- 242
- 463 839
DAAWA ONLINE TV
เข้าร่วมเมื่อ 16 เม.ย. 2020
The main purpose for this Channel is that, to enjoining what is good, and forbidding what is evil.
Making peaceful dialogue and reminding people returning to ALLAH (glory be to Him) and worship Him alone.
Malengo hasa ya Channel hii ni kuamrisha mema na kukataza mabaya.
Kufanya midahalo ya amani ili kuwakumbusha watu kurudi kwa Mwenyezi Mungu (Subuhanah wataalah) na kumuabudu yeye peke yake.
SHEIKH MBOGO TZ AMNYOOSHA MCHUNGAJI DANIE MWANKEMWA ASHINDWA HOJA
CHANGIA DAAWA No + 255714849463 SUBSCRIBE COMMENT LIKE NA SHARE
มุมมอง: 431
วีดีโอ
MTUME ( S A W) ALIWAHI KUUTABIRI MOTO UNAOWAKA MAREKANI BY SHEIKH MBOGO TZ
มุมมอง 75วันที่ผ่านมา
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKE COMMENT NA SHARE
SHEIKH MBOGO TZ AZIMA KELE ZA MWALIMU NDACHA TOKA KENYA
มุมมอง 1.8K14 วันที่ผ่านมา
CHANGIA MAANDALIZI YA MUHADHARA Na 255714849463 BONYEZA ALAMA LIKE SUBSCRIBE
SHEIKH MBOGO AMPA KIBANO MWALIMU NDACHA HOI
มุมมอง 99114 วันที่ผ่านมา
CHANGIA KAZI HII KWA NAMBA 255714849463 USISAHAU LIKE YAKO COMMENT NA SHARE
JE BIMA YA AFYA TAIFA NI PAROKIA YA KANISA? KWANI MUAJILI WAKRISTO TUPU? UDINI HUU UNALIPASUA TAIFA
มุมมอง 257หลายเดือนก่อน
SAMBAZA VIDEO HII SUBSCRIBE LIKE NA GONGA COMMENT YAKO
SWALI KWAJINI QUR'AN IMESEMA JUA LIMEONEKA KUZAMA KWENYE MATOPE
มุมมอง 39หลายเดือนก่อน
CHANGIA VIFAA VYA KUFANYIA DAAWA No 255714849463, USISAHAU LIKE SHARE NA GONGA COMMENT YAKO
JE NINANI MPINGA KRISTO KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO?
มุมมอง 271หลายเดือนก่อน
CHANGIA KAZI YA DAAWA No ( 255714849463) USISAHAU KUSUBSCRIBE LIKE COMMENT NA SHARE
WASANII WAKIISLAM MNAO VAA MISALABA IOGOPENI ADHABU YA ALLAH SIKU YA KIAMA
มุมมอง 77หลายเดือนก่อน
VIDEO HII ATAKAYE ITAZAMA AKIWA SIMUISLAM ATASILIM INSHAALLAH, SHARE LIKE TOA COMMENT
KWANINI SURA YA NYUKI IMEWEKWA NAMBA 16??? BY PRO - MBOGO
มุมมอง 392 หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE COMMENT LIKE NA SHARE
HAYA NI MAAJABU YA RAAD NDANI YA QUR'AN BY PRO- MBOGO TZ, SUBHANALLAH!!!
มุมมอง 1022 หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKE COMMENT NA KUSHARE
MAAJABU YA QUR'AN DEGREE 360 BY PRO-MBOGO TZ
มุมมอง 622 หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE COMMENT LIKE NA SHARE
HUU NI UKWELI WA QURAN KUHUSU SAYANSI BY SHEIKH MBOGO TZ.
มุมมอง 1003 หลายเดือนก่อน
BONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKE NA SHARE NA USISAHAU KUTOA COMMENT YAKO CHINII HAPO
DUA KUBWA KWA RAISI MAMA SAMIA NA KULIOMBEA TAIFA KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
มุมมอง 713 หลายเดือนก่อน
SHIRIKI NA USIKU KUAMKIA IJUMAA
MUUJIZA WA QUR'AN SURAT KAHFI PRO- MBOGO TZ AKICHAMBUA MAAJABU SAYANSI NDANI YA QUR'AN.
มุมมอง 754 หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKI NA SHARE USHIRIKI KUSAMBAZA DAAWA HII KWA WENGINE
NDACHA NATAKA MDAHALO NAWEWE TUMIA KITABU CHOCHOTE NIKUNYOOSHE
มุมมอง 1364 หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA SUBSCRIBE LIKE COMMENT NA SHARE KWENYE KWENYEMAGROUP YA WHATSAPP
SHEIKH MBOGO TZ ATHIBITISHA KUWA INJILI YA MATHAYO IMESAHAU KUANDIKA UKOO WA YESU
มุมมอง 835 หลายเดือนก่อน
SHEIKH MBOGO TZ ATHIBITISHA KUWA INJILI YA MATHAYO IMESAHAU KUANDIKA UKOO WA YESU
JE NIKWELI NABII ISSA SIYO YESU? JIANDAE KUSOMA BY SHEIKH MBOGO TZ
มุมมอง 906 หลายเดือนก่อน
JE NIKWELI NABII ISSA SIYO YESU? JIANDAE KUSOMA BY SHEIKH MBOGO TZ
SHEIKH OTHUMAN KHAMIS AFUNGUKA MAMBO MAZITO KUHUSU KUWAOMBEA DUA MAREHEMU
มุมมอง 716 หลายเดือนก่อน
SHEIKH OTHUMAN KHAMIS AFUNGUKA MAMBO MAZITO KUHUSU KUWAOMBEA DUA MAREHEMU
WAISLAM TUNA MFATA NABII IBRAHIM KWA HILI LAZIMA MWAKANI WOTE TUTATIMIZA IBADA YA KUCHINJA
มุมมอง 477 หลายเดือนก่อน
WAISLAM TUNA MFATA NABII IBRAHIM KWA HILI LAZIMA MWAKANI WOTE TUTATIMIZA IBADA YA KUCHINJA
VIJANA WA MADRASA WAKIMSWALIA MTUME SAW. UTAPENDA MUISLAM
มุมมอง 278 หลายเดือนก่อน
VIJANA WA MADRASA WAKIMSWALIA MTUME SAW. UTAPENDA MUISLAM
AL-MALLID ISLAMIC TUNA UWANJA MKUBWA KIGAMBONI MATAJIRI NJOONI MJENGE MSIKITI NA SHULE
มุมมอง 589 หลายเดือนก่อน
AL-MALLID ISLAMIC TUNA UWANJA MKUBWA KIGAMBONI MATAJIRI NJOONI MJENGE MSIKITI NA SHULE
MAAJABU YA AYA RAMADHANI NDANI YA QUR'AN BY SHEIKH MBOGO TZ
มุมมอง 5910 หลายเดือนก่อน
MAAJABU YA AYA RAMADHANI NDANI YA QUR'AN BY SHEIKH MBOGO TZ
UDINI KWENYE AJIRA WAKRISTO 51 WAISLAMU 12 HII NI LAANA YA NCHI
มุมมอง 10110 หลายเดือนก่อน
UDINI KWENYE AJIRA WAKRISTO 51 WAISLAMU 12 HII NI LAANA YA NCHI
SHEIKH MBOGO AKUTANA USO KWA USO NA MZEE MAKANGE KIJIJINI CHANGALIKWA KOROGWE TANGA
มุมมอง 63ปีที่แล้ว
SHEIKH MBOGO AKUTANA USO KWA USO NA MZEE MAKANGE KIJIJINI CHANGALIKWA KOROGWE TANGA
JE UKIFA NAKUACHA PICHA ZAKO ZISIZO NA MAADILI ANI ATAKUSAIDIA KUFUTA ACCOUNT YAKO?
มุมมอง 49ปีที่แล้ว
JE UKIFA NAKUACHA PICHA ZAKO ZISIZO NA MAADILI ANI ATAKUSAIDIA KUFUTA ACCOUNT YAKO?
KIJANA MWENYE SAUTI INAYO FANANA NA SHEIKH KISHK AENDELEA KUTOAsis DAAWA
มุมมอง 683ปีที่แล้ว
KIJANA MWENYE SAUTI INAYO FANANA NA SHEIKH KISHK AENDELEA KUTOAsis DAAWA
PACHA WA SHEIKH NURDEEN KISHK{ US -KIDEGE } ATOA KHUTBA NZITO
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
PACHA WA SHEIKH NURDEEN KISHK{ US -KIDEGE } ATOA KHUTBA NZITO
PACHA WA SHEIKH KISHKI AWA GUMZO JIJINI DAR {SHEIKH KIDEGE}
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
PACHA WA SHEIKH KISHKI AWA GUMZO JIJINI DAR {SHEIKH KIDEGE}
KUMEKUCHA MDAHALO WA DR SULLY VS PASTOR NDACHA TAREHE 16 - 17 DECEMBER
มุมมอง 157ปีที่แล้ว
KUMEKUCHA MDAHALO WA DR SULLY VS PASTOR NDACHA TAREHE 16 - 17 DECEMBER
MDAHALO KANISANI SHEIKH MBOGO TZ VS MCHUNGAJI CHIKAWE /UHARAMU WA NGURUWE
มุมมอง 197ปีที่แล้ว
MDAHALO KANISANI SHEIKH MBOGO TZ VS MCHUNGAJI CHIKAWE /UHARAMU WA NGURUWE
Nashindwa na mbogo kama alikuja kufundisha ama amekuja kulasimiza ndacha aslimu simuelewi
wapi rebattle ya Ndacha "huwezi sema lile kitabu ya kuhidhinisha majini ndio inakataza tena haya yaliyo kubali mwanzanoni"...
Bachu nikibokochenu
Mashaallah mungu akuongoze ktk kheri
😂😂😂😂😂,more blessed pastor ndach
Ndacha hwa watu mbona wanabishana na mungu pia wanabishana na ukweli
Mungu akubariki sana kwa kubadilisha waslamu wajuwe ukweli
Labda muislamu mwenye hana elimu atabatizwa
Ukweli kabisa mwenyemaskio anatizwe
❤❤❤❤❤❤ Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 ubarikiwesana baba ❤❤
Bonge.la.kiraka.
Na.7.3.inasemaje.ndacha
YESU anaposema nenda shetani, imeandikwa usimjalibu Bwana Mungu wako, kwa hiyo hapo shetani aliokoka? Shetani alipotetemeka waliokoka? Nyie walisilimu na mnaswali nao?
Hawa jamaa wanaweza kutengeneza jini na wakakuonesha kabisa..ila sijawahi kuona Padre akitengeneza jini..
mashallah
Masufi mnamtihan san
Nmejua leo kumbe waislam ni majini... mshindwe na mlegee
mashallah sheikh Mbogo usijoki kupambana namakafiri kuwaringaniya haki ❤❤❤❤❤❤❤
As plain as it's written God bless you
Kapotelea wap huyu
Barakallahu
Anasoma ndani ya quran kwamba Mungu amemchagua Mussa,kisha anakuuliza wapi ndani ya quran Muhammad sww kachaguliwa?sasa nashindwa kuelewa huyo Muhammad sio mtume kwa mujibu wake,sasa anaamini vp maneno ndani ya quran kwamba Mussa kachaguliwa wakati huo huo aliyeyasema hayo hamuamini?
Salaam aleykum,Shida yako mbogo unamruhusu vipi Daniel kutumia quran kujenga hoja wakati huyo aliyepewa kitabu hicho yeye hamuamini?
Usiwe na haraka sanaaa fanya subra ukweli utabainika
Hongera sana kwakutambua dini ya haki karibu sana
Dacha umeeleweka
NABII ISSA (YESU) VITABU VYOTE QURAN NA BIBLIA VINAKUBALI KUWA ( NABII ISSA) YESU KRISTO ALIZALIWA KWA UWEZO WA ROHO MTAKATIFU, VITABU VYOTE VINAKUBALI MARIAM MAMA WA YESU HAKUWAHI KULALA NA MWANAUME YOYOTE YULE,, SASA MNAOSEMA YESU SIO MTOTO WA MUNGU NA MTUME MUHAMAD NDIO MTUME HALALI TUPENI MAJIBU YESU NI NANI NA KWA SASA YUPO WAPI, MAANA WAISLAM MNADAI YESU HAKUWAI KUFA BALI ALIPAZWA, HUKO ALIKOPAZWA KWENDA NI WAPI?????
❤❤❤❤❤❤ pastor and Paul more blessing nimejua kitu sijawai sikia tangu kusaliwa
Kutetea uongo ni ngumu walahi🤣🤣 mbogo kashidwa kabisaa nani haoni
Topic imekua zito kwa ndugu mslamu hajibu maswaili
Jibu swali waisilamu walikua wanatumia kitubu gani kubula Koran
Good gospel thank you mtumishi Ndacha
Alafu mwenye kupost Ana mapendeleo na ujinga kama ya Muhammad mbakaji 😂😂
Ujinga.ni.ww.ame.baka.dada.yako
❤❤
Waislam acheni kusali na majini😊
Mbogo umuwezi ndacha wenzako wameshidwa anakua na oja za maana siyo polojo zako
Simuliz leo nimekuelewa kila mtu umempa haki yake
WAISLAAM wanapenda kuuliza maswali ya kibishi sana,Sasa lazima walazimishe kwamba Abraham alikuwa muislaam
soma wewe ndio utajua.maandiko yako ya biblia huyajui unawaongelea waislam pumbaaavu
Tunalazmisha au tunasoma maandko?aya nyny msiolazimisha tuambueni ibrahimu alikuwa dini gani
Na kwakawaida ya mwenyez Mungu akiona sehemu watu wamepotea anawaletea kiongoz kwahio ndacha usishangae ukiona sehem Kuna masanamu
Ndacha anajichanganya kweli hapa....yaani kusuju na kupiga magoti ni sawasawa!!!!.....bilashaka huku ndio kupotea.
Hata miti inasujudu huwa inapiga magoti ngamia hii?😂😂
Uislm ni dini ya kichawi mtupu hatuwafati ng'ooooo😅😅😅😅
Umekosa hoja!
umekosa hoja pia maalifa.biblia yenyewe unasomewa kanisani tu wewe huna unachojua pumbaaaavu
Ndacha Muongooooooo duh
Quran ya majini ndio uongo😅😅😅
Mbona mwadhibitishiwa kwa biblia nyie si mdhibitishe na Quran jamani kwamba Abraham alikuwa muislaam
WAISLAAM wabishi sana ,kwamba wanataka kuona vile mitume walikuwa wanafanya kwa uislaamu kama ndivyo WAKRISTO wanafanya;; kwanza wanadai kutawadha miguu ila wanaambiwa kwa Quran hakuna mahali yasema mtu atawadhe miguu,hapo wananyamaza alafu wanazidi ubishi kwa jambo lingine,hawa WAISLAAM hawajui kile wanaamini kwa uislaam
@@jacksonpatrick9814 hayo mawazo Yako
@@jacksonpatrick9814unafikir totakosa majibu sisi
Kweli uislamu ni uongo suna kuongea uongo ni nzuli
KUJIDANGANYA KUNA MAANA GANI ?
Kweli uislamu ni dini ya kutunga..
Bwege wewee
Sheik wenu hajajibu swali Mbona wote mnaparamia mohamed bachu hajajibiwa swal lake
Channel ya bakwata 😂
Mch ndacha naomba kujua Ukristo n dini gani na ilianzishwa na nani.
Ushaitaja tayari, ilianzishwa na wanadamu waliokuwa wakiitwa wa Kristo..maana yake wanafunzi wake kristo. Hiyo haina ubishi, ila uislam ni shida, maana aliyeianzisha alianza kusilimu yeye..Sasa kabla hajasilimu alikuwa mpagani? Mtume wa Mungu atasilimuje?
So sad for the Muslims people, they knew nothing
😂😂😂 Dogo hujui kitu, kuna dini ya Kiyahudi ambayo ntofauti na uislamu lakn baadh ya vtu vyao vinafanan ushachangnywa ww
Anaeshirikiana na jini huyo ni mpagani wala hatauona ufalme wa mbingu