Christian Bella, ça fait juste un mois que j'ai decouvert cette belle chanson. Christian, j'ignore soki eza chant obetaka na Wenge maison mere. Dommage que son eza bien te, na se trop, leki, bandela chant oyo obeta yango na ba son ya lelo, car c'est une belle chanson. J'espere un jour nakoya obeta nzembo oyo na ba son ya lelo, ça nous fera du bien. Merci et je te souhaite le meilleur dans ta carrière.
Yani kaka nimekukubali , yani una sauti na pia unajua kuimba . Big up and keep it up guy. Waimbaji wengi uitwa kwenyw vipindi ila wakiambiwa kuimba hata wimbo mmoja , uwezi ukaamini kama ni yule tunayomsikiaga cku zote lakini wewe kama wewe, utegemei msada wa vyombo. Nice journey and keep it up guy.
CHRISTIAN BELLA WEWE SI MBABAISHAJI......MZIKI UNAUJUA NA SASA NAAMINI UMKUJA KUMALIZA VITA YA MASAUTI BONGO....MDOGO WANGU SAUTI UNAYO SISI TUNAOJUA MUZIKI TUMESHAKUJUA KU WEWE NI MUTU YA MASAUTI
Cbo
Zegra duh
Song
Nani anasikiliza huu wimbo 2024
My favourite one
Balaa
Christian Bella, ça fait juste un mois que j'ai decouvert cette belle chanson. Christian, j'ignore soki eza chant obetaka na Wenge maison mere. Dommage que son eza bien te, na se trop, leki, bandela chant oyo obeta yango na ba son ya lelo, car c'est une belle chanson. J'espere un jour nakoya obeta nzembo oyo na ba son ya lelo, ça nous fera du bien. Merci et je te souhaite le meilleur dans ta carrière.
Bella kaka mkubwa nikwamba kazi yako aitokwisha maana wewe nimwimbaji mkubwa tanzania .
Hii nyimbo naipenda sanaa
pamoja san
2023
Bella wewe ni king wa muziki wa densi. Umekamua kwenye hii ngoma. Vuala
Great song
Kirsitaani.bell.
Nimeukumbuka sana huu Wimbo tukiwa Mango Garden Live daaahh noma sana Bela unatisha
Hii nyimbo 🔥🔥🔥🔥
2020
Our life is in this song.
nani anaskiliza huu wimbo 2019?!
Mimi huwa spending mizk lakin Bella namkubali sana
the best african music
jamani naomba msaada kuna wimbo wa Bella unaibwa pakachu pakachu jina lake halisi ni lipi please kwa anaye fahamu
Mtu wa watu unaitwa hivyo
His nyimbo ilinifanya nikamkubali Bella
Nakumbuka mbali ktk mahangaiko ya maisha
Respect bella
Nyimbo ambayo haichoshagi kuiskiliza japokua sielewi kitu.
Nice song brother
katika mashibiki wako wale kumi bora mm in pili
uko poa na kaz yako
Bella you are the best🤗
Safi kabisa
Mziki mtamu sana Bella
unaezasana kaka ww nimsaniii
nyimbo ambayo kwangu haiexpai
nice
Beautiful
King of Melodies....Kunta...Kinte.
bela good good
We mkali tu na wimbo uko poa
VERY NICE SONG INDEED
Bella hatariiiii naupenda sna huu wimbo & sauti yko balaaaa
Bella unaweza nyimbo nzuri tungo yako imekwenda shule...
bella nakubali, nyimbo iko freshi
Kaza buti
A nice song!big up
Nice song
Yani kaka nimekukubali , yani una sauti na pia unajua kuimba . Big up and keep it up guy. Waimbaji wengi uitwa kwenyw vipindi ila wakiambiwa kuimba hata wimbo mmoja , uwezi ukaamini kama ni yule tunayomsikiaga cku zote lakini wewe kama wewe, utegemei msada wa vyombo. Nice journey and keep it up guy.
aisee bella UNATISHA MBAYA
Amazing song...
CHRISTIAN BELLA UNAJUA MUSIC BIG UP
CHRISTIAN BELLA WEWE SI MBABAISHAJI......MZIKI UNAUJUA NA SASA NAAMINI UMKUJA KUMALIZA VITA YA MASAUTI BONGO....MDOGO WANGU SAUTI UNAYO SISI TUNAOJUA MUZIKI TUMESHAKUJUA KU WEWE NI MUTU YA MASAUTI