The Aga Khan Hospital, Dar Es Salaam
The Aga Khan Hospital, Dar Es Salaam
  • 113
  • 117 318
Upasuaji wa matundu madogo unavyoongeza usalama wa mgonjwa Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam
Ungana na Dkt. Abduel Kitua kutoka idara ya Upasuaji, akielezea faida za upasuaji wa matundu madogo katika kuongeza usalama wa mgonjwa katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.
- Matundu madogo: yanapunguza athari ya kuharibu viungo vingine kama ngozi na vingine vya ndani kipindi cha upasuaji.
- Inapunguza hatari ya maambukizi: sababu pasuaji hizi sio za wasi hivyo hamna nafasi ya maambukizi kutoka nje kuingia mwilini.
- Muda Mfupi wa Kukaa Hospitalini: Pasuaji hizi zinachukua muda mfupi kupona na kuweza kurudi katika kazi zako za kila siku.
- Kupunguza Upotezaji wa Damu: Pasuaji hizi zinapunguza sana hali ya kupoteza damu kipindi cha upasuaji
Iwe wewe ni mtaalamu wa matibabu au mtu anayehitaji upasuaji, tunakukaribisha kufika katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es salaam.
- Nambari ya kuweka miadi +255 699 532 816
- Mfano wa upasuaji wa matundu madogo: agakhanhospitaldsmp/C_ADGXrIAw7/?img_index=1
How Laparoscopic Surgeries Enhance Patient Safety at Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Join Dr. Abduel Kitua as he explores the transformative benefits of laparoscopic surgery at Aga Khan Hospital in Dar es Salaam. In this insightful video, he discusses how this minimally invasive technique improves patient safety through:
- Smaller Incisions
- Lower Infection Risk
- Shorter Hospital Stays
- Enhanced Visualization
- Reduced Blood Loss
Whether you're a medical professional or someone who require surgery, we are welcoming you all to come to the Aga Khan Hospital, Dar es salaam
- Appointment Number +255 699 532 816
- One of breathtaking laparascopic surgery: agakhanhospitaldsmp/C_ADGXrIAw7/?img_index=1
Don't forget to like, subscribe, and hit the notification bell for more content on medical innovations and patient safety!
มุมมอง: 22

วีดีโอ

Gideon's Journey: A Parent's Testimony on Cochlear Implant at Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
มุมมอง 62วันที่ผ่านมา
In this heartfelt video, join us as Gideon’s parent shares their emotional journey of navigating hearing loss and the life-changing experience of receiving a cochlear implant at the Aga Khan Hospital, Dar es Salaam. This powerful testimony highlights the challenges they faced and the incredible transformation in Gideon's life. With insights from Ali Jaffer, an Audiologist at the Aga Khan Hospit...
Stroke Patient Emergency Care at the Aga Khan Hospital, Dar es Salaam by Dr. Elishah Premji
มุมมอง 10วันที่ผ่านมา
#shorts Join Dr. Elishah Premji our dedicated Emergency Physician and head of Accident and Emergency department as she walks us through the stroke care processes at The Aga Khan Hospital. Discover how our stroke-ready facility ensures rapid assessment and seamless collaboration with neurologists for optimal patient outcomes. Watch now! 🩺💙 Ungana na Dk. Elishah Premji, Daktari bingwa wa magonjwa...
CTG Machine Ensuring Safety for Mother and Child During Labor, The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
มุมมอง 59หลายเดือนก่อน
Join Dr. Rusaji Mwagubere, our doctor from Obstetrics and Gynecology department as he explains about Cardiotocography (CTG) machine which is used to monitor fetal heart rate and contraction during labour period to ensure safety of the baby and mother. Jiunge na Daktari Rusaji Mwagubere, daktari wetu kutoka idara ya Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, anapofafanua kuhusu mashine ya *Cardiotocography ...
Glucometer Calibration with Hamenya Elias | Usahihi wa Kifaa cha Kupimia Sukari Mwilini
มุมมอง 45หลายเดือนก่อน
Join Hamenya Elias, our dedicated nurse as he demonstrates how to properly calibrate a glucometer at home or in the hospital. Ensuring accurate readings is essential for patient safety! We care for you Jiunge na Hamenya Elias, Muuguzi wetu mahiri akionyesha jinsi ya kupima usahihi wa kifaa chako cha kupimia sukari (glucometer) ukiwa nyumbani au hospitalini. Kuhakikisha usahihi wa vipimo ni muhi...
Nutrition and food service department role on patient safety at the Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
มุมมอง 52หลายเดือนก่อน
Listen to Louiza Tumaini, our dedicated nutritionist, as she explains how our Nutrition and Food Service Department plays a vital role in ensuring patient safety at our hospital. We care for you! 🍏✨ Msikilize Louiza Tumaini, mtaalamu wetu wa lishe, akielezea jinsi Idara yetu ya Lishe na Huduma za Chakula inavyohakikisha usalama wa wagonjwa katika hospitali yetu. Afya yako ni kipaumbele chetu! 🍏
Siku ya Usalama wa Wagonjwa Duniani | Patient Safety Day at the Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
มุมมอง 22หลายเดือนก่อน
On 17th September, World Patient Safety Day, Aga Khan Hospital Dar es Salaam proudly highlighted its ongoing commitment to patient safety and quality care. Throughout the day, various departments demonstrated their proactive measures and best practices, ensuring the safety and well-being of every patient who walks through our doors. From our dedicated medical teams to our support staff, each me...
Know more about Varicose Veins procedures from Dr. Sana Sharafat
มุมมอง 4142 หลายเดือนก่อน
From September 8th to 15th we will be having Vascular Surgeries at Aga Khan Hospital, Dar es Salaam. Get top-notch treatment from Vascular Surgeon, Dr. Sana Sharafat if you are suffering from any vascular problems such as varicose veins and for those who are undertaking dialysis . Book appointment today via 0699 532 816. Upasuaji wa Mishipa ya Damu kuanzia siku za tarehe 8 -15 Septemba 2024, ka...
Fahamu zaidi kuhusu uzito uliopitiliza kutoka kwa Dr Blessing Mathew, Daktari bingwa wa upasuaji
มุมมอง 1302 หลายเดือนก่อน
Fahamu zaidi kuhusu uzito uliopitiliza na Dr Blessing Mathew, Daktari bingwa wa upasuaji, kwani Septemba hii tarehe 8 hadi 15 katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam kutakua na kambi ya pasuaji za kupunguza uzito uliopitiliza. Karibu sasa ili upate uchunguzi wa awali kutoka kwa madaktari wetu au weka miadi sasa kuonana nae na upate suluhisho rahisi na la haraka la kupunguza uzito. Kwa miadi...
Know More about orthodontic problems from Dr. Umair Shoukat
มุมมอง 1292 หลายเดือนก่อน
Faham zaidi kuhusu matatizo ya mlinganisho wa meno na taya kutoka kwa na Dkt. Umair Shoukat, Daktari wetu Bingwa wa Mifupa ya Kinywa, aliebobea katika mpangilio wa meno na taya, kuziba meno, magonjwa ya fizi. Kwa miadi piga 0699 172 944. know more about orthodontic problems from Dr. Umair Shoukat, our orthodontist, specialized in Teeth and jaw alignment, treatment of cavities and gum disease. F...
Know about Obstructive Sleep Apnea by Dr. Christopher Mwansasu
มุมมอง 812 หลายเดือนก่อน
Transform your sleep with our expert ENT surgeons using the advanced treatments for obstructive sleep apnea. Don’t let sleep apnea disrupt your life please call us today through 255 699 532 816 to schedule your screening and breathe easy again. Lala kwa utulivu bila kuteseka sasa kwa kuonana na madaktari bingwa wa upasuaji wa masikio pua na koo kwa matibabu ya kukoroma na kukosa hewa wakati wa ...
Know more about AV Fistula procedures from Dr. Sana Sharafat
มุมมอง 582 หลายเดือนก่อน
From September 8th to 15th we will be having Vascular Surgeries at Aga Khan Hospital, Dar es Salaam. Get top-notch treatment from Vascular Surgeon, Dr. Sana Sharafat if you are suffering from any vascular problems such as vericose veins and for those who are undertaking dialysis . Book appointment today via 0699 532 816. Upasuaji wa Mishipa ya Damu kuanzia siku za tarehe 8 -15 Septemba 2024, ka...
Know about Bariatric Surgery from Dr. Tanseer Asghar, Bariatric surgeon from Pakistan.
มุมมอง 703 หลายเดือนก่อน
#weightloss #agakhanhospital #bariatricsurgery #weightlossjourney Understand more about Bariatric Surgery from Dr. Tanseer Asghar, Bariatric surgeon from Pakistan. He will be BACK for weight loss surgeries THIS SEPTEMBER from 8th - 15th at The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam. Welcome to book your appointment now for consultations and get quick and easy weight loss solution. For appointments ca...
Recurrent UTIs and its treatment from Dr. Imane Benyamina, Urologist
มุมมอง 5853 หลายเดือนก่อน
Recurrent UTIs and its treatment from Dr. Imane Benyamina, Urologist
Know more about Malaria from Dr Samina Somji, Internal Medicine Consultant
มุมมอง 7253 หลายเดือนก่อน
Know more about Malaria from Dr Samina Somji, Internal Medicine Consultant
Meet Dr Gloria Gachocha, Family Physician at Fast track
มุมมอง 1394 หลายเดือนก่อน
Meet Dr Gloria Gachocha, Family Physician at Fast track
Know about Gallstones by Dr. Athar Ali
มุมมอง 1384 หลายเดือนก่อน
Know about Gallstones by Dr. Athar Ali
Fahamu juu ya Kukua kwa tezi dume kutoka kwa Dk. Isaac Mawalla
มุมมอง 2.7K4 หลายเดือนก่อน
Fahamu juu ya Kukua kwa tezi dume kutoka kwa Dk. Isaac Mawalla
Kliniki ya unyonyeshaji na Dkt Mariam Noorani
มุมมอง 834 หลายเดือนก่อน
Kliniki ya unyonyeshaji na Dkt Mariam Noorani
Menopause with Dr. Muzdalifat Abeid
มุมมอง 1.2K4 หลายเดือนก่อน
Menopause with Dr. Muzdalifat Abeid
Uterine Fibroids by Dr. Shweta Jaiswal
มุมมอง 5K4 หลายเดือนก่อน
Uterine Fibroids by Dr. Shweta Jaiswal
Breast Surgery with Dr. Blessing Mathew
มุมมอง 9K4 หลายเดือนก่อน
Breast Surgery with Dr. Blessing Mathew
The Aga Khan Polyclinic, Dodoma
มุมมอง 834 หลายเดือนก่อน
The Aga Khan Polyclinic, Dodoma
Fahamu kuhusu Aleji ya mafua kwa watoto na Dkt. Hajaj Salim
มุมมอง 624 หลายเดือนก่อน
Fahamu kuhusu Aleji ya mafua kwa watoto na Dkt. Hajaj Salim
Outpatient Pharmacy, The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
มุมมอง 2185 หลายเดือนก่อน
Outpatient Pharmacy, The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
Get to know Dr. Irfan Rajput
มุมมอง 945 หลายเดือนก่อน
Get to know Dr. Irfan Rajput
Know about Stroke by Dr. Philip Adebayo
มุมมอง 1035 หลายเดือนก่อน
Know about Stroke by Dr. Philip Adebayo
Minimal invasive procedure for pancreas and gallbladder stones (ERCP) with Dr Masolwa Ng'wanasayi
มุมมอง 915 หลายเดือนก่อน
Minimal invasive procedure for pancreas and gallbladder stones (ERCP) with Dr Masolwa Ng'wanasayi
The Journey the Cancer Care Centre, The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
มุมมอง 2865 หลายเดือนก่อน
The Journey the Cancer Care Centre, The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam
The Opening of Cancer Care Centre at the Aga Khan Hospital Dar es Salaam
มุมมอง 6955 หลายเดือนก่อน
The Opening of Cancer Care Centre at the Aga Khan Hospital Dar es Salaam

ความคิดเห็น

  • @khadijajunaid4758
    @khadijajunaid4758 18 วันที่ผ่านมา

    If we want online consultation what is the procedure

  • @drkimmy8026
    @drkimmy8026 28 วันที่ผ่านมา

    Nice one Chief Adebayooo

  • @mysteryself8190
    @mysteryself8190 หลายเดือนก่อน

    Hello, i saw on google that you guys perform weghtloss surgery. Is that still something available at your hospital?

    • @theagakhanhospitaldaressal9898
      @theagakhanhospitaldaressal9898 13 วันที่ผ่านมา

      Hellow, for now yes we have inflatable gastric balloon procedure inhouse for weight loss

  • @Seharangez
    @Seharangez 2 หลายเดือนก่อน

    Sir i desperately need ur online consultation im ur old patient of scleroderma systematic sclerosis .from Karachi Pakistan

    • @theagakhanhospitaldaressal9898
      @theagakhanhospitaldaressal9898 หลายเดือนก่อน

      Hellow, kindly share your contacts to "marketing@akhst.org" to facilitate this. sorry for late reply

  • @BraysonMsuya
    @BraysonMsuya 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejiongeza ktk hilo...Asante sana Dctr Fatmar...by B. Msuya.

  • @BraysonMsuya
    @BraysonMsuya 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejiongeza ktk hilo...Asante sana Dctr Fatmar...by B. Msuya.

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona wengine wanatibiwa kiswahili wanapoa natakujua tatizo au sababu yk ni kitu gani haswa Msongo wa mawanzo njaaa,mwakula vya mafuta, Pressure au mashtan

  • @EllenAhmed-c8f
    @EllenAhmed-c8f 5 หลายเดือนก่อน

    Doctor julius ni Doctor mzuri sana mungu aku barikiye surgery yangu ime kuwa nzuri sana Asante mimi mirna nime fray sana Doctor julius ka ni fanye surgery ime ka vizuri❤

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani mm nina shida hiyo miguu yangu yote miwili niliungua moto nahitaji haya makovu kuondolewa

    • @theagakhanhospitaldaressal9898
      @theagakhanhospitaldaressal9898 2 หลายเดือนก่อน

      Habari, tunapenda kukuhabarisha huduma hii inaanza tarehe 2 mwezi wa Septemba, tafadhali ili kujua kituo cha karibu cha kwenda kufanyiwa uchunguzi wa awali wasiliana nasi kupitia 0754 094 000

  • @nobertalex7476
    @nobertalex7476 6 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏👏

  • @aleemhabib4849
    @aleemhabib4849 6 หลายเดือนก่อน

    Live event airing now of the opening ceremony of the Cancer Centre

  • @aleemhabib4849
    @aleemhabib4849 6 หลายเดือนก่อน

    Please rectify the live event sound of the opening ceremony

  • @YakiniNathanaely
    @YakiniNathanaely 9 หลายเดือนก่อน

    Hengereni kwa kazi

  • @heriramadhani1493
    @heriramadhani1493 10 หลายเดือนก่อน

    Mim pia nasumbuliw na hayo mawe je gharama yake inakuaje

  • @NizigiyimanzClaudia
    @NizigiyimanzClaudia 11 หลายเดือนก่อน

    Number plz I have kidney tumer

  • @TshabalalaShabalala
    @TshabalalaShabalala ปีที่แล้ว

    Mm nime kuja nilivunjika mkono nime tibiwa adija Leo nina miez 6 bado2 mkono unasumbua sija pana wala nn na ghalama nime lipazote

  • @bilalbaloch3043
    @bilalbaloch3043 ปีที่แล้ว

    السلام عليكم

  • @nagendermorya2003
    @nagendermorya2003 ปีที่แล้ว

    Aap baat krogi ji

  • @nagendermorya2003
    @nagendermorya2003 ปีที่แล้ว

    Bhabi ji Aap see baat krne ka echa hee ji

  • @nagendermorya2003
    @nagendermorya2003 ปีที่แล้ว

    Or Aap kha se hee ji

  • @nagendermorya2003
    @nagendermorya2003 ปีที่แล้ว

    Bhabi ji ham India'see hee ji

  • @nagendermorya2003
    @nagendermorya2003 ปีที่แล้ว

    Bhabi ji Kase hee ji

  • @nagendermorya2003
    @nagendermorya2003 ปีที่แล้ว

    Hello hay

  • @esthershaluah3770
    @esthershaluah3770 ปีที่แล้ว

    Aga Khan Hospt, Thank you so much for your love and care... May God Bless you more!

  • @katerinere5943
    @katerinere5943 3 ปีที่แล้ว

    Hello. Your video was educational! I've been trying to find for a TH-cam vid like yours that teaches the stuff in this TH-cam video. 👩‍⚕️Your content actually reminds me of the vids of Doctor Ethan. Doctor's tips are informative and he actually helped me on wellness! He is a new Doctor in the UK. You should watch his YT out and give Doctor Ethan a like! ➡️ #DoctorEthan

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @tumainjulius5533
    @tumainjulius5533 4 ปีที่แล้ว

    am interested to work with your Company,am ANO.

  • @harunimissango2336
    @harunimissango2336 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo

  • @mercedesphiri1609
    @mercedesphiri1609 4 ปีที่แล้ว

    Ahsanteni sana lab technicians.