- 500
- 353 283
PDK Generation
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 9 ม.ค. 2013
Tumejizatiti kukuletea makala mbalimbali kuhusu afya na masuala yanayogusa sekta ya Afya kwa ujumla
WAZIRI MKUU WA TANZANIA AKITOA MAELEKEZO KWENYE MKUTANO WA WAFAMASIA #wafamasia #tanzania #waziri
WAZIRI MKUU WA TANZANIA AKITOA MAELEKEZO KWENYE MKUTANO WA WAFAMASIA
Waziri Mkuu wa Tanzania ametoa maelekezo kwa taasisi na wadau mbalimbali ambayo yote yanalenga kuboresha kazi za wafamasia Tanzania.
Mheshimiwa Waziri mkuu ametoa maelekezo hayo alipokua akifungua mkutano mkuu wa chama cha wafamasia Tanzania (PST) uliofanyika Jijini Dodoma mapema mwezi huu.
Waziri Mkuu wa Tanzania ametoa maelekezo kwa taasisi na wadau mbalimbali ambayo yote yanalenga kuboresha kazi za wafamasia Tanzania.
Mheshimiwa Waziri mkuu ametoa maelekezo hayo alipokua akifungua mkutano mkuu wa chama cha wafamasia Tanzania (PST) uliofanyika Jijini Dodoma mapema mwezi huu.
มุมมอง: 21
วีดีโอ
KUHUSU MADUKA YA DAWA KARIBU NA HOSPITALI NA WATEJA WA BIMA YA NHIF KUPATA DAWA PHARMACY #dawa
มุมมอง 1414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KUHUSU MADUKA YA DAWA KARIBU NA HOSPITALI NA WATEJA WA BIMA YA NHIF KUPATA DAWA PHARMACY Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa ametoa maelekezo mahususi kuhusu mambo kadhaa yanayowagusa wafamasia ikiwemo suala la maduka ya dawa (pharmacy) kuwa karibu na hospitali na wateja wa bima ya NHIF kupata huduma za dawa kwenye famasi jamii.
NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE GODWIN MOLLEL AKIZUNGUMZA NA WAFAMASIA #news #wafamasia #afya
มุมมอง 867 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE GODWIN MOLLEL AKIZUNGUMZA NA WAFAMASIA Naibu Waziri wa Afya Mhe. Godwin Mollel amezungumza na wafamasia kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Jijini Dodoma. Katika hotuba yake Mhe. Naibu Waziri alizungumzia utaratibu wa kazi za wafamasia kwenye maduka ya dawa na gharama za dawa zinazokua kubwa kutokana na ukiritimba kwenye kuingiza dawa hapa nchini.
WAZIRI MKUU WA TANZANIA AKIELEZA KUHUSU WAFAMASIA KUWA NA KURUGENZI KAMILI #wazirimkuu #wafamasia
มุมมอง 5212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAZIRI MKUU WA TANZANIA AKIELEZA KUHUSU WAFAMASIA KUWA NA KURUGENZI KAMILI Mchakato wa kubadilisha muundo wa utumishi serikalini hasa kwa upande wa huduma za dawa ambao moja kwa moja unawahusu wafamasia unaendelea na kwa hali ya sasa kuna haja ya wafamasia kuwa na kurugenzi kamili katika Wizara na Taasisi nyingine ambazo zinaajiri wafamasia. Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amekazia ku...
WAZIRI MKUU AWAMWAGIA SIFA WAFAMASIA WA TANZANIA #wazirimkuu #wafamasia #dawa
มุมมอง 14714 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAZIRI MKUU AWAMWAGIA SIFA WAFAMASIA WA TANZANIA Wafamasia wa Tanzania wamemwagiwa sifa kemkem na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa kutokana na mchango wao kwa mafanikio ya sekta ya afya nchini. Mhe. Waziri Mkuu amewamwagia sifa hizo alipokuwa akihutubia kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha wafamasia Tanzania uliofanyika Jijini Dodoma - Tanz...
AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA WAAJIRI KUHUSU WAFAMASIA #wafamasia #wazirimkuu #pharmacy
มุมมอง 1K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA WAAJIRI KUHUSU WAFAMASIA Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb). ameagiza waajiri wote katika sekta ya umma na binafsi kuhakikisha kwamba wanawagharamia wafamasia walio katika mamlaka zao ili waweze kuhudhuria mikutano ya Chama cha wafamasia Tanzania (PST). Mhe. Waziri Mkuu ameyasema hayo kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa chama c...
WAZIRI MKUU Mhe KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAFAMASIA DODOMA 2024 #wafamasia
มุมมอง 29521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAZIRI MKUU Mhe KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAFAMASIA DODOMA 2024 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Mjaliwa Majaliwa (Mb). amezungumza na Wafamasia katika mkutano mkuu wa chama chao - The Pharmaceutical Society of Tanzania (PST) unaoendelea Jijini Dodoma. Mhe. Waziri mkuu ambae ni mgeni rasmi katika mkutano huo amewapongeza wafamasia kwa mchango wao ka...
MSANII PETER MSECHU NA WAFAMASIA WAKICHEZA KWENYE MKUTANO MKUU WA WAFAMASIA TANZANIA #mkutano #dawa
มุมมอง 17021 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MSANII PETER MSECHU NA WAFAMASIA WAKICHEZA KWENYE MKUTANO MKUU WA WAFAMASIA TANZANIA Tazama jinsi wafamasia walivoungana na mwanamuziki Peter Msechu kucheza wimbo maalumu kwenye mkutano mkuu wa Wafamasia uliofanyika Dodoma Tanzania
MFAMASIA MKONGWE DR ROMUALD MBWASI AKICHANGIA MADA KWENYE MKUTANO MKUU WA WAFAMASIA #mfamasia
มุมมอง 22821 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MFAMASIA MKONGWE DR ROMUALD MBWASI AKICHANGIA MADA KWENYE MKUTANO MKUU WA WAFAMASIA Mada mbalimbali zimeendelea kuwasilishwa kwenye mkutano mkuu wa chama cha wafamasia Tanzania - PST. Moja ya mada zilizowasilishwa ni mchango/ushiriki wa famasi jamii (community pharmacy) kwenye mpango wa Afya kwa wote. (Universal health coverage) Mfamasi mkongwe ambae pia ni mkufunzi katika chuo Kikuu cha St. Jo...
RAIS WA CHAMA CHA WAFAMASIA TANZANIA PST AKISOMA RISALA MBELE YA WAZIRI MKUU WA TANZANIA DODOMA
มุมมอง 23521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RAIS WA CHAMA CHA WAFAMASIA TANZANIA PST AKISOMA RISALA MBELE YA WAZIRI MKUU WA TANZANIA DODOMA Msikilize rais wa Chama cha Wafamasia Tanzania - The Pharmaceutical Society of Tanzania (PST) Mfamasia Fadhili Hezekiah akisoma risala kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha wafamasia uliofanyika Dodoma. Mgeni rasmi katika mkutano huo alikua Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kass...
WAZIRI MKUU WA TANZANIA AKIINGIA KWENYE MKUTANO WA WAFAMASIA DODOMA 2024
มุมมอง 422วันที่ผ่านมา
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Mheshimiwa Waziri Mkuu ni Mgeni Rasmi katika Mkutano huo. #dawa #afya #pharmacy
HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO MAZOEZI TIBA YAPO MPAKA YA VIDOLE #physiotherapy #mazoezi #kilolo
มุมมอง 11214 วันที่ผ่านมา
HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO MAZOEZI TIBA YAPO MPAKA YA VIDOLE Mazoezi tiba yanayotolewa katika hospitali ya Wilaya ya kilolo ni pamoja na yanahusu vidole na kuna vifaa vyake maalumu. Kila mmoja anakua na dose yake kulingana na ukubwa wa tatizo alilo nalo.
WAJAWAZITO NA WALIOPATA STROKE MAZOEZI TIBA YENU YAPO HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO #physiotherapy
มุมมอง 18021 วันที่ผ่านมา
WAJAWAZITO NA WALIOPATA STROKE MAZOEZI TIBA YENU YAPO HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO Katika kitengo cha mazoezi tiba ndani ya Hospitali ya Wilaya ya Kilolo, kuna mazoezi tiba mahususi kwa ajili ya wenye changamoto mbalimbali ikiwemo waliokakamaa mikono kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kiharusi. Sikiliza makala hii mpaka mwisho upate kujionea mengi zaidi ndani ya kitengo cha mazoezi tiba (ph...
HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA MAZOEZI TIBA - PHYSIOTHERAPY #physiotherapy
มุมมอง 24328 วันที่ผ่านมา
HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA MAZOEZI TIBA PHYSIOTHERAPY. Hospitali ya Wilaya ya Kilolo tayari imeanza kutoa huduma za physiotherapy kwa wateja wake. Huduma hii imeanza baada ya kupata baadhi ya vifaa na wataalamu wa kutoa huduma hiyo Wenye uhitaji wa huduma hii mnakaribishwa sana kwenye hospitali ya Wilaya ya Kilolo iliyopo mkoani Iringa. Kwenye makala hii utapata kumuo...
MFAMASIA PROFESSOR KAALE AZUNGUMZA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 SCHOOL OF PHARMACY MUHIMBILI
มุมมอง 111หลายเดือนก่อน
MFAMASIA PROFESSOR KAALE AZUNGUMZA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 SCHOOL OF PHARMACY MUHIMBILI Professor Eliangiringa Kaale wa chuo cha afya na sayansi shirikishi Muhimbili - MUHAS anasema moja ya mafanikio wamayojivunia ni uwepo wa maabara ya Utafiti ambayo yeye ndie mwanzilishi. Shule ya Ufamasia katika chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi Muhimbili itaadhimisha Miaka 50 tangu kuanzish...
MASHINE YA KUTIBU MAGONJWA YA NGOZI YALIYOSHINDIKANA ILIYOPO HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI #ngozi
มุมมอง 368หลายเดือนก่อน
MASHINE YA KUTIBU MAGONJWA YA NGOZI YALIYOSHINDIKANA ILIYOPO HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI #ngozi
KUHUSU MGONJWA KUPEWA DAWA NYINGI BILA SABABU ZA MSINGI #mgonjwa #dawa
มุมมอง 156หลายเดือนก่อน
KUHUSU MGONJWA KUPEWA DAWA NYINGI BILA SABABU ZA MSINGI #mgonjwa #dawa
KATIBU TAWALA MSAIDIZI KAIMU RAS IRINGA AKIZUNGUMZA KUHUSU MAFUNZO KWA WAKAGUZI TMDA #tmda #dawa
มุมมอง 16หลายเดือนก่อน
KATIBU TAWALA MSAIDIZI KAIMU RAS IRINGA AKIZUNGUMZA KUHUSU MAFUNZO KWA WAKAGUZI TMDA #tmda #dawa
MENEJA TMDA KANDA YA KATI AKIZUNGUMZA KUHUSU MAFUNZO KWA WAKAGUZI DAWA NA VIFAA TIBA #Tmda #dawa
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
MENEJA TMDA KANDA YA KATI AKIZUNGUMZA KUHUSU MAFUNZO KWA WAKAGUZI DAWA NA VIFAA TIBA #Tmda #dawa
MTAALAMU WA MAABARA AKIZUNGUMZA KUHUSU MAFUNZO YA UKAGUZI TMDA #tmda #mafunzo #dawa
มุมมอง 47หลายเดือนก่อน
MTAALAMU WA MAABARA AKIZUNGUMZA KUHUSU MAFUNZO YA UKAGUZI TMDA #tmda #mafunzo #dawa
MFAMASIA AKIZUNGUMZA KWENYE MAFUNZO KWA WAKAGUZI DAWA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI TMDA KANDA YA KATI
มุมมอง 212หลายเดือนก่อน
MFAMASIA AKIZUNGUMZA KWENYE MAFUNZO KWA WAKAGUZI DAWA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI TMDA KANDA YA KATI
UTARATIBU WA DAKTARI KUANDIKA DAWA KULINGANA NA NGAZI YA KITUO NA NGAZI YA ELIMU YAKE #dawa #elimu
มุมมอง 286หลายเดือนก่อน
UTARATIBU WA DAKTARI KUANDIKA DAWA KULINGANA NA NGAZI YA KITUO NA NGAZI YA ELIMU YAKE #dawa #elimu
UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO IRINGA #daktari #samiasuluhu
มุมมอง 189หลายเดือนก่อน
UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO IRINGA #daktari #samiasuluhu
KUPANGA MABOX YA DAWA JUU YA MENGINE KWA USAHIHI #dawa #afya #store
มุมมอง 149หลายเดือนก่อน
KUPANGA MABOX YA DAWA JUU YA MENGINE KWA USAHIHI #dawa #afya #store
KATIKA KUTOA DAWA - MEDICINE DISPENSING MAMBO HAYA NI MUHIMU KUYAFAHAMU #dawa #medicine
มุมมอง 327หลายเดือนก่อน
KATIKA KUTOA DAWA - MEDICINE DISPENSING MAMBO HAYA NI MUHIMU KUYAFAHAMU #dawa #medicine
MIAKA 50 YA SHULE YA UFAMASIA KATIKA CHUO KIKUU CHA AFYA MUHIMBILI MUHAS
มุมมอง 3722 หลายเดือนก่อน
MIAKA 50 YA SHULE YA UFAMASIA KATIKA CHUO KIKUU CHA AFYA MUHIMBILI MUHAS
JINSI YA KUPANGA VIZURI MABOX YA DAWA NA VIFAA TIBA #dawa #vifaatiba #box
มุมมอง 1672 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUPANGA VIZURI MABOX YA DAWA NA VIFAA TIBA #dawa #vifaatiba #box
MFAMASIA BORA WA MWAKA TANZANIA PHARMACIST OF THE YEAR
มุมมอง 3722 หลายเดือนก่อน
MFAMASIA BORA WA MWAKA TANZANIA PHARMACIST OF THE YEAR
MRISHO MPOTO AKIIMBA KWA UBUNIFU MKUBWA KUHUSU M MAMA KWENYE TANZANIA HEALTH SUMMIT ZANZIBAR #mama
มุมมอง 1862 หลายเดือนก่อน
MRISHO MPOTO AKIIMBA KWA UBUNIFU MKUBWA KUHUSU M MAMA KWENYE TANZANIA HEALTH SUMMIT ZANZIBAR #mama
JINSI YA KUFANYA MAHESABU YA DOSE YA DAWA YA AMOXICILLIN ATAKAYOTUMIA MGONJWA KWENYE AMOXCLAV #dawa
มุมมอง 2532 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUFANYA MAHESABU YA DOSE YA DAWA YA AMOXICILLIN ATAKAYOTUMIA MGONJWA KWENYE AMOXCLAV #dawa
Me nmathirika wa matangatango je naweza kutumia dawa Gani?
Nitalitendea haki tiba hii sio kwakuteseka huku doctor shukrani
Je nursing and midiwifry hawez nielekeza
Camera hujakaa angel nzuri,unarekod ukiwa umekaa kwenye bench nyuma ya watu Hatumuoni vzr waziri,hatuoni flow ya mbele,camera haimove tukaona na maeneo mengine,imestick kuangalia angle moja tu! Maudhui mazuri,lkn bado kwenye video casting
Shukrani sana Kwa observation na feedback tutaboresha Mkuu.
Asante docter
Karibu
Asante Dr naomba namba za Daktari
Mini na mimba lkn nauwa tumbo sana
Tumefurahia sana kuwepo pamoja nae tumejifunza mengi sana huko
Sure. Mheshimiwa Waziri mkuu ametuheshimisha sana
Has was nice bahati kubwa sana kumuona😊😊@@pdkgeneration
Hali yako doctor mm nina changamoto mafua yangu hayatoki kwa puani yanakaa koon na kuletea harufu hapo mpaka niyatoe km makohoz please naomba ushauri nn nifanye
Doctor naomba unisaidie natokwa uchafu wa njano ukeni na wenye harufu kari nikipima naambiwa UTI napewa dawa lkn siponi mpk naskia kuchoka nisaidie tafadhal sisikii maumivu yeyote yale ila natokwa uchafu
mm nilishapewa nanikatumia kunywa docta kuna madhara
Naomba kitabu Cha reference Tanzania medicine index
Naomba soft copy ya kitabu Cha Tanzania medicine index
Ninahitaji kitabu Cha reference
Nakubli
Asante
Mm nimeenda hospital kanichoma sndano ya makalio ananiamby ndyo hyo dclofenac nahis maumiv kiunon na miguun naomb msaada
je daw gani inawez kunisaidia kutbu fangs ukeni ile yakupachika ah yakunyw naomba msaada
4:12 je ITU ikikomaa inawez sababish uchfu kutoka ukeni 5:07
Kazi iendelee❤❤❤
Mitano tena
Na shida na dawa ya fangasi kwenye korodan
Doktor mwanangu anasumbuliwa nakikohoz cha marakwamara je tatizo ninini
Umefundisha vizur kabic yn
Shukrani sana
Nikweli nidawa yajino
Asante, na wewe uliwahi kutumia nin?
Naomba namba
0768666353
Docta naomba msaada wako, nimetokewq na mapele shingoni na yamezunguka hadi yanaelekea usoni na tayari yamefika masikioni na mgongoni,,naomba unielekeze dawa Docta maana haya mapele yana uma sana na yana sambaa
Namba zako dokta
0768666353
Iyo dawa inaitwaje
Habali nahitaji tuwasliane nataka huduma
Azuma
Asante doctor
Nice presentation
Thank you! Cheers!
😂😂 ❤ mtaalamu
Mtaalamu katisha
Unapatikana wapi
Iringa
Doctor samahan Mimi nameza dawa za kuondoa mabaka mabaka mwili je nikinywa na maziwa sitoalibu dozii
Unaweza kutaja Jina la dawa hiyo tafadhali?
Me jaman napata maumivu mkali mpaka kwenye koo
Doctor naomba unisaidie nitumie nn ili kutoa kitambi na manyama uzembe
Hongera msajili Paul biseko
Saf sanaaa
This is nice.. hongera sana pharm Biseko 😊
Asant Doctor kwa kutupa ushauri nitajaribu nione matekeo
Madini haya nimepata kwako tuuu
Tunamshukuru kaka
Asantee kk elimu kubwa
Asante kaka kazi yako n njema
Good laboratory
Sure! And very useful
Dermatology,, unaweza kusaiti mfano wa haya magonjwa mtaalamu
Ni kama vile Vitiligo, psoriasis etc
Thankyou @pdkgeneration , nimepata kufahamu
Dr je maziwa yanaweza kujaa kama mjamzito nisaidie mimi au ndo dalili za mimba na nimetumia hiy p2
Nimeelewa vzur xx...😂
Safi, hongera kwa kuelewa vizuri
Very helpful ❤,
Thank you 🙏
Jina la dawa
Namshukuru Mungu nimedumu kuwa mshauri kwa wagonjwa wangu na they love me kiukweli,hasa wale wanaozingatia ushauri wangu.Tamaa ya pesa ndo inaponza watu
Excellent, hongera sana na Mungu aendelee kukubariki🙏