- 106
- 37 946
Navigator Chinduli🇹🇿
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 11 ก.ย. 2022
Mussa Chinduli known widely by the brand name Navigator Chinduli is a Tanzanian TH-camr. With a degree of arts with education history and Kiswahili from Muslim university of Morogoro.
Chinduli has over the years experience in vlog and entertainment content concern university students life in social media.
His intention is to digest all city and universities in the world and to make you happy and full of knowledge plus energy to do.
Kindly reward me by subscribing to my channel.

MTONI KWA AZIZI ALLY TEMEKE DSM STREET OF DIASPORAS YOUTHS IN TANZANIA🇹🇿#simbasc #travel #africa
MTONI kwa Aziz Ally ni moja kati ya maeneo maarufu sana sI tu Temeke bali Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.
Umaarufu wake unaletwa na mambo kadhaa ikiwemo na jina lenyewe ambalo limebeba historia ya moja kati ya viongozi hodari Tanzania.
Pia utaufahamu kwa AZIZ ALLY kutokana na wimbi la vijana wengi wa maeneo haya kwenda kuishi UGHAIBUNI katika kipindi cha miaka ya tisini mpaka elfu mbili.
Leo nimekupitisha hapa uweze kuona uzuri wa mitaa hii.
USISAHAU KUSUBSCRIBE KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE
#simbasc #travel #africa #beach #yangasc #tourism #streetfood #street #automobile

มุมมอง: 276
วีดีโอ
MBEZI-KARIAKOO via MAJI CHUMVI THE LONGEST DALADALA ROAD IN DAR ES SALAAM 🇹🇿 #simbasc #travel#africa
มุมมอง 33212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Dar es salaam ni miongoni mwa majiji makubwa Afrika lililobarikiwa utajiri wa usafiri wa umma ambao hutumiwa na wakazi wake kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Route moja wapo ambayo imenishangaza kwa umbali wake ni route ya MBEZI TO KARIAKOO kupitia maji CHUMVI. Route hii ilituchukua zaidi ya dakika 35 na kidogo bila foleni, fuatilia safari hii mpaka mwisho USISAHAU KUSUBSCRIBE KULIKE K...
KIMARA MWISHO DAR ES SALAAM EVERYTHING'S HAVE CHANGED 🇹🇿🥶 #simbasc #yangasc #travel #africa #mobile
มุมมอง 74916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hapa ni KIMARA MWISHO DAR ES SALAAM ni miongoni mwa maeneo maarufu sana jijini hapa, umaarufu wake unakuja kutokana na uwepo wa wakazi wengi wa mikoa ya kaskazini, lakini pia makanisa mengi kila pahala huku na huko na misikiti. Ukiwa KIMARA unaweza pia kujionea kituo cha mwendokasi cha kimara mwisho na upanuzi wa Barabara ya Morogoro kufikia njia nane. Ungana nami mpaka mwisho nikikupitisha mae...
TABATA SEGEREA DAR ES SALAAM STREET OF VIBES AND PRISON🇹🇿 #simbasc #simple #vibes #africa #beach
มุมมอง 47121 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hapa ni Tabata watu wengi wanapafahamu kama Tabata kwa wala bata ni sehemu maarufu sana jijini dar. Umaarufu wake unaletwa na hekaheka na uwepo wa gereza la SEGEREA. Leo nimepata wasaa wa kutembelea na kukupitisha katika sehemu mbalimbali za mji huu wenye hekaheka hasa usiku. Usisahau kusubscribe KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE #vibes #travel #smartphone #beach #africa
KARIAKOO THE CHEAPEST SMARTPHONE MARKET IN TANZANIA 2025🇹🇿 #simbasc #travel #africa #beach #africa
มุมมอง 355วันที่ผ่านมา
Hapa ni kariàkoo dar es salaam soko ambalo simu janja yaani smartphone ni bei rahisi Sana yaani ukiwa hapa unaweza kudhani upo Dubai au Guangzhou. Leo nimekuputisha katika mitaa hii uweze kujionea machimbo ya smartphone Kwa bei ya china yaani mwaka huu hautakiwi Kukosa simu janja kabisa. Usisahau kusubscribe KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE🇹🇿 #simbasc #travel #africa #mobilephone #tanzania #kariakoo ...
UPANGA MJI WA MWANZO MWANZO KUKALIWA NA MATAJIRI DAR ES SALAAM🇹🇿 #simbasc #beach #africa #yangasc
มุมมอง 65814 วันที่ผ่านมา
Upanga ni miongoni mwa miji ya mwanzo kuwahi kukaliwa na matajiri jijini Dar es salaam hii ni kutokana na ukweli kwamba mji huu haupo mbali na maeneo muhimu kama vile posta na Kariakoo lakini pia utulivu na amani inayopatikana maeneo haya. Leo nimekulitisha hapa uweze kuona uzuri wake, kuanzia mpangilio wa mitaa, Barabara na hata nyumba zake. Cha msingi USISAHAU KUSUBSCRIBE KULIKE KUKOMENT Happ...
ZAKHIEM SEHEMU MAARUFU ZAIDI NA YENYE PILIKA MBAGALA DAR ES SALAAM 🇹🇿 #simbasc #travel #africa #vlog
มุมมอง 38114 วันที่ผ่านมา
Ungana nami leo tukiangazia Mambo mazuri yanayopatikana Zakhiem MBAGALA, hakika pamebadilika sana watu wengi wanajihusisha na biashara. Usafiri pia ni wa uhakika kutokea kila pahala hakika Dar es salaam imebadilika Sana. Usisahau kusubscribe KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE #yangasc, #simbasc, #travel, #walkingtour, #slums #africanbeach #africa #african #afrique
KIBADA KIGAMBONI MJI WA MATAJIRI UNAOKUA KWA KASI ZAIDI DAR 🇹🇿 #simbasc, #travel, #yanga, #tourism
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
KIBADA KIGAMBONI ni miongoni mwa miji midogo inayopatikana katika wilaya ya kigamboni jijini Dar es salaam, mji huu ulijizolea umaarufu kutokana na uwepo wa embe tamu kiasi cha kusifika kila pahala ndani na nje ya Dar es salaam, wakazi wenyeji wa mji huu ni wandengereko na wazaramo huku na huko walikuwa wakijihusisha na kilimo cha mihogo, Nazi na uvuvi katika bahari ya Hindi. Leo nipo hapa kuku...
TEGETA NYUKI SEHEMU YA KUISHI NDANI YA DAR 🇹🇿 #simbasc, #travel, #smartphone, #africa, #vlog
มุมมอง 79321 วันที่ผ่านมา
Hapa ni TEGETA NYUKI jijini Dar es salaam mji wa watu wote Tazama mradi wa mwendokasi, malls na hata wafanyabiashara wadogo wadogo. Leo nipo hapa kukuonesha yote yanayopatikana hapa. Usisahau kusubscribe KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE. #simbasc, #travel, #smartphone, #mobilephone, #vlog, #yangasc, #cellphone, #tourism, azamtv
DODOMA JIJI LA KISERIKALI LINALOKUA KWA KASI ZAIDI🇹🇿 #simbasc, #travel, #city, #africa, #african
มุมมอง 75921 วันที่ผ่านมา
Hili ni jiji la Dodoma jiji ambalo linakuwa Kwa Kasi hasa baada ya serikali kuhamia rasmi hapa. Miundombinu ya jiji hili inazidi kuboreshwa kila siku huku na huko utaona Barabara mpya zikijengwa. Pia majengo marefu nayo yanazidi kushamiri jijini hapa. Leo nimekupitisha katika baadhi ya maeneo uweze kujionea uzuri wa jiji hili. USISAHAU, KUSUBSCRIBE KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE. #simbasc, #travel,...
FIRST DAY IN DODOMA CITY, CENTRE OF ALL GOVERNMENT ACTIVITIES IN 🇹🇿 #simbasc, #travel, #africa
มุมมอง 55328 วันที่ผ่านมา
Jiji la Dodoma ni jiji linalokua kwa kasi sana, nchini TANZANIA hasa ukizingatia kuwa ndio jiji la kiserikali pia ni jiji ambalo linamiliki chuo kikubwa sana Afrika mashariki na Kati. Leo nitakupitisha katika mitaa ya Katikati ya jiji hili. Usisahau kusubscribe, KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE tuzidi kukua zaidi. #simbasc #samsungiphone #yangasc #tourist #vlog #vlogger
MY FIRST IMPRESSION IN SGR TRAIN FROM DAR TO DODOMA 🇹🇿 #simbasc #travel #smartphone #vlog
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
Kongole kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Kwa kufanikisha Jambo hili, hakika mnastahili kupongezwa, sasa kutoka dar mpaka Dodoma ni mwendo WA kufumba na kufumbua tu macho alafu comfortability katika treni ni ya kiwango cha juu hauchoki. Changamoto zipo ili tukue hivyo katika changamoto zozote zinazoikumba treni yetu basi zisiturudishe nyuma Bali zitupe nguvu tuweze kuwa Bora zaidi...
KINONDONI THE MOST EXPENSIVE SWAHILI NEIGHBORHOOD IN DAR 🇹🇿 #simbasc #travel #smartphone #africa #yt
มุมมอง 931หลายเดือนก่อน
Hapa ni kinondoni jijini dar, moja kati ya eneo maarufu sana kutokana na umashughuli wake na hekaheka za watu wake. Ukiwa hapa utaona maduka mengi ya kisasa huku na huko bustani za kupumzika na MICHEZO ya watoto. Pia eneo hili ni miongoni mwa maeneo ya waswahili ambayo ni gharama sana kuishi. Leo nitakutembeza hapA uweze kushujudia uzuri wake. Usisahau Kusubscribe KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE. #y...
SINZA DAR ES SALAAM MITAA YA WAJANJA WA MJINI🇹🇿 #simbasc, #yangasc, #diamond #diamondplatnumz #yt
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
Sinza dar es salaam ni moja kati ya maeneo maarufu sana jijini Dar es salaam, umaarufu wake unatoka na uwepo wa maduka ya kisasa. Pia ni eneo ambalo celebrities wengi yaani watu maarufu wa tasnia wanapenda kutembelea. Ungana nami Leo nikikuonesha uzuri wake USISAHAU KUSUBSCRIBE KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE #simbasc #yangasc #smartphone #travel #africa #mobilephone #mobilephone #tourist #cellphone...
BUGURUNI ILALA DAR ES SALAAM STREET OF INHABITANTS 🇹🇿 #simbasc #yangasc #africa #tourist
มุมมอง 678หลายเดือนก่อน
Hapa ni buguruni nyumbani kwa wenyeji wa jiji la Dar es salaam tizama soko la matunda na mitumba. USISAHAU KUSUBSCRIBE KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE ili upate video zangu Kwa haraka. #simbasc #travel #smartphone #mobilephone #technology #yangasc
MTONI KIJICHI THE MOST UNDERRATED COOLEST RICHEST NEIGHBOURHOOD IN DAR 🇹🇿 @mshanatheblacksmith
มุมมอง 579หลายเดือนก่อน
MTONI KIJICHI THE MOST UNDERRATED COOLEST RICHEST NEIGHBOURHOOD IN DAR 🇹🇿 @mshanatheblacksmith
TANDIKA SOKONI DAR ES SALAAM SOKO LA PILIKAPILIKÀ🇹🇿 #simbasc, #africa, #walkingtour #yangasc#yanga
มุมมอง 868หลายเดือนก่อน
TANDIKA SOKONI DAR ES SALAAM SOKO LA PILIKAPILIKÀ🇹🇿 #simbasc, #africa, #walkingtour #yangasc#yanga
KARIAKOO MARKET DAR ES SALAAM EVERYONE IS BUSY🏄 #simbasc, #travel, #smartphone, #africa, #yangasc
มุมมอง 568หลายเดือนก่อน
KARIAKOO MARKET DAR ES SALAAM EVERYONE IS BUSY🏄 #simbasc, #travel, #smartphone, #africa, #yangasc
JANGWANI NA UPANGA MITAA YA ELIMU, AFYA NA MICHEZO DAR ES SALAAM. #simbasc #africa #smartphone, #yt
มุมมอง 451หลายเดือนก่อน
JANGWANI NA UPANGA MITAA YA ELIMU, AFYA NA MICHEZO DAR ES SALAAM. #simbasc #africa #smartphone, #yt
KIGAMBONI DARAJANI MITAA TULIVU DAR ES SALAAM 🇹🇿 #simbasc, #technology #africa #travel
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
KIGAMBONI DARAJANI MITAA TULIVU DAR ES SALAAM 🇹🇿 #simbasc, #technology #africa #travel
CHAMAZI MBANDE MIDDLE AND LOWER INCOME FAMOUS NEIGHBOURHOOD IN DAR ES SALAAM 🇹🇿 #simbasc,#africa
มุมมอง 539หลายเดือนก่อน
CHAMAZI MBANDE MIDDLE AND LOWER INCOME FAMOUS NEIGHBOURHOOD IN DAR ES SALAAM 🇹🇿 #simbasc,#africa
THIS IS AFRICA: MKAPA STADIUM THE NEW WEMBLEY IN DAR ES SALAAM #football, #smartphone, #caf
มุมมอง 501หลายเดือนก่อน
THIS IS AFRICA: MKAPA STADIUM THE NEW WEMBLEY IN DAR ES SALAAM #football, #smartphone, #caf
KIGAMBONI FERRY ZANZIBAR NDANI YA DAR 🇹🇿 #simbasc, #africanbeach, #smartphone, #travel
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
KIGAMBONI FERRY ZANZIBAR NDANI YA DAR 🇹🇿 #simbasc, #africanbeach, #smartphone, #travel
CHUO LIFE CHALLENGE SIKILIZA MAJIBU YA WANAFUNZI WA CBE NA TIA INAFURAHISHA SANA#simbasc#university
มุมมอง 2392 หลายเดือนก่อน
CHUO LIFE CHALLENGE SIKILIZA MAJIBU YA WANAFUNZI WA CBE NA TIA INAFURAHISHA SANA#simbasc#university
MBAGALA RANGI TATU KARIAKOO MPYA NDANI YA DAR ES SALAAM🇹🇿 #simbasc, #tourism, #vlog, #downtown
มุมมอง 6662 หลายเดือนก่อน
MBAGALA RANGI TATU KARIAKOO MPYA NDANI YA DAR ES SALAAM🇹🇿 #simbasc, #tourism, #vlog, #downtown
CHUO CHALLENGE NINI MAANA YA PDF UTACHEKA MAJIBU YAO😂. #simbasc, #university, #universitylife, #yt
มุมมอง 1082 หลายเดือนก่อน
CHUO CHALLENGE NINI MAANA YA PDF UTACHEKA MAJIBU YAO😂. #simbasc, #university, #universitylife, #yt
THIS IS DAR ES SALAAM: MAWASILIANO SIMU 2000 KILA KITU KIMEBADILIKA TAZAMA MADUKA, RESTAURANT ETC🇹🇿
มุมมอง 5602 หลายเดือนก่อน
THIS IS DAR ES SALAAM: MAWASILIANO SIMU 2000 KILA KITU KIMEBADILIKA TAZAMA MADUKA, RESTAURANT ETC🇹🇿
VLOG TO JNICC KWENYE HAFLA YA UTOAJI TUZO KWA VIJANA WA KIISLAM DAR ES SALAAM TAZAMA 🇹🇿 #youth
มุมมอง 1052 หลายเดือนก่อน
VLOG TO JNICC KWENYE HAFLA YA UTOAJI TUZO KWA VIJANA WA KIISLAM DAR ES SALAAM TAZAMA 🇹🇿 #youth
KIJAZI UBUNGO INTERCHANGE TO UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM 🇹🇿 THE NEW CAMBRIDGE OF AFRICA. #university
มุมมอง 4292 หลายเดือนก่อน
KIJAZI UBUNGO INTERCHANGE TO UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM 🇹🇿 THE NEW CAMBRIDGE OF AFRICA. #university
Coco beach new Ibiza in Dar es salaam 🇹🇿 @mshanatheblacksmith #africa #beach #beachlife #travel
มุมมอง 8502 หลายเดือนก่อน
Coco beach new Ibiza in Dar es salaam 🇹🇿 @mshanatheblacksmith #africa #beach #beachlife #travel
Mtembezi
Kivule ndugu yangu usisahau
Soon
Mitaa naijua kindakindaki
Nakufatilia nikiwa dubai nafurahi sana naisi nipo tz safi sana brother tupo pamoja sana
Tutajitahidi kufika kila sehemu
Umefany vizuri san 🙏🙏
Nakubal san saiv tupeleke tandika uswalin 🙏🙏
Tayari video ipo chini huko
Nakubal 💪
Tupeleke manzese mburahati
Tuangoma
Baki nasi tutafika kila pahala ndani na nje ya dar
Mimi napatikana dubai ila iyo mitaaa naijua mno
Dar inabadilika kila siku
Nawafatilia nikiwa dubai Al rashidiyya Street nakumbuka 1988 uwanja wa TP ikinyesha mvu uwanja wote tope tupo
Sasa hivi wameboresha kuna park
Bro siku ingine tupeleke manzese midizini
Poa poa
Mimi nipo dubai brother
Pamoja kaka
@@navigatorchinduli2699 pamoja sana
Nakukubali brother najiisi nipo uko maana mmi nipo dubai nakufatilia sana
Ndo mitaa yako hii kwa azizi ally nini
🔥🔥🔥🔥
😂😂
Navigator chinduli
❤❤❤❤❤
Tupelek kwa aziza Ali mutongan
Soon kaka
🇹🇿💓
TUPO PAMOJA
Navigator 💥💥💥💥
❤
Chinduli
Kaka i love your videos cuz it takes me all over Tanzania i am in America and I need to see Tanzania cuz am not there physically But your camera is always shaking so try and fix that please cuz I love watching your videos 💙🎉🎉🎉
Thanks for the feedback, I'll work on the camera shake in future videos.
Nimelichukua na nalifanyia kazi Mambo mazuri yanakuja
❤❤❤❤ tupeleke
Kuna UTI uko 😂
Tusisahau kusubscribe ❤❤❤❤
Please speak some English, some of us we come from nun swahili speaking countries, especially numbers those elefu mbili i can't understand them
Ok I will make English video for non Swahili audience
Chinduli
Tupeleke
Woi woi
❤❤❤
❤❤
Tupelek siza boss
Sinza tayari angalia video zingine hapo chini
Tupolek siza boss 🙏🙏
Nikuzulidalesalamu
So Amazing
2025
😂😂😂
Mitaa imetulia sana io
Tupeleke❤❤❤❤
Iko poa sana🔥🔥🔥💯
Pamoja
Nmeona tu barabara,,, hujatuonyesha mitaa ilivyo na majengo ya huko ya livyo🚮🚮🚮
Part two
Na ka mvua flani hv
Niko mbali na mji na furahi sanaa nipo mkoa nakuona unavonipa rahaa kama nipo mjini.
Tuendelee
❤❤
❤❤❤
safi kabisa
Mzuri sana kweli