Xtreme Media
Xtreme Media
  • 43
  • 574 723
#WikiYaUtafiti Utafiti na ubunifu kwa maendeleo endelevu ya viwanda vya jamii tanzania
“Utafiti na Ubunifu kwa maendeleo Endelevu ya viwanda na kijamii Tanzania”
Hii ni kauli mbiu katika maonyesho ya sita yenye lengo la kujadili mashirikiano ya kimkakati kwenye utafiti na uvumbuzi ambayo yamefunguliwa rasmi na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii katika viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam.
Haya yote yamefanyika katika maadhimisho hayo na wavumbuzi, wabunifu, watafiti na wadau wengine wa viwanda walipata nafasi ya kuonyesha kwa Vitendo mapinduzi makubwa ya uzalishaji wa bidhaa za Tanzania.
MadeInTanzania wiki hii imekua itamulika matukio yote yaliyojiri kwenye Maadhimisho hayo. kupitia @cloudstv jumatano hii kuanzia saa 2:30 usiku.
#MadeInTanzania
มุมมอง: 482

วีดีโอ

#MalkiaWaNguvu2021 Wanawake Waliofanikiwa Kufanya Makubwa kwa Mwaka 2021
มุมมอง 2393 ปีที่แล้ว
Usawa wa kijinsia kwenye shughuli za #MadeInTanzania umeshika kasi baada ya malkia wengi wanguvu kuingia ulingoni kuhakikisha Tanzania inazalisha bidhaa zake. Kwenye MadeInTanzania wiki hii tutamulika simulizi za malkia wanguvu walioingia kwenye ulingo wa MadeInTanzania na namna walivyofanikiwa kuajiri watu wengi kwenye viwanda vyao.
#MadeinTanzania Tanzania ni Mzalishaji mkubwa wa Nazi barani Afrika 🌍
มุมมอง 2K3 ปีที่แล้ว
Mti wa Mnazi una faida kubwa sana na umekuwa ukitumika katika matumizi mbalimbali ya mafuta na chakula. Tanzania ndio nchi inayofanya vizuri barani Afrika kwa uuzaji wa zao la nazi kwa zaidi ya Tani 500,000 kila mwaka. Pia Katika Video hii utaweza kuona Malkia wa Nguvu aliyetambua fursa iliyopo katika mafuta ya nazi, na kutengeneza kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya Delinah Products. #Mad...
#MadeinTanzania Tuzo za Viwanda kwa Wanawake Wajasiriamali nchini Tanzania
มุมมอง 1993 ปีที่แล้ว
Wiki hii tunaendelea kusheherekea wiki ya wanawake wazalisha mali za viwanda vya Kitanzania 🇹🇿 Wanawake mabilionea watarajiwa walionyesha; - Nia ya kuendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora - Kuongeza ushirikiano - Kupeana Ujuzi na - kufungua njia za kiuchumi. Tazama video kamili kufahamu mengi kuhusu wanawake walioshiriki, tuzo na bidii zinazofanywa na wanawake katika kukuza bidhaa za kitanzania.
#MadeinTanzania Maonyesho ya Bidhaa za Viwanda na Ushiriki wa Wanawake katika Kukuza Viwanda TZ
มุมมอง 5063 ปีที่แล้ว
Kwenye MadeInTanzania wiki hii tumemulika maonyesho ya viwanda ya wanawake walioamua kujitosa kwenye ulingo wa MadeinTanzania yanayofanyika kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama. Kutana na chama cha Wanawake na wanawake mbalimbali ambao wanamiliki viwanda vidogo vidogo na kufahamu juhudi na mafanikio yao katika kukuza biashara ndogo ndogo na kuleta faida kwa Wanawake. Usikose kuangalia kupitia C...
#MadeinTanzania Umuhimu wa Kilimo katika kukuza Viwanda
มุมมอง 4463 ปีที่แล้ว
Zaidi ya Asilimia 70% ya bidhaa za Kitanzania zinategemea kilimo. Katika ukuaji wa viwanda, sehemu za kilimo ni msingi mkubwa kutokana na uzalishaji wa malighafi nyingi. Tazama kipindi hiki kufahamu umuhimu mkubwa wa kilimo katika kukuza viwanda.
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
มุมมอง 1.2K3 ปีที่แล้ว
Kutana na Mtanzania aliyeanzisha kiwanda chake cha upekee baada ya kupambana na shughuli za machimbo katika Mgodi wa Tanzanite na kuuza Mitumba Dodoma. Baada ya kupitia mengi kijana huyu Rummy wa kitanzania alifanikiwa kuja na wazo jipya na aina mpya ya kiwanda kinachotengeneza unga wa kipekee. Tazama kiwanda cha Rummy and Daughters ambacho kinatengeneza unga maalum kwa kutumia mazao mbalimbali...
Clouds Media ilivyobadilisha muonekano wa Ofisi kwa kutumia Lami Baridi #MadeinTanzania
มุมมอง 3K3 ปีที่แล้ว
Tazama namna ambavyo teknolojia ya #LamiBaridi ilivyoweza kuibadilisha Clouds Media kwa kuweka muonekano mpya wa Kisasa katika ofisi za Clouds Media. Teknolojia ya Lami Baridi ni nzuri sana katika kubadilisha makazi, maofisi na maeneo mbalimbali. Usikose kufuatilia Made in Tanzania Show katika Clouds TV Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku: Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).
#MadeinTanzania Viwanda vya Mazao mbalimbali Nchini Tanzania
มุมมอง 6953 ปีที่แล้ว
Huu ni mjumuiko wa viwanda mbalimbali ambavyo tulitembelea katika Season 1 ya #MadeinTanzania.
#MadeinTanzania Jinsi ya Kutengeneza Viatu vya Ngozi
มุมมอง 8K3 ปีที่แล้ว
Kutana na vijana wa kitanzania ambao wanatengeneza bidhaa mbalimbali za Kitanzania kwa kutumia Ngozi. Vijana hawa wanaweza kutengeneza viatu, mikanda na sandals - Ezema Leather Products. Vijana hawa wamefanikisha kuelezea namna ya kutengeneza kiatu cha ngozi kwa kutumia teknolojia rahisi na kutengeneza viatu vyenye ubora mkubwa. SUBSCRIBE KUPATA VIDEO NYINGI KUHUSU BIDHAA ZA KITANZANIA NA FURSA...
#MadeinTanzania Tulichokiona katika Safari ya Kutazama Bidhaa za Kitanzania katika Mwaka 2020
มุมมอง 4703 ปีที่แล้ว
Fahari ya Made in Tanzania kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha Imetengeneza madaraja na wafanya biashara wakubwa mpaka wadogo. Tunashukuru sana kwa wafuatiliaji wote wa #MadeinTanzania, mwaka 2021 tutaendelea kuunganisha madaraja katika bidhaa za Kitanzania na kuonyesha Bidii za Watanzania katika Uzalishaji. Usiache Ku-SUBSCRIBE Xtreme Media kuendelea kupata shows mbalimbali zenye kuelimisha na kukup...
Safari ya #MadeinTanzania kwa mwaka 2020
มุมมอง 1.1K3 ปีที่แล้ว
Mwaka 2020 #MadeinTanzania imeweza kuweka nukta katika tasisi na viwanda mbalimbali vinavyochangia maisha ya mtu mmoja mmoja na pato la Taifa katika kutengeneza na kuboresha bidhaa za Kitanzania. Zipo changamoto na Fursa nyingi ambazo kwa kuzionyesha na kuwaunganisha wadau ni dalili njema katika kutafuta suluhisho la kudumu. Tunawashukuru wadau wote ambao wameshiriki vyema katika safari ya #Mad...
#MadeinTanzania Umuhimu wa Ushirika wa MADIRISHA na Utengenezaji wa Asali
มุมมอง 5693 ปีที่แล้ว
Ubora wa bidhaa ni nguzo muhimu sana katika uchumi wa viwanda. Hatua hii ya kujiongeza na kuongeza thamani ya bidhaa kwa kutumia teknolojia ya kisasa inaongeza kasi ya faida na kupunguza upotevu wa malighafi.
#MadeinTanzania Ubunifu, Fursa na Changamoto za Wajasiriamali katika maonyesho ya Tano ya Viwanda
มุมมอง 1.4K3 ปีที่แล้ว
Maonyesho ya 5 ya viwanda yana muitikio mkubwa kwa kuwaunganisha wafanyabiashara ili kukaa na kujadili namna bora ya kuboresha biashara zao.Maonyesho haya ya moja kwa moja kutoka Viwanja vya Sabasaba kati ya wafanyabiashara, Wizara ya Viwanda, Wizara nyingine za Kisekta, Taasisi za Serikali na Taasisi Binafsi yanalenga kutumia fursa ya bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali na Viwanda vyetu kup...
#MadeinTanzania Utengenezaji wa Vipodozi kwa kutumia Bidhaa Asilia (Part 2)
มุมมอง 2.2K3 ปีที่แล้ว
Athari zinazotokana na matumizi ya Vipodozi vyenye kemikali zimechagiza kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa matumizi na uzalishaji Mkubwa wa Vipodozi visivyo na kemikali kabisa.Tofauti na Vipodozi vingi vinavyozalishwa Nchini. Leo Usiku kwenye #MadeInTanzania Sam Sasali ataangazia kiwanda kinachozalisha Vipodozi Na vifaa vingine vya Usafi kwa kutumia malighafi za Mimea na Miti ya asili. Usikose ku...
#MadeinTanzania Utengenezaji wa Vipodozi na Bidhaa kwa kutumia Malighafi Asilia
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Utengenezaji wa Vipodozi na Bidhaa kwa kutumia Malighafi Asilia
#MadeinTanzania Faida na Uwekezaji Uliyopo katika Sanaa za Mikono nchini Tanzania
มุมมอง 3.3K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Faida na Uwekezaji Uliyopo katika Sanaa za Mikono nchini Tanzania
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
มุมมอง 3K4 ปีที่แล้ว
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
#MadeinTanzania Exclusive ya Kiwanda cha Kitanzania kinazotengeneza Lami
มุมมอง 3K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Exclusive ya Kiwanda cha Kitanzania kinazotengeneza Lami
#MadeinTanzaniaHatua kwa Hatua utengenezaji wa siagi ya Karanga (Peanut Butter) Kutoka Tanzania
มุมมอง 14K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzaniaHatua kwa Hatua utengenezaji wa siagi ya Karanga (Peanut Butter) Kutoka Tanzania
Ushuhuda | Namna #MadeinTanzania ilivyonitangaza Duniani
มุมมอง 7224 ปีที่แล้ว
Ushuhuda | Namna #MadeinTanzania ilivyonitangaza Duniani
#MadeinTanzania Kutoka Tanzania hadi Asia: Siri ya ufanisi wa zao la Kunde kutoka Tanzania
มุมมอง 9K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Kutoka Tanzania hadi Asia: Siri ya ufanisi wa zao la Kunde kutoka Tanzania
#MadeinTanzania Uwekezaji wa Bilioni 35 uliotengeneza maelefu ya Ajira kupitia EPZA
มุมมอง 2.9K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Uwekezaji wa Bilioni 35 uliotengeneza maelefu ya Ajira kupitia EPZA
#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotumia Teknolojia Ya Kisasa Kutengeneza Chakula Cha Mifugo
มุมมอง 4.8K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotumia Teknolojia Ya Kisasa Kutengeneza Chakula Cha Mifugo
#MadeinTanzania Kilimo Asilia (Organic Farming), Ukuaji wa Viwanda na Masoko ya nje kwa Wakulima
มุมมอง 8K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Kilimo Asilia (Organic Farming), Ukuaji wa Viwanda na Masoko ya nje kwa Wakulima
#MadeinTanzania Mjadala kuhusu safari ya Made in Tanzania katika kipindi cha Alasiri - Clouds TV
มุมมอง 1K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Mjadala kuhusu safari ya Made in Tanzania katika kipindi cha Alasiri - Clouds TV
#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Mabomba (Pipes) za Kisasa
มุมมอง 10K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Mabomba (Pipes) za Kisasa
#MadeinTanzania Factory that manufactures quality Jeans sold in the US market.
มุมมอง 114K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Factory that manufactures quality Jeans sold in the US market.
#MadeinTanzania Juhudi za #TANTRADE katika kupambania bidhaa zinazopo katika #JamhuriYaWapambanaji
มุมมอง 1.1K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Juhudi za #TANTRADE katika kupambania bidhaa zinazopo katika #JamhuriYaWapambanaji
#MadeinTanzania Tazama Bidhaa za Kitanzania katika Maonyesho ya #Sababa2020
มุมมอง 1.5K4 ปีที่แล้ว
#MadeinTanzania Tazama Bidhaa za Kitanzania katika Maonyesho ya #Sababa2020

ความคิดเห็น

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 วันที่ผ่านมา

    Pamba inauzwa nje tujitahidi tuiprocess kuform vitambaa ili kufanye yote wenyewe

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 7 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba namba ya mawasiliano yenu Boss

  • @EmmanuelaMapunda-u1h
    @EmmanuelaMapunda-u1h 10 วันที่ผ่านมา

    Je aina ya hizo nyumba mnajenga mikoa yote yusaidieni na kwetu njombe

  • @MagangaAbdallah
    @MagangaAbdallah 23 วันที่ผ่านมา

    Sisi wauza matofali tubadili Biashara.

  • @ManusuraBwanamoya
    @ManusuraBwanamoya หลายเดือนก่อน

    I save this video for the future ❤ kwa sasa i have reason to travel to Tanzania 🇹🇿

  • @YussufAbebeCheliPeacockSafaris
    @YussufAbebeCheliPeacockSafaris หลายเดือนก่อน

    Good idea lakini kikija kimbunga, mvua kali, radi itaweza kuhimili kama matofali?

  • @GloriaBrown-b8c
    @GloriaBrown-b8c 2 หลายเดือนก่อน

    Lee Brian Miller Scott Perez Lisa

  • @Oktavitalisi
    @Oktavitalisi 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kazi

  • @wariobamussa2462
    @wariobamussa2462 2 หลายเดือนก่อน

    Well done.... ! Maelezo ya Meneja yamejitosheleza

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 2 หลายเดือนก่อน

    kuwe na mchanganuo wa gharama za ujenzi kw mifano ya nyumba (mf. vyumba vitatu/vinne)... budget analysis

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 2 หลายเดือนก่อน

    kwa Zanzibar je inakuaje kupata huduma?

  • @TumainiNyari
    @TumainiNyari 2 หลายเดือนก่อน

    Gharama ya panel ni shiling ngapi

  • @kelvingeorge-k9j
    @kelvingeorge-k9j 2 หลายเดือนก่อน

    naweza kupata wapi vifaa bora vya kuchorea mi npo geita

  • @kelvingeorge-k9j
    @kelvingeorge-k9j 2 หลายเดือนก่อน

    sorry naweza kujifunza kuchora napenda naweza japo sijawahi kutumia rangi

  • @DottoMorris
    @DottoMorris 3 หลายเดือนก่อน

    Nazipataje

  • @Hellen-i2y
    @Hellen-i2y 3 หลายเดือนก่อน

    Halafu wao wamejenga kiwanda Chao na matofali😮 ya saruji

  • @suleimanAmur
    @suleimanAmur 3 หลายเดือนก่อน

    '

  • @suleimanAmur
    @suleimanAmur 3 หลายเดือนก่อน

    habari naitwa sleimani natokea pemba napenda sana sanaa yauchoraji na mm nahitaji kujiunga

  • @suleimanAmur
    @suleimanAmur 3 หลายเดือนก่อน

    habari

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 4 หลายเดือนก่อน

    Hongereni kazi nzuri ,vp mtu akiwa nje ya tz?

  • @loycemalima7490
    @loycemalima7490 5 หลายเดือนก่อน

    Gharama ya ujezi wanyumba kama iliyoonyeshwa hapo ni ngapi?

  • @Lazoboy-zm4jx
    @Lazoboy-zm4jx 5 หลายเดือนก่อน

    Na weza kupata suru wali kwajumla

  • @josephshayo5493
    @josephshayo5493 5 หลายเดือนก่อน

    Nilikua na swali. Sawa natumia Material nyumba idumu miaka 100 but matofali nyumba inadumu like forever. Sio kwamba tofali zitabaki kuwa bora. Coz miaka 100 ni two to three generation.

  • @haji352
    @haji352 5 หลายเดือนก่อน

    KWANINI MATERIAL YA JEANS YASITENGENEZWE HAPA HAPA NCHINI WAKATI TUNA PAMBA BORA .INATAKIWA SERIKALI IWAHIMIZE MATAJIRI WA TZ WAWE WANAT ENGENEZA MATERIAL HAPA NCHINI NA MACHINE ZINAPATIKANA HUKO TAIWAN ,CHINA NA THAILAND

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 6 หลายเดือนก่อน

    sasa website yao ipo wapi

  • @NinaAntoine
    @NinaAntoine 6 หลายเดือนก่อน

    Naonba nanba zenu na Address yenu

  • @BahatiNzige
    @BahatiNzige 8 หลายเดือนก่อน

    Nitawapataje? Yaani ofisi zenu zipo wapi? Naomba contact zenu?

  • @BahatiNzige
    @BahatiNzige 8 หลายเดือนก่อน

    Hili mimi nataka ku- supply chakula cha mifugo

  • @rithamremi5515
    @rithamremi5515 9 หลายเดือนก่อน

    Swali langu ni moja mbona kiwanda chao wametumia tofali za kawaida badala ya kutumia za kwao...

  • @peterdarlington6599
    @peterdarlington6599 9 หลายเดือนก่อน

    In terms of durability, block houses generally tend to be more durable than panel houses. Block houses are typically constructed using materials like concrete, brick, or stone, which offer strong resistance to weathering, impacts, and other environmental factors. Panel houses, on the other hand, are often made of materials like wood, steel, or composite panels, which may not provide the same level of durability as solid masonry construction.

  • @confredsangija1796
    @confredsangija1796 9 หลายเดือนก่อน

    hapa tutatoa pongezi kwa tanzania na viwanda,pongezi sana sana.shida mawasiliano ya simu au vyovyote hakuna,shida yetu sasa ni namna ya kuisambaza hii tecnolojia ili kila mtu aifahamu na aweze kufanya huu ujenzi ndio itakuwa mtiani.yaan baada ya hapa iiiitakuwa kmya kuwapata ni kama kuutafuta mkojo wa kuku. je wameishia hapo tu? ngoja tuone

  • @officialyohanamalisa1873
    @officialyohanamalisa1873 10 หลายเดือนก่อน

    Salute kwa hawa jamaa. I wish ningewafahamu mapema, tatizo hamujitangazi mnakaa ndani kama utumbo, use media to advertise. Mbona mko vizuri aisee. 🙌🙌🙌

  • @deograsiaskiowi
    @deograsiaskiowi 10 หลายเดือนก่อน

    Niteknoljia nzuri ila kwa macho naona kama kwa mlalahoi bado sizani kama ata mudu

  • @YohanaChuma
    @YohanaChuma 10 หลายเดือนก่อน

    Nitumie no ya simu ninawahitaji

  • @emmanueltuppa5459
    @emmanueltuppa5459 ปีที่แล้ว

    Contact???

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Wabongo tunapenda kuvishana sana 😂 hayo mabody utumia kutengeneza restaurants saloon nk na sehemu zakibiashara pamoja na viwanja vyakukodisha ufanya hivyokwasababu hiwe lahisi kuvunja yani temporary kama atakuja mpangaji mpya au ardhi kutumika kwa shughuli zingine pia shughuli nyingine utumika kwakukata vyumba baada kuta kujengwa kwa matofali au zege na hivyo zaidi katika majengo yakupangisha , so kama mimi haunitanganyi 😂😂😂

  • @PrincePaulIowa
    @PrincePaulIowa ปีที่แล้ว

    Je ni imara? Yaani wezi wakipiga sururu si ni rahisi kuvunja? Pia gari likigonga nyumba si inaanguna kirahisi? Au? Naomba mnifahamishe… huyu ansema boya panels, sasa hii kweli imara?

  • @warialangandossi
    @warialangandossi ปีที่แล้ว

    Naomba no yenu ya simu

  • @warialangandossi
    @warialangandossi ปีที่แล้ว

    Wapendwa wangu Mungu awabariki,Sasa mpo wapi Nina mabox maboya manner na jiko la gesi na washing machine ,nataka kuuza ,nauzaje? Je ninyi mnapokea,Asante naomba no yenu ya simu na majibu Asante

  • @nestormsigwa8551
    @nestormsigwa8551 ปีที่แล้ว

    Tupate contacts pls na namna ya kuwapata.

  • @De_lima98
    @De_lima98 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona ukuta wa kiwanda umetengenezwa na tofali

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا ปีที่แล้ว

    Zinauzwaje

  • @ulirkimsacky
    @ulirkimsacky ปีที่แล้ว

    My name is Ulirki Msacky,thank for bringing us industries,I am asking for a job at the factory

  • @AngelusMgaya
    @AngelusMgaya ปีที่แล้ว

    Nahitaji bomba 1.5" lolu 30 na 2" lolu 10 nazipataje nipo njombe

  • @MabusaSanne
    @MabusaSanne ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/k58CCd7zWys/w-d-xo.html

  • @MabusaSanne
    @MabusaSanne ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/k58CCd7zWys/w-d-xo.html

  • @MabusaSanne
    @MabusaSanne ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/k58CCd7zWys/w-d-xo.html

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว

    Mkoa wa tabora, Unyanyembe kuna maembe mengi sana. Waende kule kuwaekeza kiwanda cha maembe ya Unyanyembe!!!

  • @benjamincharles2606
    @benjamincharles2606 ปีที่แล้ว

    Kax vp

  • @SalvataMrosso-yr7fm
    @SalvataMrosso-yr7fm ปีที่แล้ว

    Naomba namba za simu