Me naomba niulize bro ivi kuna uwezekano wa kufuga kuku wa kienyeji kwenye banda kama hilo na je watazaliana vizuri maana kuna watu wanasema kwamba kuku wa kienyeji wanatakiwa wafugwe kwenye free range yani wasikae kwenye banda mda wote please naomba majibu ð
Hongera sana. Nina swali hapa-Chumba kimoja(box) kwenye cage Ina ukubwa gani na inaweza kukaa na vifaranga wangapi au kuku wakubwa wangapi? Hongera sana...
Good bro âĪ
Ofisi yenu iko wapi?
Waeza fika Kenya ?
Wekeni namba za simu sasa
Nawapataje
Kiasi gani mmejenga hilo banda nahitaji na mimi nnayo sehemu kama hiyo nambie bei tuuanze kazi
Semangat bang
Sistim ya maji vifaa unapata wapi
Me naomba niulize bro ivi kuna uwezekano wa kufuga kuku wa kienyeji kwenye banda kama hilo na je watazaliana vizuri maana kuna watu wanasema kwamba kuku wa kienyeji wanatakiwa wafugwe kwenye free range yani wasikae kwenye banda mda wote please naomba majibu ð
Apana aiwezekani
Hongera sana. Nina swali hapa-Chumba kimoja(box) kwenye cage Ina ukubwa gani na inaweza kukaa na vifaranga wangapi au kuku wakubwa wangapi? Hongera sana...
Namba ya simu
Namba yako please
Your number please
Nahitaji mchoro ( plan) utanichaji pesa ngapi?
This looks real great
Hi good work. What are dimensions if you can share. Thanks
Good work done Pls can you send me the measurements
Namba za simu?
Namba za simu
Namba yako plz
0714093441
Vifaa vya maji hivo unavipata wapi