Nyie watu Mbarikiwe mnoooo mpaka mshangae aseee 💋💞😍. Mungu asiwaache kwa kuitenda kazi yake. Nawapenda mnooo,mnanibariki saaaanaaaaaa. Hakika nakutana na nguvu ya Mungu niwaonapo na nickizapo kazi zenu zenye utukufu wa Mungu. Mungu asiwaache kamwe, azidi kuwatumia kwa utukufu wake 🙏
Mungu awabariki na kuwatangulia pia kuwainua viwango hadi viwango kwa utukufu wa jina lake 🙏 . Kazi zenu nzuri mnooo,. Nabarikiwa sana kila nickizapo kazi zenu
Mubarikiwe sanaa
Bado siamin hta...Tunakuombea uendelee kupumzka kwa aman kaka
2024 tar 21 ya leo nmewamiss sana jmn Mungu awatie nguv Popote mlipo r I P brother tofa Amenye kyala kuno uliko
Daaah bdo upo mioyoni mwe2....rest easy bro chriss
Umenibariki Sana huu wimbo
Rip bro tofaa micc u so much kwakweli 😭😭😭😭😭😭
Brother Mungu akupokee huko uliko
So sad kwel hii ni Faraja
Nawapenda yan
Mungu awainue sana
Rip Christopher 😭😭😭😭🙏
Amina mubarikiwe Sana🙏🙏
Powerful message to all of us:
Barikiwa sana
Nyie watu Mbarikiwe mnoooo mpaka mshangae aseee 💋💞😍. Mungu asiwaache kwa kuitenda kazi yake. Nawapenda mnooo,mnanibariki saaaanaaaaaa. Hakika nakutana na nguvu ya Mungu niwaonapo na nickizapo kazi zenu zenye utukufu wa Mungu. Mungu asiwaache kamwe, azidi kuwatumia kwa utukufu wake 🙏
Mungu awabariki na kuwatangulia pia kuwainua viwango hadi viwango kwa utukufu wa jina lake 🙏 . Kazi zenu nzuri mnooo,. Nabarikiwa sana kila nickizapo kazi zenu
Wa kwanza mm; Mungu azidi kuwainua viwango hadi viwango ktk utumishi wenu