Augustine James
Augustine James
  • 21
  • 29 604
TAZAMA MPAKA MWISHO KUNA LA KUJIFUNZA
ZABURI 81:1-2
Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha,Mshangilieni Mungu wa Yakobo. 2Pazeni zaburi, pigeni matari,
Kinubi chenye sauti nzuri, na kinanda
มุมมอง: 195

วีดีโอ

IPI MAANA SAHIHI YA KUNENA KWA LUGHA KATIKA KANISA..?????
มุมมอง 3143 ปีที่แล้ว
anenae kwa Lugha na aombwe aweze kutafsiri! Maana hata mitume wa Yesu walinena lugha zinazofahamika!!! KWA nini leo tusisikie MZUNGU akinena kimasai? KWA nini leo tusisikie mswahili akinena kihindi? KWA nini leo Tusimsikie mfaransa akinena Kisukuma kanisani?
UBANI NA MISHUMAA WAKATI WA MISA VINA MAANA GANI
มุมมอง 1.6K3 ปีที่แล้ว
UBANI NA MISHUMAA WAKATI WA MISA VINA MAANA GANI
JE, NI KWELI KUWA KANISA KATOLIKI LINAMTUKUZA PAPA!????? (ijue mamlaka ya papa hapa)
มุมมอง 8073 ปีที่แล้ว
JE, NI KWELI KUWA KANISA KATOLIKI LINAMTUKUZA PAPA!????? (ijue mamlaka ya papa hapa)
(PEPO LA UZINZI LINAVYOUTAFUNA ULOKOLE) MCHUNGAJI WA KILOKOLE AMEOA WAKE ZA WATU!!
มุมมอง 3063 ปีที่แล้ว
FUNZO 👆🏻 👉[1Yohana 4:1] Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 👉[2Wakorintho11:14] Hilo halitushangazi sisi, kwa sababu hata Shetani mwenyewe hujigeuza na kujifanya kuwa malaika wa nuru. 👉[Hosea 4:5-6] 5Na wewe utajikwaa wakati wa mchana, na nabii naye atajikwaa pamoja nawe wakati wa usiku; nami n...
JE, MISA ZA MAREHEMU NA RITANIA ZA WATAKATIFU NI IBAADA ZA KIMIZIMU?
มุมมอง 4313 ปีที่แล้ว
JE, MISA ZA MAREHEMU NA RITANIA ZA WATAKATIFU NI IBAADA ZA KIMIZIMU?
JE, JUMATANO YA MAJIVU NI IBAADA YA KIPAGANI???
มุมมอง 4413 ปีที่แล้ว
JE, JUMATANO YA MAJIVU NI IBAADA YA KIPAGANI???
JE, WAKATOLIKI HUABUDU SANAMU SIKU YA IJUMAA KUU? (Sehemu ya pili) part 2
มุมมอง 1.2K3 ปีที่แล้ว
JE, WAKATOLIKI HUABUDU SANAMU SIKU YA IJUMAA KUU? (Sehemu ya pili) part 2
NI KWELI KANISA KATOLIKI LINAABUDU SANAMU? (sehemu ya kwanza) part 1
มุมมอง 17K3 ปีที่แล้ว
NI KWELI KANISA KATOLIKI LINAABUDU SANAMU? (sehemu ya kwanza) part 1
KWA NINI NDOA NYINGI HAZIDUMU (Sakramenti ya Ndoa) part 2
มุมมอง 1693 ปีที่แล้ว
KWA NINI NDOA NYINGI HAZIDUMU (Sakramenti ya Ndoa) part 2
SAKRAMENTI YA NDOA (Ni wito na Utume) part 1
มุมมอง 1543 ปีที่แล้ว
SAKRAMENTI YA NDOA (Ni wito na Utume) part 1
Ni kwa nini mapadre hawaoi? (SAKRAMENTI YA UPADIRISHO/DARAJA TAKATIFU)
มุมมอง 2.1K3 ปีที่แล้ว
Ni kwa nini mapadre hawaoi? (SAKRAMENTI YA UPADIRISHO/DARAJA TAKATIFU)
SAKRAMENTI YAMPAKO WA WAGONJWA NI AGIZO LA NANI?
มุมมอง 1473 ปีที่แล้ว
SAKRAMENTI YAMPAKO WA WAGONJWA NI AGIZO LA NANI?
JE, SAKRAMENTI YA KITUBIO INAHAMASISHA DHAMBI?
มุมมอง 8064 ปีที่แล้ว
Sakramenti ya KITUBIO ni Sakramenti ya lazima KWA Mkristo YOYOTE Yule! maana hakuna aliyemkamilifu! Hata Yesu Kristu mwenyewe alikataa kuitwa Mwalimu mwema akasema "KWA nini kuniita mwema? hakuna Alie mwema bali Mungu baba pekee!" Binadamu KUSEMA ameokoka hawezi kutenda dhambi ni ufarisayo maomboleo! Maana bado neno la Mungu linasema "Ingawa roho Idhahiri lakini mwili ni dhaifu"
SAKRAMENTI YA KIPAIMARA NI FUNDISHO LA KIPAGANI?
มุมมอง 9014 ปีที่แล้ว
SAKRAMENTI ya kipaimara Ni ishara ya kiroho ambayo hufanyika Neema KWA anaeipokea! hivyo kumfanya MUUMINI kuwa mfuasi kamili na askari hodari wa Yesu Kristo!! tunapompokea Roho Mtakatifu KUPITIA kipaimara(uimarisho) hutujaalia mapaji, Vipawa, au karama mbalimbali ambazo ni 1:Nguvu 2:Elimu 3:Akili 4:Ibaada 5:shauri 6:uchaji wa MUNGU 7:Hekima
JE, DIVAI AU MVINYO NI SAHIHI KUTUMIKA KANISANI?(EKARISTI TAKATIFU sehemu ya pili- part: 2)
มุมมอง 2.1K4 ปีที่แล้ว
JE, DIVAI AU MVINYO NI SAHIHI KUTUMIKA KANISANI?(EKARISTI TAKATIFU sehemu ya pili- part: 2)
EKARISTI TAKATIFU (COMMUNION) NI AGIZO LA NANI?
มุมมอง 1354 ปีที่แล้ว
EKARISTI TAKATIFU (COMMUNION) NI AGIZO LA NANI?
NI UPI UBATIZO KAMILI???? (WA MAJI MENGI AU MACHACHE)
มุมมอง 6714 ปีที่แล้ว
NI UPI UBATIZO KAMILI???? (WA MAJI MENGI AU MACHACHE)
JE, KANISA KATHOLIKI LINAPINGA WOKOVU??? sehemu ya pili (PART 2)
มุมมอง 1084 ปีที่แล้ว
JE, KANISA KATHOLIKI LINAPINGA WOKOVU??? sehemu ya pili (PART 2)
JE KANISA KATOLIKI LINAPINGA WOKOVU??? (Sehemu 1)part 1
มุมมอง 2264 ปีที่แล้ว
JE KANISA KATOLIKI LINAPINGA WOKOVU??? (Sehemu 1)part 1
MKATOLIKI ANASADIKI NINI KATIKA IMANI YAKE???
มุมมอง 1204 ปีที่แล้ว
MKATOLIKI ANASADIKI NINI KATIKA IMANI YAKE???

ความคิดเห็น

  • @AgripaMugala-sq5vf
    @AgripaMugala-sq5vf 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Kuna utofuti

  • @yovithaobed9954
    @yovithaobed9954 7 หลายเดือนก่อน

    Tunaabudu wokovu uliotundikwa juu ya msalaba na siyo kuabudu sanamu. Hatutakatishwa tamaa na watu wasioelewa maana ya familia yetu ya yesu kristo, yeye ndo anajua tunachokifanya.

  • @KageraTanzania
    @KageraTanzania ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa mafundisho haya, tatizo lao wanatabia ya kusoma mstari tu na kuwapotosha watoto wa MUNGU

  • @KageraTanzania
    @KageraTanzania ปีที่แล้ว

    Kweli wakatoliki tunapotoshwa kwasababu ya kutojua imani yetu BARIKIWA sana mtumishi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 ปีที่แล้ว

    Mti wenye matunda hupondwa na makota hata mawe,nashukuru ee baba Kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili ukawafunulia watoto wachanga

  • @stephanomaduhu5426
    @stephanomaduhu5426 ปีที่แล้ว

    Waaabudu sanamu

  • @alphoncetemu9859
    @alphoncetemu9859 ปีที่แล้ว

    Kabisa la kweli ni katoliki, hayo mengine tiamaji tiamaji, siasa tupu, hawana litrujia ya kweli

  • @ElinoraDaudi
    @ElinoraDaudi ปีที่แล้ว

    Ubani ni nn jamani naombeni kujua

  • @DianaMbululo
    @DianaMbululo ปีที่แล้ว

    Ni nani aliye waruhusu kutumia sanam nyie? Ikiwa Mungu kakataza?

    • @yovithaobed9954
      @yovithaobed9954 7 หลายเดือนก่อน

      Mpaka hapo hujui maandiko ila umekalili mashairi na kelele za mchungaji wako.

  • @DianaMbululo
    @DianaMbululo ปีที่แล้ว

    Imeandikwa usijifanyie sanam ya kuchonga, na pia sheria ya BWANA haibadiliki zaburi 89:34

  • @costatesha4510
    @costatesha4510 ปีที่แล้ว

    Dahhh ni ukwel kabisa kanisa katoliki ni Safi,sema shetani anatumia uzuri wake kupotosha watu...enyi ulimwengu sikieni ukweli msiwe wagumu

  • @luchiusmwijage2863
    @luchiusmwijage2863 ปีที่แล้ว

    hata wanaosema tunaabudu sanam wanaabudu wamejfcha kwa waganga na matambiko yao huko lakin hawajion

  • @Unceasing-prayers
    @Unceasing-prayers ปีที่แล้ว

    Hayo maneno utayasema siku hiyo

  • @Sila-y8t
    @Sila-y8t ปีที่แล้ว

    Asant sana nimefamu kapisa shukurani

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 ปีที่แล้ว

    Kama tunaheshimu bendera ya nchi, kwani ni tunaiabudu? Wakatoliki hatuabudu sanamu. Uzuri mmojawapo wa wakatoliki hatuhangaiki na madhehebu mengine wanafanyaje ibada. Lakini nyie wa madhehebu mnahangaiiiiika na namna tunavyokuwa karibu na Mungu. Hatuhangaiki na mwislamu wala mprotestant wala mlokole. Tuko wenyewe na Mungu Baba katika nafsi tatu na sanamu zetu ambazo hatuziabudu bali tunaziheshimu na kuvuta hisia kutuleta karibu na Mungu.

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 ปีที่แล้ว

    1KOR.6:9-10"AU HAMJUI YA KUWA WADHALIMU HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU?MSIDANGANYIKE; WAESHARATI HATAURITHI UFALME WA MUNGU,WALA WAABUDU SANAMU,WALA WAZINZI,WALA WAFIRAJI,WALA WALAWITI,WALA WEVI,WALA WATAMANIO,WALA WALEVI,WALA WATUKANAJI WALA WANYANG'ANYI!"

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 ปีที่แล้ว

    1YOHANA5:21"WATOTO WADOGO JILINDENI NAFSI ZENU NA SANAMU!"

    • @JacobMsuya-e2p
      @JacobMsuya-e2p ปีที่แล้ว

      Kujilindaje, maana sanamu haiwezi kukufata na kukudhuru? Usisome biblia hovyo, Tito,3:5" hata bila kuchonga unaweza ukawa muabudu sanamu nayo unasemaje?

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

      Unajichosha Sana kumfungulia maandiko mkatoliki maana waloma hawaitaki hiyo bibilia wanajifunza Neno ili kujenga hoja za kulipinga Neno Kwa hekima hata ushoga wanaukubali na kuunga mkono Kwa hekima

  • @LihnaMery
    @LihnaMery ปีที่แล้ว

    Ahsante San mtumishi wa mungu maan kwel wakatolik tunadharauliwa at tunaabudu sanamu mmh kwel mungu anawaona hao ambao wanasem sisi tunaabudu sanamu

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry ปีที่แล้ว

    sasa rafiki unatetea hoja au unapiga madogo bado hujatulia kaa kwenye line alafu tufundishe

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn ปีที่แล้ว

    Zitambueni njia anazo tumia shetani kuteka watu ,hizi zote ni njia za shetani ni nani aliye tumia kileo hata akasimama sawa sawa kwenye njia yaYesu?

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn ปีที่แล้ว

    Kwanini mwakumbatia anasa ambazo humo shetani huteka watu?

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn ปีที่แล้ว

    Shetani hatuwezi kumshinda kizembe kiasi hiki kwani ukitumia kileo ni lazima upotoke, kwani mtu aliyekuwa mlevi wa kutupwa akikutana na mafundisho haya je,hatarudi kuwa mateka wa ibilisi?shetani siyo wa kumshinda kilegevu hivi, acheni kukumbatia anasa tubuni mkasimame imara kumpinga shetani

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 ปีที่แล้ว

    Sanamu linatoka italy linanunuliwa hi hatari kwa wazungu dhambi

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 ปีที่แล้ว

    Hamira inalewaesha hata kama inauchachu hulewi inayo katazwa kwa kua inapoteza akili na kua fujo au kuua au kubaka ndio imekatzwa pia hasara unapoteza pesa ndio ikaharamishwa sio mandazi duh hata yesu ni zabibu sio kilevi nabee haezi kunywa pombe unamwambia mtu anywe kiasi ndio mana bar nyingi

  • @anodsimbeye9093
    @anodsimbeye9093 ปีที่แล้ว

    Umesema ukeli kabisa imebaki kwa wagumu vichwa Namwokozi wetu yesu Kiristo akuongezee siku Amina

  • @anodsimbeye9093
    @anodsimbeye9093 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @jifunzekatekesikatekisimu6599
    @jifunzekatekesikatekisimu6599 ปีที่แล้ว

    ❤💯

  • @heriswidanjau5550
    @heriswidanjau5550 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu kwa kuzaliwa na wazazi wakatoliki. Naomba wakatoliki tusiyumbishwe na kelele za vyura

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 ปีที่แล้ว

    Acheni ukafiri nyie .. acheni hizo ibada za sanam mbwakoko nyie

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 ปีที่แล้ว

    Mnaabudu masanamu makafiri nyie

  • @paulglen3882
    @paulglen3882 ปีที่แล้ว

    Ushindwe kabisa

  • @paulglen3882
    @paulglen3882 ปีที่แล้ว

    Uliskia wapi

  • @biblicalchristianassemblies
    @biblicalchristianassemblies 2 ปีที่แล้ว

    Utoto

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 2 ปีที่แล้ว

    Sanamu Yeyote Imekatazwa. Fasiri yako haina vigezo

  • @britonbirashabaga1522
    @britonbirashabaga1522 2 ปีที่แล้ว

    Kweli nimejufunza kitu

  • @antoneta628
    @antoneta628 2 ปีที่แล้ว

    Ivy

  • @elvis_okerio
    @elvis_okerio 2 ปีที่แล้ว

    Mbona sanamu ya msalaba na sanamu ya maria husujudiwa?

  • @julianamwagike994
    @julianamwagike994 2 ปีที่แล้ว

    Najivunia Sana kuwa mkatoriki🙏🙏🙏🙏

  • @marthamanasseh4237
    @marthamanasseh4237 2 ปีที่แล้ว

    Mungu hana dini. Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Wokovu ni Mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu. Pia Mungu anawatafuta watu watakaomwabudu Mungu ktk Roho na kweli.

  • @emmanueljoseph8007
    @emmanueljoseph8007 2 ปีที่แล้ว

    Uje Kansas katoliki

  • @noelamwinuka4393
    @noelamwinuka4393 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @dasilvajr9647
    @dasilvajr9647 2 ปีที่แล้ว

    Wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii

  • @erickkimaro5282
    @erickkimaro5282 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini Baba mtakatifu anavaa Pete na anavaamkono wakuume sisi tunavaamkono wakushoto?.

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 2 ปีที่แล้ว

    Msingi wa imani unatoka kwenye neno la Mungu ,hata hiyo kutoka 20 inaenda mbali sana kusema usifananishe na kitu chochote cha mbinguni wala duniani,zile sanamu ni mfano wa watakatifu wa mbinguni na Yesu mwenyewe,pia siku ya ibada ya ijumaa kuu kuna wimbo unasema "huu ndio mti wa msalaba ,njoni,njoni tuabudu,"hii moja pia kuna kubusu msalaba .kubusu ni unyenyekevu wa hali ya juu sana kwenye sanamu .Heshima ya sanamu imetoka wapi,kwenye msingi upi, mtu unapoingia kanisani unapiga goti kuelekea either ule msalaba mbele au sakristia hii kama sio ibada ni nini,.Siku ya Xmas pango la mtoto Yesu siku hizi unapeleka na sadaka kabisa kwenda kumlaii mtoto yesu.ibada yoyote inakamilishwa na sadaka.Mara kuna groto watu wanaenda wanapiga goti wanafanya ibada au maombi mbele ya sanamu ya bikira Maria .hii ni ibada manake umefananisha sanamu na bikira Maria aliyeko mbinguni wakati hata hiyo kutoka imekataa

  • @baerezeebatambue3102
    @baerezeebatambue3102 2 ปีที่แล้ว

    Ukipiga tu magoti mbele ya Sanam ya picha muiitayo yesu na msalaba ni kuiabufu Tisha,nyie tunawajua wadanganye tu.

  • @fredlyimo1263
    @fredlyimo1263 2 ปีที่แล้ว

    Amina sana, asante sana, barikiwa sana.

  • @Medics987
    @Medics987 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Ila sikio la kufa halisikii dawa

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi kwa kuanzisha hii channel

  • @bahatiluck8640
    @bahatiluck8640 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa Mafundisho haya kwani nimejifunza na kunitia nguvu ya kuweza kujibu kama nikikutana na swali kama hili. KRISTO.

  • @markokanyika874
    @markokanyika874 2 ปีที่แล้ว

    Acheni kusujudia sanam msujudie bwana mungu peke yake