- 10
- 4 619
Creditinfo Tanzania
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 28 ส.ค. 2023
We help Financial & Trade Companies improve their overall business performance by reducing the risk of granting credit.
Thamani ya Kitambulisho Cha Nida Miaka 5 Ijayo | Fireside Chat Podcast
FIRESIDE CHAT PODCAST kutoka @creditinfotz inakuletea mazungumzo ya kipekee kati ya Mkurugenzi wa Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Edson Guyai na mtangazaji wako @masoudkipanya
Awamu hii kipindi hiki kinachambua masuala muhimu kuhusu uzalishaji wa vitambulisho vya taifa na faida za vitambulisho vya NIDA kwa jamii na uchumi.
Creditinfo Tanzania ni taasisi inayopokea na kuchakata taarifa za mikopo, ikitoa huduma muhimu za kusaidia benki na taasisi za kifedha kufanya maamuzi bora ya mikopo.
#Firesidechatpodcast #Creditinfo #Masoudkipanya #NIDA
Awamu hii kipindi hiki kinachambua masuala muhimu kuhusu uzalishaji wa vitambulisho vya taifa na faida za vitambulisho vya NIDA kwa jamii na uchumi.
Creditinfo Tanzania ni taasisi inayopokea na kuchakata taarifa za mikopo, ikitoa huduma muhimu za kusaidia benki na taasisi za kifedha kufanya maamuzi bora ya mikopo.
#Firesidechatpodcast #Creditinfo #Masoudkipanya #NIDA
มุมมอง: 888
วีดีโอ
Fursa za Mikopo ya Elimu ya Juu: Dkt. Bill Kiwia na Masoud Kipanya | Firechat Podcast
มุมมอง 218หลายเดือนก่อน
Karibu kwenye Kipindi Maalum cha Firechat Podcast! Katika kipindi hiki, tunachambua kwa undani masuala ya mikopo ya elimu ya juu. Dkt. Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), anajiunga na Masoud Kipanya kwa mjadala wa kina kuhusu changamoto zinazowakabili wanafunzi na fursa zinazoweza kubadili maisha yao. Usikose! #FirechatPodcast #MikopoElimuYaJu...
CREDITINFO FIRESIDE CHAT
มุมมอง 29หลายเดือนก่อน
Join us for an engaging and informative fireside chat where we discuss everything you need to know about credit! From understanding your credit score to managing debt, improving credit health, and navigating loans-this session will cover it all. Get expert advice, tips, and answers to your burning questions in real-time. Whether you're building credit, trying to boost your score, or simply curi...
Taratibu za Utoaji Taarifa za Mikopo - FIRECHAT PODCAST - Masoud Kipanya (PART 2)
มุมมอง 1323 หลายเดือนก่อน
Katika Episode ya Pili ya Creditinfo Firechat Podcast, Mkurugenzi wa Creditinfo Tanzania Edwin Urasa anatuelezea kuhusu mwanzo wa taasisi ya Creditinfo na kazi zake nchini na duniani. Ungana na Mtangazaji Masoud Kipanya katika kujua zaidi juu ya taarifa za mikopo, elimu ya fedha na mikopo nchini Tanzania.
Taarifa za Mikopo ni Nini? - Firechat Podcast - Masoud Kipanya (PART 1)
มุมมอง 3363 หลายเดือนก่อน
Katika Episode ya kwanza ya Creditinfo Firechat Podcast, Mkurugenzi wa Creditinfo Tanzania Edwin Urasa anatuelezea kuhusu mwanzo wa taasisi ya Creditinfo na kazi zake nchini na duniani. Ungana na Mtangazaji Masoud Kipanya katika kujua zaidi juu ya taarifa za mikopo, elimu ya fedha na mikopo nchini Tanzania.
Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. (Intro)
มุมมอง 2.9K3 หลายเดือนก่อน
Kipindi Maalum (Podcast) kitakachoongelea masuala ya Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. Host - @Masoud Kipanya
"Nimepata Ripoti yangu ya Mikopo" - Atupelile, Mteja wa @CreditinfoTz.
มุมมอง 39ปีที่แล้ว
Creditinfo Tanzania is the first licensed and operational credit reference bureau in Tanzania. We received our operational license from the Bank of Tanzania in June 2013.
Welcome to Saba Saba 2023 - Creditiinfo Tanzania
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
Creditinfo Tanzania is the first licensed and operational credit reference bureau in Tanzania. We received our operational license from the Bank of Tanzania in June 2013.
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuanza kuangalia uwezo wa wabia na wapangaji kukopesheka
มุมมอง 17ปีที่แล้ว
Shirika la Nyumba la Taifa la Tanzania linashirikiana na Creditinfo Tanzania ili kuliwezesha Shirika kuhakiki uwezo wa kukopesheka wa wakandarasi washirika na wapangaji wake ili kuongeza ufanisi wa jumla wa taasisi. Sisi katika Creditinfo Tanzania tumedhamiria kufikia taasisi nyingi zaidi ili kuziwezesha kutumia upatikanaji wa Ripoti za Mikopo na kuwezesha maamuzi yao kuhusiana na fedha. Shirik...
Mjasiriamali atazama taarifa zake za mikopo (Credit Report) - Tanzania
มุมมอง 42ปีที่แล้ว
Mjasiriamali atazama taarifa zake za mikopo (Credit Report) - Tanzania
Nina kitambulisho changu nilikipata mwezi May, 2024. Miezi 3 baadae hakisomeki, maandishi yote yamechubuka. Hii si sawa maana kitambulisho hicho ni matokeo ya fedha za mlipakodi. Ieleweke kuwa products inferior ni mwendelezo wa maumivu kwa mlipakodi. Zaidi ni ubadhirifu wa fedha za mlipakodi. Kuna shida gani hadi leo zoezi la NIDA kutokamilika? Hakuna haja ya kutumia gharama kubwa kuandaa daftari la mpiga kura wakati NIDA na RITA zinarahisisha vilivyo. Kuzunguka na daftari la mpiga kura ni upotevu wa gharama na sababu zisizofaa😂😂😂
wangetakiwa kufanya hivo kwenye vyeti vya kuzaliwa hii ingesaidia sana
Hivi kwanini rita wasiweke ofisi zao kwenye kila hospital
Vitambulisho havina ubora maandishi yanachubuka
Aisee asante sana mengi Nime yajua leo.
👊✌👍.
🎉🎉
Karibu, kuendelea kupata elimu na taarifa kuhusu mikopo na fedha, usiache ku-Subscribe kwenye TH-cam Channel yetu