- 8
- 31 148
Kwaya ya Msamaria Mwema KKKT - Oldonyo Sambu
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 16 เม.ย. 2021
Jangwani - Kwaya ya Msamaria Mwema KKKT Oldonyo Sambu
Jangwani - Kwaya ya Msamaria Mwema KKKT Oldonyo Sambu
#Lutheran #2021 # Gospel #Arusha
#jangwonyoung #Jangwa #zanzibar
#Lutheran #2021 # Gospel #Arusha
#jangwonyoung #Jangwa #zanzibar
มุมมอง: 1 015
วีดีโอ
Nataka Ushirika - Kwaya ya Msamaria Mwema KKKT Oldonyosambu
มุมมอง 9K2 ปีที่แล้ว
#Lutheran #2021 # Gospel #Arusha Nataka ushirika
Umetenda - Kwaya ya Msamaria Mwema KKKT Oldonyosambu
มุมมอง 2.7K2 ปีที่แล้ว
#Lutheran #ELCT #KKKT #Luther #Praise #2021 #Maasai #Arusha Tumhimidi Bwana Kwakua ametenda mambo makubwa sana zaidi ya yale tuliyoyatazamia. Hallelujah.
Kwaya ya Msamaria Mwema - Rudi zizini
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Rudi zizini uliye potea, Yatosha basi uluvyoishi kwenye dhambi, Yatosha basi ulivyotumika kwa shetani.
KWaya ya Msamaria Mwema - Hapo mwanzo
มุมมอง 3.1K3 ปีที่แล้ว
Hapo Mwanzo Mungu alijifanya kama haoni dhambi; Sasa anaagiza tuzitubu dhambi, tumrejee; Yu aja upesi na ujira; Kila mtu atalipwa sawa na matendo yake. Ahsante kwa kutembelea Channel Yetu; Tafadhali tufatilie pia kwenye mitandao mingine hapa chini. kwayayamsamaria.mwema
Ee Bwana kwanini
มุมมอง 3.4K3 ปีที่แล้ว
Ee Bwana kwanini Wasimama mbali, Usinifiche uso wako, Nina haja nawewe Ahsante kwa kutembelea channel yetu na kutazama nyimbo hizi. Tafadhali tutafute kwenye mitandao ya kijamii web. kwayayamsamaria.mwema
Bado Liko Tumaini
มุมมอง 3.4K3 ปีที่แล้ว
Bado lipo tumaini.. Mateso ni mengi, Maumivu ni makali, Giza ni nene, Moyo unaumia, katika haya yote BADO LIPO TUMAINI katika Kristo Yesu aliye tumaini letu. web. kwayayamsamaria.mwema
❤❤
God bless u
Mungu awajaze zaidi Wana wa mungu
Nzuri sana
Hongeren sana # good job mungu aendelee kuwainua
Mungu wa mbingu awabariki kwa Kaz nzuri
Mbarikiwe waimbaji mungu awaitie nguvu?
Hongeren San mmefanya vzr sana👏👏👏👏👏
Amen ahsante sana
Hongera sana Kwaya ya Msamaria Mwema. Mungu amewabariki sana kufanya Uinjilisti kwa njia ya nyimbo nzuri. Mimi nimebarikiwa sana, Hallelujah!
Amen Amen.
Jamani angalieni wimbo bado liko tumaini kwaya dodo gosper choir nyimbo kama tatu mmezichukua kwenye albam ya bado liko tumaini mmetoa bila ridhaya yetu na tumetoa hizi nyimbo siku nyingi sana tutawachukulia hatua
Jamani hii ni nyimbo yetu
N ujumbe mzur San n mwlm nan amewafundsha
Stay blessed all
let us do the work of Christ with heart and love together and then we will see God in our lives God is always faithful
Mbarikiwe sanaaa
💞💞💞💞💞💞💞❤
Kweli Yesu ametenda mbarikiwe kwa wimbo mzuri.
Stay blessed all
Waooo nice song keep it up watu wangu
Very nice be bleed all jmn vizuri sana mwalim wa kwaya hiii kuna taji limeandaliwa kwa ajili yakoo
Amen Amen, ahsante sana.
Nimeona mke wangu joy usalimie
Nimewaona wapendwa
God blessing
Amen
Hogereni ndugu zangu ktk Bwanaa
Thank good God blessing all
God is powerfull
God blssng
Kasi surii injili ientele
Penda sana watu nyumbani barikiweni saaaaaaaaaana
Kiboswana hogereni jina Bwana na limidiwe
Hangereni watumishi wa Mungu
Wa MIRONGOINE arusha mko vizur mno Mungu awatunza msalimuni kijana Emmanuel
Salimieni loy asanteni wote kwa kazi nzuri Mungu awangoze
Amina songeni mbele msirudi nyuma mungu awe nanyi
Mungu awabariki
Hongereni sana Wana kkkt oldonyo sambu.hapo ndipo nililelewa kiroho,mpaka kipa imera jamani nawapendo sana
Mungu awabariki sana na kuwainua viwango vya juu
Hongereni sana wanadonyo kwa kumuinua kristo kwa uimbaji
blessed
Songeni mbele watumishi mungu awe nanyi
Songeni mbele watumishi mungu awe nanyi
Mungu awabariki sana
Barikiwa sana watu Wa mungu
Mmetisha jeshi la bwana
Mungu awavushe kwa viwango zaidi
Mungu awavushe kwa viwango zaidi
MUNGU wa mbinguni azidi kuwatunza
Hakika Mungu ametenda hata kwenu pia ametenda mbarikiwe sana
You have done Jesus,one of the best song in your Album
Mungu awabariki sana
Mbarikiwe
Amazing song
Mmbarikiwe sana
Hongereni sana kwa kazi hii njema ya kumuhubiri kristo kwa njia ya uimbaji