ZECOZanzibar
ZECOZanzibar
  • 118
  • 40 656
UHUJUMU MIUNDO MBINU YA UMEME NA WIZI WA VIFAA VYA UMEME BADO NI TATIZO....
@ZECO Zanzibar
ZECO, imesikitishwa na vitendo vya uhujumu miundo mbinu ya umeme pamoja na wizi wa vifaa vya umeme.
มุมมอง: 38

วีดีโอ

TUTAZITIMIZA AHADI ZAKO MHE. RAIS...............
มุมมอง 709 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tutatimiza adhima ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi, kuwa kila mwananchi kufikiwa na umeme na si umeme tu bali ni umeme uliomzuri na salama kwa matumizi yake. ZECO, Tupo Kung'arisha Maisha Yako.
NDANI YA WIKI MBILI TUTAWABORESHEA UMEME DONGE MUWANDA
มุมมอง 4312 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limewahidi wananchi wa Donge Muwanda kuwaboreshewa upatikanaji wa umeme ndani ya wiki mbili tu.
TUTAWAFIKIA WASIOKUWA NA UHAKIKA WA KUFIKIWA
มุมมอง 195หลายเดือนก่อน
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), litaishi na kufuata maono ya Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi popote pale walipo katika visiwa hivi vya Unguja na Pemba.
CHANGAMOTO YA UMEME MDOGO ZANZIBAR IMEPATIWA MUARUBAINI WAKE
มุมมอง 470หลายเดือนก่อน
Milango ya uwekezaji ipo wazi, nishati ya umeme ipo ya kutosha - ZECO
HAKI YAKO MWANANCHI KUFIKISHIWA UMEME
มุมมอง 143หลายเดือนก่อน
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limejipanga hadi mwisho wa mwaka huu 2024 kila mwananchi awe tayari huduma ya umeme imemfikia
TUTANG'ARISHA MAISHA YAKO POPOTE ULIPO
มุมมอง 113หลายเดือนก่อน
Miongoni mwa majukumu ya msingi ya Shirika kusambaza huduma ya umeme kwa kila mwananchi.......
WATENDAJI WAKUMBUSHWA KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
มุมมอง 158หลายเดือนก่อน
Meneja Mkuu - ZECO, amewasisitiza watendaji wa kituo cha kupokelea miito ya simu wa Shirika la Umeme kutekeleza vyema majukumu yao.
..............TULIPOTOKA................
มุมมอง 110หลายเดือนก่อน
Shirika la Umeme Znaizibar (ZECO) linapitia changamoto kadhaa........
MKOMBOZI UMEME MDOGO UKANDA WA PWANI............
มุมมอง 249หลายเดือนก่อน
Mradi huu unaosimamiwa na Kampuni ya NOVAVIS INTERNATIONAL utaweza kutatua kwa kiasi kikubwa tatizo la umeme mdogo hasa kwa maeneo ya uwekezaji kama mahoteli na viwanda.
ZECO IMEGUSWA NA WANAFUNZI WA DAHALIA BUBUBU
มุมมอง 2992 หลายเดือนก่อน
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limeunga mkono jitihada za walimu na walezi wa wananfunzi wa Dahalia Skuli ya Sekondari Ali Hassan Mwinyi iliopo Bububu................
TUMEAHIDI NDANI YA WIKI MOJA UMEME UWAKE MKOROGO.....
มุมมอง 1132 หลายเดือนก่อน
Kila mwananchi Zanzibar atafikiwa na umeme.
UFAFANUZI JUU YA TOZO YA MIUNDO MBINU.......
มุมมอง 2882 หลายเดือนก่อน
''Wananchi acheni kusikiliza maneno ya upotoshaji juu ya huduma ya umeme'' - Haji Haji.
USALAMA NA AFYA KAZINI NI MUHIMU...........
มุมมอง 1072 หลายเดือนก่อน
Rasilimali watu ni nishati muhimu katika kuchochea ufanisi wa watendaji sehemu ya kazi.....
MTU HAFI KWA KUNASA NA UMEME................
มุมมอง 1872 หลายเดือนก่อน
Meneja Mkuu ZECO Haji Haji, amesisitiza huduma ya kwanza ni muhimu sana kwa mtu ambae amepata tatizo la kunasa na umeme, ‘’ni vyema kupatia huduma hiyo kabla ya kumkimbiza Hospitali’’
WE WILL MAKE SURE THIS PROJECT IS FINISHED ON TIME..............
มุมมอง 2642 หลายเดือนก่อน
WE WILL MAKE SURE THIS PROJECT IS FINISHED ON TIME..............
MKAKATI NI KUMALIZA MAOMBI YOTE YA ZAMANI SI ZAIDI YA MWEZI WA KUMI (OKTOBA), 2024.
มุมมอง 1252 หลายเดือนก่อน
MKAKATI NI KUMALIZA MAOMBI YOTE YA ZAMANI SI ZAIDI YA MWEZI WA KUMI (OKTOBA), 2024.
MAPAMBANO YA WIZI WA UMEME YATAENDELEA............
มุมมอง 722 หลายเดือนก่อน
MAPAMBANO YA WIZI WA UMEME YATAENDELEA............
TAHADHARI UVAMIZI WA MIUNDO MBINU YA UMEME YATOLEWA........
มุมมอง 1682 หลายเดือนก่อน
TAHADHARI UVAMIZI WA MIUNDO MBINU YA UMEME YATOLEWA........
Furaha ya matumaini yawashukia wakaazi wa Shehia ya Mgambo.
มุมมอง 402 หลายเดือนก่อน
Furaha ya matumaini yawashukia wakaazi wa Shehia ya Mgambo.
TUNAENDA KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME MDOGO KWA UKANDA WA PWANI
มุมมอง 963 หลายเดือนก่อน
TUNAENDA KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME MDOGO KWA UKANDA WA PWANI
KIJINI MATEMWE
มุมมอง 313 หลายเดือนก่อน
KIJINI MATEMWE
Fuatilia kipindi cha TATUA kilichorushwa na ZBC
มุมมอง 563 หลายเดือนก่อน
Fuatilia kipindi cha TATUA kilichorushwa na ZBC
Kampuni sita zasaini mikataba ya kuuza umeme ZECO
มุมมอง 1123 หลายเดือนก่อน
Kampuni sita zasaini mikataba ya kuuza umeme ZECO
ZECO yafuatilia changamoto za umeme kwa wananchi
มุมมอง 974 หลายเดือนก่อน
ZECO yafuatilia changamoto za umeme kwa wananchi
Wananchi wa Dodoma wafurahia huduma ya umeme
มุมมอง 214 หลายเดือนก่อน
Wananchi wa Dodoma wafurahia huduma ya umeme
Mradi wa kupunguza changamoto za upatikanaji umeme Zanzibar sasa wawiva
มุมมอง 1126 หลายเดือนก่อน
Mradi wa kupunguza changamoto za upatikanaji umeme Zanzibar sasa wawiva
ZECO yatoa indhari kwa wananchi
มุมมอง 1916 หลายเดือนก่อน
ZECO yatoa indhari kwa wananchi
WADAU wa mazingira wakutanishwa na ZECO
มุมมอง 376 หลายเดือนก่อน
WADAU wa mazingira wakutanishwa na ZECO
ZECO - TANESCO kutekeleza mradi wa umeme wa uhakika katika visiwa vya Zanzibar na Mafia
มุมมอง 1376 หลายเดือนก่อน
ZECO - TANESCO kutekeleza mradi wa umeme wa uhakika katika visiwa vya Zanzibar na Mafia

ความคิดเห็น

  • @saidmakamo8764
    @saidmakamo8764 9 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi kila ck mnazima umeme kianga tu na mwera kwnn. Mnatukera mno.

  • @SelinaChristopher-h7b
    @SelinaChristopher-h7b หลายเดือนก่อน

    Mbona mita Yetu Haiingiz Umeme Jamani

  • @JumaabuuJumaabuu
    @JumaabuuJumaabuu หลายเดือนก่อน

    Meme mdogo pemba

  • @ibrahimrajab1702
    @ibrahimrajab1702 หลายเดือนก่อน

    👍

  • @mrok284
    @mrok284 หลายเดือนก่อน

    Zeco ishaurini serikali itafute namna ya kuzalisha umeme hapahapa Zanzibar. Kwani tutegemee kutoka bara?! Au hapa kwetu hakuna vizalishia umeme.

    • @aliabass5242
      @aliabass5242 หลายเดือนก่อน

      mbona serikal tyr imeanza kutengeneza umeme wa jua utatok kusn kuj mjin

    • @ZECOZanzibar
      @ZECOZanzibar หลายเดือนก่อน

      Ni kweli na Serikali imeshaanza kulitekeleza ilo na kwa kuanzia tutaanza kuzalisha Megawati 18 pale Makunduchi, Mje wa laini yupo site anajenga laini ya 132kv ya kusafirishia umeme huo pia mjenzi mwengie yupo site anasafisha hilo eneo la kuzalisha umeme huo.

    • @aliabass5242
      @aliabass5242 หลายเดือนก่อน

      @@ZECOZanzibar yah tunaona hayo yote tunategemea mambo yatakuwa mazur sik had siku

    • @mrok284
      @mrok284 หลายเดือนก่อน

      @@ZECOZanzibar Kule Pemba mnazalishia wapi??

    • @mrok284
      @mrok284 หลายเดือนก่อน

      @@aliabass5242 Juhudi nzuri ila nataka kufahamu tu kwa Kule kisiwani Pemba.

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 หลายเดือนก่อน

    Juhudi za Rais MWINYI tunaziona ila nyinyi watendaji mnakandamiza watumiaji kwa makato ya pesa

  • @belladoreen5919
    @belladoreen5919 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @Sharif-u5m
    @Sharif-u5m 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awafanyie wepesi❤ One iyooooooo

  • @hamadkhamis6572
    @hamadkhamis6572 2 หลายเดือนก่อน

    Munaumiza wananchi kwa makodi na makato ya kipumbavu, mfano service fee ni mzigo kwa walala hoi na wavuja jasho.

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 2 หลายเดือนก่อน

    Munatupandishia Makodi bila ya baraza la wawakilishi kimya kimya kutuibia

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 2 หลายเดือนก่อน

    Bilioni 1 ya uwendeshaji imetolewa mumesave sawa bilioni 8 inauza kwa sasa kwa mtandao sawa swali mbona unity zimepanda Munatusokota ikisha mumekaa kimyaaa baada ya jamaa kusema mumekuja juu

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 2 หลายเดือนก่อน

    Hamjasema bado mngalisema mapema

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 3 หลายเดือนก่อน

    Namuomba Muhishimiwa Rais wa Zanzibar atusikilize vilio vyetu kwamba makato yamezidi kesi kama hizi ndo mwanzo wa matatizo kama nchi ya Kenya

  • @winfridamsukuru9819
    @winfridamsukuru9819 3 หลายเดือนก่อน

    Baba mwenye nyumba kajua kutukomesha hii haikopesheni

  • @winfridamsukuru9819
    @winfridamsukuru9819 3 หลายเดือนก่อน

    Hatakuongea inashindikana mbona hivyo

  • @KhalbintKing
    @KhalbintKing 4 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa mtu anaiba umeme. Tunakupataje ili kuwapeni taarifa?

  • @muhammedsaid1565
    @muhammedsaid1565 5 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleykum. Jamani zeco ninawaomba muje munitengenezee umeme ninamasaa 32 hapa nyumban sina umeme. Family washaondoka hamukaliki, ninapata hasara vitu kwenye friza vinanza kuharibika. Nawamba Plsssassass

  • @omariomari4454
    @omariomari4454 6 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili2 hicho

  • @MuhammedFoum-kr5kc
    @MuhammedFoum-kr5kc 7 หลายเดือนก่อน

    Hawana chochot kila siku wanatudanganya mwak wa tatu hawalip watu sehemu zao upuuz t

  • @MuhammedFoum-kr5kc
    @MuhammedFoum-kr5kc 7 หลายเดือนก่อน

    Azishen uo mrad mlotwambia uo wa kujitegemea Zanzibar ila naona mshafany takwim Lkn hamna tulip mnatuchelewesh hasa zestra

  • @MrOmarmack
    @MrOmarmack 8 หลายเดือนก่อน

    Ni lini Zanzibar tutakuwa na chanzo chetu cha kuzalisha UMEME ili kuondokana na hii kadhia ya kugaiwa umeme kutoka kwa mzalishaji ambae ana load kubwa upande wa pili?

  • @saidsuleiman1912
    @saidsuleiman1912 8 หลายเดือนก่อน

    Na huu mgao wenu wa umeme ufanyeni mchana usiku mnatutesa kuna wagonjwa kuna watoto wachanga ni shida tu usiku ikiingia saa moja usiku tu huku Mwera umeme mnaukata mpaka saa nne usiku

  • @MmangaHamad-eq6ho
    @MmangaHamad-eq6ho 8 หลายเดือนก่อน

    Zile mita ziloaza na 54 Hatuyataki labda waturejeshee zile ndogo za Zamani

  • @MmangaHamad-eq6ho
    @MmangaHamad-eq6ho 8 หลายเดือนก่อน

    Tuekewa mita zipi

  • @victoriaajang8926
    @victoriaajang8926 10 หลายเดือนก่อน

    $3.440+€3.44+!¥3.44₩

  • @victoriaajang8926
    @victoriaajang8926 10 หลายเดือนก่อน

    $3.44+€3.44+£344+¥3.44₩

  • @victoriaajang8926
    @victoriaajang8926 10 หลายเดือนก่อน

    $3 44+€3.44+£3.44+¥3.44₩

  • @victoriaajang8926
    @victoriaajang8926 10 หลายเดือนก่อน

    $3.44+€3.44+£3.44+¥3.44₩

  • @awenamohammed1827
    @awenamohammed1827 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka Leo hatujapewa mita

  • @suleimanissa1019
    @suleimanissa1019 2 ปีที่แล้ว

    Na mita zenu zinakula umeme

  • @suleimanissa1019
    @suleimanissa1019 2 ปีที่แล้ว

    Hebu puguzeni bei za unity kwaanza

  • @jumasepetu4338
    @jumasepetu4338 2 ปีที่แล้ว

    Tuwe pole Wana zeco

  • @awenamohammed1827
    @awenamohammed1827 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mita nasisi tupate umeume

  • @awenamohammed1827
    @awenamohammed1827 2 ปีที่แล้ว

    Fuoni kitongani tumeshalipa bado mita tu mpaka leo

  • @antonysaid4945
    @antonysaid4945 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni fundi wa umeme nimesomea ila sina ajila nimefanya kazi shilika la umeme tanzania tanesco mkoa mwanza

  • @ayoubpapiy6692
    @ayoubpapiy6692 2 ปีที่แล้ว

    Mnawauingia nyinyiwenyewe halafu mnawageukia mnasema kaunga kinyume na utaratibu.

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 2 ปีที่แล้ว

    Yaaan hawa nawachukia mungu anawaona

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 2 ปีที่แล้ว

    Mita ikiwa mbovu kuja kukuekea Sawa wata kutesa mpaka uchukie

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 2 ปีที่แล้ว

    Hata mm nikijua kuiba wala Simcha maana hawa wanakera

  • @khamishassan7775
    @khamishassan7775 2 ปีที่แล้ว

    Jmn mm mita yang mbovu unakul umem vby.

  • @bashiruamdi9261
    @bashiruamdi9261 2 ปีที่แล้ว

    4l Ll

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha mbn nyie mnaiba mumechukuliwa hatua gan mabilion mnaiba pumbavu zenu

  • @najatrashidi6647
    @najatrashidi6647 2 ปีที่แล้ว

    Duuu

  • @jumasaid3228
    @jumasaid3228 2 ปีที่แล้ว

    Lakini muhurumieni kidogo

  • @jumasaid3228
    @jumasaid3228 2 ปีที่แล้ว

    Zeco fanyeni kazi yenu

  • @hajjibinomarkiduka8605
    @hajjibinomarkiduka8605 2 ปีที่แล้ว

    hapa hapana fundi

  • @zahorosuleiman1099
    @zahorosuleiman1099 2 ปีที่แล้ว

    Umevaa.vizur wapo hao

  • @muukwacha6018
    @muukwacha6018 2 ปีที่แล้ว

    Nyie mavi Kuna mambo mnapenda sifa Sasa hii video naisevu ole wenu mwezi huu uishe Kama sijatoka na maiti ya mtu humo ndan Mana hatuelewi wananchi paje huku toshakuwa tunatumia Sola wakati pesa tushatowa mienzi minne nyuma hatari hii

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

    Hapo mwenye kuiba waya mita ndio nafasi zao

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo Zanzibar miaka yote hiyo iliyopita bado tu mupo katika kujadili umeme kweli hakuna viongozi Zanzibar kuna wajinga tu wenye kuzulumu wananchi