya ya mt. Yohane paulo wa pili UDOM
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
Mpigieni Mungu kelele za shangwe by. Kwaya ya mt. Yohane paulo wa pili UDOM
WEWE BWANA USINIACHE-KWAYA YA MT.PAPA YOHANE PAULO WA PILI_UDOM(Official Video_HD) #langolambinguni
มุมมอง 1.9K2 ปีที่แล้ว
WEWE BWANA USINIACHE-KWAYA YA MT.PAPA YOHANE PAULO WA PILI_UDOM(Official Video_HD) #langolambinguni
EE YESU MFALME WA MATAIFA-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili_UDOM(Official Video_HD)
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
EE YESU MFALME WA MATAIFA-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili_UDOM(Official Video_HD)
LANGO LA MBINGUNI-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM[Official Video_HD]
มุมมอง 3.5K3 ปีที่แล้ว
LANGO LA MBINGUNI-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM[Official Video_HD]
ASANTE MUNGU-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM(Official-Video-HD)-tp
มุมมอง 17K3 ปีที่แล้ว
ASANTE MUNGU-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM(Official-Video-HD)-tp
NIJAZE BARAKA-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM(Official Video-HD)
มุมมอง 6K3 ปีที่แล้ว
NIJAZE BARAKA-Kwaya ya Mt.Papa Yohane Paulo wa Pili-UDOM(Official Video-HD)
MASIFU-KWAYA YA MT.PAPA YOHANE PAULO WA PILI-UDOM (OFFICIAL VIDEO-HD)
มุมมอง 22K3 ปีที่แล้ว
MASIFU-KWAYA YA MT.PAPA YOHANE PAULO WA PILI-UDOM (OFFICIAL VIDEO-HD)
Bwana yu nanyi. kwaya ya Mt. Papa Yohane Paul wa Pili-Chuo Kikuu Cha Dodoma
มุมมอง 17K3 ปีที่แล้ว
Bwana yu nanyi. kwaya ya Mt. Papa Yohane Paul wa Pili-Chuo Kikuu Cha Dodoma
This is grate. I like it 👌
Jaman Mungu awabariki sana
Amina
Mungu awabariki
Amina
Hongereni sana hii kwaya yetu haijawahi kuyumba🎉, Mungu awabariki
Tumshukuru Mungu 🙏
Cogratulation Mungu awainue viwango vya juu🤲🤲🤲
Amina🙏
Mungu awabariki sana
Mnaimba vizuri sana
Familia ya papa yohane Paulo wa pili hongera sana mungu azidi kuwatia nguvu zaidi
Amina🙏
Hongereni wapendwa katika bwana❤
Daaah kazi tam sana hii, Mungu atie baraka
Àmin
Hongera sana good praise
Thanks be to God 🙏
kazi nzur mungu azidi kuwabariki katika utume wenu
Wow!hakika ni vyemaaaaa kumshukuru mungu ❤❤🎉🎉
Hongereni kwa kazi nzuri familia
tag it ##Ni vema kumshukuru Mungu## hakika ni kazi nzuri sana
@@Shiivrie85 ... Kijana unajua kupiga tarumbeta na ausem🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂njoo uchukue code😂😂😂
Always greatful for this family 🥰
❤❤❤ kazi nzuri sana
Hongereni vijana pia hongera kijana wangu Makanga
Kazi nzuriiii mungu azidi kuwabariki🎉🎉🎉
Nin kingine zaidi ya kuwaombwa utume usonge mbele hongereni wapendwa🎉
Naitwa Mwl. Andre Makanga. Nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa utume. Hakika kazi ni nzuri❤❤❤🎉🎉🎉
Tumshukuru Mungu, hongera kwa utunzi mzuri mwl👏
@kwayayamt.papayohanepaulow9232 mbarikiwe sana
Hongereni sana kazi imenyoka Jonh Paul mnajua,Mungu awabariki sana,na Happy new year
Tumshukuru Mungu 🙏
Ni vyema kumshukuru MUNGU
Nesta na aggy mmeua hongereni🙏
@@AnnaAloyce-c4s Asante sana
🎉🎉🎉
Nice job
🎉🎉🎉🎉 amen side nakuona
the boss mwenyewe😂😂😂
Waoooo ongereni
ahsante sana kwa hakika tumshukuru Mungu kwa utume
Hongereni saana family mmeupiga mwingi🎉 ❤🎉
👏 👏 👏
Nimekuwa wa kwanza kuview na kucomment, naomba maua yangu❤❤
Ujasal usiku eewe😂😂😂
@@RichardEmmanuel-v5d Mimi
Hongereni sana hakika Mungu anatukuzwa wimbo mzur sana ujumbe mzur wa kumtukiza Mungu mbarikiwe sana
Tumshukuru Mungu
Hongeren nyimbo ina maneno matamu🎉🎉
Tumshukuru Mungu🙏
❤❤
Kazii nzuriii🎉🎉🎉
Kazii nzuriii🎉🎉🎉
Kazii nzuriii🎉🎉🎉
Tumshukuru Mungu 🙏
Hongeren sana wimbo unavutia sana
Good job mungu aendelee kuwatia nguvuu🎉🎉❤
Amina
Nimekuona dada Stellah umepiga saruti. Kazi nzuri
Good job keep it up
mmeupiga mwingii❤❤❤Familia ya Social🎉🎉🎉
Kazi nzuri kwaya yangu ila kuna sehemu siwema amenuna anataka kumpiga mtu
Hongeren sana kazi nzur Mungu awabariki na kuwapandisha viwango vya juu ❤❤
kazi nzuri haina dosari👊👊
Kazi nzuri Sana MUNGU awabariki❤
Amina
Hongereni wapendwa mmeupiga mwingi🎉
❤❤🔥🔥
Hongerenii sanaa mmeupiga mwingii mmeuimba taratibu hadii rahaa mwendo mzuri sana
Hongereni makamanda mnakitu mtafika mbali sana
Amina
Fubuasaa Fubusa Fubusa nimekuita mara tatu kaka...Mungu akuendelee kukutumia, kazi nzuri sanaa hongereni waimbaji jamani ni sauti za kikatoliki kabisa hongereni sanaa❤
Anajua👏👏👏