- 254
- 44 203
BUSATI ONLINE TV
เข้าร่วมเมื่อ 28 ก.ค. 2023
วีดีโอ
WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE JEURI NA WENYE MDOMO MDOMO
มุมมอง 2911 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE JEURI NA WENYE MDOMO MDOMO
WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE NANAO PENDA PESA SANA
มุมมอง 2811 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE NANAO PENDA PESA SANA
WANAWAKE HAWAMPENDI MWANAMME MWENYE KUTAKA SIFA
มุมมอง 602 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANAWAKE HAWAMPENDI MWANAMME MWENYE KUTAKA SIFA
TABIA WASIZO ZIPENDA WANAUME NA WANAWAKE TATIKA NDOA
มุมมอง 2374 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TABIA WASIZO ZIPENDA WANAUME NA WANAWAKE TATIKA NDOA
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 10
มุมมอง 34616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 10
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 9
มุมมอง 38414 วันที่ผ่านมา
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 9
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 8
มุมมอง 30221 วันที่ผ่านมา
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 8
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 7
มุมมอง 28028 วันที่ผ่านมา
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 7
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 6 (UKE WENZA) 1
มุมมอง 468หลายเดือนก่อน
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 6 (UKE WENZA) 1
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 5
มุมมอง 419หลายเดือนก่อน
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 5
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 4
มุมมอง 588หลายเดือนก่อน
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 4
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 3
มุมมอง 498หลายเดือนก่อน
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 3
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEM YA 2
มุมมอง 3802 หลายเดือนก่อน
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEM YA 2
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEM YA 1
มุมมอง 4132 หลายเดือนก่อน
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEM YA 1
TAMBUA TABIA ZA MWEZA WAKO KWENYE NDOA
มุมมอง 6832 หลายเดือนก่อน
TAMBUA TABIA ZA MWEZA WAKO KWENYE NDOA
CHANGAMOTO ZA KISAYKOLOJIA ZINAZO CHANGIA UDHALILISHAJI WA WANAWAKE NA WATOTO
มุมมอง 1742 หลายเดือนก่อน
CHANGAMOTO ZA KISAYKOLOJIA ZINAZO CHANGIA UDHALILISHAJI WA WANAWAKE NA WATOTO
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI (UDHALILISHAJI) SEHEM YA 9
มุมมอง 2503 หลายเดือนก่อน
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI (UDHALILISHAJI) SEHEM YA 9
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI KUTELEKEZA SEHEM YA 8
มุมมอง 1373 หลายเดือนก่อน
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI KUTELEKEZA SEHEM YA 8
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI( MALEZI YA KUDEKEZA) SEHEM YA 6 FULL
มุมมอง 2213 หลายเดือนก่อน
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI( MALEZI YA KUDEKEZA) SEHEM YA 6 FULL
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 5 FULL
มุมมอง 3163 หลายเดือนก่อน
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 5 FULL
SIMU HULETA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI NA TABIA KWA WAPENZI NA WANA NDOA
มุมมอง 1313 หลายเดือนก่อน
SIMU HULETA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI NA TABIA KWA WAPENZI NA WANA NDOA
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 4
มุมมอง 1984 หลายเดือนก่อน
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 4
MAMBO 6 YANAYO PELEKEA TALAKA ZA OVYO
มุมมอง 1524 หลายเดือนก่อน
MAMBO 6 YANAYO PELEKEA TALAKA ZA OVYO
Pongezi sheikh wangu
Kumbe mwalim Hassan upo na huku mm nakufatilia kwenye chanal ya alfatah TV nakupenda Sana maalim Hassan unatufunza mengi Sana 😢
Umesema kweli mw .Hassan, siku ya mwanzo myme kuowa unauona umauti unakuchungulia, full tress
Muekeeni majii maalim Hasan...anaongea sanaaa
Bw .salum masuala yameshakuishia
Mashaallah ❤❤❤
MashaAllah ❤
Nahitaji number yako maalim hassan
Shukran
Asalama aleikum nawaomba mturekebishie waume zetu tulipokuwa znz walikuwa hawatusaidii kwa chochote kila kitu tushikamane na ndugu zetu kwa sasa tupo omani kikazi basi kila shida tuwasaidie mpaka ile panadol tuinunue kisha mpaka nauli wapewe hivi tunauliza kuwa riziki zao zinakwenda wapi mtu anaumwa anatuma vidio kama katiwa kwenye friza jee yale malengo yetu sisi wake kweli yatatimia tukiwaridhisha wao 2 ni sawa kumsaidia lakini sio kila tatizo hata mambo madogo wasaidiwe hapo sielewi nani mume nani mke majukumu tushachoka
Mwenyezi Mungu awalipe kila la kheri InshaAllah kwa haya madini ❤
Mashaallah nimefaidika alhamdulilah Allah akuhifadhi
Kweli umemrud mwenyewe
Mashaallah sauti kama shekh msabaha Ni ndugu au
Hapana sie so ndugu
Hongera maalim hassan
Asante
Shukran mr
Teacher Hassan we love u so much❤ now ushakuwa kungwi wetu❤😂
Asante maalim Hassan nahitaji mafunzo zaidi
Manshallah mafunzo mazuri inshallah mungu atuongoze
😂😂😂
Mashaallah
perfect
Naomba naomba ya mwalim Hassan ps
Napenda anavyoelezea anaitwajee
mwalim Hassan mim mshabik sn wa kipindi hiki
Mashaallah tunajifunza vitu vingi sana kupitia busati 🎉
Asante kwa taaluma Mwalimu Hassan naomba namba zako .
Malezi bora huleta jamii njema mungu atuongoze katika malezi yetu.
☑️
nikweli wenye kipato hua wanaringa sana
Aslm alykm naomba namba za huyo kaka mimi ni nimeathirika na hilo jambo
Shukran sana sana
Allah azid kukupa afya njema na yny manufaa dunia na Akhera Mwalim Hassan ili tupate kufaidika zaidi
🙏🙏🙏🙏🥰🥰
Mara nyingi mtu mwenyeroho mbaya anaweza kujufanyia uhasidi
Kweli mungu akubariki
Choyo cha mume wangu hanisaidii mpaka nimesafiri oman kutafuta pesa ..lakini kila nikisema nampa pesa mzee wangu basi inakua analeta list kubwa vitu vyengine sina uwezo navyo kwa wakati huu nikimuweka anijengee asimamie basi bili huwa kubwa nishindwe
MashaaAllah
Ss tuko mbali mawif watupend
Maashaallah leo umezidi kuchambua uzur
Kumwambia mwenyewe na kumsema kwa watu ipi bora?
Maashaallah
Daha imenigusa sana jamani nalia naomba number yk ya simu b
Mwamme ndio nani
Mjitaidi..dunia..hii..sizani..kwasasa..yamenikuta.mimi...sizani...nimeoa.masikini..baada.mwaka..kapata..kazi..basi..baada.ya.miaka.3.kakopa.kazini..pesa..kajenqa..hata.mimi.akunambia..kabisa..nimekuja.kujua.mafundi..wamekujaa.pesa.zao.usiku.ndio..nikajua..mwisho.kachukua.wazazi.wake.mafia.kawaleta..mwisho..kanambia.bele.ya.wazazi..wake.mimi...si.mwanaume..kazini...anarudi..usiku.sa.mbili.nikahamua..nimuachee..munqu..tuu..nikaenda.kuhoa.uqanda..heeee.siaba..nimeona.mahaba.na.eshima..tena..sirudi.zenji.labda.kutembea..tuu.kanambia...kakae.na.huyo.mkeo.wa.uqanda..sijamuachaa..munqu..hataukumu..nimetulia.uqanda..napata.pesa.kuliko.kwetu.zenji...kwetu..fuoni.mail.5..uku..uqanda.nmeimarikaa.zaidiiiii..nimekabiziwa.msikitii..rahaaaa.nafundishaa.dini...zenji..unakujaa.nakuondoka..mtianiiiiii
Sawa..mjitaidi..lkini..nqum...kwa..Sasa.dunia..hii..nimehoa..pemba...wete.kadai.talaka.bila.sababu...nikahoa...zenji...mmafia..masikini...baada.ya.ndoa.mwaka.1.kapata.kazi ..Basi.kajenqa.hata.mimi.sikujua..mpaka..mafundi.wamekuja..màfundi.kudai.pesa..zao.u siku.ndio.nkajua...ninae.mpaka.leo..nimemuachia..munwu
Yaani mkwe wangu kazidi mpaka ugomvi basi anamwambia mwanawe ikifika kwako mkeo akileta maneno maneno nataka nisikie nipigie sim bila ya mkeo kujua...nahisi ananizalilisha kweli
Asante mwalimu Hasani,mimi nataka unisaidie mada ya utafiti
❤❤❤
allah akubaarik