- 58
- 892 509
MFALME MSAGA SUMU
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 28 ธ.ค. 2017
MSAGA SUMU ni mtunzi na mwimbaji wa mziki wa SINGELI anayefanya vizuri kutoka Tanzania, , kwa sasa ni mmoja kati ya wanamuziki wenye mafanikio makubwa nchini Tanzania, huku nyimbo zake kadhaa zikifika kilele cha chati mbalimbali za muziki nchini humo na katika bara zima la Afrika. Wimbo wake wa ACHI MENENGULE ulitawala chati nyingi katika nafasi ya juu nchini KENYA na kuwa mojawapo ya nyimbo zilizofanikiwa nchini Kenya, ningetamani ingefikisha Mitiririko milioni 20 kwenye Majukwaa yote ya Kidijitali kufikia 2022. Kwa sasa, MSAGA SUMU amesainiwa chini ya Lebo ya VINONDO MUSIC
MSAGA SUMU - VIKOBA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Artist: Msaga Sumu
Official Channel
Singeli Musician
Msaga Sumu Og
Msaga Sumu Singeli
Mfalme Msaga Sumu
#Singeli
Mfamle wa singeli msaga sumu
signed under #VINONDOMUSIC
Booking: +255718 776 463
+255789 231 717
Email:vinondomusic@gmail.com
Official Channel
Singeli Musician
Msaga Sumu Og
Msaga Sumu Singeli
Mfalme Msaga Sumu
#Singeli
Mfamle wa singeli msaga sumu
signed under #VINONDOMUSIC
Booking: +255718 776 463
+255789 231 717
Email:vinondomusic@gmail.com
มุมมอง: 14 679
วีดีโอ
MSAGASUMU SHOO YA MWENGE BUKOBA MJINI
มุมมอง 5312 หลายเดือนก่อน
MSAGASUMU SHOO YA MWENGE BUKOBA MJINI
MSAGA SUMU-KIREDIO-OFFICIAL AUDIO
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
Kiredio Official Music Audio Artist: Msaga Sumu #SingeliMusician Msaga Sumu Og Msaga Sumu Singeli Mfalme Msaga Sumu #Singeli Mfamle wa singeli msaga sumu signed under #VINONDOMUSIC Booking: 255718 776 463 255789 231 717 Email:vinondomusic@gmail.com
Msaga Sumu ft Njaka-Mchawi Wewe-Official Audio
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
Artist: Msaga Sumu Official Channel Singeli Musician Msaga Sumu Og Msaga Sumu Singeli Mfalme Msaga Sumu #Singeli Mfamle wa singeli msaga sumu signed under #VINONDOMUSIC Booking: 255718 776 463 255789 231 717 Email:vinondomusic@gmail.com
Msaga Sumu Amfunika dimond tabora aondoka na kijiji
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
Msaga Sumu Amfunika dimond tabora aondoka na kijiji
Msaga Sumu - CCM (Official Audio)
มุมมอง 4.5Kปีที่แล้ว
Artist: Msaga Sumu Official Channel Singeli Musician Msaga Sumu Og Msaga Sumu Singeli Mfalme Msaga Sumu #Singeli Mfamle wa singeli msaga sumu signed under #VINONDOMUSIC Booking: 255718 776 463 255789 231 717 Email:vinondomusic@gmail.com
Msaga Sumu Kiki Official Audio
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
Artist: Msaga Sumu Official Channel Singeli Musician Msaga Sumu Og Msaga Sumu Singeli Mfalme Msaga Sumu #Singeli Mfamle wa singeli msaga sumu signed under #VINONDOMUSIC Booking: 255718 776 463 255789 231 717 Email:vinondomusic@gmail.com
Msaga Sumu-Kiki-(Official Video)
มุมมอง 31Kปีที่แล้ว
Artist: Msaga Sumu Official Channel Singeli Musician Msaga Sumu Og Msaga Sumu Singeli Mfalme Msaga Sumu #Singeli Mfamle wa singeli msaga sumu signed under #VINONDOMUSIC Booking: 255718 776 463 255789 231 717 Email:vinondomusic@gmail.com
Msaga Sumu - Mama Samia (Officia Audio)
มุมมอง 3.8K2 ปีที่แล้ว
Msaga Sumu - Mama Samia (Officia Audio)
MSAGA SUMU - MAMBO BADO (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 75K2 ปีที่แล้ว
MSAGA SUMU - MAMBO BADO (OFFICIAL VIDEO)
SINAGA MBAMBAMBA - MSAGA SUMU FT ZUNGU MACHA (official video)
มุมมอง 15K2 ปีที่แล้ว
SINAGA MBAMBAMBA - MSAGA SUMU FT ZUNGU MACHA (official video)
unajua sana king of singeli
Asante❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma kubwa 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
Sumuuuuuuuuuuuuuuuu
#kweri msaga asaivi umeisha wimbo auna mashair mazul wala vina
Nakukubal mfalmle wa singel
Safi iyo
Master of singeli Msaga sumu like kwa wingi kwake
Baarrr LA mtuu mziimaa hrii
Kazi
apo nakumbuka song la POPO NANI👏👏
hiii ndio manaa ya singeri
Noma❤❤
Kabali yaooo
ACHA MZIKI ANZA KURUDI KWA MUNGU TUBU KAKA DUNIA IMEISHA 😮😮
Acha uongo wako hii Dunia haiwezi kuisha binadamu ndo wanaoishia
@omarypetro3207 UNGEKUWA MUISLAM USINGEJIBU HIVO MAZALI HUNA DINI BASI
Uyu hata kujipata bado unataka aache mziki mbna akina mond uwaambi
Umekaa kimya mda mrefu ,watoto wadogo watakuzoea baba. Sikupingi mbona kitambo sana nakukubali
Wew achatu
Bg up mawaga Unatisha kwa single za hisia.
Bg up
Weka like hapa ❤🎉🎉
Mkubwa hakosej mazee wewe ni nooooma saaana kwenye singeli
Bigpu msga
Hakika wewe ndio mfalme wa singeli mzee baba
#alikua zaman asaiv hakuna kitu
@zachaamaster5378 Kwa anaejua historia ya singeli hawezi kumshishia heshima huyu mwamba ndio mwanzilishi wa Singeli
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Vikoba by msaga sumu ni ngoma kali mno umetisha sana 🔥🔥🔥💪
Nakubali
Welcome back msagasum
Ngoma kali
Umetisha
Mm binafs namkubali sana msaga sumu toka 2014❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥
𝙈𝙨𝙖𝙜𝙖 𝙨𝙪𝙢𝙪 𝙖𝙠𝙪𝙣𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙬𝙬
𝙉𝙜𝙤𝙢𝙖 𝙠𝙖𝙡𝙞𝙨𝙖𝙣𝙖𝙖
𝙉𝙖𝙠𝙪𝙗𝙖𝙧𝙞
Huyu ndo mfalme sasa👏👏👏🙌
Mbona kama najiona hapo sokoni
@NamaaAntoni 😁😁😂 huenda ni wewe
@raphaelnyigo8740 kweri kabisa 🤣🤣
Nice
Mfalume
Mfalume wa singeliiiiiii
❤
Msanii wangu pendwa
I love the Song from Mombasa
Yohoooo @wizzyk2ga
Sio pow kabisa apo @wizzyk2ga
❤❤❤❤2024
For real 👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🤙🏾🤙🏾🤙🏾🤙🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾
Nakukubali msaga sumu
Msaga unajua kaka
Mfalme wa Singeli..nakumbuka nimewahi fanya naye kazi ktk Mwenge Mlimba, Ifakara na Gairo alikuwa ndiye anakamilisha mkesha anaweza kuimba masaa matano na watu wasikae chini, sisi wa uswahilini wewe utabaki kuwa mfalme!!