Fumo 255
Fumo 255
  • 200
  • 385 893

วีดีโอ

SIMBA WATUA TUNISIA Ona MABEGI MAKUBWA WALIOBEBA CS SFAXIEN WAOGOPA 🤣😂
มุมมอง 68423 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SIMBA WATUA TUNISIA Ona MABEGI MAKUBWA WALIOBEBA CS SFAXIEN WAOGOPA 🤣😂
AHOUA vs MZIZE/DUBE & ATEBA AWAFUNIKA MAGOLI,ASSIST FEITOTO AIBUKA NBC PL SIMBA SC na YANGA
มุมมอง 354 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AHOUA Vs MZIZE/DUBE & ATEBA VITA YA MAGOLI na ASSIST FEITOTO LIGI KUU NBC SIMBA SC na YANGA SC
KIBU DENIS USAJILI WAKE AFRIKA KUSINI/BALEKE & GAMONDI IPO HIVI/ SASA ITAKUWAJE🙄🤣 AMAZULU WAPO TAYAR
มุมมอง 1854 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USAJILI UMEVUJA KIBU DENIS/MIGUEL GAMONDI & JEAN BALEKE/FUMO AFICHUA SIRI NZIMA SASA ITAKUWAJE
CHASAMBI AMTAJA NZENGELI SAKATA ZITO SIJUI ATABAKI SIMBA/ALLY KAMWE AINGILIA GUMZO MITANDAONI 😭😭
มุมมอง 5649 ชั่วโมงที่ผ่านมา
CHASAMBI AMTAJA MAX NZENGELI/SAKATA ZITO SIJUI ATABAKI SIMBA/ALLY KAMWE AINGILIA GUMZO MITANDAONI
SINGIDA BS 0-1 SIMBA GOLI LA NGOMA KIBU D/MPANZU & AHOUA WAIMALIZA MECHI Ona MWENYEWE🙄🙄
มุมมอง 38112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SINGIDA BS vs SIMBA KIBU D/MPANZU & AHOUA WAIMALIZA MECHI Ona MWENYEWE🙄🙄
ALLY KAMWE AMVAA MCHAMBUZI HANS RAFAEL AMUASHIA MOTO🤪🤣😂
มุมมอง 28814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ALLY KAMWE AMPA MAKAVU MCHAMBUZI HANS RAFAEL/AMUASHIA MOTO/VITA YA MANENO MAKALI 🤪🤣😂
CHUMA KIMETUA USAJILI MPYA FAHID BAYO/ALLAN OKERO KIPRE JR & AYOUB MCHAREK KUNA TIMU ITAPIGWA 10
มุมมอง 74116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ATHIBITISHA ALLAN OKERO, KIPRE JR, AYOUB MCHAREK KUTUA SIMBA SC/ KUNA TIMU ITAPIGWA 10/USAJILI MPYA
🔴PELEMBO AVUJISHA TENA USAJILI SIMBA KIPRE JR/FEI TOTO KUKIWASHA MPANZU WAMO MASTAA KUTOKA YANGA
มุมมอง 1.3K14 วันที่ผ่านมา
🔴PELEMBO AVUJISHA TENA USAJILI SIMBA FEI TOTO KUKIWASHA ELIE MPANZU SIMBA WAMO MASTAA KUTOKA YANGA
DUBE ALIROGWA KAPAKWA MAFUTA YA MWAMPOSA/ MNIUWE MBELE YA MAMA ANGU/YANGA 3-2 MASHUJAA
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
SHETANI WA YANGA PRINCE DUBE MAFUTA YA MWAMPOSA/ MNIUWE MBELE../YANGA 3-2 MASHUJAA
🔴PELEMBO AVUJISHA USAJILI MPYA YANGA LAMECK LAWI,FAHAD BAYO,PA OMAR JOBE | WENGINE HAWA
มุมมอง 3.2K14 วันที่ผ่านมา
🔴PELEMBO AVUJISHA USAJILI YANGA LAMECK LAWI, FAHAD BAYO, PA OMAR JOBE | USAJILI MPYA & TETESI ZOTE
KIPIGO CHA CS SFAXIEN SHABIKI ACHUKIA | AWACHANA VIBAYA VIONGOZI | AMVAA KIBU DENIS
มุมมอง 20814 วันที่ผ่านมา
KIPIGO CHA CS SFAXIEN SHABIKI ACHUKIA | AWACHANA VIBAYA VIONGOZI | AMVAA KIBU DENIS
SHABIKI AVUA NGUO APAGAWA NA MAGOLI YA KIBU DENIS ATEMBEA…🤣😂
มุมมอง 24614 วันที่ผ่านมา
SHABIKI APAGAWA NA MAGOLI YA KIBU DENIS AVUA NGUO NA KUTEMBEA…🤣😂
MZEE WA JAMBIA APIGA SALUTI KIBU DENIS SIO WA NCHI HII/ MAGOLI YA KIBU YANAFUNGWA ULAYA
มุมมอง 65214 วันที่ผ่านมา
WILSON ORUMA AMPIGIA SALUTI KIBU DENIS/ MAGOLI YA KIBU YANAFUNGWA ULAYA
KIBU AMTOA NDUKI SANDALAND KAMA TRENI YA SGR 😂😅😅 NI BAADA GOLI LAKE Ona ILIVYOKUWA AKIRUDI UWANJANI
มุมมอง 19K14 วันที่ผ่านมา
GOLI LA KIBU LAMRUDISHA SANDALAND UWANI 😂😅😅 Ona ILIVYOTOKA NDUKI KALI
SIMBA SC 2-1 SFAXIEN KWA MKAPA NI MAFURIKO MASHABIKI KUIMALIZA SFAXIEN MAPEMA TU
มุมมอง 19814 วันที่ผ่านมา
SIMBA SC 2-1 SFAXIEN KWA MKAPA NI MAFURIKO MASHABIKI KUIMALIZA SFAXIEN MAPEMA TU
🔴#Live SIMBA 2-1 CS SFAXIEN BENJAMIN MKAPA NI FULL HOUSE MASHABIKI NYOMI
มุมมอง 25914 วันที่ผ่านมา
🔴#Live SIMBA 2-1 CS SFAXIEN BENJAMIN MKAPA NI FULL HOUSE MASHABIKI NYOMI
🔴#Live KWA MKAPA MUDA HUU MASHABIKI WA SIMBA WAFURIKA PAKUKANYAGA HAKUNA
มุมมอง 66214 วันที่ผ่านมา
🔴#Live KWA MKAPA MUDA HUU MASHABIKI WA SIMBA WAFURIKA PAKUKANYAGA HAKUNA
🔴#Live LISTI YA WASANII MECHI YA SIMBA SC vs CS FAXIEN
มุมมอง 39K21 วันที่ผ่านมา
🔴#Live LISTI YA WASANII MECHI YA SIMBA SC vs CS FAXIEN
🔴#Live SAKATA LA YUSUPH KAGOMA na SIMBA LAFIKA PATAMU ONA SEMAJI LA CAF AHMED ALLY ATEMA CHECHE
มุมมอง 4.1K21 วันที่ผ่านมา
🔴#Live SAKATA LA YUSUPH KAGOMA na SIMBA LAFIKA PATAMU ONA SEMAJI LA CAF AHMED ALLY ATEMA CHECHE
🔴#Live MAITI Imefungwa ALGERIA ATUFANANI NAO/AHMED ALLY ATEMA CHECHE
มุมมอง 20421 วันที่ผ่านมา
🔴#Live MAITI Imefungwa ALGERIA ATUFANANI NAO/AHMED ALLY ATEMA CHECHE
MAMA MANYWELE & PASIMILIONI😂😅WAMVUNJA MBAVU AHMED ALLY
มุมมอง 7821 วันที่ผ่านมา
MAMA MANYWELE & PASIMILIONI😂😅WAMVUNJA MBAVU AHMED ALLY
🔴#Live SIMBA 1-0 FC BRAVOS KUTOKA BENJAMIN MKAPA
มุมมอง 23Kหลายเดือนก่อน
🔴#Live SIMBA 1-0 FC BRAVOS KUTOKA BENJAMIN MKAPA
🔴#Live KWA MKAPA MUDA HUU MASHABIKI WA SIMBA WAFURIKA VS FC
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
🔴#Live KWA MKAPA MUDA HUU MASHABIKI WA SIMBA WAFURIKA VS FC
🔴#Live NYOMI LA MASHABIKI SIMBA 1-0 FC BRAVOS BENJAMIN MKAPA
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
🔴#Live NYOMI LA MASHABIKI SIMBA 1-0 FC BRAVOS BENJAMIN MKAPA
🔴 SIMBA SC 1-0 BRAVOS FC CAF CC BENJAMIN MKAPA GOLI LA AHOUA PENATI
มุมมอง 543หลายเดือนก่อน
🔴 SIMBA SC 1-0 BRAVOS FC CAF CC BENJAMIN MKAPA GOLI LA AHOUA PENATI
🔴#live SHABIKI WA AL HILAL AWAFOKEA YANGA😂😂 AWATAJA SIMBA SC KUWA NDIO WAKUBWA
มุมมอง 515หลายเดือนก่อน
🔴#live SHABIKI WA AL HILAL AWAFOKEA YANGA😂😂 AWATAJA SIMBA SC KUWA NDIO WAKUBWA
KIPIGO CHA YANGA SHABIKI WA SIMBA ATAWALA KIJIWE KISA YANGA 0-2 AL HILAL KWA MKAPA
มุมมอง 181หลายเดือนก่อน
KIPIGO CHA YANGA SHABIKI WA SIMBA ATAWALA KIJIWE KISA YANGA 0-2 AL HILAL KWA MKAPA
🔴#Live KOCHA AONDOKE NABI ARUDI ‘WACHEZAJI KUBADILI AWEZI, SUB ANASHINDWA’ YANGA 0-2 AL HILAL
มุมมอง 2.1Kหลายเดือนก่อน
🔴#Live KOCHA AONDOKE NABI ARUDI ‘WACHEZAJI KUBADILI AWEZI, SUB ANASHINDWA’ YANGA 0-2 AL HILAL
🔴MR MWANYA YANGA KUFUNGWA SIMBA WAMELETA WACHAWI AWATAJA YOUNG AFRICANS 0-2 AL HILAL
มุมมอง 345หลายเดือนก่อน
🔴MR MWANYA YANGA KUFUNGWA SIMBA WAMELETA WACHAWI AWATAJA YOUNG AFRICANS 0-2 AL HILAL

ความคิดเห็น

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 วันที่ผ่านมา

    Wachochezi sana nyie kwani kosa la Chasambi ni lipi? ALI KAMWE NDY KAWAIDA YAKE ANAWAPENDA WACHEZAJI WA SIMBA. KAMWE NDY MCHOCHEZI SANA. CHASAMBI ALITAJA.MCHEZAJI ANAYEMPENDA. MASHABIKI WA SIMBA KUWENI MAKINI SANA. C MNAKUMBUKA YANGA WALISEMA WACHEZAJI WA SIMBA NI WAZEE WALIPOTOLEWA TUU YANGA WALIWACHUKUA. SASA AMEANZA KWA CHASAMBI WANATAKA WACHOCHEE ILI WAMCHUKUE. TUWE MAKINI SANA

  • @nurdinswalehe
    @nurdinswalehe 3 วันที่ผ่านมา

    Kaongea kawaida tu sema wachocgezi ndo nyie mafala

  • @mwajumahamisi-w1y
    @mwajumahamisi-w1y 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu kaka anapenda kujifunza vitu vikubwa Allah akuongoze na pia kua makini na wachezaji wake maana wanaweza kumpoteza kabisa

  • @Waziyr
    @Waziyr 12 วันที่ผ่านมา

    Sure nyuz

  • @MauwaAli-q8y
    @MauwaAli-q8y 13 วันที่ผ่านมา

    Yanga watafute namba kumi azizi ki hamna kitu jamani

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 14 วันที่ผ่านมา

    Ila hii siku hmn mwanasimba atasahau

  • @listerwami6825
    @listerwami6825 16 วันที่ผ่านมา

    Ndo mchezaji anaejituma simba

  • @maryamrafiq527
    @maryamrafiq527 16 วันที่ผ่านมา

    Hii haisahauliki itakuwa historia ❤

  • @NicolausMbugi-ob5nh
    @NicolausMbugi-ob5nh 16 วันที่ผ่านมา

    Simba inawatu bhana

  • @Christopher-c1x
    @Christopher-c1x 17 วันที่ผ่านมา

    hata mtoto wa drs la kwanza hadanganyiki kwa maneno ya huyo utopolo

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 17 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 17 วันที่ผ่านมา

    Daahh jamaa alikat tamaa kabisa.Pongezi kwa wachezj hawakukata tamaa

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 17 วันที่ผ่านมา

    Yan hiii video inanifanya nirudieee mara kurudia kuangaliaa 😂😂😂❤❤❤Simba nguvuu moyaaa

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 17 วันที่ผ่านมา

      Namie ivyo ivyo😂😂😂

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 12 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 17 วันที่ผ่านมา

    Sandalend alikuwa anaondoka mapema

  • @filibetifilibeti534
    @filibetifilibeti534 17 วันที่ผ่านมา

    nenda yanga ili usife kwa plesha

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 17 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 yanga kutamu sio

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 17 วันที่ผ่านมา

      Wenye pointi 1 kama chongo

  • @filibetifilibeti534
    @filibetifilibeti534 17 วันที่ผ่านมา

    nenda yang

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c 17 วันที่ผ่านมา

      @@filibetifilibeti534 Mapenzi ya timu hua hayahami japo siridhiki na uchezaji wa timu lkn siwezi kuhama haiwezekani yanga kua simba na simba kua yanga labda hajawa shabiki huyo

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 17 วันที่ผ่านมา

    Hii simba yetu tumempa cocha asiejua anachokifanya kila siku inacheza chini ya kiwango

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 17 วันที่ผ่านมา

      Kafundishe wee😂😂

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c 17 วันที่ผ่านมา

      @RahimaMct-ik8mr Hawataki nifundishe mimi

    • @PriscaNoah
      @PriscaNoah 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@RahimaMct-ik8mr😅😅😅watu mna majibu katili kama gol la kibu😅

    • @abdallahkillo399
      @abdallahkillo399 17 วันที่ผ่านมา

      Ukipewa wewe utafanyaje ili isicheze chini ya kiwango

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c 17 วันที่ผ่านมา

      @abdallahkillo399 Nikipewa mimi nitabadilisha mfumo wa kiuchezaji timu yetu viongozi wamejitahid kwa kiwango kikubwa kusajili wachezaji wazuri kuna sehem ndogo sana ndo walifeli kama vile mutale lkn sehem kubwa usajili wa mwaka huu ni mzuri tatizo namna ya kuwatumia wachezaji AHOUA nilidhani atakua ni mchezeshaji timu yeye alishe mukwala alishe ateba ikitokea nafasi ya wazi zaidi ndio ajaribu kufunga lkn kinachotufelisha simba ni mfumo wa mwalimu si wakuwatengenezea watu fulani mipira hapana watu wote wanatafuta mpira na kila mtu ni mfungaji kapombe afunge shabalala afunge ateba afunge debora afunge malone afunge ndio maana timu yetu tunawalaumu washambuliaji wale hawapewi mipira na hawakai sehem sahihi za kupasiwa pasi kwavile mazoezini hawafundishwi hivyo na cocha Fadlu hilo kalisema yeye timu yake anataka kila mtu awe mfungaji simba inacheza vizuri nyuma kat tatizo lipo kiungo cha juu kwenda mbele hili ni tatizo la kiufundi timu inavyoundwa hakuna mtu mwenye majukumu ya kufanya hivyo na wachezaji hawafanyi kitu wasichofundishwa na mwalimu

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 17 วันที่ผ่านมา

    Hizi ndo habari za kuandikwa

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 17 วันที่ผ่านมา

    Yn kocha anatutesa

  • @fatumasaid558
    @fatumasaid558 18 วันที่ผ่านมา

    Ila simba watakuja uwawatu kwapresha wamecheza chin mnoo

  • @omaryramadhani290
    @omaryramadhani290 18 วันที่ผ่านมา

    Dah kweli huyu jamaa Simba damu. Dah nimeipenda sanda land ubaya ubwela

  • @dorineDaniel-l8j
    @dorineDaniel-l8j 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @FadhilEmanuel
    @FadhilEmanuel 18 วันที่ผ่านมา

    😂,😂😂😂😂😂

  • @FaridaMwamlima
    @FaridaMwamlima 18 วันที่ผ่านมา

    😢😂

  • @Jrlaizer
    @Jrlaizer 18 วันที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela sisi kama mashabiki wa simba tunawapata vizuri tukiwa Ginne

  • @FadhiliShabani-lw8bp
    @FadhiliShabani-lw8bp 20 วันที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela❤❤❤❤

  • @EvanciStansilaus
    @EvanciStansilaus 20 วันที่ผ่านมา

    Unyama mwingi

  • @EvanciStansilaus
    @EvanciStansilaus 20 วันที่ผ่านมา

    Unyama mwingi

  • @EvanciStansilaus
    @EvanciStansilaus 20 วันที่ผ่านมา

    Naitakia ushindi Simba yetu

  • @PauloJackson-r5i
    @PauloJackson-r5i 21 วันที่ผ่านมา

    Kweli Simba guvu moj asnt ubay ubwel😮😢

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 22 วันที่ผ่านมา

    Asante hata si huku tuliko omani tuna injoi namna hii simba nguvu moja

  • @ChristinaLazaro-oy4kb
    @ChristinaLazaro-oy4kb 22 วันที่ผ่านมา

    Nimnyama uhakika tunda man hana mambo meng kama wakinafuran

  • @YunusiMiraji-p2h
    @YunusiMiraji-p2h 22 วันที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk 22 วันที่ผ่านมา

    Tunda man namkubali sana,ni Mnyama ndakindaki,❤❤❤

  • @ElishamaMulokozi-pi8nm
    @ElishamaMulokozi-pi8nm 22 วันที่ผ่านมา

    Habari njema.

  • @BabanayphatNyinjaboy
    @BabanayphatNyinjaboy 23 วันที่ผ่านมา

    Mwak uu makoro nyingi

  • @mauasaidi3345
    @mauasaidi3345 23 วันที่ผ่านมา

    Nani fongo mnyama jamani

  • @kessikahawamango4114
    @kessikahawamango4114 23 วันที่ผ่านมา

    Na huyu Abdurazak kila mechi hamalizi anaumia

  • @sharifisangyo8038
    @sharifisangyo8038 23 วันที่ผ่านมา

    Punguza kufru na porojo

  • @BonifaceZeus
    @BonifaceZeus หลายเดือนก่อน

    Kasongo

  • @zainababdul9881
    @zainababdul9881 หลายเดือนก่อน

    Asante umetuwakirisha vyema❤

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY หลายเดือนก่อน

    Mama unajua kukera sana eti utamu wa asali

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY หลายเดือนก่อน

    Cha muhimu ni point 3 .... MUNGU anatusaidie tushinde

  • @GladnessThomas-u7r
    @GladnessThomas-u7r หลายเดือนก่อน

    😁😁😁😁😁😁😁 ushindi upoo

  • @zureabakari-h6x
    @zureabakari-h6x หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @JenniferBahaty
    @JenniferBahaty หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie timu yet ipate ushind wa kishindo

  • @Magrethkomba-q1m
    @Magrethkomba-q1m หลายเดือนก่อน

    Amina mama

  • @marthajosephdihimbwa2329
    @marthajosephdihimbwa2329 หลายเดือนก่อน

    hivi tukajiuliza mswali mengi kuna mda tujuwe uchawi upo wachezaji ni wale wale kila siku eaoipambania timu hata leo wamepamba sana ila uchawi

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 หลายเดือนก่อน

    Simba NDIO waliloga Yanga

  • @noelpetro2089
    @noelpetro2089 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂