- 7
- 7 779
VIJANA CHATO MISSION S.D.A choir
เข้าร่วมเมื่อ 10 มี.ค. 2020
Adventist youth chato mission choir
TANZANIA by VIJANA_CHATO_MISSION_S.D.A_choir__(Official_music_video)
TANZANIA by VIJANA_CHATO_MISSION_S.D.A_choir__(Official_music_video)
มุมมอง: 399
วีดีโอ
SAYANSI_NA _TEKNOLOJIA by VIJANA chato mission SDA choir(Official music video)
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
SAYANSI_NA _TEKNOLOJIA by VIJANA chato mission SDA choir(Official music video)
VIJANA_ CHATO _MISSION _SDA_choir - UPENDO
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
VIJANA_ CHATO _MISSION _SDA_choir - UPENDO
Amen
❤❤ wimbo mzuri ujumbe mzuri 2:48 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Amina Mungu ibariki Tanzania.
Barikiweni sana Mungu awainue
Amen🙏🎉
Amina Barikiwa sana VIJANA CHATO MISSION kwa ujumbe mzuri 🎉🎉🎉
Barikiwa sanaa vijana mission
amen🙏🙏🙏
Tunazidi kubarikiwa na wimbo huu
Amina sana vijana wa Mungu 🙏👑💯 NA UPENDO NIDO NGUZO KUU UKIIVUNJA HIYO NGUZO UPENDO HAKUNA NGUZO ITAKAYO SIMAMA , MUNGU KWANZA
Nikweli hasa kipind hiki
Barikiwa sana watu wa mungu
Amina sanaaa
Anord pia safii sana
Namwona Isaka kwenye ubora wake hongeren sana
Haaaaa Amina barikiwa wapi hiyo
BIBLIA IMEANDIKA MAARIFA YATAONGEZEKA LAKINI SISI WATUMIAJIA WA MAARIFA NDIO TUNAPELEKEA KUONEKANA MAARIFA AMBAYO MUNGU AMETUPATI KUWA NI DHAMBI
Nikweli dunía ilipofuka tunahitaji msaada wa Mungu.
AMINA BARIKIWA SANA watumishi wa bwana
🎉amina
Amen..... ❤
Nice
Mungu awaongoze mfike mbali asante kwa kutukumbusha kumtumikia Mungu
❤
Barikiweni sana
Amen 🙏 kawimbo katamu
Mungu awabariki marafiki zangu kwa wimbo mzuri wenye ujumbe makini tutumie mitandao vzr kama mlivyofanya
Barikiweni sanaa
@@AngelinaTizirukwa-n2g Amina🙏
🎉🎉Amen
Nyimbo tamuuuu jaman
May God be glorified through your message in this albums... Personally i love you very much... Chato mission youth and may God continue to use you as he wishes........
Kwaya yangu ya vijana dah naukumbuka chato nyumbani,,hongereni vijana chato mission Kwa utume
th-cam.com/video/ygl_ZjTmhFM/w-d-xo.htmlsi=bDg6DXjg57I7A791 amina
Tuandae Show moja flani hv kubwa sana Then mgeni Rasmi awe kutoka General Conference Pale MaryLand 🇺🇲🔥🔥
@@matunzojr4862 na iwe hivyo
Au awe tedy willison
Haaaaa Ted Wilson ama
Good massages zinapatikana katika wimbo huu
Waitumiaje mitandao ya kijamii katika Injili
Barikiwa sanaa vijana mission Kwa ujumbe mzuri
Bwana awabariki sana kwa ujumbe makini unaoendana na wakati huu🎉🎉🎉
Tunazidi kubarikiwa
Naingoja kwa ham kubwa
@@gracekanundo4876 bila shaka itakufikia kwa wakat
Naisubir kwa ham
@@crazyrooster4000 barikiwa sn
❤❤
Mwanzo mzuri vijana pambaneni mungu ata wasaidia na mta fika mbalii sanaa
Hongereni sana, Hatua mliofikia ni nzuri. Mungu awasimamie sana
Barikiweni sana vijana wa Bwanana
Amen
Wacha wee....😀😀njema sana