EA DURUUS
EA DURUUS
  • 222
  • 41 379
IMAMU KARUKUU WEWE UNGALI “NAWAITU NAWAITU”
KUTAMKA NIA NI UZUSHI ❌❌
HAIFAI KUTAMKA NIA ⚠️⚠️
Masjid Al Fat’h
Maranvya 15ème Ave - Samariro
Sheikh Yahyaa Uthmaan حفظه الله تعالى
มุมมอง: 43

วีดีโอ

KALIMA YA KUSHUKURU - SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
มุมมอง 147ปีที่แล้ว
Baadhi ya changamoto alizopitia sheikh katika kufikisha da’wah ndani ya jiji la Nanyuki, Kenya. Subira Na Muswaabara katika da’wah hadi ilipofikia sasa na Nusra ya Allah kwa wanaosimama katika haqq.
KUKEMEA USHOGA NA TOFAUTI YA BUYENZI YA JANA NA YA LEO - SHEIKH JAMALI SWAALEH
มุมมอง 77ปีที่แล้ว
Allah Amsamehe, Amtaqabalie, Na Amjaze Kheri.
USHOGA NI JANGA LA TAIFA - SHEIKH ABUU USAMAAH KHAMIYS IBN AME
มุมมอง 124ปีที่แล้ว
Allah Amuhifadhi Sheikh, Amsamehe Na Amjaze Kheri. Hichi Ni Kipande Kifupi Kilichochukuliwa Kutokana Na Darsa La Kitabu تحفة المودود Darsa Nambari 100. Link Ya Darsa Kamili Kwenye Channel Ya Sheikh Telegram : t.me/duruusabiyUsaamahAmeTZ/14319
MAFUNZO MUHIMU KWA UMMAH WOTE 1/4 -
มุมมอง 102ปีที่แล้ว
Kitabu : AD DURUUS AL MUHIMMAH LI’AAMMAATIL UMMAH - Cha Sheikh ‘Aabdul ‘Aaziyz Ibn Baaz (Rahimahullah) Msomeshaji : SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘AABDUL QAADIR Kimefundishwa Katika Dawrah Ya Kielimu Nchini Burundi - Jumaadal Uwlaa 1443H - December 2021/January 2022 Masjid Safiynah : Barabara Ya 2 Namba 21 Buyenzi, Bujumbura, Burundi 🇧🇮
“EWE BIBI YANGU NYAMANZA !!”
มุมมอง 532 ปีที่แล้ว
Sheikh Abuu Usaamah Faarah Ibn Abdul Qaadir Masjid Sunnah - Nanyuki, Kenya 🇰🇪 Allah Amjaze Kheri Sheikh Wote Duniani Na Akhera.
ANAEKUNYAMANZIA KATIKA MAOVU HAKUPENDI
มุมมอง 442 ปีที่แล้ว
Bomang’ombe, Arusha, Tanzania. Allah Amlipe Kheri Sheikh Wetu
ALLAH AMREHEMU SHEIKH YUSSUF MAHMUD
มุมมอง 1322 ปีที่แล้ว
Allah Amrehemu Sheikh Yussuf Mahmud Ambae Alikuwa Ni Sheikh Mwenye Kulingania Katika Tawheed Na Sunnah, Na Kutahadharisha Na Kuwapiga Vita Watu Wa Shirki Na Bid’aah Nchini Burundi. Sheikh Yussuf Mahmud Alisoma Nchini Burundi Na Hakuwai Kwenda Kusomea Inje. Alisoma Kawa Sheikh Yaasir Kamaaluddiyn Na Sheikh Muhammad Kadumu. Masheikh Wawili Hao, Mmoja Mwenye Asili Ya Uganda Na Ungine Mwenye Asili ...
KUSHIKAMANA NA SUNNAH NI KUFAULU
มุมมอง 782 ปีที่แล้ว
Sheikh Abuu Usaamah Faarah Dawyah Ya Kielimu Nchini Burundi Jumaada Al Uwlaa 1443H - December 2021/January 2022
INAYA YA UMAR IBN AL KHATTWAAB WAKATI WA KUFA (RADHI ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE)
มุมมอง 873 ปีที่แล้ว
Sheikh Abuu Usaamah Faarah Ibn ‘Aabdul Qaadir Nanyuki, Kenya
MANHAJ AS SAALIKIYN 04 - SHEIKH KHAMIYS IBN AME
มุมมอง 1273 ปีที่แล้ว
🎇هذه دعوتنا وعقيدتنا🎇 🕌•MASJID AS-SUNNAH•🕌 🌴•MSASANI•🌴 🛳•DAR-ES-SALAAM•🛳 ✨SILSILA YA DURUWS ZA FIQHI✨ 📕كتاب: منهج السالكين وتوضيح الفقه في الدين. ✍تأليف: الشيخ العلامة عبدالرحمن السعدي - رحمه الله تعالى. 📼DARSA NAMBA 0⃣4⃣ 📚كتاب الطهارة(٣). 🚪باب الآنية إلى باب الاستنجاء وآداب قضاء الحاجة. 🔸🌿🔸🌿🔸 💺MUDARRIS🎙 SHEIKH ABUU USAAMAH KHAMIYS IBN AME (حفظه الله ورعاه). 📆AL-JUMU'AH; TAREHE 02 DHUL-QA'DAH 1...
MANHAJ AS SAALIKIYN 03 - SHEIKH KHAMIYS IBN AME
มุมมอง 993 ปีที่แล้ว
🎇هذه دعوتنا وعقيدتنا🎇 🕌•MASJID AS-SUNNAH•🕌 🌴•MSASANI•🌴 🛳•DAR-ES-SALAAM•🛳 ✨SILSILA YA DURUWS ZA FIQHI✨ 📕كتاب: منهج السالكين وتوضيح الفقه في الدين. ✍تأليف: الشيخ العلامة عبدالرحمن السعدي - رحمه الله تعالى. 📼DARSA NAMBA 0⃣3⃣ 📚كتاب الطهارة(٢). 🚪فصل: [في المياه]. 🔸🌿🔸🌿🔸 💺MUDARRIS🎙 SHEIKH ABUU USAAMAH KHAMIYS IBN AME (حفظه الله ورعاه). 📆ALKHAMIYS; TAREHE 01 DHUL-QA'DAH 1440 H. ⌚BAADA YA SWALAATUL MAGH...
MANHAJ AS SAALIKIYN 02 - SHEIKH KHAMIYS IBN AME
มุมมอง 1863 ปีที่แล้ว
🎇هذه دعوتنا وعقيدتنا🎇 🕌•MASJID AS-SUNNAH•🕌 🌴•MSASANI•🌴 🛳•DAR-ES-SALAAM•🛳 ✨SILSILA YA DURUWS ZA FIQHI✨ 📕كتاب: منهج السالكين وتوضيح الفقه في الدين. ✍تأليف: الشيخ العلامة عبدالرحمن السعدي - رحمه الله تعالى. 📼DARSA NAMBA 0⃣2⃣ 📚كتاب الطهارة(١) - مقدمة. 🔸🌿🔸🌿🔸 💺MUDARRIS🎙 SHEIKH ABUU USAAMAH KHAMIYS IBN AME (حفظه الله ورعاه). 📆JUMATANO; TAREHE 30 SHAWWAAL 1440 H. ⌚BAADA YA SWALAATUL MAGHRIB. 🌿🌿🌿🌿 📚t.me...
MANHAJ AS SAALIKIYN 01 - SHEIKH KHAMIYS IBN AME
มุมมอง 1863 ปีที่แล้ว
🎇هذه دعوتنا وعقيدتنا🎇 🕌•MASJID AS-SUNNAH•🕌 🌴•MSASANI•🌴 🛳•DAR-ES-SALAAM•🛳 ✨SILSILA YA DURUWS ZA FIQHI✨ 📕كتاب: منهج السالكين وتوضيح الفقه في الدين. ✍تأليف: الشيخ العلامة عبدالرحمن السعدي - رحمه الله تعالى. 📼DARSA NAMBA 0⃣1⃣ ✍🏻TARJAMA FUPI YA SHAYKH 'ABDUR-RAHMAAN AS-SA'DIY - RAHIMAHU ALLAAH. ✍MUQADDIMA WA KITAABU. 📋CHAMBUZI JUU YA ISTILAAHI MBALIMBALI ZITAKAZOTUMIKA NDANI YA KITAABU. 🔸🌿🔸🌿🔸 💺MUDAR...
KITAAB AT TAWHEED 23 / SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
มุมมอง 723 ปีที่แล้ว
KITAAB AT TAWHEED 23 / SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
KITAAB AT TAWHEED 22 / SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
มุมมอง 453 ปีที่แล้ว
KITAAB AT TAWHEED 22 / SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
KITAAB AT TAWHEED 21 / SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
มุมมอง 643 ปีที่แล้ว
KITAAB AT TAWHEED 21 / SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
SOMENI SUNNAH !! SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
มุมมอง 1013 ปีที่แล้ว
SOMENI SUNNAH !! SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ‘ABDUL QAADIR
RADD KWA SUFI WA MKOLEMBA
มุมมอง 2513 ปีที่แล้ว
RADD KWA SUFI WA MKOLEMBA
NASAHA ZENYE KUTOSHELEZA - SHEIKH ABUU USAAMAH KHAMIYS IBN AME
มุมมอง 2453 ปีที่แล้ว
NASAHA ZENYE KUTOSHELEZA - SHEIKH ABUU USAAMAH KHAMIYS IBN AME
KHUTBAH - KILA LENYE MWANZO LINA MWISHO - SHEIKH ABDUL HAMID YUSSUF
มุมมอง 2043 ปีที่แล้ว
KHUTBAH - KILA LENYE MWANZO LINA MWISHO - SHEIKH ABDUL HAMID YUSSUF
ALLAH HAMUACHI YULE MWENYE KUMUKHOFU
มุมมอง 833 ปีที่แล้ว
ALLAH HAMUACHI YULE MWENYE KUMUKHOFU
TUJITAIDI KUTAFUTA ILMU
มุมมอง 393 ปีที่แล้ว
TUJITAIDI KUTAFUTA ILMU
NASAHA KWA WALINGANIZI WA SUNNAH WANAOTOLEWA KATIKA MISKITI
มุมมอง 1373 ปีที่แล้ว
NASAHA KWA WALINGANIZI WA SUNNAH WANAOTOLEWA KATIKA MISKITI
KHUTBAH - ITIKADI YA AHLU SUNNAH KWA MASWAHABA - SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ABDUL QAADIR
มุมมอง 513 ปีที่แล้ว
KHUTBAH - ITIKADI YA AHLU SUNNAH KWA MASWAHABA - SHEIKH ABUU USAAMAH FAARAH IBN ABDUL QAADIR
KHUTBAH - KUYAKUMBUKA MAUTI NA KUPUNGUZA MATATAJIO - SHEIKH ABUL HAARITH ABDULLAH IBN IYSAA
มุมมอง 713 ปีที่แล้ว
KHUTBAH - KUYAKUMBUKA MAUTI NA KUPUNGUZA MATATAJIO - SHEIKH ABUL HAARITH ABDULLAH IBN IYSAA
HII NI MARKAZ YA SUNNAH !!
มุมมอง 483 ปีที่แล้ว
HII NI MARKAZ YA SUNNAH !!
HISTORIA YA DA’WAH YA SHEIKH WETU ABUU USAAMAH KHAMIYS IBN AME NA BAADHI ZA CHANGAMOTO
มุมมอง 4.1K3 ปีที่แล้ว
HISTORIA YA DA’WAH YA SHEIKH WETU ABUU USAAMAH KHAMIYS IBN AME NA BAADHI ZA CHANGAMOTO
NASAHA KWA WAANDISHI WA MASHAIRI
มุมมอง 483 ปีที่แล้ว
NASAHA KWA WAANDISHI WA MASHAIRI
KHUTBAH - UBORA NA FADHILA ZA MWEZI WA MUHARRAM - SHEIKH ABUU HAATIM ABDULLAH
มุมมอง 3073 ปีที่แล้ว
KHUTBAH - UBORA NA FADHILA ZA MWEZI WA MUHARRAM - SHEIKH ABUU HAATIM ABDULLAH

ความคิดเห็น

  • @ABUUALLYBARWANI
    @ABUUALLYBARWANI หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 wazee wa kuharamisha hao Kila kitu kwao ni haramu 😂😂😂 Dunia hii mungu kajua kutuletea mijitu mijaahil tena muraqaab haswaaa 😂😂😂 dahhh ila hatuna budi tuvumilie Kwa mtihani huuu 😢

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM หลายเดือนก่อน

    Allah akuifadhi sheikhy

  • @ismailkiza
    @ismailkiza 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ame allah amuongoze kafikia kusema kuwa na wanawachuoni ni ujinga sauti yake ninayo

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuifadh sheikhy

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu pia anafanya daawa na shekh khamis ame

  • @hassandaniel1836
    @hassandaniel1836 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wangu Abdul Karim

  • @DustyHussein-xu8md
    @DustyHussein-xu8md 8 หลายเดือนก่อน

    Shukrani saaana mwalim wetu

  • @TausiNzeyimana-k2y
    @TausiNzeyimana-k2y 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Allah akuifazi adhana nzuri sana ni sheikh Abdul Karim nadikudiku uyo ananikumbusha mbali sheikh naskiya imani inapanda aliku akisoma kwenye shule ya msingi pale Bujumbura kwenye jiji la buyenzi kwajina linaitwa kadiriya barabara ya 17/21 mwalimu wake alikua ni sheikh shaban shaban omar al marufu sheikh mujosi Allah amrehem sheikh wetu

  • @محصنالكتامي
    @محصنالكتامي ปีที่แล้ว

    mahajawirah wamekosa shekhe.

  • @محصنالكتامي
    @محصنالكتامي ปีที่แล้ว

    msisahau gh'ishi aliofanya suudia.

    • @UwesuJumanne
      @UwesuJumanne 4 หลายเดือนก่อน

      ghishi gani??

  • @okwirioby3803
    @okwirioby3803 ปีที่แล้ว

    Channels zao zingine ni zipii naona hupost

  • @okwirioby3803
    @okwirioby3803 ปีที่แล้ว

    Channels zao zingine ni zipii naona hupost

  • @okwirioby3803
    @okwirioby3803 ปีที่แล้ว

    Ustadh ako area ganii Kenya BarakaAllah fiikum

  • @okwirioby3803
    @okwirioby3803 ปีที่แล้ว

    BarakaAllah fiikum

  • @HamisiChibwana-lg5bw
    @HamisiChibwana-lg5bw ปีที่แล้ว

    Maashallah

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

    Subhanallah Allah Akbar 😢😢

  • @ramakaponda627
    @ramakaponda627 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @ismailkiza
    @ismailkiza ปีที่แล้ว

    we ame mrongo kweli mcheallah waongea tu kwakuwa umepew nasafi

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 ปีที่แล้ว

      Uongo upo wapi kwenye maneno haya ? Mche Allah

    • @isihakamgeta5433
      @isihakamgeta5433 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mche Allah bainisha urongo wake

    • @ABUUSHURAIM
      @ABUUSHURAIM 2 หลายเดือนก่อน

      Mche Allah uongo uko wapi ndio nyie baada ya kua wafuasi wa mtume mmekua wafuasi wa qasim mafuta Kaz kuchukia watu hata kma ni hakk inasemwa kisa tu wamepishana na kina mafuta bac unapinga pinga tu ovyo kuna sion usalafy wenu sijui uko wapcoz hata mm nmesoma kwenu lkn ukweli mmepinda ma hizb nyie

    • @ismailkiza
      @ismailkiza 2 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUSHURAIM dawa yenu imekwisha mmekuwa kama makadiyani sheikh wenu hajur yupo wapi mbona hasikiki haqi sijukuzote ikojuu batiri ikochini ndoomaan hajur kimya kama unahoja naomb twende inboks uletehoja zako ame na wenzake wakina makaratee hawanahoj

  • @shabanimwakilasa8839
    @shabanimwakilasa8839 ปีที่แล้ว

    Baarakallaahu fiykum kutoka kwa bereko!

  • @farajihaluna
    @farajihaluna 2 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleykum shekhe hatim

  • @abouqadallyllaahqarym3547
    @abouqadallyllaahqarym3547 2 ปีที่แล้ว

    A

  • @abubakarmpawenayo2318
    @abubakarmpawenayo2318 2 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu kheri

  • @abubakharycostantino165
    @abubakharycostantino165 2 ปีที่แล้ว

    ya abu hatimu

  • @abubakharycostantino165
    @abubakharycostantino165 2 ปีที่แล้ว

    naomba nitumie link

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 2 ปีที่แล้ว

      Link Ya Channel Ya Sheikh Abuu Haatim : Telegram - t.me/abiyhaatimabdullaahTZ

  • @sumaiyairakoze1454
    @sumaiyairakoze1454 2 ปีที่แล้ว

    Mansha'Allah tabaraka'Allah

  • @quizboy9196
    @quizboy9196 2 ปีที่แล้ว

    Allah akubaliki shekh na aibaliki elimu yako na aruzuku afya njema ili iwe sababu ya kunufaisha umah

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi3258 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah ujumbe mzur

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh acha kupotosha umma hii elimu yenu yakisaudia inaharibu muonekano wa dini ,watu wakienda kuswali hawaendi kucheza wanaswali swala ya jammaa kwa kuwa mwenyezimungu ametuambia tushikamane na kamba yake wala tusitengane ,na tunapo maliza swala kuomba

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna ilmu ya Kisaudia na ilmu ya Kikenya au Kitanzania au kivingine, hapa tunatoa ilmu swahihi kwa dalili zilizothibiti kutoka katika Qur’an na Sunnah.

    • @ABUUALLYBARWANI
      @ABUUALLYBARWANI หลายเดือนก่อน

      ​@@eaduruus8896nyinyi ni majaahil tu hamuna elimu ndio maana Kila kitu kwenu haramu wapuuzi kweli nyie 😂 basi ata kumuomba Allah tusimuombe baada ya swalaa😂😂 mumezidii tenaaa 😂😂 unataka baada ya salamu tukurupuke kama mbuzi wamefunguliwa bandaaa 😂😂😂 dooh wallah kweli kunawajinga duniani ila nyinyi mumezidii hii hata hayaa hamuonii ! Mimi ninawasiwasi na nyinyi izii fatwa zenu za kigaidi na za kilevii sijui kama baada ya swala hamunywi gongoo 😂

  • @aishahamad9465
    @aishahamad9465 2 ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu

  • @أبوسفيان-ر4ي
    @أبوسفيان-ر4ي 2 ปีที่แล้ว

    Nyie mahajaawirah Amna hoja Bali mnafanya taawiil

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 2 ปีที่แล้ว

      Umeskiliza vyema lakini Ewe Abuu Sufyaan ??

  • @adammgana5715
    @adammgana5715 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ndio muhuni sasa na upuuzi wako unawapotosha watu tu siku ya qiyama utajaulizwa

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 2 ปีที่แล้ว

      Ahsante ila jua kuwa nawewe pia utaulizwa. Na ukiulizwa kuhusu hilo sijui utatoa dalili gani Ewe Adam Mgana !!

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 ปีที่แล้ว

    Jamani msipotoshe watu jamani muigopeni Allah kutokuomba mtume saw haiwaziwii watu kuomba kila baada ya swala labda museme kuomba kwa makundi na makelele hapo sawa laki kwa mnavyojibu sisawa jamani mnakosea

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 2 ปีที่แล้ว

      Umeskia vyema jawabu lakini kaka ?

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 2 ปีที่แล้ว

    Huyu fawzaan ndio mwenyewe dini.Na Fauzaaani hata hajajaaliwa kumuona alooona Taaaabi taaaabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiina.Elezeni watu ukweli enyi Wahabiiiii

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 2 ปีที่แล้ว

      Sisi Wahabi nawewe nani Ewe Akhtam ? Mbona watu hampendi dalili hata zikiwa zimethibiti ? Mnapenda kung’ang’ania upotevu wenu na wa wazee wa bid’aah ??

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @saydsultan9499
    @saydsultan9499 2 ปีที่แล้ว

    JazaakaAllahu khayrA

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 ปีที่แล้ว

    NAQAIMUUNA WANATAKA KUWEKA VIKAPU WAPATE DIRHAM.. KUWAZUIA KUPATA PESA KWA KUTEMBEZA VIKAPU BAADA YA KILA SWALA,NDILO LIMEKULETEA FITNA!!

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 3 ปีที่แล้ว

    Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh Shukan sana Sheikh wetu Naomba namba ya simu yako please

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 2 ปีที่แล้ว

      Tuandikie private inshaaAllah tutaikukabidhi wa.me/message/ELHJFTCG22S2B1

  • @sumisumi8181
    @sumisumi8181 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mada nzuri sheikh wetu Allah akulipe kheri zake .

  • @hamiskisaka6925
    @hamiskisaka6925 3 ปีที่แล้ว

    Haffidwahullah

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 ปีที่แล้ว

      Baarakallahu feek kwa nasaha yako akhi Tumekwishatoa video ile iliyokuwa ndani yake surah. Msiache kutunaswihi na kutukosoa tunapoteleza.

  • @farajinguya557
    @farajinguya557 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @athmanmaalim9311
    @athmanmaalim9311 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 ปีที่แล้ว

    Shukran Yaarabi tupe moyo wakutosheka

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe nauliza swali qur,an si ni yaallah na na kuomba kwa mwenyezimungu kupitia hiyo qur'an ni shirki??????

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 3 ปีที่แล้ว

    Unyenyekevu autolee wapi huyu mdomo mchafu umejaa maneno ya kinyaa tu

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 3 ปีที่แล้ว

      موتوا بغطيكم Kufeni kwa chuki zenu

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 ปีที่แล้ว

      ​@@eaduruus8896kabisaa wafie mbali

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 3 ปีที่แล้ว

    Ya Allah tusaidiye

  • @leonardmbonea4117
    @leonardmbonea4117 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi al akhy

    • @eaduruus8896
      @eaduruus8896 3 ปีที่แล้ว

      Aaamin, nawe pia akhi

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 3 ปีที่แล้ว

    Mahajaawirah

    • @leonardmbonea4117
      @leonardmbonea4117 3 ปีที่แล้ว

      baraamika wewe , kasuku la kubaramika

    • @leonardmbonea4117
      @leonardmbonea4117 3 ปีที่แล้ว

      kasuku la kibaramika wewe

    • @leonardmbonea4117
      @leonardmbonea4117 3 ปีที่แล้ว

      hajawira ndio mdudu gani

    • @abdulhalim5950
      @abdulhalim5950 3 หลายเดือนก่อน

      Mahajawira hamna akili

    • @ABUUSHURAIM
      @ABUUSHURAIM 2 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndio mmepinda na mim nimesoma kwenu lkni kwenu hakuna din Bali ulaji nawajua vzur khamis ame uko sawa mashaallah Allah akuifadh

  • @jumamavoco5086
    @jumamavoco5086 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallha

  • @kibiritichekundu8305
    @kibiritichekundu8305 3 ปีที่แล้ว

    HAKUNA MTU MJINGA KAMA WEWE NDUGU YANGU ATA KUANDIKA MANENO YA ALLAH UKANINGINIZA JE NI SHIRKI?... JE MAPOKEZI YA HADITHI KWA ABUDUJANATAL ANSWARIY ALIANDIKIWA DUA AKANINGINIZE NDANI KWAKE JE MTUME((SAW)) PIA MSHIRIKINA?...MASWAHA PIA WALIKUA WANAANDIKA HIRZI ZA QORANI NA DUAA. UHALALI WA KUMUANDIKIA MTOTO QURAN NA DUA ZA BWANA MTUME KWA AJILI YA MUHIFADH NA SHARI . katika mambo tulio waona nao wazee wetu mashekh zetu ni hili lakumuandikia mtoto Hirizi ya Quran na kumfunga kwa ajili ya Kumlinda na shari , Jambo hili walipo kuja mawahabi walilipinga vikali sanaa mpa kuwaita wanao fanya jambo hili ni kua ni MUSHRIKINA , JE NI KWELI WANAVODAI ??? bila shaka tutapata jawabu kutoka kwa maulamaa na mswahaba wa bwana mtumee ju ya uhalali wajambo hili . عن عمر بن شيعب عن ابيه عن جده ، أن رسول الله صلى الله عليه وسلم كان يعلمهم من الفزع : اعوذبكلمات الله التامات من غضبه وعقابه وشر عباده ومن همزات الشياطين وان يحضرون . رواه ابوا داود. رقم ( ٣٨٩٣) Kutoka kwa amri bin shuaib hakika bwana mtume صلى الله عليه وسلم alikua akiwafundisha dua ya kushtuka usingizini , AWUDHU BIKALIMATILLAH TAAMAT MIN ADHABIHI WA IQABIH WAMIN HAMAZAAT SHAYATWINI WAAN YAHDHURUN. وكان عبد الله بن عمرو يعلمهن من عقل من بنيه ومن لم يعقل كتبه فأعلقه عليه . Alikua swahaba ABDALLAH BIN AMRI akiwafundisha watoto wake wanao jua kusoma dua hi, nawale wadogo amabao hawajui kusoma akiwaandikia kisha akiwafungaa ju yaoo . Hadith imepokewa na imam Abu daud namba ( 3893) Pia ameitaja Al imam ibnul QAYYIM katika kitabu chake ( ZADUL MAAD) UK 739 Kumbe jambo hili wazee wetu hawakupotea wala hawakulifanya kwa vichwa vao bal walifuataa mwendo wawema walio pita nao ni maswahaba na maulamaa Watukufu . TUSOME KWANZA KABLA KUROPOKO ACHA POMPORIPO IZO. والسلام عليكم ورحمة الله وبركاته .

  • @zedon2047
    @zedon2047 3 ปีที่แล้ว

    Sasa umeweka Video kwenye Mtandao wa TH-cam ambao umejaa mapicha na Video…!! Inakuaje hapo?? Au wewe hadith hiyo haikuhusu wewe???

    • @leonardmbonea4117
      @leonardmbonea4117 3 ปีที่แล้ว

      iko wapi hio video , hujui video ni nini?

    • @zedon2047
      @zedon2047 3 ปีที่แล้ว

      Hivi humu TH-cam hakuna Video? Eti iko wapi hio video..!! Yaliyojaa humu maVideo huyaoni au

    • @leonardmbonea4117
      @leonardmbonea4117 3 ปีที่แล้ว

      yeye Kaeka video? au ndio wale ukikatazwa kitu unasema mbona hata we unafanya ?

    • @leonardmbonea4117
      @leonardmbonea4117 3 ปีที่แล้ว

      nauliza video yake aliyoweka yeye sio hao watu wengine waliopinda. aliyoweka inaitwa audio sio video na picha za haramu ni za viumbe wenye roho

    • @zedon2047
      @zedon2047 3 ปีที่แล้ว

      @@leonardmbonea4117 Elewa Swali. Hizo picha za Viumbe Hai ambazo unavyodai wewe ni Haramu hazipo humu TH-cam?? Kwasababu huwezi kuingia TH-cam bila ya kukutana nazo. Kulikua na haja gani ya kuleta maudhui hii kwenye Mtamdao uliojaa Haramu.? Au yafaa kuchanganya Haramu na Halali sehemu moja??