![Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu](/img/default-banner.jpg)
- 245
- 55 141
Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu
เข้าร่วมเมื่อ 30 ก.ค. 2019
DINI IMEKAMILIKA SIKU YA ARAFA MWAKA WA 10/AL'AKHU ABU MUHSIN MINANI ABDOULLAH AS-SALAFIYYU
Vidéo de أبو محسن ميناني السلفي
มุมมอง: 9
วีดีโอ
Maelekezo kwa mahujaji 10/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 27 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa mahujaji 10/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa Mahujaji 13/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 27 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa Mahujaji 13/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa mahujaji 12/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 47 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa mahujaji 12/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa mahujaji 11/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 37 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa mahujaji 11/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa mahujaji 09/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 77 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa mahujaji 09/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa Mahujaji 08/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa Mahujaji 08/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa mahujaji 07/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 67 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa mahujaji 07/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa mahujaji 06/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 57 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Document de أبو محسن ميناني السلفي
Maelekezo kwa mahujaji 05/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelekezo kwa mahujaji 05/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maelekezo kwa mahujaji 03/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 1916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Document de أبو محسن ميناني السلفي
Maelekezo kwa mahujaji 04/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 1316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Document de أبو محسن ميناني السلفي
Maelekezo kwa mahujaji 02/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 1619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Document de أبو محسن ميناني السلفي
Malekezo kwa mahujaji 01/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 1219 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Malekezo kwa mahujaji 01/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
lini mtu anakuwa mtu wa bidaa/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 2521 วันที่ผ่านมา
lini mtu anakuwa mtu wa bidaa/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Ijuwe hali ya sh Nurudin Kishki na nasaha kwa waislam/Al'akhu Abu Muhsin Minani As-salafiyyu
มุมมอง 4821 วันที่ผ่านมา
Ijuwe hali ya sh Nurudin Kishki na nasaha kwa waislam/Al'akhu Abu Muhsin Minani As-salafiyyu
Maswali kwa sh Nurudin Kishki 04/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 6221 วันที่ผ่านมา
Maswali kwa sh Nurudin Kishki 04/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maswali kwa sheikh Nurudin Kishki 03/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 4921 วันที่ผ่านมา
Maswali kwa sheikh Nurudin Kishki 03/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maswali kwa sheikh Nurudin Kishki 02/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 2921 วันที่ผ่านมา
Maswali kwa sheikh Nurudin Kishki 02/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Maswali kwa sh Nurudin Kishki 1/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 8028 วันที่ผ่านมา
Maswali kwa sh Nurudin Kishki 1/Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
มุมมอง 9หลายเดือนก่อน
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
Mkoa wa Ngozi Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Khalid
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
Mkoa wa Ngozi Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Khalid
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
มุมมอง 8หลายเดือนก่อน
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
มุมมอง 10หลายเดือนก่อน
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
Mkoa wa Cankuzo Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Ismail
Mkowa wa Ngozi Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Khalid baada ya sala ya alfajir
มุมมอง 16หลายเดือนก่อน
Mkowa wa Ngozi Al'akhu Abu Muhsin na sheikh Khalid baada ya sala ya alfajir
Matunda ya kuamini makadara/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu (1)
มุมมอง 9หลายเดือนก่อน
Matunda ya kuamini makadara/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu (1)
Matunda ya kuamini makadara/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu (2)
มุมมอง 17หลายเดือนก่อน
Matunda ya kuamini makadara/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu (2)
Yanayofungamana na makadara/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 14หลายเดือนก่อน
Yanayofungamana na makadara/ Al'akhu Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Makhawariji wameanza lini/Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
Makhawariji wameanza lini/Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu
Hivi hizi khirafu za masheikh zetu zitaisha lini mnatupa tabu sisi wanafunz wadogo ambae tunaitafuta hakhi.muaminini allah halafu kuweni na msimamo maneno ya mtume wetu s.a.w . Haya ili tusiyumbe yumbe
Hahaha nyie wenyew mna matatizo😂😂😂 sasa hamsalimiani half mnatuambia nn sisi hebu kalaleni uko Allah tu awaongoze hadithi kibao zinaonesha umuhimu wa salamu nyie kaz kelele😒
Hnakitu kijana wetu bachu
Hivo unavoongea tu inaonesha kama ni mtu mwenye kiburi hivi.. Yani mnafanya dini kama vyama vya siasa ipo siku nyie tutawapiga makwaju.. Ujinga tu baada ya kukaa kufundisha kazi kukejeliana tu.. We kama mwenzako kakosea wewe sahihisha basi ttz lipo wapi
Muogopeni allah aya anayozungumza bacho sio aqda sahihi nyinyi mnasabsbisha tafarku usalafi wenu nyinyi mpaka mtu aseme mm salafi au aseme mm nipo pamoja nashekh fulani apo ndio mtasema uyo salafi wanachuoni
CHAMA CHENU CHA USALAFI( UWAHABI) KUJIUNGA UTARATIBU UKOJE? MAANA ABUU UMERY MKALI KWELI KWELI MAANA KAMA CHUKI WEWE ABUU UMEERI UMEFURUTU ADA HATA WAISLAM UNAWACHAGUWA WAKUWASALIMIA KATIKA DINI YAKO YA KIWAHABI SUBHANA LAH UISLAM HAUPO HIVYO KAMA NASSOR BACHU KAKUPIGA SINDANO INAKUUMA STAHAMILI NDIYO UKUBWA HUOO MAANA MAWAHABI WEMEJIPA MAMLAKA YA KUSHIKA FUNGUO ZA PEPO NA MOTO
HUMSALIMII MUISLAM MWENZIO KWA SABABU SIYO SALAFI? WAPI ALLAH KASEMA SALAMU ZIWE KWA SALAFI SIYO KWA WAISLAM
Sheikh abu umeyr adam khamisi. Mtoe makosa muhammad bachu kama amekosea? Kwani bachu amekosea nini ktk dini? Hueleweki ww shk abu umeyr
Kama misingi ndo hiyo alwalaai walbarai basi ni misingi ya upetevu
Mfahamuni vizuri Muhammad Bachu tunafaidika sana mkae mkielewa basi huyo ako juu ya haqqi na usalafi Sunnah
Wewe ndiyo mropokaji unatoa mipasho kama mzee yusufu wa taarabu wewe Huna usarafy wowote we mwehu kama wehu wengine sarafu hata Salam hutoi kwa muislam mwenzio wewe tunakujua unaurafiki mapaka na machoga
Msiwatukane jamani,huwenda nyinyi mnaowatukana ndio mkawa wapuuzi
Wallah huu ni msiba Salaf mnaopenda sana malumbano na kujiona,kila anaekosea kidogo tu huyo sio ktk cc mmekua mitume nyie mnashushiwa wahay,punguzeni kujiona
Kulingana na kauli zako una chuki pili kiburi tatu aupendi umoja wa waislamu na lamwisho akidai yako aina tofauti naya kiyahudi tu.
Sheihk Elimu yako ime ishoya apo kwa bidaa bidaa tu? Pili tambua waislamu wengi Upata utulivu wa Myoyo Yetu panapo tolewa darasa la sera ya mtume MOHAMMAD (S.A.W) . MOHAMMAD (S.A W)
Sheikh we ndiye wa kwanza kuubomoa umwislamu na auto faulu ila utazidi kuwa kama inzi tu.
Kheri Acha Haki iongee
Salaf ni nn?
Barakatullah fiik al akhy
Wafiikum barakallahu akhy
Ungekuja na dalili shehe wetu hapo ni kama umemsuta tu mtu muacheni kija alinganie jamani udogo sio tatizo mimi mwenyewe nimezaliwa mwaka 80 lakini namsikilizw bachu kwa sababu namuelewa
Allah akuhifadh ustadh minani
Amiin sote akhy
Burundi mnamatatizo mwachanganya masalafy na mahizbiy,,,
Ni mtihani sana Allah atunusuru kwa hilo
@@abumuhsinminaniabdoullahas9185aaamiin
Al akh abuu muhsin naomba nipate no yako ya watsap kuna maswali nikuulize nisingependa nikuulizie hapa
Wachen ujing uo maSheikh wetu😢😢😢😢😢😢
Msiba mkubwa;Kuna watu siku hizi wana vibali kufaulisha na kufelisha watu katika Uislamu. Nyie kama nani? Nani kawapa hiyo ruksa? Mnaleta upotoshaji kinyume na Uongofu? Mpaka mtu ajisajili kwa chifu wenu ndo asalimike na shari ndimi zenu. Hamna "Adalatul I'lmiya"
Bali maneno yako unayozungumuza yapo wazi kwenye ta àswubi
Hata we unayozungumuza sio salafiyu Bali we Ni hizibi bali hao mahajawira unao watoa wewe kwenye usalafi ndio salafiyuni
Idhajaa anasurullahi walfath. Waraaitana sayadkhulu nafidinilahi afuaaja fasabih bihamdirabika wastakhfiruhuu inahu qana tauwaba.😂😂😂
Bachu Akafundishe na si Kujipatia Umaaluufu mitandaoni ni msiba 😅😅😅😅😅😊
Shekh Muhammad bachu ni msomi wadini kuliko wewe amekutoa makosa ya kielimu marangapi اتق الله شيخ
Maimam walikuwa wana khitilafiana lakini hawakufika kutosalimiana
Subhanallah yani umsalimii mtu kisa siyo salafi salafi ambayo ya kujinasibisha haya masuala mnayatoa wapi hata masalafi hawakuwa hivyo
أنت من الجاهلين 😅 . لا تفهم ماذا تقول . أنا أنصحك يا أخي زد في بحثك لكن بإنصاف ونية صادقة إن شاء الله تعالى سيهديك إلى صراط مستقيم. لا تستمع إلى الأسطورات بل تعلم . واجتنب إلى أقوال الكاذبة والباطلة. قال الرسول إنى تارك فيكم الثقلين إن تمسكتم بهما لن تضلوا بعدى أبدا : كتاب الله وعترتي أهل بيتى . وهذه الرواية أقوى من رواية كتاب الله وسنتي شكراً
Sasa kama ni mropokaji Wewe nyamaza Shekhe huna Adabu fanya Adabu na wenzako Wewe Shekhe fanya adabu
Maa shaa Allah Allah akulipe kher ndug yangu sheikh Abu muhsin minani Abdullah
Khui bachu uko viziru, sababu mm na jamii yangu unatutoa maskia taka.hakuna wakusmama na wewe ana kwa ana
Allah atuongoze! ! !!
Nini maana ya salafi
Baraakanllah fiikum
Wafiikum Akhy
Ww mzungumzaji, kwani usipokuwa salafy ndo unaingia motoni??
Wote nyinyi ni wapuuzi wakubwa
جزآكم الله خيرا
Nyinyi masalafiya jadidah Mashia ni makafiri sio waislamu, masufi ni waislamu Ila masufi ni watu wa bidah
لا تزكى الناس هؤلاء الأسماء😅😅😅😂 ليس هؤلاء الأسماء بل هذه الأسماء
Wache salif na kikundi chao mana niwanafk kila ambae hayupo kwenye kikundi chao na mbaya kwako hata kama anasema haki
Hawezi kua salafi mana yeye niahalisusa walijamaa nanyie salaf ni watu wa usalama wataifa mmekuja kutubomoa nasis hatutoki kwenye suna mana hataiyo balaa walibala hamuikubali nashindwa ata kuwaelewa mchin alla wanafik salaf
Huyo anatoa elimu hiyo mbona anaonekana ana lafudhi na elimu kabisa ya ukristo/upasta na si muislam kabisa, na hata kusoma hajui, Allah atawashinda laana hawaaa!! Hedhi mbona wapo wanaoumwa kabisa na hata tuseme si ugonjwa Iła Allah kawataja wenye hedhi, wagonjwa na wasafiri
Huyo jama ni mulhid ndugu yangu.
Subhanallah,Saa nzima na dakika 16 na sekunde 15 bila ku elimisha kweli! Unashindwa kutupa muelekeo waku tuweka Sawa ili tujuwe kama ni sahihi au siyo sahihi kweli? Allahu ya-alam
Hhhhhh mfwasi ....sio.lazima uelewe,ujumbe umefika
Tumcheni Allah kuhukumu pepo na moto ni kazi ya Allaah
Sayyidna Abubakar, aliamka sku moja akauliza mtume Nani kaamka leo katoa sadaka,nani kafuata jenza la muislam,na nani kafunga Abubakar kasema mimi, Allah kamwambia mtume ,amwambie Abubakar Allah ameridhika na wewe lkn Allah anakuuliza wewe je umeridhika na Allah ,Abubakar ksema huku anatoka machozi , Aah ! Allah ananiuliza mimi hivo? Kwa nini Allaah aridhike na mimi kisha mimi nsiridhika nae? Mtume kamuuliza Abubakar una una wasiwas gani ,Abubakar akajibu hata kama ningetanguliza mguu wa kulia peponi wa kushoto uko nje nisingeamini kama sijaingiza yote.... Sisi tunajiita masalafi tumejihakikishia. Ipi hadi tunaingiza mashekh wenzetu motoni bila woga wala kisisi salafi gani alifanya hivyo? Je ni Abubakar, Omar, Othman, Alliy ,Imam Malik na wenzie wa4 au nyie mmejifunza wapi hii tabia au tayari nyie nyayo zenu znasikika peponi?
Jee anafaa kuskizwa
Nyie wote ni maulamaa suui mnafikhini