- 20
- 157 494
EL SHADDAI CHOIR DODOMA
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 29 พ.ย. 2021
"Mpeni Bwana, enyi wana wa Mungu … Mpeni Bwana utukufu kwa jina lake. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu" (Zab 29:1-2) Msifuni Bwana kwa kuwa Bwana ni mwema, liimbieni Jina lake, kwakuwa lapendeza.(Zaburi 135:3).
Ebenezer (Live performing) - El Shaddai Choir Dodoma
Ebenezer (Live performing) - El Shaddai Choir Dodoma
มุมมอง: 4 941
วีดีโอ
Mtetezi - El Shaddai Choir Dodoma
มุมมอง 4.8Kปีที่แล้ว
Bwana akutetee,akupiganie katika mapito yote unayopitia.aliyepanga kukuharibu ataharibikiwa mwenyewe.BWANA atakupigania nawe utakaa kimya.Subscribe Share na Comment
DHAMBI NI DHAMBI - EL SHADDAI CHOIR DODOMA
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
Dhambi zote ni Sawa,Lazima tujiepushe nazo zote tusichague aina ya Dhambi.Huu ni wimbo unaokukumbusha maisha ya Utakatifu ya kumpendeza MUNGU.Barikiwa sana na wimbo huu,Usisahau ku Subscribe. @TumainiShangilieniChoir @EfathaChoirUhuruMoravian @NeemaGospelChoir @mgogosinger @ezekielmakililo
Kimbilio na Nguvu - El Shaddai Choir Dodoma
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
Jitahidi kukaa na YESU Ili uwe Salama.Tufani ikivuma atakuficha mikononi mwake.MUNGU AKUBARIKI Kwa kutazama video ya wimbo huu.endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya Kijamii Facebook na Instagram Kwa Jina la EL SHADDAI CHOIR DODOMA.Usisahau ku Subscribe @NeemaGospelChoir @EfathaChoirUhuruMoravian @ @mgogosinger
Ni Ajabu - El Shaddai Choir Dodoma
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
Yale anayotenda Mungu Ni Ajabu sana.Alipasua bahari Israel wakapita,Ngome za Yeriko zilivunjika,wakoma wanatakasika.Kweli Ni Ajabu.Mfurahie MUNGU Kwa wimbo huu mzuri wa Sifa za BWANA. Tunaomba Subscribe Share na Comment Mungu AKUBARIKI. @NeemaGospelChoir @TumainiShangilieniChoir @EfathaChoirUhuruMoravian @edenchoirtabatamoravian6905 @mgogosinger @ezekielmakililo @myjoyouscelebration. @essenceof...
Tutashinda - El Shaddai Choir Dodoma.
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
MUNGU haogopi Ukubwa wa tatizo,yeye ndiye Kiboko ya Matatizo.Ukiliambia tatizo Ukubwa wa MUNGU utalishinda.Karibu Ubarikiwe na wimbo huu utakao kusaidia kuvuka Kwa Ushindi.
SHANGWE (Live Music video) - El Shaddai Choir Dodoma #gospelmusic #tanzaniagospel #eastafrica
มุมมอง 24K2 ปีที่แล้ว
Sifa za Bwana zimevuma,Mataifa yote yameona Ukubwa wake. @NeemaGospelChoir @TumainiShangilieniChoir @pastortumaini @MCShedo @EfathaChoirUhuruMoravian @paradisechoirruandamoravia4726 @uvukekwayakanisakuu-anglic9603 @ezekielmakililo @mgogosinger @christophermwahangilaofficial @rosemuhandoofficial5676 @cshusho @joellwaga @essenceofworshipministries @gwamakamwakalinga6705 @boazdanken @rehemasimfukw...
MAOMBI - ElShaddai Choir Dodoma(Official Live Music)
มุมมอง 18K2 ปีที่แล้ว
Jawabu la kila hitaji tulilo nalo au ulilo nalo kwa MUNGU lipo kwenye maombi,na katika Neno la MUNGU.Maombi na Neno la MUNGU ndiyo njia rahisi itakayokusaidia Kuzungumza na MUNGU umweleze shida zako,ili aweze kukusaidia.Wimbo huu wa maombi unakuhamasisha na kukufundisha kuomba,unapokuwa katika nyakati za shida Uombe hata ukiona majibu yako ni kama yamechelewa bado uendelee kuomba maana MUNGU ha...
Yesu Nakupenda - El Shaddai Choir Dodoma(Official Live Music)
มุมมอง 34K2 ปีที่แล้ว
#DodomaTanzania #ElshaddaiChoir2022 #GospelMusic #Daressalaam Yesu ni rafiki anayeingia wakati Dunia ikitoka(Yohana 8:3-11)Tunaona habari za mwanamke aliyefumaniwa na watu wote wakaenda kinyume nae wakataka kumuua,Dunia ilitoka,haikuwa upande wake,ila YESU akaingia akamponya na Kifo akaenda kwa amani.Wakati Dunia inapokuona haufai YESU anakuona wa thamani.Upendo wa YESU ni Upendo wa pekee na Kw...
Furaha Moyoni (Live music Video) - El Shaddai Choir Dodoma.
มุมมอง 21K2 ปีที่แล้ว
Tulipokosa furaha wanadamu,tulipokuwa katika Utumwa wa dhambi,YESU hakuwa na furaha akamwambia Baba Nitume mimi nikawaokoe wanadamu,Furaha ya YESU ilitimilika alipomaliza kazi ya Ukombozi wa mwanadamu kwa Kuutoa uhai wake ili mwanadamu akombolewe.Hapo tunajifunza kwamba Uzuri wa maisha yako sio kwa sababu tu una furaha ila kwa sababu wengine wana furaha kwa ajili yako. Yeye mwenyewe alizichukua...
UZINDUZI WA DVD "FURAHA MOYONI" 24 APRIL, 2022.
มุมมอง 3852 ปีที่แล้ว
Sikiliza C-FM 103.3 Radio kila siku kwa Juma hili lote upate habari zaidi kuhusu CHAKULA CHA HISANI Jumamosi 23 April, 2022 na Jumapili 24 April, 2022 Siku ya Uzinduzi wa Albam Mpya! TIKETI ZA DINNER PARTY: 30,000/= Kawaida 50,000/= VIP 200,000/= Meza ya watu Watano/ Familia Maeneo ya Upatikanaji wa Tiketi: 1. Anglikana Kanisa Kuu (Sinzo stationery) 2. Mackay House (Ghorofa ya Kwanza, Chumba na...
MAOMBI - El Shaddai choir Dodoma(Audio)
มุมมอง 3.4K2 ปีที่แล้ว
MAOMBI - El Shaddai choir Dodoma(Audio)
Mwl. Fadhiri chibago Barikiwa sana nakukumbuka sana, mwaka 2011 preform one makuru education centre
🎉 2:08
Mbalikiwe sana watumishi wa Mungu ❤❤❤
Lovely Song. Keep going
Nawapenda sana
Hallelujah! What a song...UMERUDISHA FURAHA MOYONI...
Wimbo wenye ushindi ndani yake, Mungu awabariki sana
Mungu awajalie maisha malefu katika kumtumikia katika uimbaji. By Dcn.Joshua from Mara-Musoma
Mbalikiwe sana
Ndugu jipe moyo bwan bado yupo nawe 🫂🫂
Umerudisha furaha moyoni 💥💥💥💚💚
EL Shadai, nawapenda sana.
Amen Mungu awabariki Sana WATUMISHI wanakwaya wote wa El shadai
Amina mtu wa Mungu
Nataman hata kulia ❤❤ hakika amepiga ngurumo mshindo mkubwa HATA SASA ni EBENEZER
Usiyazuie machozi,Ukisikia Kulia Lia tu,MUNGU atayaona machozi Yako.Ubarikiwe sana Kwa comment
Afu jamaa kapoa no mbwebwee dah ukibarikiwa sauti bana
Naaamh majambo Mungu anapendaa haya dah Mungu aendelee kuwatumiaa
Good vocal mdogowangu, God bless you.
🔥🔥🔥🔥
Mmetisha
Tokoss
Tokoss
Kazi Nzuri watumishi
Ebeneza hats Sasa umetusaidia huwa nabarikiwa sana na huduma yanu mungu awabark sana
Amina,Asante Kwa comment.Mungu akubariki sana
Ujumbe mzur san mungu ambariki mtunzi💥
❤🎶🎼
Daa God bless your job ,amina amina asante sana bro chibago
Yesu nakupenda ❤
Mungu awabariki katika kila jambo jema mtakalo panga kulifanya👏
Hakika Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi na zaidi
Tokosss
mungu azidi kuwatangulia mnatubariki kwa kweli✋
Glory to our almighty God❤
Amen
Elshadai kwa Tanzania mnahesabika sana na mmevuma sana heshima kwenu na mafundi wa kuimba elshadai nahitaji sana kujifunza kutoka kwenu
Karibu sana Mtu wa Mungu
Amina,Barikiwa sana Mtu wa Mungu na karibu sana ELSD
One love elishadai
Amen
Mkopow
Mko vizuri sana
Mungu atukuzwe ❤
Mbarikiwe hakika Yesu amerudisha furaha moyoni
Fadhili chibago one of the most annointed man of God. You might have forgotten but you were the first to lead me to Jesus I respect you my brother ❤
Hakika wewe ni ebeneza
Amina
NAUPENDA SANA HUU WIMBO SIJUI MTINZI WA HUU WIMBO ANAJUA AMETUHUBIRI. FADHIRI MUNGU AKUBARIKI MIMI ARON MWAKAPAKULA M/KITI PARADISE CHOIR MBEYA
One among the Best Choir in Town.....Mungu awabariki sana
I love El Shaddai so much
🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana. Tunaponywa na nyimbo zenu.
Nawapenda sana, wimbo mauricio sana!,May God bless you
Mbarikiwe Sana
Unaipenda sana hii kwaya nyimbo zake zimetulia,zinaujumbe unaofundisha,zaidi ya yote wanaimba kitaalam sana kwa mpangilio uliosawia,vyombo vinapigwa kwa mpangilio,hongereni sana .Elishadai
Napenda kujiunga utaratibu wenu ukoje?🙏
Karibu sana,Utaratibu utaujua hukuhuku,tunakukaribisha sana