TNMC Habari
TNMC Habari
  • 70
  • 9 331
JOEL NANAUKA; Nitakuwa Balozi wa TNMC
Mkufunzi wa Masuala ya Maisha na Mwandishi wa Vitabu Joel Nanauka, amesema atakuwa Balozi wa mzuri wa Kulitambulisha Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania TNMC hii ni Baada ya Kufika na Kujifunza Majukumu ya Baraza Kwenye Banda la TNMC lililopo Katika Maonesho ya Nanenane Jijini Dodoma. SIKILIZA VIDEO
มุมมอง: 1 140

วีดีโอ

Prof. Shemdoe: HONGERA TNMC KWA KUSHIRIKI NANENE.
มุมมอง 7614 วันที่ผ่านมา
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Silas Shemdoe aipongeza TNMC Kwa kushiriki maonesho ya nanenane. Wizara ya KilimoWizara ya Afya TanzaniaWizarding World
PONGEZA ZA MSAJILI TNMC KWA WALIMU WA KADA ZA UUGUZI NA UKUNGA
มุมมอง 3414 วันที่ผ่านมา
MSAJILI TNMC AWAPONGEZA WAZAZI NA WALIMU KWA JUKUMU LA KUSHIRIKI KATIKA UANDAAJI WA WAUGUZI NA WAKUNGA NCHINI Bi. Agnes Mtawa ameyasema hayo katika Mahafali ya kitaaluma kwa wauguzi na wakunga CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA. Katika Mahafali hayo Mgeni Rasmi ni Msajili Baraza la UuguzI na Ukunga Tanzania (TNMC) Bi. Agnes Mtawa
MKAZINGATIE MAADILI NA NIDHAMU YA TAALUMA
มุมมอง 2214 วันที่ผ่านมา
"MKAZINGATIE MAADILI YA TAALUMA"- Msajili TNMC Bi. Agnes Mtawa ameyasema hayo katika Mahafali ya kitaaluma kwa wauguzi na wakunga CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA. Katika Mahafali hayo Mgeni Rasmi ni Msajili Baraza la UuguzI na Ukunga Tanzania (TNMC) Bi. Agnes Mtawa
Msajili awakumbusha wahitimu misingi saba (7) ya kitaaluma
มุมมอง 1914 วันที่ผ่านมา
Msajili awakumbusha wahitimu misingi saba (7) ya kitaaluma Bi. Agnes Mtawa ameyasema hayo katika Mahafali ya kitaaluma kwa wauguzi na wakunga CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA. Katika Mahafali hayo Mgeni Rasmi ni Msajili Baraza la UuguzI na Ukunga Tanzania (TNMC) Bi. Agnes Mtawa
Mkutano wa Halmashauri kuu ya Chama cha wauguzi Tanzania (TANNA)
มุมมอง 13321 วันที่ผ่านมา
KUTOKA DODOMA: Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha wauguzi Tanzania (TANNA) katika mkutano Muhimu kwa maendeleo wauguzi nchini.
TNMC YAJIPANGA KUSHIRIKI NBC MARATHON
มุมมอง 2728 วันที่ผ่านมา
Lengo ni Kuchangia katika kupambana na Saratani na kuimarisha Afya ya Uzazi kwa kuchangia elimu kwa wauguzi na wakunga nchini. Marathoni hizo zinatarawa kutimua vumbi siku ya tarehe 28.07.2024 katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, ambapo Wauguzi na wakunga zaidi ya 100 wamefadhiliwa na TNMC kushiriki zoezi hili.
HII NDIYO MISINGI SABA 07 YA UUGUZI- MSAJILI
มุมมอง 55หลายเดือนก่อน
Aliayasema hayo alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha ST. THERESA SCHOOL OF NURSING Moshi Kilimanjaro
MSAJILI TNMC: Aeleza Kanuni/Misingi saba ya Uuguzi na Ukunga Tanzania.
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
MSAJILI TNMC: Aeleza Kanuni/Misingi saba ya Uuguzi na Ukunga Tanzania.
MSAJILI TNMC KATIKA MAHOJIANO NA AZAM TV
มุมมอง 128หลายเดือนก่อน
@azamtvtz @Wasafi_Media @TNMCHabari @TBC_Online @chuyentuoiteen.official @CLOUDSMEDIA
MAHOJIANO NA WASAFI FM NA TV MSAJILI WA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA
มุมมอง 237หลายเดือนก่อน
@Wasafi_Media @efmtanzania @TNMCHabari @BBC @TBC_Online @upendotv361 @azamtvtz @uoitvtanzania
KUTOKA JIJINI DSM KATIKA MAONESHO YA SABASABA
มุมมอง 62หลายเดือนก่อน
KUTOKA JIJINI DSM KATIKA MAONESHO YA SABASABA
HIZI HAPA SABABU KWA NINI UTEMBELEE BANDA LETU HAPA SABASABA
มุมมอง 32หลายเดือนก่อน
HIZI HAPA SABABU KWA NINI UTEMBELEE BANDA LETU HAPA SABASABA
TUKUTANE SABASABA
มุมมอง 35หลายเดือนก่อน
TUKUTANE SABASABA
"UUGUZI NI MAADILI" MUUGUZI MKUU WA SERIKALI BI. ZIADA SELAH
มุมมอง 55หลายเดือนก่อน
"UUGUZI NI MAADILI" MUUGUZI MKUU WA SERIKALI BI. ZIADA SELAH
"TUMEPATA MAFUNZO MAZURI TUTAYAFANYIA KAZI" WAUGUZI NA WAKUNGA TANGA TC
มุมมอง 46หลายเดือนก่อน
"TUMEPATA MAFUNZO MAZURI TUTAYAFANYIA KAZI" WAUGUZI NA WAKUNGA TANGA TC
UMUHIMU WA LESENI @ TK 88.5 TANGA
มุมมอง 77หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA LESENI @ TK 88.5 TANGA
UMUHIMU WA USAJILI WA AWALI (STUDENTS INDEXING)
มุมมอง 12หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA USAJILI WA AWALI (STUDENTS INDEXING)
WAUGUZI, WAKUNGA WA HOSPITALI YA KOROGWE WAIPONGEZA TNMC KWA MAFUNZO YA SHERIA NA MAADILI
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
WAUGUZI, WAKUNGA WA HOSPITALI YA KOROGWE WAIPONGEZA TNMC KWA MAFUNZO YA SHERIA NA MAADILI
TNMC: HUTAKIWI KUTOA HUDUMA KAMA HUNA LESENI HAI YA TNMC
มุมมอง 43หลายเดือนก่อน
TNMC: HUTAKIWI KUTOA HUDUMA KAMA HUNA LESENI HAI YA TNMC
WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI KOROGWE WAPATA MAFUNZO YA USAJILI WA AWALI KUTOKA TNMC
มุมมอง 216หลายเดือนก่อน
WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI KOROGWE WAPATA MAFUNZO YA USAJILI WA AWALI KUTOKA TNMC
WAZIRI UMMY: "KOZI YA UUGUZI YA DIPLOMA YA JUU KUANZISHWA CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA"
มุมมอง 329หลายเดือนก่อน
WAZIRI UMMY: "KOZI YA UUGUZI YA DIPLOMA YA JUU KUANZISHWA CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA"
WANAFUNZI WA CHUO CHA ELYJERRY WAPONGEZA ZIARA YA TNMC CHUONI HAPO
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
WANAFUNZI WA CHUO CHA ELYJERRY WAPONGEZA ZIARA YA TNMC CHUONI HAPO
WANAFUNZI CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA WAPONGEZA ZIARA YA WAZIRI WA AFYA CHUONI HAPO
มุมมอง 34หลายเดือนก่อน
WANAFUNZI CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA WAPONGEZA ZIARA YA WAZIRI WA AFYA CHUONI HAPO
WAUGUZI, WAKUNGA MHEZA TANGA WAFUNGUKA HAYA BAADA YA KUPATA MAFUNZO YA SHERIA NA MAADILI KUTOKA TNMC
มุมมอง 219หลายเดือนก่อน
WAUGUZI, WAKUNGA MHEZA TANGA WAFUNGUKA HAYA BAADA YA KUPATA MAFUNZO YA SHERIA NA MAADILI KUTOKA TNMC
MAAMUZI YA BARAZA DHIDI YA TUHUMA ZA WAUGUZI NA WAKUNGA NCHINI.
มุมมอง 4092 หลายเดือนก่อน
MAAMUZI YA BARAZA DHIDI YA TUHUMA ZA WAUGUZI NA WAKUNGA NCHINI.
WAUGUZI WAKILA KIAPO SIKU YA WAKUNGA DUNIANI
มุมมอง 773 หลายเดือนก่อน
WAUGUZI WAKILA KIAPO SIKU YA WAKUNGA DUNIANI
Hotuba ya Naibu Waziri Mkuu Mh. Dkt. Doto Biteko katika Maadhimisho siku ya Wauguzi Duniani.
มุมมอง 4423 หลายเดือนก่อน
Hotuba ya Naibu Waziri Mkuu Mh. Dkt. Doto Biteko katika Maadhimisho siku ya Wauguzi Duniani.
MNAIFAHAMU ECSACONM?
มุมมอง 683 หลายเดือนก่อน
MNAIFAHAMU ECSACONM?
TNMC: TUTOE MAONI KUHUSU UBORESHAJI WA SHERIA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA
มุมมอง 713 หลายเดือนก่อน
TNMC: TUTOE MAONI KUHUSU UBORESHAJI WA SHERIA YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

ความคิดเห็น

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 4 วันที่ผ่านมา

    Na mimi ni balozi mzuri huku nilipo.

  • @KaburaAbediKapangaAbdulRahmans
    @KaburaAbediKapangaAbdulRahmans 6 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/RRQWyYsI9F8/w-d-xo.htmlsi=WNi67TzlwxNFz6Bs *★JE! UKONA MATATIZO?★* *★BASI SIJUE★* *★NJIA 7 ZENYE KUMALIZA MATATIZO★* *★FINYA HAYO MAANDISHI YA BLUU UJIONEE★*

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana mama Yetu. Tunakupenda sana.

  • @hellgodsizya385
    @hellgodsizya385 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @hellgodsizya385
    @hellgodsizya385 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu juu ya balaza letu

  • @hellgodsizya385
    @hellgodsizya385 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @ATRNA-TZ
    @ATRNA-TZ หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @user-ys3gt8lp5h
    @user-ys3gt8lp5h หลายเดือนก่อน

    Nawapata vizur kabsa kutoka Mwanza .asanten kwa kutengeneza Channel yetu❤❤❤❤

  • @user-ys3gt8lp5h
    @user-ys3gt8lp5h หลายเดือนก่อน

    Je tuliofanya indexing vitambulisho tunapataje ambao tuko Mwanza

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 หลายเดือนก่อน

    Sawa Boss 🙏🙏🙏

  • @SimonLiwawa-ux5cq
    @SimonLiwawa-ux5cq หลายเดือนก่อน

    Njoo mama Teule muheza chuo Cha uuguzi uone madudu

  • @Gwanchele
    @Gwanchele 2 หลายเดือนก่อน

    Kama anabidhaa haswa dawa zimeexpaire Hapana hata Mimi sikubaliani nao tuwe serious tusicheze na Afya za watu Lakini pia kuhusu vipimo vinavyotakiwa Kupimwa basi tuhakikishe wataaluma kada husika tunao mi si muumini sana wa short course za upimaji. Japo kuwa kwenye kutoa majibu inategemeana na level ya elimu ya Muuguzi husika maana us nurses tunaweza kutoa tafasili nzuri zaidi ya majibu muda mwingine kuliko hata CA Good job muendelee haswa katika kuimarisha ufanisi nawala si kufunga tu.

  • @BARACKILANDA
    @BARACKILANDA 3 หลายเดือนก่อน

    Watu maalum kwa kazi maalumu❤❤❤

  • @BARACKILANDA
    @BARACKILANDA 3 หลายเดือนก่อน

    Hiv kazi za uuguzi mbona hatuoni hata post ya ajira tumekaa tu na leseni zetu tunazunguka nazo hata ajira portal sijawah kuona wanatangaza ajira zetu maana yake nn mpaka mtu unabak unacheka

  • @BARACKILANDA
    @BARACKILANDA 3 หลายเดือนก่อน

    Ata kazi bac mbona leseni tumekaa nazo tu mtaani

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 3 หลายเดือนก่อน

    Kabisa kwa kweli wengine wanatia hasira 😢😢

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 4 หลายเดือนก่อน

    Exactly 🎉

  • @user-jo9de6th4y
    @user-jo9de6th4y 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Mama Mungu akutunze uzidi kuliendeleza Baraza letu

  • @lubaziemmanuel4595
    @lubaziemmanuel4595 6 หลายเดือนก่อน

    I see mdogo wangu in ua carrier " big up young cc"

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 6 หลายเดือนก่อน

    Ngoja ifike tarehe 23 tutimbe na sisi. Mimi nitakuja hapo mbele kuongea kwa Niaba😊😊

  • @user-ol3jk6rs3g
    @user-ol3jk6rs3g 6 หลายเดือนก่อน

    vusya ungu

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani mtu hujafeli darasani leseni tu ndo anafeli kuna shida hapo,

  • @masungadwasi3132
    @masungadwasi3132 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Sr Salome Kwa elimu nzuri juu Theatre management Hii elimu inatakiwa nchi nzima Ili Kuboresha matokeo ya huduma za upasuaji

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 6 หลายเดือนก่อน

    Pamoja wakubwa😢😢😢 moyo uko juu

  • @verichitamchami5428
    @verichitamchami5428 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa ufafanuzi mzuri

    • @TNMCHabari
      @TNMCHabari 7 หลายเดือนก่อน

      pamoja

  • @michaelmauna2251
    @michaelmauna2251 7 หลายเดือนก่อน

    Mnazungumzia upande wetu tu,hamjawai jali dhiki anayopitia muuguzi,mpo kisiasa mara zote

    • @TNMCHabari
      @TNMCHabari 7 หลายเดือนก่อน

      Baraza si chombo cha kisiasa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania ni Mamlaka ya Kisheria iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Uuguzi na Ukunga ya 2010, na Kanuni zake kwa lengo la kuhakikisha huduma zitolewazo na wauguzi na wakunga zinaubora na salama kwa wateja. Asante.

  • @user-xi2es7pk1k
    @user-xi2es7pk1k 7 หลายเดือนก่อน

    Nafikiri huu mchakato wa leseni uangaliwe kiundani zaidi,, leseni iwe inaandaliwa ndani ya kipindi chote ambacho mtu anasoma,,kisha anapomaliza a apewe kama vyeti vingine vya taaluma,, Inachosha sana,ni kana kwamba mtu anasoma vyuo viwili viwili,na kila chuo na gharama zake.

    • @TNMCHabari
      @TNMCHabari 7 หลายเดือนก่อน

      Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania ni Mamlaka ya Kisheria iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Uuguzi na Ukunga ya 2010, na Kanuni zake kwa lengo la kuhakikisha huduma zitolewazo na wauguzi na wakunga zinaubora na salama kwa wateja. hivyo Baraza linafanya kazi kwa kufuata miongozo,taratibu na sheria