Ubajuni Halisi
Ubajuni Halisi
  • 6
  • 18 015

วีดีโอ

Utamaduni wa wabajuni pt 1 - Abubakar KuchiUtamaduni wa wabajuni pt 1 - Abubakar Kuchi
Utamaduni wa wabajuni pt 1 - Abubakar Kuchi
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
historia za kibajuni by sheikh Shamy Athman Mshamu Al-azzdy.
Matumbuko ya kabila ya BajuniMatumbuko ya kabila ya Bajuni
Matumbuko ya kabila ya Bajuni
มุมมอง 5K4 ปีที่แล้ว
ufahamu juu ya makabila ya kiarabuufahamu juu ya makabila ya kiarabu
ufahamu juu ya makabila ya kiarabu
มุมมอง 1.1K4 ปีที่แล้ว
sheikh shamy Athman Mshamu Al-azzdy
mbajuni ni nani na ametoka wapimbajuni ni nani na ametoka wapi
mbajuni ni nani na ametoka wapi
มุมมอง 3.2K4 ปีที่แล้ว
host : sheikh Shamy Athman Mshamu Al-azzdy tel: 254722456385 production: shermey clicks prod. tel: 254716211891
Binti wa Jun alieolewa na MtumeBinti wa Jun alieolewa na Mtume
Binti wa Jun alieolewa na Mtume
มุมมอง 8735 ปีที่แล้ว
Host: sheikh Shamy Athman. Tel: 254722456385 Prod: shermey clicks prod. 254716211891

ความคิดเห็น

  • @kindi4926
    @kindi4926 24 วันที่ผ่านมา

    Kwani waswahili wanatoka wapi au walichumbuka kutoka kwa miamba au mbegu chini ya ardhi ya 'Africa'?

  • @abdulqadirissa2535
    @abdulqadirissa2535 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana ustad shami jazakalah kher

  • @kassimabdilatif1802
    @kassimabdilatif1802 9 หลายเดือนก่อน

    Mwana historia za asili za watu mwenyewe kuaminika Ni ibn Kathir. Na yeye hana hio historia kwenye vitabu vyake. Hiyo history ya Al Baghdadi haingii akilini. Alama nyingi zinaonyesha Wabajuni ni chimbuko la Waswahili. Kwanza huyu Al Baghdadi aliwahi kufika East Africa coast? Ibn Batuta aliwahi kuja east Africa na tayari alikuta Waswahili. Utaandika vipi historia ya watu wa mahali ambapo mahali hapo hujafika. Sielewi.

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 10 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jaggerjack30
    @jaggerjack30 11 หลายเดือนก่อน

    Bajuni hawawezi kuwa warabu. Ninyi mnafikiri kujumuika na waarabu, ni kitu ya sifa, sisi ni wenyewe ukoo ya waswahili, hii ni ufisadi.. bajuni ni nyeusi sio warabu 😢😢😢. Fake history

  • @فاطمةفايز-غ1غ
    @فاطمةفايز-غ1غ ปีที่แล้ว

    Wa bajuni hoyyyeee❤

  • @abubashir3475
    @abubashir3475 ปีที่แล้ว

    أفتخر بأنني باجوني

  • @ZackOthman
    @ZackOthman ปีที่แล้ว

    Nawatazama wabajuni kwani nahx ni watanzania

  • @tenasiotena4600
    @tenasiotena4600 2 ปีที่แล้ว

    acheni ukabila

  • @aboutaki6039
    @aboutaki6039 2 ปีที่แล้ว

    سبحان الله من أين أنتم كلامكم يشبه كلامنا و شكلكم شكلنا كذلك الملبس

  • @mulhatfamau6811
    @mulhatfamau6811 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @kizare1
    @kizare1 2 ปีที่แล้ว

    Asalamu alykum naomba number za huyu mzee tafadhali

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @mkokotonitv4143
    @mkokotonitv4143 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 2 ปีที่แล้ว

    Thank you maalim

  • @princematumbo
    @princematumbo 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah,tarikh nzuri sana Ustadh Shamy twaomba uendelee kutupa elim Zaidi.

  • @ramzaomar3067
    @ramzaomar3067 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa ALLAH, nimefurahi sana kwa hii tarekh uliyo itoa kwa mukhtasari,jazaka llahu khairan kathira.

  • @jessendegwahmusic488
    @jessendegwahmusic488 2 ปีที่แล้ว

    Nimesoma mengi mwahistoria

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah

  • @swabiryussuf7107
    @swabiryussuf7107 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @fannimohamed364
    @fannimohamed364 3 ปีที่แล้ว

    i love my culture

  • @fudududuwaduwa5812
    @fudududuwaduwa5812 3 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah kwa elimu ya kwechu

  • @fudududuwaduwa5812
    @fudududuwaduwa5812 3 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah kazi mzuri

  • @abdikadirmagego7868
    @abdikadirmagego7868 3 ปีที่แล้ว

    masha allah. Allah awape nguvu waze wetu ili mueze ku utukuza ubajuni

  • @rajabessa3675
    @rajabessa3675 3 ปีที่แล้ว

    Proud Bajun 🤸

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mpemba lakini great grandfather alitokea pate Island. Alituachia family tree. Je watu wa pate Island ni katika kabila la kibajuni?

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 2 ปีที่แล้ว

      Kama babu yenu alitoka pate ndio nyie ni wa Amu, wabajuni

    • @hudaasaalim1333
      @hudaasaalim1333 2 ปีที่แล้ว

      @@eastzooadmin6416 shukran

    • @abeidsalin9700
      @abeidsalin9700 2 ปีที่แล้ว

      Wa pate ni wabajuni Wa lamu mi wabajuni Wa siu ni wabajuni

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 3 ปีที่แล้ว

    A alkm, waugwana, tuoneshi vazi la kibajun, kwa mifano

  • @farhatislam6550
    @farhatislam6550 3 ปีที่แล้ว

    Maa shaa allah..babu muata asili ni mchumwa..ubajuni utukuzwe.

  • @farhatislam6550
    @farhatislam6550 3 ปีที่แล้ว

    Maa shaa allah..shukran babu..hata ukisoa kuna nyimbo yake..ngoma mwee ngoma ki bibi wangu wa kae nikupe wangu wasia nawsia nikupao kiovona simba kimbia 😆

  • @kingxagargeel1960
    @kingxagargeel1960 3 ปีที่แล้ว

    Banuni good people

  • @rukiahussein7058
    @rukiahussein7058 3 ปีที่แล้ว

    Kibajuni kitukutwe

  • @hudheifaomar2370
    @hudheifaomar2370 4 ปีที่แล้ว

    Allah akujazi kheri ustadh shamy

  • @hudheifaomar2370
    @hudheifaomar2370 4 ปีที่แล้ว

    Tupe tupe mkombozi wabajuni tunasubiria part 2...

  • @hudheifaomar2370
    @hudheifaomar2370 4 ปีที่แล้ว

    Mashllah...👍