KWAYA YA MT YOHANE MTUME DODOMA
KWAYA YA MT YOHANE MTUME DODOMA
  • 11
  • 47 658
BWANA KAFUFUKA. KWAYA YA SHIRIKISHO PAROKIA YA MT YOHANE MTUME DODOMA. MTUNZI LUCAS AMEDE.
BWANA KAFUFUKA. KWAYA YA SHIRIKISHO PAROKIA YA MT YOHANE MTUME DODOMA.
SHIRIKISHO LA KWAYA;
MT. YOHANE MTUME (Kwaya ya Parokia)
MT. FRANSISCO EXAVERY (Kigango cha michese)
MT. RITHA WA KASHIA (Kigango cha Tanesko)
Tunafuraha kubwa kuweza kufanikiwa kurekodi video hii.
Tafadhali Like, comment, subscribe na share kwa wengine wengi.
MATHAYO 28
1 Hata sabato ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi.
2 Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
5 Malaika akajibu, akawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua ya kuwa mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa.
6 Hayupo hapa; kwani amefufuka kama alivyosema. Njoni, mpatazame mahali alipolazwa.
7 Nanyi nendeni upesi, mkawaambie wanafunzi wake, Amefufuka katika wafu. Tazama, awatangulia kwenda Galilaya; ndiko mtakakomwona. Haya, nimekwisha waambia.
8 Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa hofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake habari.
9 Na tazama, Yesu akakutana nao, akisema, Salamu! Wakakaribia wakamshika miguu, wakamsujudia.
10 Kisha Yesu akawaambia, Msiogope; enendeni, mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.
Tuimbe na Tufurahi Kwa Shangwe 🎶🎶🎶
ALELUYA!🎶 ALELUYA! 🎶ALELUYA!🎶
มุมมอง: 2 852

วีดีโอ

JIONEE SHANGWE KATIKA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UPADRE WA FATHER EMILY MPONDE. KWAYA YA KRISTO MFALME.
มุมมอง 1222 ปีที่แล้ว
Mbwembwe za wanakwaya siku ya jubilei ya miaka25 ya upadre wa Emily Mponde
MANENO YA YESU. KWAYA YA KRISTO MFALME KATIKA UTUME. (Wimbo maalumu wa kuwaombea mapadre wetu)
มุมมอง 2012 ปีที่แล้ว
"Pokeeni Roho Mtakatifu, wote mtakao waondolea dhambi basi watakua wameondolewa na mtakao wafungia dhambi watakua wamefungiwa..." ni Maneno ya Yesu. Ni wimbo unaoonesha mamlaka ya uchungaji waliyopewa mapadre wetu. Karibu utusikilize katika uimbaji.
INAKUAJE TUNASIKIA MANENO. KWAYA YA KRISTO MFALME (Par. Dodoma) Katika misa takatifu ya PENTEKOSTE
มุมมอง 2.2K2 ปีที่แล้ว
Wimbo: Inakuaje Tunasikia Maneno. Kwaya: KWAYA YA KRISTO MFALME Kanisa: Parokia Mt. Yoh. Mtume Dodoma Katika ibada ya misa takatifu ya PENTEKOSTE Walimu: Dismas & Justine Video: Leandri Barnabas Tunawashukuru Sana kwa majitoleo ya kila mmoja kwa nafasi yake #pentecostal #rohomtakatifu #jumapili #pasaka #kwaya #dodoma #video #live
KUPAA KWA BWANA NA KWAYA YA KRISTO MFALME
มุมมอง 9032 ปีที่แล้ว
#jumapili #pasaka
KWAYA YA KRISTO MFALME - WATU NAWAKUSHUKURU (Wimbo wa Zaburi Jumapili ya sita ya pasaka)
มุมมอง 6662 ปีที่แล้ว
Karibu ujumuike katika utume wa uimbaji pamoja na wana-KRISTO MFALME PAROKIAYA MT. YOHANE MTUME DODOMA MTUNZI: SYOTE MWALIMU: DISMAS& JUSTINE CAMERA: LEANDRI #jumapili #pasaka
KWAYA YA KRISTO MFALME. TUWATU WAKE NA KONDOO WA MALISHO YAKE. (Zaburi ya Mchungaji mwema)
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
Dominika ya nne ya pasaka tunaadhimisha siku ya mchungaji mwema (ambaye ni Yesu Kristo) Karibu kwaya ya Kristo mfalme uusikilize utenzi huu kwa sauti pekee #dominika #jumapili #kanisa #kwaya #pasaka #Yesu #mchungaji #kristo #mfalme
HAKUNA HUKUMU. Wimbo maalumu wa Pasaka
มุมมอง 5872 ปีที่แล้ว
Wimbo wa Pasaka #katoliki #kwaya #dodoma #pasaka #jumapili
BWANA NI MFALME (Zaburi siku ya KRISTO MFALME
มุมมอง 38K2 ปีที่แล้ว
Karibu tutafakari ukuu wa Bwana wetu Yesu Kristo akiwa na mamlaka ya ulimwengu na Mbingu (Kristo Mfalme). Conductor: Mwl. kiongozi Dismas Gervas Kwaya: KRISTO MFALME Parokia: Mt. Yohane Mtume Mkoa: Dodoma

ความคิดเห็น

  • @gekongachacha
    @gekongachacha หลายเดือนก่อน

    Hakika Bwana kafufuka.❤

  • @Arati3
    @Arati3 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @LinusSalia-q6n
    @LinusSalia-q6n 6 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉❤❤

  • @DorahGulula
    @DorahGulula 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri mungu awape haja za mioyo yenu mfikie lengo

  • @Imaginable-Image.
    @Imaginable-Image. 6 หลายเดือนก่อน

    Mmeupiga mwingi saaana wataaalam.....Bwana kafufuka ieeeeee kafufuka ieeee🎶🎵🎹

  • @GrolyBarnaba
    @GrolyBarnaba 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni mnaimba vzuri

  • @jaguaralbogast-yd8vf
    @jaguaralbogast-yd8vf 6 หลายเดือนก่อน

    Wow nimebarikiwa sana Kwa uimbaji mzuri

  • @floramrosso3840
    @floramrosso3840 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana wapendwa. Safi sana, mmetuinjilisha vizuri, mbarikiwe sana

  • @dismas7568
    @dismas7568 6 หลายเดือนก่อน

    Waooh!!!! amazing❤❤❤Hongereni sana sana wana Yohane Mtume.. January,Florensia,Dada Angel,Shayo sauti ya tatu ya nguvu, Ritha , Mwl Salwati na wengine wote 👏👏👏👏Hongereni sana mmeuvunja mfupa tulioshindwa kuuvunja . Mungu awabariki sana

  • @RafaelMgaya
    @RafaelMgaya 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @SesyGodfrey
    @SesyGodfrey 6 หลายเดือนก่อน

    Hongeren I kwaya yetu mungu awasimamie mzindi kuimba vizuri amina❤❤

  • @emmanuelbaltazary3564
    @emmanuelbaltazary3564 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana wapendwa.. Kazi nzuri sana sana

  • @frankedward3335
    @frankedward3335 6 หลายเดือนก่อน

    Mmeupiga mwingi Sana ndugu zanguuu🙏🙏

  • @delightkapinga564
    @delightkapinga564 6 หลายเดือนก่อน

  • @mectildamissana3351
    @mectildamissana3351 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika Bwana ameffuk kwelii

  • @RenatusyLaury-jg6du
    @RenatusyLaury-jg6du 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuriii xanaa hauchoshi kusikiliza Na kuangalia ,hongereni xan Hakika Mungu ni mwema

  • @AmilySamson
    @AmilySamson 6 หลายเดือนก่อน

    allooooooo nimefurahiiii mnooo hongereniii sanaaa ngomaa kaliii wanangu kweli nimefurahiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @CintahVarian
    @CintahVarian 6 หลายเดือนก่อน

    wimbo mzuri sana hakika Mungu ni mwema nimefurahi sana kuwaona mmefanya kitu amaizing tuendelee kufufuka na bwana Yesu❤

  • @malocamugo769
    @malocamugo769 6 หลายเดือนก่อน

    waoooooo......mambo si ndo hayooo????? ..... Wanakwaya wa Mt YOHANE mtume .....here we go....... Mambo ni moto nimeikubali na kubarikiwa na kwaya ...... MUNGU awabariki sanaa

  • @manhundimbo8671
    @manhundimbo8671 6 หลายเดือนก่อน

    Lucas on 🔥

  • @devothaponsiano6808
    @devothaponsiano6808 6 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤

  • @lucasjoseph3987
    @lucasjoseph3987 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana wapendwa wa Mungu Mungu aliyempaji wa karama zote atuimarishe tuzidi kumtumikia kwa njia ya uimbaji

  • @frankedward3335
    @frankedward3335 6 หลายเดือนก่อน

    Team work

  • @deomkatoriki3371
    @deomkatoriki3371 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua mtunzi wa huu wimbo

  • @ditrammgimba2759
    @ditrammgimba2759 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni, lakini mmeweka kipande tu, wekeni wimbo wote.

  • @jasengdshiraofficialtv6180
    @jasengdshiraofficialtv6180 2 ปีที่แล้ว

    Very good like n keep it up God bless you 🙏 I'm in meghalaya

  • @lilyeddie938
    @lilyeddie938 2 ปีที่แล้ว

    Wow very nice

  • @ditricksilinu6038
    @ditricksilinu6038 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana sana Kristu Mfalme

  • @liberatuskamugisha9775
    @liberatuskamugisha9775 2 ปีที่แล้ว

    Nawakubali💪💪💪🔥🔥🔥

  • @phyllischauro8903
    @phyllischauro8903 2 ปีที่แล้ว

    Woooooow it was so much

  • @dismasrugemalira1422
    @dismasrugemalira1422 2 ปีที่แล้ว

    Amina 👏

  • @Imaginable-Image.
    @Imaginable-Image. 2 ปีที่แล้ว

    🎵🎶Music therapy...😋😋

  • @dismasrugemalira1422
    @dismasrugemalira1422 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏Amina

  • @donathludovick1429
    @donathludovick1429 2 ปีที่แล้ว

    Hakika wanakwaya hawa wanaelimisha jamii ili tu kuwa na hofu ya mungu