DANDE TV
DANDE TV
  • 275
  • 135 945
RAIS SAMIA KUKABIDHI ZAWADI KWA WALIPAKODI BORA
Jumla ya Walipakodi 1228 kutoka kona zote za Tanzania, wanatarajia kukabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan katika Siku ya shukrani kwa Mlipakodi itakayofanyika January 23, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22.01.2025 Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo amesema zawadi hizo zitatolewa kwa Walipakodi waliyofanya vizuri katika kulipa Kodi kwa kipindi cha Julai 2023 mpaka June 2024.
Kayombo ametaja vigezo walivyotumia kuwachagua wanaopewa zawadi ikiwemo Mlipakodi kodi mwenye rekodi nzuri katika ulipaji wa Kodi, Mlipakodi kwa hiari na kwa wakati, Mlipakodi anayetumia EFD mashine kikamilifu, Mlipakodi aliyelipa kodi kubwa zaidi na Mlipakodi anayetoa ushirikiano kwa TRA.
Kayombo amesema zawadi hizo zitachagiza Walipakodi wengine kufanya vizuri zaidi ili na wao watunukiwe wakati ujao.
มุมมอง: 12

วีดีโอ

SERIKALI IMEFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KWA TMA-MAJALIWA
มุมมอง 367 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ikiwemo upande wa miundombinu ya uangazi wa hali ya hewa na kujenga uwezo wa wafanyakazi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo (Jumanne, Januari 21, 2025) alipozindua Mradi wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani wa “System...
CRDB yatwaa Tuzo za Kimataifa za Mwajiri Kinara Zaidi Tanzania 2025
มุมมอง 229 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BENKI ya CRDB, imetunukiwa tuzo mbili za Kimataifa, ikitambuliwa kuwa Mwajiri Kinara Zaidi Tanzania ‘Top Employer 2025,’ kutoka Taasisi ya Top Employers Institute, zinazothibitisha kuwa benki hiyo ni Kitovu cha Ubora, lakini pia zikiakisi jitihada za CRDB katika kuboresha mazingira ya kufanya kazi. Tuzo hizo kutoka Top Employers Institute ya Uholanzi, zinatambua jitihada kubwa za CRDB katika ku...
Mafunzo ya dini kutoka kwa Ustaadh Rajab
มุมมอง 3814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mafunzo ya dini kutoka kwa Ustaadh Rajab
NMB yawa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kutambuliwa kama Mwajiri Kinara na Top Employers
มุมมอง 4519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Dar es Salaam, Tanzania BENKI ya NMB imekuwa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kupata ithibati ya kuwa Mwajiri Kinara Tanzania kwa Mwaka 2025, inayotolewa na taasisi bobevu na mahiri ya masuala ya rasilimali watu ya Top Employers Institute ya Uholanzi, ambayo kwa mwaka huu imetoa vyeti vya uKinara kwa taasisi bora katika nchi 124 duniani. Hii sio mara ya kwanza NMB kutambulika kama Mwajiri Kinara...
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa
มุมมอง 11วันที่ผ่านมา
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi wanaotumia vyombo hivyo kimeanza kuwakamata wale wote walio kaidi agizo hilo huku kikosi hicho kikiwaomba wananchi kuweka uangalizi wa kundi hilo. Akiongea katika zoezi hilo Mkuu wa kikosi ...
TANZANIA KUWA TEGEMEO UZALISHAJI WA CHAKULA AFRIKA-MAJALIWA
มุมมอง 35วันที่ผ่านมา
*Rais Museveni asifu ubora wa mchele wa Tanzania, asisitiza kushindana kwa ubora WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewaeleza Wakuu wa Nchi na Serikali Barani Afrika kuwa Tanzania itaendelea kuimarisha masuala ya utafiti na kushirikisha sekta binafsi, taasisi za umma zinazojishughulisha na kilimo ili kuhakikisha nchi inakuwa tegemeo katika uzalishaji wa chakula barani Afrika. Mheshimiwa Majaliwa ame...
MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI
มุมมอง 4414 วันที่ผ่านมา
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ili kukagua maendeleo ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 na 19 Januari 2025. Ukumbi huo, wenye uwezo wa kuchukua takriban watu 3,000, unakarabatiwa kwa kiw...
RAIS SAMIA AGUSWA NA KIFO MWENYEKITI WA CCM LIWALE
มุมมอง 2614 วันที่ผ่านมา
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Liwale Ndugu. Kindamba Milingo. Akiwasilisha salamu za Chama cha Mapinduzi kwa waombolezaji waliojitokeza katika Msiba huo Uliofanyika leo (Jumatano, Januari 08, 2025) Nyumbani kwa Marehemu Pulipwite Liwale Mjini ...
Makamu wa Rais wa Tanzania ashiriki Uapisho wa Rais wa Ghana
มุมมอง 2714 วันที่ผ่านมา
Makamu wa Rais wa Tanzania ashiriki Uapisho wa Rais wa Ghana
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali afunga mafunzo ya wahasibu
มุมมอง 1114 วันที่ผ่านมา
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali afunga mafunzo ya wahasibu
NMB yaleta Nondo za Pesa kwa watanzania
มุมมอง 382 หลายเดือนก่อน
KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Elimu ya Fedha iitwayo NMB Nondo za Pesa, itakayotolewa kupitia vyombo habari, mitandao ya kijamii na makongamano. NMB Nondo za Pesa imezinduliwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi jijini Dar es Sal...
NMB Yatenga Bilioni 1 Kufadhili Matibabu ya Watoto Wenye Maradhi ya Moyo JKCI
มุมมอง 132 หลายเดือนก่อน
Benki ya NMB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo imetenga Shilingi Bilioni Moja kwa miaka minne, ikichangia Shilingi Milioni 250 kila mwaka kusaidia matibabu ya watoto wenye maradhi ya moyo wanaopata huduma JKCI. Makubaliano haya, yanayoanza kutekelezwa rasmi mwaka huu, yanalenga kuwezesha upatikanaji wa taarifa na huduma za afya kwa watoto wen...
eGA yatoa mafunzo kwa Kamati ya Uongozi ya TEHAMA INEC
มุมมอง 72 หลายเดือนก่อน
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wameendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa TEHAMA wa taasisi hiyo. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Bw. Kailima Ramadhani, amesema kuwa Mafunzo haya ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usimamizi wa teknolojia ya habar...
WATUHUMIWA 20 WAKIWEMO RAIA WA KIGENI 04 WAKAMATWA KWA KUINGILIA MIFUMO YA MAWASILIANO
มุมมอง 1172 หลายเดือนก่อน
WATUHUMIWA 20 WAKIWEMO RAIA WA KIGENI 04 WAKAMATWA KWA KUINGILIA MIFUMO YA MAWASILIANO
TanTrade yazindua Duka la Renzo Shoe Plaza, waikaribisha Sabasaba 2025
มุมมอง 152 หลายเดือนก่อน
TanTrade yazindua Duka la Renzo Shoe Plaza, waikaribisha Sabasaba 2025
Mzee Senga: Kifo cha Mzee Pembe ni sawa kuondolewa kiungo cha mwili
มุมมอง 503 หลายเดือนก่อน
Mzee Senga: Kifo cha Mzee Pembe ni sawa kuondolewa kiungo cha mwili
SERIKALI YATOA 3.5bn KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA
มุมมอง 253 หลายเดือนก่อน
SERIKALI YATOA 3.5bn KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA
Wanachama NMB Business Club waahidiwa tawi jipya Kariakoo
มุมมอง 283 หลายเดือนก่อน
Wanachama NMB Business Club waahidiwa tawi jipya Kariakoo
Ali Kamwe ashiriki Mauzo ya tiketi pambano la Yanga vs CBE SA ya Ethiopia
มุมมอง 114 หลายเดือนก่อน
Ali Kamwe ashiriki Mauzo ya tiketi pambano la Yanga vs CBE SA ya Ethiopia
Maandalizi pambano la Yanga vs CBE yakamilika
มุมมอง 264 หลายเดือนก่อน
Maandalizi pambano la Yanga vs CBE yakamilika
Waziri Jenister Mhagama atembelea JKCI, MOI, apongeza uwekezaji wa kisekta
มุมมอง 564 หลายเดือนก่อน
Waziri Jenister Mhagama atembelea JKCI, MOI, apongeza uwekezaji wa kisekta
Dkt. Nchimbi: CCM itaendela kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti
มุมมอง 205 หลายเดือนก่อน
Dkt. Nchimbi: CCM itaendela kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti
MAJALIWA ACHANGISHA SH. MILIONI 900 UJENZI WA KANISA KUU LINDI
มุมมอง 445 หลายเดือนก่อน
MAJALIWA ACHANGISHA SH. MILIONI 900 UJENZI WA KANISA KUU LINDI
WhatsApp Video 2024 03 20 at 8 18 34 AM1
มุมมอง 410 หลายเดือนก่อน
WhatsApp Video 2024 03 20 at 8 18 34 AM1
WATANZANIA WANAJIVUNIA MIAKA 3 YA UWEZO MKUBWA; NCHIMBI
มุมมอง 2510 หลายเดือนก่อน
WATANZANIA WANAJIVUNIA MIAKA 3 YA UWEZO MKUBWA; NCHIMBI
ACT WAZALENDO YATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI
มุมมอง 4610 หลายเดือนก่อน
ACT WAZALENDO YATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI
Jukwaa la Usalama wa Mtandao 2024 kufanyika jijini Arusha
มุมมอง 1310 หลายเดือนก่อน
Jukwaa la Usalama wa Mtandao 2024 kufanyika jijini Arusha
NHIF, APHFTA KUKAA KITAKO KUYAMALIZA KUANZIA JUMATATU
มุมมอง 2010 หลายเดือนก่อน
NHIF, APHFTA KUKAA KITAKO KUYAMALIZA KUANZIA JUMATATU
CRDB yaendesha Semina Kuwajengea Uwezo Waandishi Wa Habari
มุมมอง 1911 หลายเดือนก่อน
CRDB yaendesha Semina Kuwajengea Uwezo Waandishi Wa Habari

ความคิดเห็น

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 8 วันที่ผ่านมา

    Acheni huyu binti aishi kwa raha sasa😢…jmn kapitia pagumu daah

  • @Sadamohamed-f3c
    @Sadamohamed-f3c 28 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢❤😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @agathekibobe
    @agathekibobe 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaza wana sheriya watizame kipindi kile chatokeo lulu alikuwa na miaka mingapi yaku zaliwa nayapili watizame aliuwa kwakusudi ama ni bahatimaya watizame ali jiokowa kwakutakwa kubakwa na marehu ama vipi watizama CC tv camera itawapa tarifa zote pamoja na sheti chakuzaliwa pa maja nahaki nawatoto ndio sheria ifate

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p 2 หลายเดือนก่อน

    Miaka iyo

  • @huthhuthlih5858
    @huthhuthlih5858 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaah ila mzee alivuruga mia tisa itapendeza 😂

  • @MGT-TOOLS
    @MGT-TOOLS 2 หลายเดือนก่อน

    Nauliza !! sababu za kuuzwa jumba ya huo jamaa yetu Saidi Lugumi ?

  • @leilamuhaji7945
    @leilamuhaji7945 3 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka 😂 mtu anaandika na summary kwaajili ya kumbukumbu😂 Innalillahi wainnailayhi raajiun

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 3 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kigumu hiki omba yasikukute pole. Ila Mungu ni mwema yamepita

  • @MazagaMbogo
    @MazagaMbogo 4 หลายเดือนก่อน

    Kifo wanatafta hawa labda kama sio ss waislm

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 4 หลายเดือนก่อน

    Hii Dini yakipagani siipendi

  • @timurmauga6559
    @timurmauga6559 4 หลายเดือนก่อน

    Imani itokayo kwa Mungu haihitaji kuunganisha dots kama mfanyavyo, inahitaji ufunuo tuu kama aliwopewa Mtume Muhammad.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 4 หลายเดือนก่อน

    Dah! Ndugu zetu mnafeli wapi? Maana yule mpuuzi wa Lubumbashi anaendelea kututukana mitandaoni kuwa ametupiga mpunga, mara tena huyu nae anazuka,,,hivi mnakwama wapi?

  • @geitagewoma7112
    @geitagewoma7112 4 หลายเดือนก่อน

    Inalillahi wainaillah rajiun

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 4 หลายเดือนก่อน

    Laana ya Mungu inakusubiri

  • @mzembemakini3532
    @mzembemakini3532 7 หลายเดือนก่อน

    Pole mwaya

  • @ConfusedBirdwingButterfl-tz3hp
    @ConfusedBirdwingButterfl-tz3hp 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @niitescorpion
    @niitescorpion ปีที่แล้ว

    😢

  • @josephpeter4573
    @josephpeter4573 ปีที่แล้ว

    Super

  • @lubimbijunior7721
    @lubimbijunior7721 ปีที่แล้ว

    Napataje iyo uduma nipo tanga

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @judithngajiro3470
    @judithngajiro3470 2 ปีที่แล้ว

    Wewe hujui tu

  • @sondabuzukankindo655
    @sondabuzukankindo655 2 ปีที่แล้ว

    shida hauzijui mweshimiwa

  • @kephassanga4807
    @kephassanga4807 2 ปีที่แล้ว

    Amazing qnet 🎉

  • @VOC733
    @VOC733 3 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏

  • @VOC733
    @VOC733 3 ปีที่แล้ว

    🙏❤️

  • @VOC733
    @VOC733 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @MaAfriStyles
    @MaAfriStyles 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani kwa akinamama wa UTT na uongozi wote. Thank you for your example. #pamojatunaweza

  • @godfreysakumi6826
    @godfreysakumi6826 4 ปีที่แล้ว

    Iko vizuri sana

  • @anithamartin7576
    @anithamartin7576 5 ปีที่แล้ว

    VP FAO la uzazi linatoka VIP?

  • @elisha4405
    @elisha4405 5 ปีที่แล้ว

    Hard workers 💪

  • @mbowethaddeus8851
    @mbowethaddeus8851 5 ปีที่แล้ว

    Rubbish

  • @mariamsaid7498
    @mariamsaid7498 5 ปีที่แล้ว

    Haya lakini insha_allah mungu anawaona

  • @mariamsaid7498
    @mariamsaid7498 5 ปีที่แล้ว

    Hivi nyie viongozi mnakumbuka mnayoyasemga au ?

  • @christinamlyuka2859
    @christinamlyuka2859 6 ปีที่แล้ว

    mpka sasa mnatuchosha tu

  • @dottomasiringi2672
    @dottomasiringi2672 6 ปีที่แล้ว

    hujui chochote achai ngazi pumba tu

  • @shafimadaudka5254
    @shafimadaudka5254 6 ปีที่แล้ว

    hao mnawalipa je na wale walioachishwa kazi maeneo mengine mnawafikiliaje?????

  • @shafimadaudka5254
    @shafimadaudka5254 6 ปีที่แล้ว

    hao mnawalipa je na wale ambao walioachishwa Nazi maeneo mengine mnawafikiliaje????

  • @petermim
    @petermim 6 ปีที่แล้ว

    Bado Mwakabungu zamu yake#

  • @petermim
    @petermim 6 ปีที่แล้ว

    Safi#

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 7 ปีที่แล้ว

    Big up

  • @barakaomari3527
    @barakaomari3527 7 ปีที่แล้ว

    very nice job, we need ccm to be good and strong to concur the whole National politics.

  • @Eshiwakwemassawe
    @Eshiwakwemassawe 7 ปีที่แล้ว

    Vzur

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 7 ปีที่แล้ว

    wandishi wa habari tumieni busara mnapokuwa kazini. taarifa hazikusanywi kwa hasira.

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 7 ปีที่แล้ว

    Nazani alie elimisha watu juu ya ishu iyo ndio mzalendo coz bila yeye tusingelifahamu k2

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 7 ปีที่แล้ว

    Lisu ni kibaraka wa whites

  • @joycmgidangemgidange1876
    @joycmgidangemgidange1876 7 ปีที่แล้ว

    Uzarendo nini? Au nini maana ya neno uzarendo? Mungu alipo iumba dunia vyote vilivyomo akaona dunia haijakamilika akamuumba mwanadangu akampa akili,ufaham,nafsi na moyo ili kutofautisha mwadam na viumbe hai vyote na ili kulijuww jema na baya hivyo bas selikali msitupotoshe wanainch eti kwakuwa mmeshika dola na hiyo tabia ya kusubili mtu aongeee na nyiyi mnakuja nyumayake mmefeli jiamini na kazi yenu tuliwachagua ili muipngoze nchi vyema na siyo tangulia nakuja

    • @mrambajulius7819
      @mrambajulius7819 6 ปีที่แล้ว

      Lisu sio kibaraka Magufuli anafanya manunuzi hahusishi Bunge ili apore fedha. Alinunua Bombadia 2 akapewa ndege moja ya zawadi na ameiweka chata ya Rwanda Air.

    • @mbowethaddeus8851
      @mbowethaddeus8851 5 ปีที่แล้ว

      @@mrambajulius7819 Hili nalo neno. Hivi ujinga kuna wa kushawishi kwa namna yoyote

  • @danielmwakibibi9902
    @danielmwakibibi9902 7 ปีที่แล้ว

    mbona mlikaa kimya mpaka tundulisu aseme?au kunanini kinachoendelea

  • @livinusemmanuel6321
    @livinusemmanuel6321 7 ปีที่แล้ว

    Asante kwa taarifa

  • @Sarah_4UK
    @Sarah_4UK 7 ปีที่แล้ว

    how can i get this video?