- 479
- 219 356
ELCT KONDE TV
เข้าร่วมเมื่อ 29 ธ.ค. 2022
channel hii ni ya Dini ambayo inamilikiwa na KKKT Dayosisi ya Konde. Kazi ya chanel hii ni kuhabarisha Habari za kiroho za kijamii na matukio mbali mbali yanayotokea katika jamii yetu.
Kwa Mawasiliano
tupigie 0782200997, 0718959634
Kwa Mawasiliano
tupigie 0782200997, 0718959634
RAIS SAMIA SULUHU HASSANI AHUTUBIA TAIFA KUFUATIA KUANGUKA KWA GHOROFA KARIAKOO
RAIS SAMIA SULUHU HASSANI AHUTUBIA TAIFA KUFUATIA KUANGUKA KWA GHOROFA KARIAKOO
มุมมอง: 74
วีดีโอ
IWENI WAPATANISHI. MCHG. EZEKIEL MWANDUGULILE IBADA YA JUMAPILI KUTOKA USHARIKA WA VWAWA
มุมมอง 35114 วันที่ผ่านมา
IWENI WAPATANISHI. MCHG. EZEKIEL MWANDUGULILE IBADA YA JUMAPILI KUTOKA USHARIKA WA VWAWA
Ibada ya kuwasimika Viongozi wa vitengo Jimbo la Magharibi iliyofanyika Usharika wa Vwawa
มุมมอง 31314 วันที่ผ่านมา
Ibada ya kuwasimika Viongozi wa vitengo Jimbo la Magharibi iliyofanyika Usharika wa Vwawa
Ibada ya uwekaji jiwe la Msingi nyumba ya Mtumishi Usharika wa Sanya
มุมมอง 54928 วันที่ผ่านมา
Ibada ya uwekaji jiwe la Msingi nyumba ya Mtumishi Usharika wa Sanya
UJENZI WA OFISI KUU KKKT DAYOSISI YA KONDE WAENDELEA KWA KASI
มุมมอง 539หลายเดือนก่อน
UJENZI WA OFISI KUU KKKT DAYOSISI YA KONDE WAENDELEA KWA KASI
MCHUNGAJI MSTAAFU MWAKILUNGU TUWAFUNDISHE WATU NENO LA MUNGU AFURAHI KURUDI KWA MWAIJUMBA
มุมมอง 404หลายเดือนก่อน
MCHUNGAJI MSTAAFU MWAKILUNGU TUWAFUNDISHE WATU NENO LA MUNGU AFURAHI KURUDI KWA MWAIJUMBA
Hii ndio safari ya Mzee Mwaijumba aeleza safari yake ya kutoka KKAM kurudi KKKT
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
Hii ndio safari ya Mzee Mwaijumba aeleza safari yake ya kutoka KKAM kurudi KKKT
Sikiliza mahubiri ya mtoto Tumsifu katika sikukuu ya watoto KKKT Usharika wa Mbalizi
มุมมอง 411หลายเดือนก่อน
Sikiliza mahubiri ya mtoto Tumsifu katika sikukuu ya watoto KKKT Usharika wa Mbalizi
Wachungaji wawili toka KKAM warejea KKKT Dayosisi ya Konde nakupokelewa Usharika wa Kyela
มุมมอง 7Kหลายเดือนก่อน
LEO ASKOFU GEOFFREY MWAKIHABA AMESALI USHARIKA WA KKKT KYELA KATIKA IBADA HIYO AMEFANYA HUDUMA YA KUWAREJESHEA HUDUMA WACHUNGAJI WAWILI AMBAO BAADA YA MGOGORO ULIOKUWA UMEIKUMBA KKKT DAYOSISI YA KONDE WALIHAMIA KANISA LINGINE NA LEO WAMEAMUA KUREJEA KKKT HIVYO RASMI WAMERUDISHIWA HUDUMA YA SAKRAMENTI NA NENO WACHUNGAJI HAO NI BENJAMINI MWAISUMO NA PHILIPO MWAISUMO
Ibada ya mahafali ya 32 Chuo Cha Biblia na Ufundi Matema
มุมมอง 197หลายเดือนก่อน
Ibada ya mahafali ya 32 Chuo Cha Biblia na Ufundi Matema
MHE. MBUNGE WA BUSOKELO ALISHUKURU KANISA NA KUCHANGIA FEDHA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI MASEBE
มุมมอง 595หลายเดือนก่อน
MHE. MBUNGE WA BUSOKELO ALISHUKURU KANISA NA KUCHANGIA FEDHA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI MASEBE
JIWE LA MSINGI LAWEKWA NYUMBA YA KUISHI MTUMISHI USHARIKA WA KKKT MASEMBE
มุมมอง 563หลายเดือนก่อน
JIWE LA MSINGI LAWEKWA NYUMBA YA KUISHI MTUMISHI USHARIKA WA KKKT MASEMBE
live: Ibada ya Jumapili toka KKKT Usharika wa Mbambo
มุมมอง 335หลายเดือนก่อน
live: Ibada ya Jumapili toka KKKT Usharika wa Mbambo
Wakristo KKKT Usharika wa Mbambo wafanya maombi kupinga mauaji na utekaji nchini
มุมมอง 414หลายเดือนก่อน
Wakristo wa KKKT Dayosisi ya Konde Usharika wa Mbambo leo wameungana na wakristo wengine kumuomba Mungu airehemu Tanzania katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia katika mauaji na utekaji ili Mungu ashughulike na watu wanaofanya vitendo hivyo viovu maombi hayo yameongozwa na Mkuu wa Jimbo la kusini Mchg. Nsokigwe Mwalusamba na kuhudhuriwa na Wachungaji wote wa Jimbo hilo
Askofu Tobias Schuifer ahubiri ibada ya jumapili Usharika wa Matema. UHURU WETU
มุมมอง 2922 หลายเดือนก่อน
Askofu Tobias Schuifer ahubiri ibada ya jumapili Usharika wa Matema. UHURU WETU
MADAKTARI BINGWA TOKA UJERUMANI WATAANZA HUDUMA HOSPITALI YA MATEMA OKTOBA 2024
มุมมอง 1042 หลายเดือนก่อน
MADAKTARI BINGWA TOKA UJERUMANI WATAANZA HUDUMA HOSPITALI YA MATEMA OKTOBA 2024
Tamasha la uimbaji la watoto KKKT Dayosisi ya Konde lafanyika Kwa ufanisi mkubwa
มุมมอง 4482 หลายเดือนก่อน
Tamasha la uimbaji la watoto KKKT Dayosisi ya Konde lafanyika Kwa ufanisi mkubwa
Mchg. Lusajano Sanga akifunfisha semina ya uchumi Usharika wa KKKT Sayuni
มุมมอง 1602 หลายเดือนก่อน
Mchg. Lusajano Sanga akifunfisha semina ya uchumi Usharika wa KKKT Sayuni
WANAWAKE KKKT USHARIKA WA MBALIZI WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE LEO 01/09/2024
มุมมอง 2872 หลายเดือนก่อน
WANAWAKE KKKT USHARIKA WA MBALIZI WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE LEO 01/09/2024
TUACHE UKATILI TUKATENDE MEMA ASKOFU MWAKIHABA AKIHUBIRI USHARIKA WA MISIONI SANTILYA
มุมมอง 1182 หลายเดือนก่อน
TUACHE UKATILI TUKATENDE MEMA ASKOFU MWAKIHABA AKIHUBIRI USHARIKA WA MISIONI SANTILYA
LIVE: Ibada ya Jumapili toka KKKT Usharika wa Misioni Santilya
มุมมอง 2032 หลายเดือนก่อน
LIVE: Ibada ya Jumapili toka KKKT Usharika wa Misioni Santilya
MKALIISHI NENO LA MUNGU SIKU ZOTE ASKOFU MWAKIHABA KKKT DAYOSISI YA KONDE
มุมมอง 592 หลายเดือนก่อน
MKALIISHI NENO LA MUNGU SIKU ZOTE ASKOFU MWAKIHABA KKKT DAYOSISI YA KONDE
Ibada ya jumapili Usharika wa KKKT Mbeya mjini pamoja na mahojiano ya wakristo
มุมมอง 3482 หลายเดือนก่อน
Ibada ya jumapili Usharika wa KKKT Mbeya mjini pamoja na mahojiano ya wakristo
WAKRISTO WAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI USHARIKA WA MATEMA
มุมมอง 1752 หลายเดือนก่อน
WAKRISTO WAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI USHARIKA WA MATEMA
TUMEITWA KUTUMIKA ASKOFU MWAKIHABA. AKIHUBIRI KATIKA USHARIKA WA MATEMA 24.8.2024
มุมมอง 1462 หลายเดือนก่อน
TUMEITWA KUTUMIKA ASKOFU MWAKIHABA. AKIHUBIRI KATIKA USHARIKA WA MATEMA 24.8.2024
Askofu Mwakihaba aweka jiwe la Msingi nyumba ya mtumishi Usharika wa Matema
มุมมอง 3772 หลายเดือนก่อน
Askofu Mwakihaba aweka jiwe la Msingi nyumba ya mtumishi Usharika wa Matema
Wakuu wa vyombo vya habari vya Kanisa na Waratibu wa Mawasiliano Dayosisi za KKKT wajengewa uwezo
มุมมอง 833 หลายเดือนก่อน
Wakuu wa vyombo vya habari vya Kanisa na Waratibu wa Mawasiliano Dayosisi za KKKT wajengewa uwezo
HOTUBA YA MHE. PHILIPO MULUGO MBUNGE WA SONGWE WAKATI WA HARAMBEE USHARIKA WA IFWENKENYA
มุมมอง 1543 หลายเดือนก่อน
HOTUBA YA MHE. PHILIPO MULUGO MBUNGE WA SONGWE WAKATI WA HARAMBEE USHARIKA WA IFWENKENYA
KWAYA YA UPENDO TOKA KKKT USHARIKA WA MBOZI IKIMSIFU MUNGU KATIKA SEMINA YA VIJANA
มุมมอง 4093 หลายเดือนก่อน
KWAYA YA UPENDO TOKA KKKT USHARIKA WA MBOZI IKIMSIFU MUNGU KATIKA SEMINA YA VIJANA
MCHG. LUSAJANO SANGA MKUU WA JIMBO MBEYA MAGHARIBI AKIFUNGUA MKUTANO WA KIROHO MTAA WA KKKT ILEA
มุมมอง 1753 หลายเดือนก่อน
MCHG. LUSAJANO SANGA MKUU WA JIMBO MBEYA MAGHARIBI AKIFUNGUA MKUTANO WA KIROHO MTAA WA KKKT ILEA
Barikiwa sana mtumishi ,,Nakumiss Sana.
Upatanishi humpendezwa Mungu.Neno zuri ,Mungu atujalie sote kuwa wapatanishi wema
Hongereni watumishi wa Mungu,,tunawaombea baraka za Bwana ziambatane pamoja nanyi amina
Amina Mchungaji🎉
Ilikuwaje
Nampongeza Baba yangu Mch. Mwaijumba; Marudi ya BWANA si jambo la kupuuza, kwani Kwa utaratibu wa kanisa letu katika Liturugia ya Ibada tunatubu Kila siku au Kila Jumapili na hii inaonyesha jinsi tunavopaswa kuishi Kwa kumrudia MUNGU wetu
Mungu azidi kuwapa nguvu na upako utokao kwake,
❤❤❤❤❤
Hallelujah
KAZI NJEMA Sana hii hongereni Sana Wana D.K.O
KAZI iendelee
Kazi ni njema
Barikiwa sana
❤❤❤
Jambo jema hili, nashauri kwa tuliopo mbali mtoe Account No ili tushiriki jambo hili la baraka
naombeni kujua tofauti ya kkkt na kkam ni ipi samahanini lakini naomba kufahamu tu
Yupo sahihi mzee wote tulijua wapo sahihi na kuweza kuwaunga mkono na kukubali kwenda nao kanani na kujua kuwa tutafika salama lakini ajabu yake ndipo tunapojua kwa nini musa hakufika mji wa ahadi amen amen amen sana mzee wangu nami nipo nyuma yako
Hongera kwa ujasiri huo Baba
Maamuzi yako matokeo ya kesho
Mahojiano mazuri. Mzee wetu Mwaijumba ameeleza vizuri kuhusu kilichotokea na uamuzi wake wa kurudi KKKT. BWANA ambariki na kumtunza.
Vizuri🎉
Wache waludi kkam pamamoto sana watu hawataki kushauliwa hata kido hao mtu na kaka yake kwa mtazamo wangu wana haki japo nina mashaka makubwa sana na dini za sasa mm kama mm nimejaribu sana kushauli lakini nikapuziwa ni aibu sana matusi hadi mitandaoni kwali pana dini kweli hapo mpaka sasa nimeamini ya mungu tumwachie mungu tu hingeleni kwa mliobaki hongeleni pia kwa mlio baki pia hongela zetu tulio inje kwa kutazama tu
Ninamashaka na hao kaka na mdogo wake japo dini zimejichanganya sana nafahamu hata kule walikotoko kkam
Umesema kweli mtumishi Tumsifu Mungu akukuze katika huduma hiyo
Ameen
Mungu anawajua walio wake
Hizi imani zinaweza kutuletea shida
Mlidanganywa na philimon moleli
Hongera wana wapotevu mmetambua makosa yenu karibuni tena
Funzo kubwa sana
Wataludi wajinga walio enda kkam kwamaslai yao binafsi
Itakuwa kanunu liwa kwakulazimishwa mbona anajibu kwa wasiwasi kazi yakununuliwa iyoo
Itakuwa kanunu liwa kwakulazimishwa mbona anajibu kwa wasiwasi kazi yakununuliwa iyoo
Mwaxangutiii mic xnaa mch wangu
Tuliwaeleza watu watafakari kwanza. Asante askofu kwa kuwapokea wapendwa
Amina Karibuni watumishi wa Mungu
Wew mchungaji ludia tuone umesema mafuta mapya mbona atakioindi kile unabalikiwa kuwa mchungaji mala ya kwanza ulisema ivyo ivyo kuwa mafuta mapye je hayo maji au mafuta
Asante sana Kwa kufuatilia ELCT Konde tv😂
@@BahatiJamu ujingaa nin konde ndio nin
Siitaki konde
Nguvu ya kiapo
Karibuni wà tumishi
Mlisema ni nguvu za soda lakini kkam mnaiona Ina chanja mbuga kama hamuelewe ipo kilima njalo Alusha manyala singida simiyu,njombe.tabola .ilinga .mbeya dongwe Tanga daleslam nasas mbeya Ina matawi Yani palishi 34
@@PetroMwakilembe nani mwenye akili timamu anaweza kufikiria kanisa kongwe kama hili, kushindana na.ninyi?ni imani isiyohitaji mashindano, kama unaona kuna ufanisi sifa ni kwa bwana yesu, ninawaombea. Amen
Asante sana Kwa kufuatilia ELCT Konde
@@BahatiJamu konde ndiyo nin kwani
Njaa mbaya sana
Kanisa sio tambo wewe endelea kuamini unacho kiamini . Kanisa sio siasa endelea kuabudu sio kila ukionacho ni lazima ufanyie matangazo hata Kama Kuna kuchanja mbunga wewe omba jina lako liwepo mbinguni
Hata wakiwa kwenye matulu Bai lakini si mungu yupo kkam nawapenda sana hawakujali mali Hawa angaliii mali Wana angalia mungu yupo wp na nakanisa niwatu Wala sio mali Wala majengo Jimbo lakusin kkkt mbona hawana watu ila Wana majengo 😂😂😂kilefu Cha K.K.A.M ni KANISA LA KILUTHER AFRIKA MASHALIKI NAWAO WAPO DAYOSISI YA NYANDA ZAJUU KUSIN waliondoka DAYOSISI ya kukondesha
HHAkuna jambo linaloshindikana kwa mungu karibu ni wachungaji wetu kkkt
Kwani kutoka na kurudi si hiyari ya mtu? tumshukuru Mungu ikiwa wameona vema kurudi lakini kama ni kutumika tu hata KKAM wangeweza kumtumikia Mungu vilevile
KkkT halelujaaaa
Mungu awe nanyi watumishi
Utukufu na heshima tuna mrudishia Mungu
Hivi walifanyaga zambi gani et
Mafuta aliyo pakwa mapya niyepi huyooo maji au mafuta yakweli yanatoka wap mafuta yakupakwa malambili akati Ali balikiwa kuwa mchungaji uko uko kkkt kwanin iwe malambili
Ulitaka iweje wewe?
@@ObedMwamwenda-xg2lr kweli atuambie njia bora zaidi
Kam unavyoo jua nope kifungu Cha mbalaka malambili mbona mm nimewambia kuwa mungu hatoi balaka mala mbili alikataa kumbaliki yakobo
@@PetroMwakilembe uko sahihi, lakini nikukumbushe pia habari za mwana mpotevu.
@@adkajisi4536 mwana mpotevu saw lakin mbona uchungaji walibalikiwa kipindikile na kwanin waitwe wasielogia nakwanini wabarikiwe mala mbili na walitenda zambigan mpaka waludishwe kundini
Mafuta aliyo pakwa mapya niyepi huyooo maji au mafuta yakweli yanatoka wap mafuta yakupakwa malambili akati Ali balikiwa kuwa mchungaji uko uko kkkt kwanin iwe malambili
Kuna balaka gani za mala mbili mbona ata iblahim Ali kataa kutoa balaka mala mbili kwa wanao nyie mmeipata wapi yakubaliki mala mbili uo ubalikio au aibu
@@PetroMwakilembe huna ukomavu wa kulijua na kulielewa neno la mungu.