Acha kudanganya watu ujenzi wa tofari za kuchoma ni imara sana na unagarama kubwa kuliko za cement kwa nini nasema hivyo 1. Nyumba ya kutumia tofari elfu 3 za cement choma unatumia elfu 13 2. Cement unaweza kutumia mifuko ata 50 kwenye choma badara ya 25 kwenye Brock za cement 3.lipu inachukua cement kubwa sana ukilinganisha na za cement 4. Usumbufu wa muda unakuwa mrefu kuzijenga unakaa site mda mrefu ukilinganisha na izo za cement na mengine mengi .
Mambo kaka samahani lakini mie nilikuwa naombi, ungekuwa unatoonyesha na ndani kama yule kaka mwingine anavyofanya wa sanuka media hii pia itapelekea video zako kuwa ndefu
Mpaka apo ilipofikia imebeba tofali ngap bati ngap na mbao ngap ndugu
Nmependa ilivo lkn mbn ngz n z kawaida hazirizishii
Kweli Asante kwa maoni
How please namba yenu
Mpaka hapo imegali sh ngap ?
Ungekua kenya tungeonana,,,
Muoneka wa hizo ngazi sio mzuri na ukuta wake
Mwenye jengo alidai huo ndo muonekano aliopendekeza
Hata Mimi sikuupenda Ila mwenye jengo alazimisha hivyo
MUNGU anawaona
Mnamfukuza kocha kwa kufungwa gemu 2 tafuteni nakocha mwengine wa hakiba mana bado lipigo kinaendela
Tabu Iko pale pale musijifariji
Tofar ngapi zimetumika
Tatizo unachukuaga picha fupi mm sipendi
Umeacha nchi ngapi hapo nje ya msingi
Saf saan
Bati 50 ht jiko hakuna weee😂😂😂😂
Huu uchafu huoni aibu kuuweka humu?
Asante kwa kukoment
Hv wtz akiri zetu zikoje,,eneo zueu mnashindwa nini kujipanga vzr, mkaweka barabara za mitaa,
We nae ni wawapi
Jiver🎉🎉 mimi rinu nimependa sana kaz nzur
Kazi nzuri sana
Nitumie namba zenu
Namb
shida hamtoi namba
Muwarabu vip nahitaji na mm ramani moja ya vimba vitano
🎉🎉🎉🎉
Mnapatikana wapi?
Acha kudanganya watu ujenzi wa tofari za kuchoma ni imara sana na unagarama kubwa kuliko za cement kwa nini nasema hivyo 1. Nyumba ya kutumia tofari elfu 3 za cement choma unatumia elfu 13 2. Cement unaweza kutumia mifuko ata 50 kwenye choma badara ya 25 kwenye Brock za cement 3.lipu inachukua cement kubwa sana ukilinganisha na za cement 4. Usumbufu wa muda unakuwa mrefu kuzijenga unakaa site mda mrefu ukilinganisha na izo za cement na mengine mengi .
Asante kwa kukoment endelea kuangalia channel yetu
Uko pow wanawane
Kaka hii nyumba umeijenga kuanzia msingi mpaka hapo?
Ndioo
Naomba namba
Kweli kaka kazi nzuri sana
Asante
Mambo kaka samahani lakini mie nilikuwa naombi, ungekuwa unatoonyesha na ndani kama yule kaka mwingine anavyofanya wa sanuka media hii pia itapelekea video zako kuwa ndefu
Asante kwa maoni yako
Naomb namb yako
Sawa
Hillo tofal limepgwa kabilo ubavun tu
Kazi nzuri ila uwe unaonesha na mikato ya ndani mkuu
Sawa
Naomba namba
Naomb kuon sehem ya jiko dain na sebulen muonekanowak
Naomba namba yako
Iv ukitk kuezk vymb v4 unaezk kwa bt ngp n mbao ngp
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Ni bei gani
Asante
Mpka hapo ni sh ngap boss
Hiiyo nyumba garama yake kwaujumla nishingap
Mbao chache alafubinakuja kuvuja
Unatia kinyaaa dana hiyo.miziki ya nini
Asante kwa kucoment
Nondo ngap umetumia mpk juu
Nmeipenda buree kazi yenu Bei zenu zikoje✌️🤪
Hahahaha mpigie meneja wasaap mo 0766555867
Nyumba ya vyumba 3 ukumbi jiko sehem ya kulia chakula ni gar ngapi za mawe
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Pamoja
Asante