NHIF ONLINE TV
NHIF ONLINE TV
  • 241
  • 65 720
KARIBU TUKUHUDUMIE
KARIBU TUKUHUDUMIE
มุมมอง: 12

วีดีโอ

NHIF NDANI YA NANENANE
มุมมอง 7119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NHIF NDANI YA NANENANE
BIMA YANGU INANIHUDUMIA VIZURI- MWANACHAMA MWANZA
มุมมอง 9021 วันที่ผ่านมา
BIMA YANGU INANIHUDUMIA VIZURI- MWANACHAMA MWANZA
KILA MWANANCHI AKATE BIMA YA AFYA
มุมมอง 25หลายเดือนก่อน
Wananchiwahimizwa kutaka bima ya afya kwa uhakika wa matibabu
RAIS SAMIA NA BIMA YA AFYA
มุมมอง 46หลายเดือนก่อน
Tujitahidi kujiunga kwenye bima ya afya ili tuwe na uhakika wa matibabu
PROF. JANABI AHIMIZA WANANCHI KUJIUNGA NA NHIF
มุมมอง 48หลายเดือนก่อน
PROF. JANABI AHIMIZA WANANCHI KUJIUNGA NA NHIF
WADAU WAFURAHIA HUDUMA ZA NHIF
มุมมอง 8หลายเดือนก่อน
WADAU WAFURAHIA HUDUMA ZA NHIF
NHIF WAKITOA HUDUMA SABASABA 2024
มุมมอง 10หลายเดือนก่อน
NHIF WAKITOA HUDUMA SABASABA 2024
NHIF INAZIDI KUSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
NHIF INAZIDI KUSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI
FAIDA ZA MAKUBALIANO BAINA YA ZHSF NA NHIF
มุมมอง 120หลายเดือนก่อน
FAIDA ZA MAKUBALIANO BAINA YA ZHSF NA NHIF
NHIF IKITOA ELIMU MLIMANI CITY
มุมมอง 1752 หลายเดือนก่อน
Ofisi ya NHIF Kinondoni ikiendelea na utoaji wa elimu kwa wananchi waliofika katika banda la elimu, usajili na upimaji afya katika viwanja vya Mlimani City, Dar es Salaam. Zoezi hili linaendelea hadi tarehe 24 Juni, 2024.
NHIF YAENDELEA KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI
มุมมอง 2342 หลายเดือนก่อน
NHIF YAENDELEA KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI
NHIF INAVYOSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI
มุมมอง 2412 หลายเดือนก่อน
NHIF INAVYOSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI
MABORESHO YA MWONGOZO WA MATIBABU NA SABABU ZA MABORESHO HAYO
มุมมอง 794 หลายเดือนก่อน
MABORESHO YA MWONGOZO WA MATIBABU NA SABABU ZA MABORESHO HAYO
MABORESHO YA KITITA YALIVYOGUSA HUDUMA KWAMWANACHAMA WA NHIF
มุมมอง 2014 หลายเดือนก่อน
MABORESHO YA KITITA YALIVYOGUSA HUDUMA KWAMWANACHAMA WA NHIF
MATUMIZI SAHIHI YA KADI YA NHIF
มุมมอง 3.6K5 หลายเดือนก่อน
MATUMIZI SAHIHI YA KADI YA NHIF
UMUHIMU WA KUWA NA BIMA YA AFYA KABLA YA KUUGUA
มุมมอง 395 หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA KUWA NA BIMA YA AFYA KABLA YA KUUGUA
MFAMASIA MKUU WA SERIKALI AKIELEZA UMUHIMU WA MWONGOZO WA TIBA NCHINI
มุมมอง 1365 หลายเดือนก่อน
MFAMASIA MKUU WA SERIKALI AKIELEZA UMUHIMU WA MWONGOZO WA TIBA NCHINI
HOSP.YA MASANA HUDUMA ZA NHIF ZINAENDELEA
มุมมอง 785 หลายเดือนก่อน
HOSP.YA MASANA HUDUMA ZA NHIF ZINAENDELEA
KITITA KIPYA CHA MAFAO YA NHIF KUPUNGUZA MFUMUKO WA GHARAMA ZA MATIBABU
มุมมอง 1465 หลายเดือนก่อน
KITITA KIPYA CHA MAFAO YA NHIF KUPUNGUZA MFUMUKO WA GHARAMA ZA MATIBABU
KITITA CHA NHIF KIMEZINGATIA MAONI YA KAMATI
มุมมอง 1475 หลายเดือนก่อน
KITITA CHA NHIF KIMEZINGATIA MAONI YA KAMATI
MAT YASEMA CHAMA KIPO TAYARI KUANZA KUTUMIA KITITA KIPYA
มุมมอง 445 หลายเดือนก่อน
MAT YASEMA CHAMA KIPO TAYARI KUANZA KUTUMIA KITITA KIPYA
HAKUNA GHARAMA ZA ZIADA KWA WANACHAMA WA NHIF
มุมมอง 1765 หลายเดือนก่อน
HAKUNA GHARAMA ZA ZIADA KWA WANACHAMA WA NHIF
HAKUNA MALIPO YA ZIADA KWA WANACHAMA WA NHIF
มุมมอง 525 หลายเดือนก่อน
HAKUNA MALIPO YA ZIADA KWA WANACHAMA WA NHIF
TUSITOE TAARIFA ISIYO SAHIHI KUHUSU AFYA ZA WATU
มุมมอง 385 หลายเดือนก่อน
TUSITOE TAARIFA ISIYO SAHIHI KUHUSU AFYA ZA WATU
TUANGALIE CHANZO CHA HABARI TUNAZOPATA ILI KUJUA UKWELI
มุมมอง 495 หลายเดือนก่อน
TUANGALIE CHANZO CHA HABARI TUNAZOPATA ILI KUJUA UKWELI
MARUFUKU KUKATAA WAGONJWA WA DHARURA
มุมมอง 1655 หลายเดือนก่อน
MARUFUKU KUKATAA WAGONJWA WA DHARURA
KAMATI ILISHIRIKISHA WADAU WOTE
มุมมอง 665 หลายเดือนก่อน
KAMATI ILISHIRIKISHA WADAU WOTE
HUDUMA ZA NHIF ZAREJEA HOSP BINAFSI
มุมมอง 635 หลายเดือนก่อน
HUDUMA ZA NHIF ZAREJEA HOSP BINAFSI
NHIF YATOA SEMINA KWA WAHARIRI NCHINI.
มุมมอง 385 หลายเดือนก่อน
NHIF YATOA SEMINA KWA WAHARIRI NCHINI.

ความคิดเห็น

  • @MerryMatata
    @MerryMatata วันที่ผ่านมา

    Je watoto wa hali ya chinii na wazee wasiyo jiweza jinsi ya kupata elimu ya kupata kadi mmesema tukatie mashuleni makanisani msikitini kenye mashirika mbalimbali lakini ni maneno tu ukienda bima wemeweka miaka 18 - 59

  • @MerryMatata
    @MerryMatata วันที่ผ่านมา

    Jamani mbona ni wanafunzi wa chuo tu kuna watoto wanapoteza maisha kwa sababu tu ni mwanafunzi wa shuleya serikali na mzazi ajui pa kukatia bima mnasema tukatie mshuleni lakini utaratibu haupo ni maneno tu watoto wa hali ya chini amtuagalii tunateseka

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 7 วันที่ผ่านมา

    Kwanini baadhi ya magonjwa na vipimo havimo bima ya afya?

  • @elimuvisioncenter
    @elimuvisioncenter 8 วันที่ผ่านมา

    HAMNA KITU NYINYI NHIF ... HAO MAMENEJA WENU WA MIKOANI HASA MENEJA WA MKOA WA MWANZA HAFAI ... MIMI BIMA AMBAYO NI HAKI YANGU MPAKA LEO MWAKA WA PILI SIJAPATA NA HATA UTARATIBU WA MALALAMIKO HAUELEWEKI ... NIMEUMIA SANA NA NIMEKATA TAMAA NA NYINYI.,

  • @MerryMatata
    @MerryMatata 9 วันที่ผ่านมา

    Je watoto azia miaka 0 . Hadi 17 nisaidie

  • @BonepherceMichael
    @BonepherceMichael 17 วันที่ผ่านมา

    Naomba kujiunga na mpango wa huduma ya Bima ya afya ya kifamilia

  • @NgiliniMohamedi
    @NgiliniMohamedi 18 วันที่ผ่านมา

    Bima ya mtoto inapatikanaje na bei gani

  • @djmsafii9424
    @djmsafii9424 หลายเดือนก่อน

    Mna patikana wap naitaji bima

  • @jonasmsigwa17
    @jonasmsigwa17 หลายเดือนก่อน

    🤔 tunaotaji bei na aina za vifurushi

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 หลายเดือนก่อน

    Je ninaweza kusajili mtoto wangu Mama yangu na mtumishi wangu wa ndani kwa pamoja wakapata bima ya afya?

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน

    Katika mashirika ya Serikali lenye uhuduma mbovu ni hili shirika, sijui ofisi yao gani ambayo watumishi wake wako active ila Makao makuu ya hili shirika kwa dar es salaam hadi MA file wanapoteza , bora utunze tu control number mana wateja Mara kadhaa hufanya application upya na picha huleta upya , nadhani Masjala yao haina watu wazoefu kabisaaa ni aibu kwa Taifa , Ushauri: Wake wa Viongozi waume zao wawatafutie Biashara za Kufanya na sio kukaa maofisini huaribu saaana kazi na wananchi wanalalamika huduma mbovu saaana, kesi za MA faili kupotea ni aibu

  • @user-zf8ko7og2h
    @user-zf8ko7og2h 3 หลายเดือนก่อน

    Samahani kifurushi cha timiz afya.beigani

  • @johnneema4476
    @johnneema4476 3 หลายเดือนก่อน

    Wapedwa naomba kujuwa kifurushi cha mama na mtoto Kwa mwaka kinagarimu kiasi gani please

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 4 หลายเดือนก่อน

    Kamati ambayo hawachangiii.

  • @MaengelaDomician
    @MaengelaDomician 4 หลายเดือนก่อน

    Unapokuwa na bima ya afya ukaugua na kulanzwa nakuongezewa damu inabindi uchangie tena damu

  • @user-pq8vu9mu7q
    @user-pq8vu9mu7q 5 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu mzee,bima labda ya mfanyakazi,ila vifurushi😢😢😢 hamna Kwa magonjwa yasioambukiza

  • @ashamfinanga727
    @ashamfinanga727 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini mmeondoa bima ya watoto wachanga miaka 0-5?

  • @enockabel
    @enockabel 5 หลายเดือนก่อน

    Well spoken

  • @beatricekihehe3733
    @beatricekihehe3733 5 หลายเดือนก่อน

    Hongereni Massana hospital mko vizuri kwa huduma ya NHIF

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Mama watendaji wake wanamvurugia sanaaaa hakuna kitu kikubwa kama hospital matibabu ya watanzania hqsa wamama watoto na wazee ni wa kujali sanaaaa

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 5 หลายเดือนก่อน

    Usipoteze muda yako kwenye vipeperushi

  • @ernestrodgersmalimbwi7328
    @ernestrodgersmalimbwi7328 5 หลายเดือนก่อน

    Iko very shallow, mambo mengi hamjaeleza.hizo gharama za vifurushi za 250000 ni kwa mtu mmoja au kwa alio ambatana nao (najali) .gharama ya hivyo vingine hamjaeleza ,mko kama mna tuzugazuga tu, jipangeni mtuelimishe vizuri...

  • @user-ok8wi6si5r
    @user-ok8wi6si5r 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama ni muongo anajibu kisiasa, wataingiaje wakati hakuna barua ya mwongozo wowote shule zamisingi huko vijijini. Ukienda shuleni mwl anakwambia hatuna taarifa hizo hii ikoje. Aache siasia

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 5 หลายเดือนก่อน

    Ishaurini serikali itenge chanzo cha uhakika cha mapato ili kiweze kusaidia hizo gharama zinazo wazidi kwamfano mapato yoote ya mbuga kama ya serengeti yasingeguswa ili yaingie kwenye huu mfuko ili karibia kila m tz apate huduma nzurii.

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 5 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli bima naomba mjitafakari upya bado sijapenda utoaji wenu wa huduma bcz kwanza kujisajili tu ni shidaa sana kila mtu anaongea lake pia malipo kwa hosp za prvt nichangamoto kubwa shirikisheni wadau mbali mbali ili muweze kupata mawazo mazurii.

  • @paschalliving657
    @paschalliving657 6 หลายเดือนก่อน

    Rudishen utaratibu wa zaman Wazaz wengine vipato vdg

  • @user-fb9xl8dz4w
    @user-fb9xl8dz4w 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi nipo Pemba office yenu Iko wapi?

  • @user-fd5dz3dy3w
    @user-fd5dz3dy3w 7 หลายเดือนก่อน

    Wengine hawasomi private wanasoma st kayumba inakuwaje jaman mbona mnatuumiza

  • @user-bk7db4rv9l
    @user-bk7db4rv9l 7 หลายเดือนก่อน

    Namba zenu hazipatikani

  • @user-bk7db4rv9l
    @user-bk7db4rv9l 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona namba zenu hazipatikani

  • @user-mn6oy9qp3u
    @user-mn6oy9qp3u 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanini hamuweki namba za kuwasiliana na huduma kwa mteja

  • @user-mn6oy9qp3u
    @user-mn6oy9qp3u 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanini hamuweki namba za kuwasiliana na huduma kwa mteja

  • @user-mn6oy9qp3u
    @user-mn6oy9qp3u 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba zenu za huduma kwa mteja

  • @justineaugustino7166
    @justineaugustino7166 9 หลายเดือนก่อน

    mimi ni mstafu nataka bima bira ndoa naomba maelekezo

  • @estherkisamo1351
    @estherkisamo1351 9 หลายเดือนก่อน

    Huo uchangiaji ni kila mwezi au kwa mwaka. Na pia mbona hamnaweka sehemu ya mtoto tu!maana kunawatoto wengine hawana wazazi inakuaje

  • @allmsuya2305
    @allmsuya2305 9 หลายเดือนก่อน

    Vip kuhusu bima ya kikund

  • @sophiakilindo1189
    @sophiakilindo1189 9 หลายเดือนก่อน

    Kama uyo mtoto ana mzazi angalieni jamani nyinyi wenzetu mnauwakika wa matibabu amuwezi kujali kabisa afya ya watoto. Akumbukwe baba wa watanzania

  • @annawasha4446
    @annawasha4446 10 หลายเดือนก่อน

    Elimu Nzuri sana ,NHIF idumu milele

  • @annawasha4446
    @annawasha4446 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi Nzuri sana ,namuomba Mungu aitunze NHIF Kwa manufaa ya wengi na uhakika wa matibabu

  • @mohammedMbwana
    @mohammedMbwana 11 หลายเดือนก่อน

    Great work Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu

  • @IrinNimrodi
    @IrinNimrodi 11 หลายเดือนก่อน

    Je mtu mwenye bima akishindwa kuilipa iyo gerama inakuaje

  • @user-wx4ri2gt5g
    @user-wx4ri2gt5g 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninawatoto wa 3 ivyo viturushi mlivyoweka vya familia garama ipojuuu Sana 720,000 Kwa mwaka Mimi kipatochangu nidogo akiwezi kumudu kulipa iyoela, maoniyangu mrudishie tuu iyoelfu 50400 kwakila mtoto hapo wengi tutaweza kulipia

  • @user-wx4ri2gt5g
    @user-wx4ri2gt5g 11 หลายเดือนก่อน

    Kama mtoto anamzazi halafu shule anayosoma aijajiunga na mfumo wa nhif hapo inakuaje, jamani rudisheni tuuu huoutaratibu wa zamani

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna Shule Azitoi huduma hizo kwa Wanafunzi, na Unakuta huyo Mtoto hana Wazazi afanyeje Ili Apate Bima ya Afya

  • @bilayamakinda7006
    @bilayamakinda7006 ปีที่แล้ว

    Mimi nahitaji kujua ikiwa nahitaji bima ya mtu mmoja kuanzia miaka 40 maelekezo

  • @kelyne861
    @kelyne861 ปีที่แล้ว

    ?????????

  • @cletusanzigar834
    @cletusanzigar834 ปีที่แล้ว

    Ninaomba suala la wachangiaji ambao hawana wazazi,hawana mtoto(watoto) na hawatarajii kuwa nao kwasababu zilizo nje ya uwezo wao,waruhusiwe kuwakatia bima ndg na jamaa ambao Ni sehemu ya wao kuweza Hadi kuwa wanachama

  • @GoldenMxang-je4rn
    @GoldenMxang-je4rn ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi mtu akitka kujiunga

    • @nhifonlinetv5525
      @nhifonlinetv5525 ปีที่แล้ว

      tunapatikana kwenye Mikoa yote Tanzania Bara naZanzibar, au piga simu ya bure 199 kwa msaada zaidi. karibu

  • @hassanjuma1837
    @hassanjuma1837 ปีที่แล้ว

    Nataka kifurishi mnapatikana wapi nipeni namba

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 ปีที่แล้ว

    Mgeongeza kiwango,50400,Ikafika elfu 60000.lakini UKISEMA vifurushi,WAZAZI hatuna hiyo hela,make kwa watoto ambao Bado hawaajaanza shule.