KHAMSA TV
KHAMSA TV
  • 664
  • 1 614 492

วีดีโอ

MWANZO MWISHO KUKAMATWA KWA MATOLA..KUMBE ILIKUWA HIVI SIO HIVYO ULIVYOSIKIA..ILA WABONGO DAAH
มุมมอง 32K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MWANZO MWISHO KUKAMATWA KWA MATOLA..KUMBE ILIKUWA HIVI SIO HIVYO ULIVYOSIKIA..ILA WABONGO DAAH
KUMBE HII NDO SABABU DUBE HAFUNGI...SIKU YA DUBE INAKUJA SASA ITAKUAJE KOCHA NI MPYA
มุมมอง 9K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KUMBE HII NDO SABABU DUBE HAFUNGI...SIKU YA DUBE INAKUJA SASA ITAKUAJE KOCHA NI MPYA
HAHAHAA!! ETI SEAD RAMOVIC ANAJUA KULIKO FADLU..UKWELI KUHUSU SEAD HUU HAPA
มุมมอง 16921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hamim Mussa mchambuzi wa soka aliyewahi kuishi Afrika Kusini
GAMONDI ALIKUWA BORA..ALI KAMWE AKIRI UKWELI KUHUSU GAMONDI..JE SEAD RAMOVICH ATAMFIKIA?
มุมมอง 16721 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Meneja wa habari na mawasiliano Yanga SC ALLY KAMWE akiongea na waandishi wa habari
HATUA ZA KISHERIA KUCHUKULIWA YANGA...KUHAMIA KMC..MEYA SONGORO NA SABABU ZA MOALIN KWENDA YANGA
มุมมอง 14Kวันที่ผ่านมา
Mstahiki Maya wa Kinondoni Songoro Mnyonge ameelezea namna walivyopokea ujio wa Yanga katika uwanja wa KMC lakini asikitishwa na walichokifanya Yanga kumchukua kocha wao Abdulhamid Moalin
MANENO MAKALI ZAKAZAKAZI KUMZIMIA TAA DUBE..HUYO DUBE ALIZIMIWA TAA NA KAITABA..UPUUZI WAMEFUNGWA
มุมมอง 3.4K14 วันที่ผ่านมา
MANENO MAKALI ZAKAZAKAZI KUMZIMIA TAA DUBE..HUYO DUBE ALIZIMIWA TAA NA KAITABA..UPUUZI WAMEFUNGWA
WAZEE YANGA GAMONDI KUTIMULIWA..MZEE MSUMI ACHUKIZWA NA TABIA ZAKE.. YANGA NI KUBWA KULIKO YEYE..
มุมมอง 8K14 วันที่ผ่านมา
WAZEE YANGA GAMONDI KUTIMULIWA..MZEE MSUMI ACHUKIZWA NA TABIA ZAKE.. YANGA NI KUBWA KULIKO YEYE..
KIDOGO WAPIGANE SAUZI ..MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA..PRESHA YA DABI CHEKI VIBE
มุมมอง 66หลายเดือนก่อน
KIDOGO WAPIGANE SAUZI ..MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA..PRESHA YA DABI CHEKI VIBE
LIVE: CHEKI WANAYANGA SAUZI, JOHANNESBURG DABI YAWAGUSA WAFUNGUKA KUIFUNGA SIMBA KWA MKAPA
มุมมอง 193หลายเดือนก่อน
LIVE: CHEKI WANAYANGA SAUZI, JOHANNESBURG DABI YAWAGUSA WAFUNGUKA KUIFUNGA SIMBA KWA MKAPA
MPANZU HATOCHEZA MAKUNDI CAF..AHMED ALLY AFUNGUKA UKWELI WA HILI...SIMBA YAPANIA KUVUKA MAKUNDI
มุมมอง 11Kหลายเดือนก่อน
MPANZU HATOCHEZA MAKUNDI CAF..AHMED ALLY AFUNGUKA UKWELI WA HILI...SIMBA YAPANIA KUVUKA MAKUNDI
EXCLUSSIVE: KAMATI YA SHERIA YATOA TAMKO SWALA LA KAGOMA NA YANGA..MZEE SAID SOUD AFUNGUKA SIKILIZA.
มุมมอง 11K2 หลายเดือนก่อน
EXCLUSSIVE: KAMATI YA SHERIA YATOA TAMKO SWALA LA KAGOMA NA YANGA..MZEE SAID SOUD AFUNGUKA SIKILIZA.
MCHUNGAHELA: HATUKUPOKEA AGIZO LA UCHAGUZI YANGA..UKWELI KUHUSU KATIBA YA YANGA NI UPI?..
มุมมอง 1064 หลายเดือนก่อน
MCHUNGAHELA: HATUKUPOKEA AGIZO LA UCHAGUZI YANGA..UKWELI KUHUSU KATIBA YA YANGA NI UPI?..
KESI YA YANGA HAIMUONDOI ENG HERSI MADARAKANI..WAKILI MSOMI NDURUMA MAJEMBE ANAFAFANUA UKWELI..
มุมมอง 8634 หลายเดือนก่อน
KESI YA YANGA HAIMUONDOI ENG HERSI MADARAKANI..WAKILI MSOMI NDURUMA MAJEMBE ANAFAFANUA UKWELI..
EXCLUSSIVE: WALACE KARIA AFUNGUKA ISHU YA SAMATTA KUTAKA KUONDOKA STARS, KENYA UFUNGUZI AFCON 2027
มุมมอง 764 หลายเดือนก่อน
EXCLUSSIVE: WALACE KARIA AFUNGUKA ISHU YA SAMATTA KUTAKA KUONDOKA STARS, KENYA UFUNGUZI AFCON 2027
SAMATA AIKANA TAIFA STARS BABA YAKE AFUNGUKA MAZITO..KISA KUTUKANWA..JULIO AMPA SOMO AACHANE NA HAYO
มุมมอง 574 หลายเดือนก่อน
SAMATA AIKANA TAIFA STARS BABA YAKE AFUNGUKA MAZITO..KISA KUTUKANWA..JULIO AMPA SOMO AACHANE NA HAYO
KAULI YA JULIO FEISAL KWENDA SIMBA..HAWEZI KUZIBA PENGO LA CHAMA
มุมมอง 8394 หลายเดือนก่อน
KAULI YA JULIO FEISAL KWENDA SIMBA..HAWEZI KUZIBA PENGO LA CHAMA
EXCLUSIVE: HEMED MOROCCO SWALA LA SAMATA KUKOSEKANA STARS..KUNDI LETU SIO JEPESI
มุมมอง 134 หลายเดือนก่อน
EXCLUSIVE: HEMED MOROCCO SWALA LA SAMATA KUKOSEKANA STARS..KUNDI LETU SIO JEPESI
LIVE: KUTOKA SAUZI CHAMA AWALIZA MASHABIKI WA SIMBA AFRIKA KUSINI,,,KISA KWENDA YANGA
มุมมอง 4514 หลายเดือนก่อน
LIVE: KUTOKA SAUZI CHAMA AWALIZA MASHABIKI WA SIMBA AFRIKA KUSINI,,,KISA KWENDA YANGA
IKIJA OFA TUTAANGALIA..KAULI YA ZAKAZAKAZI FEISAL KWENDA SIMBA..HAKUNA KITU KAMA HICHO MBONA SIMBA..
มุมมอง 4834 หลายเดือนก่อน
IKIJA OFA TUTAANGALIA..KAULI YA ZAKAZAKAZI FEISAL KWENDA SIMBA..HAKUNA KITU KAMA HICHO MBONA SIMBA..
EXCLUSSIVE: JOSHUA MUTALE KUTUA SIMBA..ZAMBIA WAMZUNGUMZIA UBORA WAKE..JE SIMBA WAMELAMBA DUME?
มุมมอง 7444 หลายเดือนก่อน
EXCLUSSIVE: JOSHUA MUTALE KUTUA SIMBA..ZAMBIA WAMZUNGUMZIA UBORA WAKE..JE SIMBA WAMELAMBA DUME?
EXCLUSSIVE: SIMBA KUJA NA TAMKO KUHUSU CHAMA KWENDA YANGA..CPA ISSA MASOUD AFUNGUKA
มุมมอง 1394 หลายเดือนก่อน
EXCLUSSIVE: SIMBA KUJA NA TAMKO KUHUSU CHAMA KWENDA YANGA..CPA ISSA MASOUD AFUNGUKA
EXCLUSSIVE: ENG HERSI KUHUSU USAJILI WA CHAMA YANGA..UJIO WA HAKIMI SIO KUJA WACHEZAJI WA MOROCCO
มุมมอง 4844 หลายเดือนก่อน
EXCLUSSIVE: ENG HERSI KUHUSU USAJILI WA CHAMA YANGA..UJIO WA HAKIMI SIO KUJA WACHEZAJI WA MOROCCO
KAULI YA MWISHO COASTAL UNION LAMERK LAWI...BAADA YA KAULI YA SIMBA KUJIBU MAPIGO
มุมมอง 2895 หลายเดือนก่อน
KAULI YA MWISHO COASTAL UNION LAMERK LAWI...BAADA YA KAULI YA SIMBA KUJIBU MAPIGO
ONANA KUACHWA SIMBA..JULIO AZIDI KUMKATAA...HAJITAMBUI KABISA..TUNAO WACHEZAJI WANAOWEZA KULIKO YEYE
มุมมอง 1.1K5 หลายเดือนก่อน
ONANA KUACHWA SIMBA..JULIO AZIDI KUMKATAA...HAJITAMBUI KABISA..TUNAO WACHEZAJI WANAOWEZA KULIKO YEYE
TATIZO SIMBA VIONGOZI KUTOTIMIZA MAJUKUMU YAO..MABADILIKO YAMEKWAMA..MLAMU MNGHAMBI SHU NZIMA NI HII
มุมมอง 215 หลายเดือนก่อน
TATIZO SIMBA VIONGOZI KUTOTIMIZA MAJUKUMU YAO..MABADILIKO YAMEKWAMA..MLAMU MNGHAMBI SHU NZIMA NI HII
KIGANJA: SIMBA KUKWAMA MABADILIKO...TATIZO LILIANZIA HAPA..SIMBA..VIONGOZI KIBAO..HAWAONGOZEKI
มุมมอง 275 หลายเดือนก่อน
KIGANJA: SIMBA KUKWAMA MABADILIKO...TATIZO LILIANZIA HAPA..SIMBA..VIONGOZI KIBAO..HAWAONGOZEKI
TSHABALALA AFUNGUKA RATIBA NA FAMILIA..NINARATIBA YA ZIADA.. MAKOCHA MMH..TAIFA STARS KUFUZU..
มุมมอง 665 หลายเดือนก่อน
TSHABALALA AFUNGUKA RATIBA NA FAMILIA..NINARATIBA YA ZIADA.. MAKOCHA MMH..TAIFA STARS KUFUZU..
MURTAZA MANGNGU AMJIBU TRYA AGAIN..KUJIUZULU..KASEMA YEYE HUO SI UTARATIBU WA SIMBA..MWENYEKITI BODI
มุมมอง 7725 หลายเดือนก่อน
MURTAZA MANGNGU AMJIBU TRYA AGAIN..KUJIUZULU..KASEMA YEYE HUO SI UTARATIBU WA SIMBA..MWENYEKITI BODI
TUNAJIVURUGA MO AKIONDOKA ITAKUAJE..IDDY KAJUNA AONESHA KUUTAKA UTULIVU SIMBA..AUNGANA NA MZEE DEWJI
มุมมอง 395 หลายเดือนก่อน
TUNAJIVURUGA MO AKIONDOKA ITAKUAJE..IDDY KAJUNA AONESHA KUUTAKA UTULIVU SIMBA..AUNGANA NA MZEE DEWJI

ความคิดเห็น

  • @frankjonas7704
    @frankjonas7704 3 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wa mkoa ndiye aliyesababisha yote hayo Police ukiwaambia kuna vurugu sehemu wakienda ni kwenda kuzingua mkuu wa mkoa amezingua sana

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 3 วันที่ผ่านมา

    Hatupendi sauti pekee, twataka clip ya tukio zima na mkuu wa mkoa , kwenye michezo karandinga la Nini? Na kumtaja Ahmed Ally na kumtunishia msuli wamtishia kwa cheo au unamuonea wivu?

  • @evansthobias6460
    @evansthobias6460 3 วันที่ผ่านมา

    Rc wa michongo huyo achana na hiyo kazi uje uwe msemaji wa simba maana unakitamani kiti cha Ahmed ali

  • @evansthobias6460
    @evansthobias6460 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkuu wa mkoa hana kazi zingene kazi kuihujumu tu simba

  • @sirzicco
    @sirzicco 3 วันที่ผ่านมา

    Bonyeza KENGERE

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 3 วันที่ผ่านมา

    PAMBA HAWANA UWEZO WAKUMZUIA MNYAMA

  • @kelvinmsyani3913
    @kelvinmsyani3913 3 วันที่ผ่านมา

    kwa mtazamo wangu simba tusisumbuke kwa pamba kama tupepigiwa figisu uarabuni . na kutoboa hawatoboi pamba ni nani

  • @salimsmilton
    @salimsmilton 3 วันที่ผ่านมา

    RC mtanda hufai kuwa mkuu wa mkoa

  • @barakamagoti8653
    @barakamagoti8653 3 วันที่ผ่านมา

    KWANI WALINZI WA SIMBA KAZI YAKE NI KUJERUHI??? UNAFIKIRI UMEFANYA JAMBO JEMA KAMA ULIENDA KUOKOA RAIA KWANINI ULIKAA NJE MUDA WOTE BILA KUWAOKOA MBAKA MAZOEZI YAKAISHA??? HUO NDIYO UOKOAJI AU UNALETA SIASA TU??

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 3 วันที่ผ่านมา

    Acheni uchawi makoro

  • @jaffarmagawa3245
    @jaffarmagawa3245 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona meneja wa Simba alionekana ndan ya defenda

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt 3 วันที่ผ่านมา

    Defender ya in pale Matola inapakiwa huko Kama habari ambaye mkuu wa mkoa anaongea pumbavu

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 3 วันที่ผ่านมา

    Liongo hilo limkuu wa mkoa wew ni mhujumu wew ni mlezi wa pamba na ni shabiki wa nyuma mwiko sio vijana ni waganga wa pamba huna lolote

  • @salehmohammedsaleh4150
    @salehmohammedsaleh4150 3 วันที่ผ่านมา

    Hapo umechezea ugari mkuu

  • @salehmohammedsaleh4150
    @salehmohammedsaleh4150 3 วันที่ผ่านมา

    Hv kila unapo agza askari huwa unaenda nao

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo mtoa ripoti wa Simba ajitathimini kwakua alichoongea na alichoongea RC nitofauti sana,au kweli pamba wamevuruga kampango kenu ka UCHAWI viwanjani😂😂😂

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 3 วันที่ผ่านมา

    Mtaka unajiumauma sana kama Simba ndio waliwafungia hao vijana iweje Simba hao hao wavunje mlango na hayo madirisha?

  • @DavidPamba-jx5io
    @DavidPamba-jx5io 3 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wa mkoa ndiye aliyewasaidia ila bado ndiye munamtuhumu binadamu bhana

  • @MussaRqjqbu
    @MussaRqjqbu 3 วันที่ผ่านมา

    Mwenyekiti gani wewe kalinda ngogwe wenzako hongongo ww

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 3 วันที่ผ่านมา

    Hiui huyu mtanda ndio yule alimsaidia yule mbakaji bado ni m/kiti wa ulinzi na usalama???😢😢😢😢

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 3 วันที่ผ่านมา

    Hata mkitunyima hatutegemei kura zenu kuingia madarakani.mjue nida yako tunayo. Ccm yangu.

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 3 วันที่ผ่านมา

    Ila bundiki hakujibu ni za nini???😂😂😂 Wewe ni shabiki wa yanga. Mtandaaa

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 3 วันที่ผ่านมา

    Na mshindwe kwa jina la yesu na uongo wenu.

  • @gerioathumani9084
    @gerioathumani9084 3 วันที่ผ่านมา

    Hii vita sasa wana yanga na ss itapidi tupambane nayo hawa wasio na akiri washaanza kuleta utimu kwa viongozi wakitaifa sasa na ss tunaanza na mawazili wawi ambao sekta zao zinagusa mpaka mwenye timu yetu hii vita ikianza ss tutaimaliza

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 3 วันที่ผ่านมา

    AYUMBUMBULIWEE AKAWE MAKAMU WA RAIS WA NYUMA MWIKOOOO🐸🐸🐸

  • @ramadhanilessosaidi9691
    @ramadhanilessosaidi9691 3 วันที่ผ่านมา

    Dube Ndio Selemani Mwalimu. 😢😢😢.chunga kugombea namba 😂😂😂

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 3 วันที่ผ่านมา

    Watuhachie mpira wetu. Wabaki kwenye siasa zao. Kuna viongozi hawaonekani kwenye kujenga ila unawakuta sehemu kama hizi za madhira na uovu uovu ndio hurka zao.

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 3 วันที่ผ่านมา

    🐕🐕🐈🐈🐕‍🦺🐕‍🦺🐕🐕

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 วันที่ผ่านมา

    JP Magufuli enzi zake sasa hivi tunajina la mkuu wa mkoa mpya kbsa . Sio kwa madudu hayo aliyofanya huyu paka 😅😅😅

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 วันที่ผ่านมา

    HAWA NDIO WANAMUHARIBIA MAMA SAMIA KWA WANANCHI .

  • @FaidhaJumanne
    @FaidhaJumanne 3 วันที่ผ่านมา

    Tatizo makoro wanalialia nackudeka kama watoto wanaolelewa na bibi zao.Acheni kulialia jezeni mpira acheni kujilizaliza hapa p

    • @noelwandera8617
      @noelwandera8617 3 วันที่ผ่านมา

      Mbona sielewi Kiswahili chako😂

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 3 วันที่ผ่านมา

    Tunamshangaa huyo mkuu wa mkoa pamoja na meneja wa kiwanja , wachukuliwe hatua ,kwanini wanaiandama simba??? Kwanini wanasiasa wanaingilia mpira ???

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu nae hajuagi kujieleza

  • @SimoniMbamba
    @SimoniMbamba 3 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmh

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 3 วันที่ผ่านมา

    Imekutambulisha inamana unajijua hutambuliki ila simba ikutambulishe kweli wewe mbumbumbu hayo mambo magufuli alimkataliaga askar magereza alilopoka kama wewe kuwa amemuhesimisha kumuhoji nch inaviongoz matahira hii hatar

  • @PeterKadawi
    @PeterKadawi 3 วันที่ผ่านมา

    Asa kama wamefungiwa alafu haohao wafungaji wa milango wabomoe milango inakuwaje hapo mbona haeleweki anachokiongea huyu

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 วันที่ผ่านมา

      Ndo kujichanganya huko😂😂😂😂😂

    • @PeterKadawi
      @PeterKadawi 3 วันที่ผ่านมา

      @taseleli9181 hapo sasa shida wanataka kuingiza siasa hadi kwenye michezo

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe abasi unazingua mwanzo umeulizwa vp kuhusu tukio hilo ukizingatia hali ya kuwa wachezaji wameshuhudia hilo tukio hawawezi kuwatoa wachezaji wenu mchezoni? ukajibu hapana tukio la kawaida sana sisi tunakutana na mambo mazito sana hili hata robo yake halifiki, ukaulizwa tena vp kuhusu maandalizi juu ya mchezo huo unaonaje ukajibu nchezo ni mgumu kwasababu dalili ya mvua ni mawingu, tumeona wameanza kutuletea vurugu kwahiyo mech ni ngumu, sasa kwa maelezo hayo tukuelewe vp abasi?, halafu halafu pamba jiji ni ya gsm si umemuona msemaji wao amevaa tshart ya GSM.

  • @FrankEnock-q4q
    @FrankEnock-q4q 3 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wa mkoa anakuwa na akili za mbuzi

  • @Ibrahmagesa_tz
    @Ibrahmagesa_tz 3 วันที่ผ่านมา

    Simba wa senge wanaweka taharuki ili iweje viongozi wa hivyo Sana wa Simba kupotosha umma

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 วันที่ผ่านมา

      Mtu asie na busara utamjua tu namna anavyoandika bila matusi haoni kama amefikisha ujumbe hizi ni tabia za mautopolooooooo

  • @eugenvem1818
    @eugenvem1818 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe ulikua nje ulikuwa unashaidi gani kwamba vioo vilivnjwa?...na kama utaratibu hatakiwi kuwa mtu mwngne zaid ya tim inayofanya mazoezi?walienda kufanya nini? Ukorofi huo

    • @frankjonas7704
      @frankjonas7704 3 วันที่ผ่านมา

      Amesha zingua huo ndo ukweli

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 3 วันที่ผ่านมา

    Mimi ambacho sikiamini kwenye hivyo vyeo nipale mkuu wamkoa hana elim ya upolice af anaenda kuwasimamia police afanye kazi nao lkn pia mara nyingi hawa ni wastaafu wa kada fulani why?????

  • @johnntabagi9726
    @johnntabagi9726 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkuu wa mkoa ovyosana

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 3 วันที่ผ่านมา

    Kama ulicheza mziki mbele ya tripoli kwao utaogopa kucheza mziki mwanza kwetu kabsa

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 วันที่ผ่านมา

    Amesikia nani kwani ushahidi wa video si upo mbona mnatafuta kiki nyie

  • @MauBonde
    @MauBonde 3 วันที่ผ่านมา

    Porojo tuu hivi kama timu haimini ushirikina kwa nini hiyo timu inamini hayo mambo.basi linarudi kinyume kinyumenyume😂😂😂

    • @SelemaniMsuya-q8n
      @SelemaniMsuya-q8n 3 วันที่ผ่านมา

      Mjinga

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 วันที่ผ่านมา

      Uboya ni shida kwelikweli kanuni zifuatwe kwanini watu wajitoe ufahamu

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 3 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo wewe Mkuu wa mkoa unajua taratibu za kudilli na uharifu kuliko Askari polisi waliosomea kazi yao?kwamba wangeenda askari peke yao ulihofia wangeweza kufanya vitendo tofauti na ulivyo waagiza ina maanaisha huna imani na weredi wa jeshi la polisi ktk Mkoa wako sio?Naomba tusiharibu sifa njema ya michezo ktk taifa letu lenye sifa njema kimataifa 🙏🙏🙏🇹🇿

  • @allymsheri3691
    @allymsheri3691 3 วันที่ผ่านมา

    Gsm ataaachia lini hizi timu ?

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 3 วันที่ผ่านมา

    We mkuu wa mkoa acha kuchanganya mpira na siasa Siku nyingine wakuu wa mikoa muachage vihelehele vya kuonyesha mahaba yenu kwa timu zenu ambazo ni maahasimu wa simba na kutoa motisha ya pesa ili zimfunge simba hapa hiyo tabia wakuu wa mikoa wapenzi wa yanga ndio wenye tabia hiyo nakumbuka mkuu wa mkoa wa mara Ali hapi naye alishawai kuweka motisha kwa biashara united dhdi ya simba sijawai kuona wakuu wa mikoa ambao ni wapenzi wa simba wakifanya huo upumbavu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 วันที่ผ่านมา

    HUYO MKUU WA MKOA HAFAI KUWA KIONGOZI AACHE USHAMBA WAKE

  • @Rihannaboniphace
    @Rihannaboniphace 3 วันที่ผ่านมา

    Tambua neno sasa mm ndiye mwenyekiti wa kamati ya usalama,, so amepanic katika matamshi yake anatumia neno mamlaka yake kosa kubwa kisheria atimuliw

    • @frankjonas7704
      @frankjonas7704 3 วันที่ผ่านมา

      Yaani maana yake aaminiwe hata kama anaongea uongo yaani hakutaka mwandishi aendelee kumchimba saana