Swahilix
Swahilix
  • 48
  • 705 009
Top 20 Alama Maarufu Zaidi Duniani
Alama 20 maarufu zaidi duniani zinazoweza kutambulisha nchi mbalimbali duniani kutokana na upekee wake! Kutoka kwenye mlima mkubwa zaidi barani afrika Kilimanjaro hadi miujiza ya kihistoria kama Piramidi za Giza vyote hivi ni moja wapo ya vielelezo vikubwa duniani vinavyo zitambulisha nchi tofauti tofauti duniani, Utajiona alama zinazovutia mamilioni ya watu kila mwaka.
⏱️⏱️
00:00 - Intro
00:24 - Eiffel Tower, Paris, France
00:46 - Taj Mahal, Agra, India
01:04 - Machu Picchu, Peru
01:23 - Great Wall of China, China
01:38 - Statue of Liberty, New York City, USA
01:57 - Colosseum, Rome, Italy
01:14 - Pyramids of Giza, Cairo, Egypt
02:33 - Sydney Opera House, Sydney, Australia
02:50 - Petra, Jordan
03:30 - Mount Kilimanjaro, Tanzania
03:25 - The Christ the Redeemer Statue, Rio de Janeiro, Brazil
03:40 - The Golden Gate Bridge, San Francisco, USA
04:01 - Leaning Tower of Pisa, Pisa, Italy
04:16 - Burj khalifa, Dubai
04:33 - Saint Basil's Cathedral, Moscow, Russia
04:48 - Mecca, Saudi Arabia
05:03 - Big Ben, London
05:15 - Stonehenge, England
05:30 - El Castillo, Chichen Itza, Mexico
05:44 - White House, USA
#landmarks #unesco #world
มุมมอง: 248

วีดีโอ

Top 5 Wasanii Wenye Kesi Kama P Diddy
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
Katika video hii, nimechambua kesi kubwa zilizowakumba wasanii watano maarufu kama Tupac Shakur, Suge Knight, Chris Brown, R. Kelly, na P. Diddy. Kutoka kwa mashambulio ya kupiga wanawake hadi mashtaka ya unyanyasaji wa kingono, tutachunguza jinsi majina haya makubwa yalivyokutana na sheria na wengine kuishia gerezani. P. Diddy, akiwa bado anakabiliwa na mashtaka mapya mwaka huu wa 2024, na ana...
TOP 10 Makombora Na Silaha Hatari Zaidi Israel
มุมมอง 84121 วันที่ผ่านมา
Karibu Katika video hii, ambayo tumekuletea orodha ya silaha 10 hatari zaidi zinazotumiwa na Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF). Tumeorodhesha mifumo ya ulinzi wa anga wa Iron Dome hadi bunduki ya za Tavor na tanki za Merkava, tumekuchambulia teknolojia za kisasa zinazolifanya jeshi la Israel kuwa moja ya majeshi yenye nguvu zaidi duniani. Na pia usiache kuangalia video hii hadi mwisho ili ujifunz...
Top 10 MAJESHI Hatari Zaidi Barani Africa (2024)
มุมมอง 143K28 วันที่ผ่านมา
Katika video hii, tunachambua majeshi 10 yenye nguvu zaidi barani Afrika kwa kuzingatia bajeti zao za ulinzi, idadi ya wanajeshi, na vifaa vyao vya kisasa vya kijeshi. Tutaangazia nchi kama Misri, Algeria, Afrika Kusini, Nigeria, na nyingine nyingi ambazo zinaongoza kwenye nguvu za kijeshi barani Afrika. Tafadhali jiunge nasi katika safari hii ya kijeshi na ujifunze zaidi kuhusu nguvu za majesh...
MASTAA Wenye Followers Wengi Zaidi INSTAGRAM
มุมมอง 158หลายเดือนก่อน
Karibu kwenye Swahilix Channel! Katika video hii, tunakuletea orodha ya watu 10 wenye followers wengi zaidi duniani kwenye Instagram kwa mwaka 2024. Kutoka kwa mastaa wa muziki, filamu, hadi wachezaji wa soka maarufu, tutaangazia kila mmoja kuanzia Justin Bieber,Selena Gomez, Kylie Jenner, Dwayne The Rock, Ariana Grande, Kim Kardashian West, Beyoncé, Khloé Kardashian ,Lionel Messi, hadi Cristia...
Top 10 TRENI Zenye Kasi Zaidi Duniani (2024)
มุมมอง 53Kหลายเดือนก่อน
Orodha ya treni 10 zenye kasi zaidi duniani mwaka 2024. Tutaangalia treni ya Fuxing Hao kutoka China inayotembea kwa kasi ya kilometa 300 kwa saa hadi Japan Maglev inayofikia kasi ya ajabu ya kilometa 603 kwa saa, tumekusanya orodha bora ya treni ambazo zitakuacha mdomo wazi. Hakikisha unabonyeza subscribe na kuwasha kengele ya taarifa ili usikose maudhui yetu ya kipekee tunayoweka kila wiki. T...
Top 10 Wasanii Bora wa Hip Hop Tanzania
มุมมอง 2.9Kหลายเดือนก่อน
Katika video hii, tumekuletea orodha ya wasanii 10 bora wa HIP HOP wa muda wote Tanzania. Tazama jinsi legends wa game hii ya Bongo hip hop walivyotengeneza historia na kuacha alama isiyofutika kwenye muziki wa Hip Hop nchini. Usikose ku-subscribe ili uendelee kupata countdown za mastaa wakali zaidi. MARAPA Bora Wa Muda Wote Tanzania 00:00 - Intro 00:19 - Msanii Mwana FA 00:41 - Msanii AY 01:04...
Nchi Zenye Bendera Nzuri Zaidi Africa
มุมมอง 796หลายเดือนก่อน
Karibu kwenye Watulisty! Katika video hii, tunakuletea orodha ya Bendera 10 Nzuri Zaidi Barani Afrika. Kutoka kwenye rangi zinazovutia hadi miundo ya kipekee, tutaangalia bendera zinazojivunia historia na maana za kina. Hakikisha unabonyeza subscribe ili usikose maudhui yetu zaidi. Tafadhali tazama mpaka mwisho, like, na toa maoni yako-bendera ipi unadhani inastahili kuwa namba moja? Nchi Zenye...
Top 10 Watu wa Ajabu Zaidi Duniani
มุมมอง 4262 หลายเดือนก่อน
Katika video hii, tumekuletea orodha ya watu 10 waajabu zaidi duniani ambao wameshangaza ulimwengu kwa sababu ya uwezo wao wa kipekee, hali za nadra, na maisha yasiyo ya kawaida. Kutana mtu mrefu zaidi duniani, mwanamke mfupi zaidi, wengine wakushangaza katika ulimwengu haya ni maajabu ambayo huwezi kuamini kama kweli yapo lakini kiuharisia yapo. Hakikisha unaangalia hadi mwisho kujua kuhusu wa...
TOP 5 Mabasi Bora Zaidi Tanzania (2024)
มุมมอง 4.6K2 หลายเดือนก่อน
Katika video hii, tumekuletea orodha ya mabasi bora zaidi Tanzania mwaka 2024, Tumechambua na kukuletea orodha ya mabasi matano bora zaidi ya mwaka 2024! Tazama video hii uone ni mabasi gani yanayoweza kukupatia huduma bora na za kifahari, usalama wa hali ya juu, na safari za kufurahisha. Usikose kutazama hadi mwisho ili kujua nani ameibuka kinara! Safari yako ya habari inaanzia hapa. Orodha ya...
List ya Wasanii Bora Zaidi Tanzania Mwaka 2024
มุมมอง 5442 หลายเดือนก่อน
Leo nimeandaa list fupi ya Wasanii 10 bora zaidi tanzania 2024, ikiwa ukaniuliza ni wanamuziki gani au wasanii gani ni bora zaidi ndani ya mwaka 2024 basi siwezi acha kukutajia wasanii hawa waliofanya vizuri zaidi katika tasnia ya muziki wa bongo fleva kwa mwaka huu. hivyo usiache kutazama hadi mwisho ili kujua nani yupo ndani. #top10 #ibraah #billnass #younglunya #mbosso #jaymelody #nandy #har...
Wasanii Wanaovutia Zaidi Tanzania 2024
มุมมอง 8332 หลายเดือนก่อน
Karibu kwenye video yetu inayofunua listi ya wasanii 10 walioonekana kuwa ma 'handsome boy' zaidi Tanzania kwa mwaka 2024! Kutoka kwa nyota wa muziki wa Bongo Fleva hadi kwa wakali wa Hip Hop, tumejumuisha wasanii ambao sio tu kwamba wana vipaji, lakini pia wanavutia kwa muonekano wao wa kipekee. Je, unakubaliana na orodha yetu? Tazama video nzima na toa maoni yako. Wanamuziki Ma Handsome Tanza...
Wasanii 10 Africa Wenye Followers Wengi Instagram
มุมมอง 5812 หลายเดือนก่อน
Karibu kwenye video yetu ya Leo, ambapo tumekuletea Orodha ya Wanamuziki 10 wenye followers wengi zaidi Instagram mwaka 2024! Tazama jinsi wasanii wakubwa kama Davido, Wizkid, Diamond Platnumz, na wengine wanavyoendelea kutawala mitandao ya kijamii. Usiache ku-like, ku-share, na ku-subscribe Kwa maudhui zaidi ya burudani na muziki. Wasanii wenye followers wengi Instagram 2024 00:00 - Intro 00:2...
Majeshi Yenye Nguvu Zaidi Duniani (Top 10)
มุมมอง 1.8K2 หลายเดือนก่อน
Majeshi Yenye Nguvu Zaidi Duniani (Top 10)
Wasanii 10 Bora Zaidi Africa 2024
มุมมอง 13K2 หลายเดือนก่อน
Wasanii 10 Bora Zaidi Africa 2024
Top 10 Nchi Zenye Ma Handsome Zaidi Africa 2024
มุมมอง 2.6K2 หลายเดือนก่อน
Top 10 Nchi Zenye Ma Handsome Zaidi Africa 2024
Siri Za Utajiri Wa Mwanamuziki (Jay Z)
มุมมอง 1672 หลายเดือนก่อน
Siri Za Utajiri Wa Mwanamuziki (Jay Z)
List ya Wanamuziki Tajiri Zaidi Tanzania 2024
มุมมอง 101K2 หลายเดือนก่อน
List ya Wanamuziki Tajiri Zaidi Tanzania 2024
Top 10 WASANII Wazuri Zaidi Tanzania Zuchu, Nandy, Hamisa
มุมมอง 6K2 หลายเดือนก่อน
Top 10 WASANII Wazuri Zaidi Tanzania Zuchu, Nandy, Hamisa
Wana Soka Tajiri Zaidi Africa 2024
มุมมอง 1542 หลายเดือนก่อน
Wana Soka Tajiri Zaidi Africa 2024
Hawa Ndio Wachezaji Bora Zaidi Afrika 2024
มุมมอง 1142 หลายเดือนก่อน
Hawa Ndio Wachezaji Bora Zaidi Afrika 2024
Watu Tajiri Zaidi Duniani (Forbse 2024)
มุมมอง 6132 หลายเดือนก่อน
Watu Tajiri Zaidi Duniani (Forbse 2024)
Hawa Ndio Wanaomiliki Pesa Ndefu Zaidi Afrika 2024
มุมมอง 4902 หลายเดือนก่อน
Hawa Ndio Wanaomiliki Pesa Ndefu Zaidi Afrika 2024
Nchi Masikini Zaidi Africa Mwaka 2024
มุมมอง 69K2 หลายเดือนก่อน
Nchi Masikini Zaidi Africa Mwaka 2024
Watu Tajiri Zaidi China 2024
มุมมอง 942 หลายเดือนก่อน
Watu Tajiri Zaidi China 2024
Wachezaji Tajiri Zaidi Duniani Mwaka 2024
มุมมอง 1K2 หลายเดือนก่อน
Wachezaji Tajiri Zaidi Duniani Mwaka 2024
Wasanii 10 Matajiri Zaidi Africa (2024)
มุมมอง 2K3 หลายเดือนก่อน
Wasanii 10 Matajiri Zaidi Africa (2024)
Nchi Zenye Wanawake Wazuri Zaidi Africa
มุมมอง 2.6K3 หลายเดือนก่อน
Nchi Zenye Wanawake Wazuri Zaidi Africa
Orodha ya Wanawake Warembo Zaidi Tanzania 2024
มุมมอง 32K3 หลายเดือนก่อน
Orodha ya Wanawake Warembo Zaidi Tanzania 2024
Nchi Tajiri Zaidi Barani Africa 2024
มุมมอง 7493 หลายเดือนก่อน
Nchi Tajiri Zaidi Barani Africa 2024

ความคิดเห็น

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamisa🤮🤮🤮🤮

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njoeni hapa tunaompenda Flavian matata

  • @ronaldgaudensi
    @ronaldgaudensi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mwongo sana kwenda ukalime

    • @swahilix
      @swahilix 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ronaldgaudensi thanks for watching

  • @NeemaNyabusibe
    @NeemaNyabusibe วันที่ผ่านมา

    Jaman platform is the best

    • @swahilix
      @swahilix 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli kabisa

  • @l1k2l
    @l1k2l วันที่ผ่านมา

    Apana Ume Koseya Number Moja Ni Jay Melody Kisha Platnumz

  • @AnastaseMBARAGA
    @AnastaseMBARAGA วันที่ผ่านมา

    Wewe ni roboti au una ufajamu wa kibinadamu? Nataka nafasi ya M23 inayo chachafya majeshi yote uliyodokeza. Acha uongo wako.

  • @DanielMbai-y2l
    @DanielMbai-y2l วันที่ผ่านมา

    Taka taka

  • @AnethMtei
    @AnethMtei วันที่ผ่านมา

    Basi tz nambar Moja dunian maana mnaleta ubishi

  • @Godfrey-l9k
    @Godfrey-l9k 2 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ni ya kwanza kijeshi banana africa

  • @michelkeyofficieldrc7376
    @michelkeyofficieldrc7376 2 วันที่ผ่านมา

    Kusah 1 na 2 planteform tz

  • @Jaywillzy
    @Jaywillzy 2 วันที่ผ่านมา

    Uongo iv ww majesh wa burundi unawajua

  • @Emmanuel-b4g1n
    @Emmanuel-b4g1n 2 วันที่ผ่านมา

    Ana tu danganya huyu jamaa

  • @RebeccaGeorgemachila
    @RebeccaGeorgemachila 2 วันที่ผ่านมา

    Kweli niwa zuri sana nawa kubali Nana wape nda wakiimba

    • @swahilix
      @swahilix 2 วันที่ผ่านมา

      @@RebeccaGeorgemachila pamoja

  • @barakamwango
    @barakamwango 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwamba muongoooo sana

    • @swahilix
      @swahilix วันที่ผ่านมา

      Thanks for watching

  • @sabokoMAILA
    @sabokoMAILA 3 วันที่ผ่านมา

    Uongo mtupu

  • @minaaHaruna-l7t
    @minaaHaruna-l7t 3 วันที่ผ่านมา

    Dah nedy kwel kabisa kabisa

  • @BeatriceAmimo-po3jh
    @BeatriceAmimo-po3jh 3 วันที่ผ่านมา

    Aii uongo huo bana

    • @swahilix
      @swahilix 3 วันที่ผ่านมา

      Kweli bhna

  • @briankaume
    @briankaume 4 วันที่ผ่านมา

    Uongooo

  • @MbogoSayi
    @MbogoSayi 4 วันที่ผ่านมา

    Wewe muongo

  • @MbogoSayi
    @MbogoSayi 4 วันที่ผ่านมา

    Sijaamini kijana

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 4 วันที่ผ่านมา

    Tanzania namba one

    • @swahilix
      @swahilix 4 วันที่ผ่านมา

      Pamoja sana

    • @AsaniZubeli
      @AsaniZubeli 2 วันที่ผ่านมา

      Rwanda 🇷🇼 je

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 4 วันที่ผ่านมา

    Hovyo acha uongo mzee

  • @didasndangayire8149
    @didasndangayire8149 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa wewe tzd africa kusini drc burundi mbona wamepigwa Vibaya m23 hio uongo ngufu sio pessa

  • @daveoluoch7034
    @daveoluoch7034 5 วันที่ผ่านมา

    Umeanguka kabisa

  • @rupande9674
    @rupande9674 5 วันที่ผ่านมา

    waongo Nandy hamkuti joket hata robo

    • @swahilix
      @swahilix 5 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo kwani umeonaje ndugu

  • @saiclassicofficial3138
    @saiclassicofficial3138 5 วันที่ผ่านมา

    Tanzania

    • @swahilix
      @swahilix 5 วันที่ผ่านมา

      Tupo pamoja

  • @victorkimtai5250
    @victorkimtai5250 5 วันที่ผ่านมา

    Fanya utafiti tena. Naona hujafaulu

  • @BoazMussa-x7l
    @BoazMussa-x7l 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni muongo

  • @SaraMalando
    @SaraMalando 5 วันที่ผ่านมา

    Wew ni muongo

  • @DiegoDushime-v8i
    @DiegoDushime-v8i 5 วันที่ผ่านมา

    Burundi, jeshi, ya Burundi unaijua.

    • @swahilix
      @swahilix 5 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo boss

  • @PeterNakuro
    @PeterNakuro 6 วันที่ผ่านมา

    Hio ni ongo

  • @AmosKirui117
    @AmosKirui117 6 วันที่ผ่านมา

    Kenya ina budget ya 1.3billon waja jokes my friend

  • @labankarani6973
    @labankarani6973 6 วันที่ผ่านมา

    We mpuuzi nni WWE unajua Kenya kweli

  • @WankuruBenjamin
    @WankuruBenjamin 6 วันที่ผ่านมา

    Where is diamond . Diamond should be first

  • @HIDAYAKABAMBI
    @HIDAYAKABAMBI 7 วันที่ผ่านมา

    Where is nandy

  • @KDFALFAKIBET
    @KDFALFAKIBET 7 วันที่ผ่านมา

    Uongo weka Kenya number one

  • @Blessing_uk
    @Blessing_uk 7 วันที่ผ่านมา

    Mh.bola hat tanzania tupo top ten kunawenzetu kam uganda lwanda burund sijawackia kabsa

  • @hopebenjamin3286
    @hopebenjamin3286 8 วันที่ผ่านมา

    Nahisi wewe utakua unatakua ni agent wa mabasi hayo huwezi kuacha basi kama happy national sama luxury tilisho extra abood frester katarama

  • @elizerbethrigoberty7846
    @elizerbethrigoberty7846 8 วันที่ผ่านมา

    Hamjjaa muona nahereal

  • @BoycottBat
    @BoycottBat 8 วันที่ผ่านมา

    Nikweli majeshi Kenya kidogo sana ata niaibu

  • @YvonneObwocha
    @YvonneObwocha 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera❤😊

    • @swahilix
      @swahilix 4 วันที่ผ่านมา

      Asante sana ndugu

  • @GraceWerengo
    @GraceWerengo 9 วันที่ผ่านมา

    Kubabako msimuliaji

  • @OfficialRhayci
    @OfficialRhayci 9 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni kuma sn ,pale kwa Mr blue akuna sura pale,hata hile sura ya D,voice ,akuna sura pale toa kuma yako pale Mmbwa sana wewe,ebu tuma picha yako na wewe tukuhone

  • @StewardMwilenga
    @StewardMwilenga 9 วันที่ผ่านมา

    Kwa Afrika mashariki Tz hatari sana, 2.kenya, rwanda, n.k

    • @swahilix
      @swahilix 6 วันที่ผ่านมา

      @@StewardMwilenga kabisa

  • @deogratiousmwananziche1255
    @deogratiousmwananziche1255 10 วันที่ผ่านมา

    Time nandi hapa

  • @deogratiousmwananziche1255
    @deogratiousmwananziche1255 10 วันที่ผ่านมา

    I like it jamani

  • @ramsaabdu2830
    @ramsaabdu2830 10 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ni ipewe nafasi ya tatu kwa Afrika

  • @iyasbrown
    @iyasbrown 10 วันที่ผ่านมา

    Platform tz ndo hansome kwa wana mziki wote tanzania

  • @Afriraising_0188
    @Afriraising_0188 10 วันที่ผ่านมา

    Ai

  • @AllyJumaa-k6o
    @AllyJumaa-k6o 10 วันที่ผ่านมา

    Juma ally