Taa ya Elimu
Taa ya Elimu
  • 67
  • 323 452

วีดีโอ

Je Umeijenga Nyumba yako ya Kaburi | Sheikh Muhammad Bahero
มุมมอง 14314 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kila nafsi itaonja Kifo ijenge Nyumba yako ya Kaburi leo NB: Angalia full video kwakubofya hapa:📺 th-cam.com/video/qysUEkeS6_E/w-d-xo.htmlsi=M_BTCBtbF2A0Oxoa CREDITS: iMedia Kenya Copyright Use Disclaimer: This video is for educational, motivational and reminder purpose. 📚 In sha Allah comments and reminders are all welcome but should be kept in context of benefiting the community as just like ...
Usiangalie Uliyoikosa Angalia Neema Nyingi Ulizonazo || sheikh Hassan Ahmad
มุมมอง 44416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hewa ni rizki kubwa kuliko Chakula Ni Wachache sana wanashukisha pumzi na kusema Alhamdulillah. #sheikhhassanahmad NB: Angalia full video kwakubofya hapa:📺 th-cam.com/video/70eSXeKTT_g/w-d-xo.htmlsi=39i8bcntWjnYmw-h CREDITS: Imedia Kenya Copyright Use Disclaimer: This video is for educational, motivational and reminder purpose. 📚 In sha Allah comments and reminders are all welcome but should be...
Mwanamke Mwenye Sifa Hizi Tano Anapendwa Na kila Mwanaune | Sheikh Yusuf Abdi
มุมมอง 1.3K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Yusuf abdi akielezea kuwa Mwanamke Mwenye Hizi Sifa Tano Anapendwa Na Kila mwanaume. NB: Angalia full video kwakubofya hapa:📺 th-cam.com/video/GrdptwuFi3c/w-d-xo.htmlsi=q94TzcwSTxK0GZgY CREDITS: Africa TV2 Copyright Use Disclaimer: This video is for educational, motivational and reminder purpose. 📚 In sha Allah comments and reminders are all welcome but should be kept in context of benef...
Una Maradhi Yanakusumbua Omba Dua Hii | Duktur Islam Muhammad
มุมมอง 35121 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Duktur Islam Muhammad akielezea dua kwa mtu ambae ana maradhi NB: Angalia full video kwakubofya hapa:📺 th-cam.com/video/qy8RF5Era1Y/w-d-xo.htmlsi=SsMasyzMoPUh0vI- CREDITS: Fauz Production Copyright Use Disclaimer: This video is for educational, motivational and reminder purpose. 📚 In sha Allah comments and reminders are all welcome but should be kept in context of benefiting the community as ju...
Mwanaume Mwenye Hizi Sifa Tano Anapendwa Na Kila Mwanamke | Sheikh Yusuf Abdi
มุมมอง 12Kวันที่ผ่านมา
Sheikh Yusuf abdi akielezea kuwa Mwanaune Mwenye Hizi Sifa Tano Anapendwa Na Kila Mwanamke. NB: Angalia full video kwakubofya hapa:📺 th-cam.com/video/GrdptwuFi3c/w-d-xo.htmlsi=q94TzcwSTxK0GZgY CREDITS: Africa TV2 Copyright Use Disclaimer: This video is for educational, motivational and reminder purpose. 📚 In sha Allah comments and reminders are all welcome but should be kept in context of benef...
Tengeneza Akhera Yako Kwa Neema Ulizonazo | Sheikh Hassan Ahmad | Kisa Cha Bwana mmoja
มุมมอง 47614 วันที่ผ่านมา
Tengeneza Akhera Yako Kwa Neema Ulizonazo | Kisa Cha chenye mazingatio. Sheikh Hassan Ahmad NB: Angalia full video kwakubofya hapa:📺 th-cam.com/video/70eSXeKTT_g/w-d-xo.htmlsi=39i8bcntWjnYmw-h CREDITS: Imedia Kenya Copyright Use Disclaimer: This video is for educational, motivational and reminder purpose. 📚 In sha Allah comments and reminders are all welcome but should be kept in context of ben...
Wamfanyia Wema Mama Yako na huku moyoni watamani bora afe | Sheikh Muhammad Bahero
มุมมอง 21814 วันที่ผ่านมา
Wamfanyia Wema Mama Yako na huku moyoni watamani bora afe | Sheikh Muhammad Bahero @SheikhMuhammadBahero #mawaidha #ukumbusho #shortvideo
Kisa Baba Alietelekezwa na watoto wake - Sheikh Muhammad Bahero
มุมมอง 50314 วันที่ผ่านมา
Kisa Baba Alietelekezwa na watoto wake - Sheikh Muhammad Bahero @SheikhMuhammadBahero #mawaidha #shortvideo #ukumbusho islamicshorts
Tuto kuwa na Audilifu Katika mapenzi kunaleta Athari Katika ukuaji wa Watoto
มุมมอง 6821 วันที่ผ่านมา
Tuto kuwa na Audilifu Katika mapenzi kunaleta Athari Katika ukuaji wa Watoto
Tusipuuze mambo ya malezi - Sheikh Hassan Ahmed
มุมมอง 8693 หลายเดือนก่อน
Tusipuuze mambo ya malezi - Sheikh Hassan Ahmed
Kisa cha Kuhuzumisha Mazara Ya tuto kufuata malezi ya mtume ﷺ
มุมมอง 1.4K3 หลายเดือนก่อน
Kisa cha Kuhuzumisha Mazara Ya tuto kufuata malezi ya mtume ﷺ
Kisa cha Wanandoa wapendanao || Huruma
มุมมอง 3.5K3 หลายเดือนก่อน
Kisa cha Wanandoa wapendanao || Huruma
Sheikh Hassan Ahmed - Wazazi wanajinyima kwa ajili ya watoto wao
มุมมอง 5513 หลายเดือนก่อน
Sheikh Hassan Ahmed - Wazazi wanajinyima kwa ajili ya watoto wao
HATARI YA CHECHE ZA MKOJO--Sheikh Hashim rusaganya
มุมมอง 5645 หลายเดือนก่อน
HATARI YA CHECHE ZA MKOJO Sheikh Hashim rusaganya
Riziki Yako Ipo Allah Ameiandika Usikate Tamaa_-_ Sheikh Hassan Ahmed
มุมมอง 3.1K5 หลายเดือนก่อน
Riziki Yako Ipo Allah Ameiandika Usikate Tamaa_-_ Sheikh Hassan Ahmed
SHEIKH HASSAN AHMED -- KISA CHA MUANDISHI WA HABARI
มุมมอง 5K5 หลายเดือนก่อน
SHEIKH HASSAN AHMED KISA CHA MUANDISHI WA HABARI
Kisa Cha Muuza Machungwa _ SHEIKH HASSAN AHMED
มุมมอง 3.5K5 หลายเดือนก่อน
Kisa Cha Muuza Machungwa _ SHEIKH HASSAN AHMED
KISA CHA MTOTO MKWELI _-_ SHEIKH HASSAN AHMED
มุมมอง 6K5 หลายเดือนก่อน
KISA CHA MTOTO MKWELI _-_ SHEIKH HASSAN AHMED
SOMA QUR'AN HATA KAMA HUNA TATIZO _-_ SHEIKH HASSAN AHMED | (Official Images)
มุมมอง 3145 หลายเดือนก่อน
SOMA QUR'AN HATA KAMA HUNA TATIZO _-_ SHEIKH HASSAN AHMED | (Official Images)
KISA CHA KIJANA NA BABU YAKE _ SHEIKH HASSAN AHMED
มุมมอง 3.2K5 หลายเดือนก่อน
KISA CHA KIJANA NA BABU YAKE _ SHEIKH HASSAN AHMED
SHEIKH HASSAN AHMED -_- HAMNA MTU AMAEWEZA PUNGUZA RIZKI YAKO HATA PUNJE MOJAQ
มุมมอง 2.1K5 หลายเดือนก่อน
SHEIKH HASSAN AHMED -_- HAMNA MTU AMAEWEZA PUNGUZA RIZKI YAKO HATA PUNJE MOJAQ
KISA CHA KUHUZUNISHA CHA BWANA ALIETUPWA BAHARINI _ SHEIKH HASSAN AHMED
มุมมอง 12K5 หลายเดือนก่อน
KISA CHA KUHUZUNISHA CHA BWANA ALIETUPWA BAHARINI _ SHEIKH HASSAN AHMED
Kisa Cha vijana Wanaoshindana Kujaza Vyumba - Sheikh Hassan Ahmed
มุมมอง 3.9K5 หลายเดือนก่อน
Kisa Cha vijana Wanaoshindana Kujaza Vyumba - Sheikh Hassan Ahmed
Sheikh hassan Ahmed - Kisa Cha Dada Anaekata samaki mkia na kichwa wakati wa kupika
มุมมอง 6K5 หลายเดือนก่อน
Sheikh hassan Ahmed - Kisa Cha Dada Anaekata samaki mkia na kichwa wakati wa kupika
Dunia Haitokuletea Ispokua Kile Allah Alichoandika _Sheikh Hassan Ahmed | Short Clip
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Dunia Haitokuletea Ispokua Kile Allah Alichoandika _Sheikh Hassan Ahmed | Short Clip
Rizki Haiongezeki Kwa Haramu _ Sheikh Hassan Ahmed | Short Clip
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Rizki Haiongezeki Kwa Haramu _ Sheikh Hassan Ahmed | Short Clip
Kisa Cha Mwanamke Alieacha Tabia mbaya _ Sheikh Hassan Ahmed |Short Clip
มุมมอง 20Kปีที่แล้ว
Kisa Cha Mwanamke Alieacha Tabia mbaya _ Sheikh Hassan Ahmed |Short Clip
Rejesha Baya Kwa Jema -- Shekh Hassan Ahmed || Short Clip
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Rejesha Baya Kwa Jema Shekh Hassan Ahmed || Short Clip
Kuwa Na Mizani Katika Kupenda Na Kuchukia _ Sheikh Hassan Ahmed | Short Clip
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
Kuwa Na Mizani Katika Kupenda Na Kuchukia _ Sheikh Hassan Ahmed | Short Clip

ความคิดเห็น

  • @IkhrocabdiIkhrocabdi
    @IkhrocabdiIkhrocabdi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shekh yusuf natamani nipate mume mwenye sifa hozo laki mimi mume wangu ni mwalim lakini ndoa yangu nimateso tu

  • @nassirameir5662
    @nassirameir5662 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukitaka kupendwa na Allah unapaswa kuacha yote aliyokataza Allah na kufuata aliyoamrisha ,kufanya hivyo ni ucha Mungu, na Mungu anampenda mwenye mwenye kumcha.

  • @HamadiJecha
    @HamadiJecha 2 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @taflemohammedahmed2808
    @taflemohammedahmed2808 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @HusnaJumaa
    @HusnaJumaa 3 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @shanizuberi7984
    @shanizuberi7984 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂big true

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 3 วันที่ผ่านมา

    Umenena!!!

  • @man4nikaah
    @man4nikaah 4 วันที่ผ่านมา

    Aiye

  • @azizkassim6896
    @azizkassim6896 4 วันที่ผ่านมา

    Shekh alikuwa anajaribu kueleza sifa ambazo mwanaume anafaa kukua nayo katika ndoa. Lakini wanawake hawazipendi,ila wakishaa buruzika wamefikisha miaka 35 sasa wanakubali ati mda umepita. Wanawake wanapenda wanaume ma bwege.

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc 4 วันที่ผ่านมา

    Hawa wanawake wa zama hizi ukiwafanyia hayo uliyoyataja kwenye sifa zote hizo tano ulizozitaja wallahi wabillahi utawajengea kiburi dharau na ujeuri Mimi nakwambia na kama unabisha jaribu kujipamba na hizo sifa tano ambazo umesema wanawake wote wanampenda mwanaume mwenye sifa zote hizo tano halafu uone utakavyombadilisha mke wako na kumsababishia mke wako awe na kiburi dharau na ujeuri hivi wewe sheikh Yusuf abdi hivi wewe unawajua vizuri wanawake wewe kwanza ukisema umpe hela ya matumizi ya mwezi mzima kwa wanawake wetu hawa atatumia hela zote kwa matumizi kwa kiasi cha wiki mbili tu halafu atakuomba tena hela nyngine ya matumizi wakati wewe umempa hela ya matumizi ya mwezi yeye atatumia wiki moja tu au wiki mbili tu halafu hela yote ataimaliza kwa kisingizio vitu vimepanda bei wewe wanawake huwajui unaongea hao wanawake wanaompenda mwanaume mwenye sifa hizo tano wa zama zilizopita sio wa zama hizi hata kidogo hao ni wanawake wa zama za mitume maswahaba tabiina na taabi tabiina sio wa zama zetu hizi zama za kizazi cha nyoka wewe kama unataka kumharibu mke wako na kumsababishia kuwa na kiburi na dharau na ujeuri jipambe na hizo sifa tano kwa wanawake wetu utajuta kuzaliwa na utakuja kunikumbuka kwa haya maneno ninayokwambia na utaikimbia nyumba yako na huyo mke wako wafanya mchezo na wanawake wanawake si wa kuchezea chezea wanawake wewe cha muhimu ni kuomba duaa kwa allah kariim atujaalie tupate wake wenye afadhali tu kidogo shukran afwan

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc 4 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Yusuf abdi si hawa wanawake wa zama hizi kuhusu sifa ya pili na sifa ya tatu sio wanawake wetu hawa hao walikuwa wanawake wa zama za mitume na maswahaba

  • @skajskakka8918
    @skajskakka8918 4 วันที่ผ่านมา

    Shukran kweli sheikh

  • @saumumorris
    @saumumorris 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @mibnabubakr
    @mibnabubakr 5 วันที่ผ่านมา

    Uzushi wa Mawlidi: Sh Muhammad Sharif th-cam.com/video/gsJ3Wc-K_q0/w-d-xo.html

  • @MairaDafava
    @MairaDafava 5 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah ya allah

  • @MairaDafava
    @MairaDafava 5 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah ya allah

  • @KitakaSafi
    @KitakaSafi 5 วันที่ผ่านมา

    Alhambra ❤😊😊😊😊😢😢😢😢

  • @mwajumamande8477
    @mwajumamande8477 5 วันที่ผ่านมา

    Yaaaa Allah ALHAMDULILLAH❤

  • @AishaNassoro-n5t
    @AishaNassoro-n5t 5 วันที่ผ่านมา

    Alhamdhulillah

  • @HasanAhmed-c9f5d
    @HasanAhmed-c9f5d 5 วันที่ผ่านมา

    Mashaa allahuuu

  • @HasanAhmed-c9f5d
    @HasanAhmed-c9f5d 5 วันที่ผ่านมา

    ❤❤ I

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 5 วันที่ผ่านมา

    Mnavunja ndoa za watu badala yakuzijenga😊

  • @hassanally446
    @hassanally446 5 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah kwa neema ulizonipa Allah

  • @Mtanzania-j5t
    @Mtanzania-j5t 5 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah maneno yashekhe heshima kwanza❤

  • @Mtanzania-j5t
    @Mtanzania-j5t 5 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah uko sahihi shekhe ❤

  • @maase2023
    @maase2023 5 วันที่ผ่านมา

    Maustaaz wetu kwa chini tu wee acha ! Hawajambo

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @maase2023
    @maase2023 5 วันที่ผ่านมา

    Basi kuhubiri uasherati tuuu na mambo ya mapenzi tu ya wanawake hayo ndio majaliwa yetu waislam! Alhamdulilah tujipe pole sana maana hatutafika mbali kwa fatwa hizi

  • @FaisalFaaruuqu
    @FaisalFaaruuqu 6 วันที่ผ่านมา

    Sidhani hapo kwenye matumizi yupo sawa maana kipato ni tofauti...

  • @saumumorris
    @saumumorris 6 วันที่ผ่านมา

    AMIIN

  • @rogojr712
    @rogojr712 6 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah

  • @lucyhaule-q6j
    @lucyhaule-q6j 6 วันที่ผ่านมา

    inshaallah

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 6 วันที่ผ่านมา

    Yote umesema na Inshaallah mme wangu anazo

  • @SuperBoy-t9q
    @SuperBoy-t9q 6 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah

  • @Ally-xf8jx8cx4f
    @Ally-xf8jx8cx4f 6 วันที่ผ่านมา

    Lah haula wala qwata illa billah ,yote ni rehma zaku Allah

  • @Fatum112
    @Fatum112 6 วันที่ผ่านมา

    Mashallah ❤❤

  • @shamzone388
    @shamzone388 7 วันที่ผ่านมา

    Subhana allah tumeghAfilika na dunia tunasahau neema aliyotupa allah ALLAH AKBAR

  • @NassoroMneka
    @NassoroMneka 7 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah ❤❤

  • @saumumorris
    @saumumorris 7 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah❤❤

  • @Ally-xf8jx8cx4f
    @Ally-xf8jx8cx4f 7 วันที่ผ่านมา

    Mwana mke ambaye ukimuona una furahi inshaallah 🙌🏿 🙏🏿 nitapata na mimi

    • @TaayaElimu
      @TaayaElimu 7 วันที่ผ่านมา

      Allah akufanyie wepesi akhy

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 7 วันที่ผ่านมา

    Je mwanamke mwenye kupendwa na wanaume wote ni yupi? ukiongelea upande mmoja tu itakuwa ni fitna maana kinachohitajika ni wote wapendane.

    • @TaayaElimu
      @TaayaElimu 7 วันที่ผ่านมา

      Angalia hii video kumjua Mwanamke huyo gusa hii link th-cam.com/video/MglWC_xs1bk/w-d-xo.html

    • @eidduke7911
      @eidduke7911 6 วันที่ผ่านมา

      Ziko tafuta

    • @AliAlijum-nq1iw
      @AliAlijum-nq1iw 4 วันที่ผ่านมา

      Awe na matako tu😅

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 7 วันที่ผ่านมา

    True shekhe

  • @UwesuJumanne
    @UwesuJumanne 7 วันที่ผ่านมา

    kwenye suala la matumizi itategemea kipato cha mwanaume kwani ukisema hivyo utamaanisha mwanaume mwenye hana pesa hapendwi kwa kuwa ana budget sana...au vip mnieleweshe....na kwanini zisitajwe sababu zinazosheheni kwa wote yaani wenye uwezo na wasio na uwezo

    • @TaayaElimu
      @TaayaElimu 7 วันที่ผ่านมา

      Yani inategemea na kipato

    • @abdab8466
      @abdab8466 6 วันที่ผ่านมา

      Ustadh ameleza vizuri ,kila kitu ni mapenzi na silazima uwe tajiri,Yale Yale matumizi ya kimaskini ni kulewana na kuyatoa kifuraha,manake kuna maskini wengine pia hutuna wake

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 7 วันที่ผ่านมา

    Maashaallah allah akujalie shekh uzidi kutuelimisha amiin

    • @TaayaElimu
      @TaayaElimu 7 วันที่ผ่านมา

      Amiin

  • @AbdulMalik-i7u
    @AbdulMalik-i7u 8 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah Rabil alamin

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 8 วันที่ผ่านมา

    Hawa Masheikh ndio wanaleta fitna ktk ndoa, alitakiwa aeleze NI wanawake wapi wenye hizi sifa za kupendwa, Siku hizi hata wakikatazwa usifanye au usiende mahali wanaenda, viburi, jeuri, tiktok muda wote na wanaiga yote ya tiktok, mashindano na majibizano na waume zao, hasa Wanawake wafanyakazi, wasomi au wafanyabiashara na wakafanikiwa ktk mambo yao ndio kabisaaa kila siku wanataka kujiachisha tu

    • @TaayaElimu
      @TaayaElimu 8 วันที่ผ่านมา

      Sheikh wangu angalia hii hizi video uelewe vizuri gusa hizo link. 1. #Shortvideo mwanamke mwenye sifa tano hizi Anapendwa Na Kila mwanaume th-cam.com/video/MglWC_xs1bk/w-d-xo.htmlsi=EXS2Lrg0GvgZ5kB5 2.Angalia hii video ambayo ndio video nzima ukiangalia hii utafaidika sana kwan Sheikh hajaleta fitna yoyote th-cam.com/video/GrdptwuFi3c/w-d-xo.htmlsi=q94TzcwSTxK0GZgY

    • @eidduke7911
      @eidduke7911 6 วันที่ผ่านมา

      We fanya adabu yako tafuta video zengine uangalie uwache kumchukia shekh yusuf.

    • @NadiaRamadhan-q1m
      @NadiaRamadhan-q1m 4 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi musipende kukashif watu yeye anaalimisha jamii kuelimika sio ivyo napia kuusu wanawake ni nyinyi kuwafanya wanawake wabadilike au wewe ndyo uliemusababisha mukeo sio wanawake wote tengua Kaili yako

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 2 วันที่ผ่านมา

      Sasa kwani mtu anachanganya kuzungumzia kila jinsia kuna muda nyie wanaume mnakuaga kunavitu mnafanya avitulizishi kwaiyo ukiwa na mtu anakiburi anakulufishia kwenye cm meseji za ajabu akiongea uyu nataniana nae sasa wanaume ili ni tatizo pia kwenu na japo kua ukweli wapo wanawake wenye awajui thamani ya mume sibishi

  • @AffectionateLacrosse-ik1jn
    @AffectionateLacrosse-ik1jn 8 วันที่ผ่านมา

    Kupendwa na wanawake sio jambo muhimu kivilile hebu masheikh tupeni mambo ukiyafanya utapendwa na Allah

    • @salehekimboko4113
      @salehekimboko4113 7 วันที่ผ่านมา

      Ni muhimu mwanaume kupendwa na mkewe.kwani we hujui mbora kati ya wanaume ni yule bola kwa mkewe au wake zake ?,na mtume ni bora kwa wanaume wote.Usisahau mwenyezi mungu anapenda waliokuwa bora.

    • @SaadaAlsheibani
      @SaadaAlsheibani 7 วันที่ผ่านมา

      Naamu hajui Bora ulivyomwambia

    • @abdab8466
      @abdab8466 6 วันที่ผ่านมา

      Sasa Allah atakupenda vipi ikiwa nyumbani hakuna Amani,hio kuwa na upendo Ndio Allah hitia baraka,we wataka Allah akupende na kumpenda mkeo hutaki,mbona we taka Allah akupende

    • @YusufMusa-y4l
      @YusufMusa-y4l 5 วันที่ผ่านมา

      Swadakta🤙💯🔥💯💯💯💯

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 8 วันที่ผ่านมา

    MashaaAllah hakika sheikh Jazzakallahu khayra.

  • @habibumnibo4000
    @habibumnibo4000 8 วันที่ผ่านมา

    Mashallah nikweli kabisa

  • @OmarSuleiman-d8m
    @OmarSuleiman-d8m 8 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah rabbil alaamin

    • @AbdulMalik-i7u
      @AbdulMalik-i7u 8 วันที่ผ่านมา

      Alhamdulillah Rabil Alamin

  • @Fatum112
    @Fatum112 8 วันที่ผ่านมา

    Amiin ❤❤