Nkinga Referral Hospital
Nkinga Referral Hospital
  • 234
  • 176 261
FULL VIDEO: HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA AKIZINDUA KIPIMO CHA MRI HOSPITALI YA RUFAA YA NKINGA
Waziri wa Afya Mhe.Jenista Mhagama (Mb) Disemba 20, 2024 amezindua kipimo bobezi cha uchunguzi cha MRI katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga katika maadhimisho ya sikukuu ya Christmas kwa wafanyakazi wa Hospitali maarufu Nkinga Day.
-
Amesema, "Ninapata faraja kubwa katika siku hii ya Nkinga Day, kanda ya magharibi na kanda ya ziwa wanazinduliwa huduma muhimu ya kipimo cha MRI"
-
"Kipimo hiki ni bobezi cha hali ya juu kinachotumia mionzi na sumaku katika kufanya uchunguzi wa magonjwa mengi, kitasaidia kwenye shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, majeraha na ubongo"
-
"Kipimo hiki kitawasaidia madaktari wetu kutoa tiba sahihi na kuzuia madhara makubwa ambayo yangeweza kupelekea kifo, kwa kutokujua kwa usahihi tatizo linalomsumbua mgonjwa" amesema Mhe.Waziri
-
Aidha, Mhe.Waziri ameipongeza Hospitali ya Rufaa ya Nkinga kwa kuendelea kushirikiana na serikali katika kuwahudumia wananchi wa ukanda wa Magharibi kwa huduma za kibingwa na bingwa bobezi za matibabu.
-
Mganga mfawidhi wa Hospitali Dkt.Tito Chaula amesema, malengo ya taasisi ni kuwa Hospitali ya kanda katika kutoa huduma za kibingwa na bingwa bobezi na hadi sasa Hospitali ina madaktari bingwa 13 wawili wakiwa bingwa bobezi
-
Kwa upande wake M/kiti wa bodi ya Hospitali Askofu Sixberth Kuzenza ameiomba serikali kuweka mazingira bora ya miundombinu ikiwemo uwekaji lami katika barabara ya Ziba kwenda Tabora kupitia Puge ambayo inapita ilipo Hospitali ili kuwaondolea usumbufu wagonjwa wanaofuata huduma.
-
Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ndg.Victor Ntundwe katika hotuba yake amesema, ujio wa Kipimo hicho ni utekelezaji wa mpango mkakati wa miaka 5 wa Hospitali katika uboreshaji wa huduma za taasisi.
-
Akisoma salamu za kanisa kwa niaba ya Askofu Mkuu wa kanisa la FPCT makamu Askofu Elias Ndaji amesema, kanisa limekuwa na mchango mkubwa katika sekta ya afya kwa kuwahudumia wananchi hasa wanaoishi vijijini ndio maana taasisi kama Hospitali ya Nkinga ipo kijijini.
Hospitali ya Rufaa ya Nkinga iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora ni moja kati ya taasisi za afya zinazomilikiwa na kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT).
มุมมอง: 382

วีดีโอ

WIMBO MPYA KWAYA YA NRH SIKU YA NKINGA DAY 2024
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
#brandnew #nkingaday #newsong #nkingaweek
VIDEO: HUDUMA ZA 'CTC' KWA WANAOISHI NA VVU, HOSPITALI YA RUFAA YA NKINGA
มุมมอง 942 หลายเดือนก่อน
Katika kuadhimisha siku ya Ukimwi Duniani ambayo hufanyika Disemba 01 kila mwaka, Hospitali ya Rufaa ya Nkinga kupitia kitengo cha Tiba na Matunzo kwa watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi (CTC) imeendelea kuwahimiza wananchi kujitokeza kupima maambukizi ya V.V.U. - Wito huo umetolewa Ijumaa ya leo Novemba 29, 2024 na Daktari msimamizi wa kitengo hicho Dkt.Muhiddin Mduru ofisini kwa...
ZOEZI LA UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA UPUNGULU NZEGA
มุมมอง 825 หลายเดือนก่อน
WANAOISHI NA 'VVU' KIJIJI CHA KIPUNGULU WILAYANI NZEGA WAPIMWA SARATANI YA SHINGO YA MLANGO WA KIZAZI. Na mwandishi wetu ✍🏻 Wananchi 15 kati ya 50 wenye umri kati ya miaka 18-50 wanaoishi na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) toka kijiji cha Kipungulu wanaopatiwa hudumiwa za Clinic toka kwa wataalamu wa NRH. - Alhamisi ya leo Agosti 22, wamefanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa saratani ya shingo ...
NRH YAFANYA UPASUAJI REKEBISHI MFUMO WA MKOJO NA KITOVU (PATENT URACHUS) KWA MTOTO MDOGO
มุมมอง 1076 หลายเดือนก่อน
Jopo la Madaktari bingwa wa upasuaji Hospitali ya Rufaa ya Nkinga limefanikiwa kumfanyia upasuaji mkubwa rekebishi wa kutenganisha Kibofu cha mkojo na Kitovu (PATENT URACHUS) mtoto wa kiume (😎 (Jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Kawe kata ya Iyenze wilayani Kahama. Ni changamoto aliyozaliwa nayo ya kuwa na tundu eneo la Kitovu kutokana na Kibofu cha mkojo na Kitovu kuungana akiwa bado tumb...
VIDEO: NRH YAWAKILISHWA VEMA KONGAMANO LA WANATAALUMA HUKO DODOMA JUNI 08, 2024
มุมมอง 377 หลายเดือนก่อน
Taasisi ya Hospitali ya Rufaa ya Nkinga imepata uwakilishi mzuri katika kongamano la wanataaluma wanaosali katika kanisa la The Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT). Ni Kongamano la siku moja ambalo hufanyika kila mwaka ambapo huwakutanisha wanataaluma wa kada mbalimbali wanaosali katika kanisa la FPCT ili kujadili mambo yahusuyo kanisa na taasisi zake na kuona namna bora ya kushauri. Kon...
VIDEO: WAFANYAKAZI WA NRH WAPEWA MAFUNZO NA ZIMAMOTO, KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO
มุมมอง 447 หลายเดือนก่อน
Leo Juni 05, 2024 wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Nkinga wamepewa mafunzo ya uzimaji moto toka jeshi la zimamoto na uokoaji wilayani Igunga. Akizungumza na NRH Digital mara baada ya mafunzo hayo, kamanda wa jeshi hilo wilayani Igunga S/Sgt Mussa Mfutakamba amesema, Wamekuwa na utaratibu huo kila mwaka kuzungukia taasisi mbalimbali na maeneo yenye mikusanyiko ya watu kwa lengo la kutoa elim...
VIDEO: UONGOZI WA UMISSETA WILAYA YA IGUNGA WAPOKEA JEZI SETI 5 TOKA HOSPITALI YA RUFAA YA NKINGA.
มุมมอง 618 หลายเดือนก่อน
Hospitali ya Rufaa ya Nkinga Jumamosi ya leo Mei 25, 2024 imekabidhi seti 5 za jezi katika michezo mbalimbali kwa viongozi wanaosimamia mashindano ya UMISSETA wilaya ya Igunga. Jezi hizo zenye thamani ya zaidi Tzs 1,500,000/= (Milioni moja na nusu) zimehusisha timu ya mpira wa miguu (Soka), Netball (Pete), Handball (Mpira wa mkono), Vallbal (Wavu), Basketball (Kikapu). Akikabidhi jezi hizo kwa ...
VIDEO: MCHANGO WA HOSPITALI YA NKINGA KWA WANAKIJIJI CHA NKINGA MHE.DIWANI AFUNGUKA
มุมมอง 968 หลายเดือนก่อน
Kata ya Nkinga ni kati ya kata 35 zinazounda Halmashauri ya wilaya ya Igunga, kata hii ipo tarafa ya Manonga umbali wa Km21 upande wa kulia ukiwa barabara kuu inayotokea Nzega kwenda Singida katika kituo cha Ziba. Kata ya Nkinga inaundwa na vijiji 3 ambavyo ni njiapanda, Ikungwipina na Nkinga yenyewe. Historia inaeleza kwamba; Nyawa ndio jina la asili la kijiji cha Nkinga kabla ya kubadilishwa ...
VIDEO: KANISA LA FPCT LATOA BATI 130 KITUO CHA POLISI NKINGA IGUNGA, ASKOFU MKUU AKABIDHI
มุมมอง 1128 หลายเดือนก่อน
Kanisa la The Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) linaloongozwa na Askofu Stevie Mulenga Mei 18, 2024 limekabidhi mabati 130 yenye thamani ya zaidi Tzs 4,500,000/= (Milioni nne na laki tano) katika kituo kidogo cha Polisi cha Nkinga kilichopo tarafa ya Manonga wilayani Igunga. Akikabidhi mabati hayo mbele ya mkuu wa wilaya ya Igunga Sauda Mtondoo, Askofu mkuu Mulenga amesema, Mwezi Machi...
VIDEO: JE!, NI SAHIHI MKRISTO KUTUMIA UZAZI WA MPANGO?, MSIKIE MGANGA MKUU WETU HAPA NRH
มุมมอง 1528 หลายเดือนก่อน
VIDEO: JE!, NI SAHIHI MKRISTO KUTUMIA UZAZI WA MPANGO?, MSIKIE MGANGA MKUU WETU HAPA NRH
VIDEO: FAINALI MASHINDANO YA UMISSETA 2024 WILAYA YA IGUNGA, KUPIGA KAMBI ZIBA SEC.
มุมมอง 1018 หลายเดือนก่อน
Hatimae mashindano ya UMISSETA kwa shule za sekondari wilayani Igunga yamefikia tamati Jumanne ya leo Mei 07, 2024, kwa kushuhudiwa michezo mbalimbali ikipigwa katika viwanja vya shule ya sekondari Ziba toka tarafa nne za wilaya ya Igunga. Michezo iliyoshuhudiwa katika mashindano hayo ni pamoja na Riadha, Ngoma, Soka kwa wasichana na wavulana, Basketball na Vallbal. Katika fainali hizo mchezo w...
VIDEO: MRATIBU MASHINDANO YA UMISSETA IGUNGA, ABAINISHA MANUFAA YA UMISSETA
มุมมอง 528 หลายเดือนก่อน
VIDEO: MRATIBU MASHINDANO YA UMISSETA IGUNGA, ABAINISHA MANUFAA YA UMISSETA
VIDEO: MASHINDANO YA #UMISSETA NRH YAENDELEA KUDHAMINI, YAPIGA KAMBI ZIBA
มุมมอง 248 หลายเดือนก่อน
Hospitali ya Rufaa ya Nkinga imeendelea kudhamini mashindano ya #UMISSETA wilaya ya Igunga kuanzia ngazi ya tarafa hadi wilaya, kwa kutoa jezi na huduma ya kwanza kwa wachezaji katika mashindano, Mei 06, 2024 mashindano hayo yameendelea tena katika viwanja vya shule ya sekondari Ziba yakiwa yamefikia ngazi ya wilaya baada ya timu toka shule zilizopo tarafa ya Igulubi, Simbo, Igunga na Manonga k...
VIDEO: NRH YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 2 DHIDI YA MSD TABORA MANISPAA, MAKOCHA WAZUNGUMZA
มุมมอง 1349 หลายเดือนก่อน
VIDEO: NRH YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 2 DHIDI YA MSD TABORA MANISPAA, MAKOCHA WAZUNGUMZA
VIDEO: GOLKIPA WA NRH DAMIAN KUBYULA ALIVYOIPANGUA PENATI YA MSD, MECHI YA KIRAFIKI
มุมมอง 759 หลายเดือนก่อน
VIDEO: GOLKIPA WA NRH DAMIAN KUBYULA ALIVYOIPANGUA PENATI YA MSD, MECHI YA KIRAFIKI
VIDEO: KOCHA WA TIMU YA NRH AIZUNGUMZIA MECHI DHIDI YA MSD JUMAMOSI HII MEI 04
มุมมอง 539 หลายเดือนก่อน
VIDEO: KOCHA WA TIMU YA NRH AIZUNGUMZIA MECHI DHIDI YA MSD JUMAMOSI HII MEI 04
VIDEO: TAARIFA KUHUSU MCHEZO WA KIRAFIKI TIMU YA NRH NA MSD TOKA TABORA MANISPAA
มุมมอง 89 หลายเดือนก่อน
VIDEO: TAARIFA KUHUSU MCHEZO WA KIRAFIKI TIMU YA NRH NA MSD TOKA TABORA MANISPAA
VIDEO: WIMBO MPYA WA KWAYA YA NRH MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2024
มุมมอง 6329 หลายเดือนก่อน
VIDEO: WIMBO MPYA WA KWAYA YA NRH MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2024
VIDEO: WAFANYAKAZI BORA 'NRH' MEI MOSI 2024 WAFUNGUKA KUCHAGULIWA KWAO
มุมมอง 2709 หลายเดือนก่อน
VIDEO: WAFANYAKAZI BORA 'NRH' MEI MOSI 2024 WAFUNGUKA KUCHAGULIWA KWAO
VIDEO: NRH INAVYOUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI VIJIJINI
มุมมอง 489 หลายเดือนก่อน
VIDEO: NRH INAVYOUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI VIJIJINI
VIDEO: ‘‘NAISHUKURU NRH, WALIMSAIDIA KIJANA WANGU, ALIZALIWA BILA NJIA YA HAJA KUBWA’’
มุมมอง 589 หลายเดือนก่อน
VIDEO: ‘‘NAISHUKURU NRH, WALIMSAIDIA KIJANA WANGU, ALIZALIWA BILA NJIA YA HAJA KUBWA’’
VIDEO: UPASUAJI WA MTOTO ALIYEZALIWA BILA NJIA YA HAJA KUBWA UNAFANYIKA NRH
มุมมอง 2609 หลายเดือนก่อน
VIDEO: UPASUAJI WA MTOTO ALIYEZALIWA BILA NJIA YA HAJA KUBWA UNAFANYIKA NRH
VIDEO: KIJIJI CHA MWASUNG'O JIRANI NA KIJIJI CHA CHOMA, UTAFUTAJI MGONJWA WA FISTULA
มุมมอง 199 หลายเดือนก่อน
VIDEO: KIJIJI CHA MWASUNG'O JIRANI NA KIJIJI CHA CHOMA, UTAFUTAJI MGONJWA WA FISTULA
VIDEO: UTOAJI ELIMU KATIKA KIJIJI CHA CHOMA WAIBUA WAGONJWA WA FISTULA YA UZAZI.
มุมมอง 339 หลายเดือนก่อน
VIDEO: UTOAJI ELIMU KATIKA KIJIJI CHA CHOMA WAIBUA WAGONJWA WA FISTULA YA UZAZI.
VIDEO: ALICHOZUNGUMZA MRATIBU WA FISTULA TOKA NRH, BAADA YA MAFUNZO KWA MABALOZI
มุมมอง 369 หลายเดือนก่อน
VIDEO: ALICHOZUNGUMZA MRATIBU WA FISTULA TOKA NRH, BAADA YA MAFUNZO KWA MABALOZI
VIDEO: WADAU WA AFYA TOKA MIKOA 4, KATAVI, KIGOMA, SHY NA TABORA WAJENGEWA UWEZO NA NRH
มุมมอง 599 หลายเดือนก่อน
VIDEO: WADAU WA AFYA TOKA MIKOA 4, KATAVI, KIGOMA, SHY NA TABORA WAJENGEWA UWEZO NA NRH
VIDEO: SHUHUDA WA HUDUMA ZETU, NILIPATA AJALI MGUU UKAVUNJIKA MARA 4, NINAWEZA KULIMA
มุมมอง 509 หลายเดือนก่อน
VIDEO: SHUHUDA WA HUDUMA ZETU, NILIPATA AJALI MGUU UKAVUNJIKA MARA 4, NINAWEZA KULIMA
VIDEO: MKAZI WA MUSOMA ALIYEFIKA NKINGA HOSPITALI KWAAJILI YA KUPATIWA MATIBABU
มุมมอง 269 หลายเดือนก่อน
VIDEO: MKAZI WA MUSOMA ALIYEFIKA NKINGA HOSPITALI KWAAJILI YA KUPATIWA MATIBABU
VIDEO: VYUMBA VYA WODI BINAFSI HOSPITALI YA RUFAA YA NKINGA, FAHAMU ZAIDI FUNGUA HAPA
มุมมอง 1709 หลายเดือนก่อน
VIDEO: VYUMBA VYA WODI BINAFSI HOSPITALI YA RUFAA YA NKINGA, FAHAMU ZAIDI FUNGUA HAPA

ความคิดเห็น

  • @SharifakhanSharifakhan-t2j
    @SharifakhanSharifakhan-t2j วันที่ผ่านมา

    Doctar eti samaha unawez muachi mtoto sik kama 4 alafu ukamnyonyesha teyna inafaa

  • @henrypaul6335
    @henrypaul6335 6 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mashenenetv7768
    @mashenenetv7768 6 วันที่ผ่านมา

    Congratulations

  • @mlekwanduba7631
    @mlekwanduba7631 25 วันที่ผ่านมา

    Bravo, nawaona shangaz zangu na Mzee kabata.❤

  • @mino_tv
    @mino_tv หลายเดือนก่อน

    Mnajua kujituma mpaka bhaas!!!

  • @godfreyjameskabata6998
    @godfreyjameskabata6998 หลายเดือนก่อน

    ❤nkinga oyeeeeee

  • @godfreyjameskabata6998
    @godfreyjameskabata6998 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mama yetu Waziri wa Afya kuja Nkinga Tunakukaribisha tene na tena watanzania tumekuwa ma furaha sana . Tunashukuru sana Rais wetu Mama yetu Samia kutoa ruhusa na fursa hii kuja

  • @godfreyjameskabata6998
    @godfreyjameskabata6998 หลายเดือนก่อน

    Mungu wabariki watumishi hawa waendelee kutumika kwa ajilili ya watanzania wote

  • @BAHATIAMOS-m5e
    @BAHATIAMOS-m5e หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana staff wote Nkinga ref hosp❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZenaNdisa-x2m
    @ZenaNdisa-x2m หลายเดือนก่อน

    Yani kweli Mungu aendelee kuwaongoza

  • @MARIAMJUMA-s1h
    @MARIAMJUMA-s1h 2 หลายเดือนก่อน

    Dah mungu awape akili na maarifa na sisi atupe nguvu za kuamka

  • @ScalaAal-vu4pq
    @ScalaAal-vu4pq 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 3 หลายเดือนก่อน

    Dokta mwanangu ameambiwa hana tatizo la uvimbe kwenye ubongo na wamesema awezi kufanyiwa upasuaji kwa sababu uvimbe hupo sehemu mbaya je akuna Tiba yoyote itamsaidia maana alikuwa anaongea sasa hivi awezi,atembee ni wakumpakata tu shida inafika mwezi wa saba sasa na imemuaza na miaka minne

  • @afrathaji95
    @afrathaji95 5 หลายเดือนก่อน

    Sptl iko wap

  • @AnethYusuph-g5t
    @AnethYusuph-g5t 6 หลายเดือนก่อน

    Emungu niponye

  • @AnethYusuph-g5t
    @AnethYusuph-g5t 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninauvimbe kwenye kiza na ninakitovu kikumbwa nata

  • @LeahMasibayi
    @LeahMasibayi 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatunze mzidi kutuokoa kupitia Nguvu za mwenyezi Mungu nawapenda san,,,,!

  • @bryceBernard-z2m
    @bryceBernard-z2m 6 หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe sana madakitari wa nkinga mungu awafanyie wepesi kwa Kila jambo.

  • @pendo8082
    @pendo8082 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatunze madoctor wote Duniani

  • @Jomba-q3r
    @Jomba-q3r 7 หลายเดือนก่อน

    Mpo wapi

  • @idrisanaumanga6410
    @idrisanaumanga6410 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mate

  • @theresiastephano1606
    @theresiastephano1606 8 หลายเดือนก่อน

    Duuuu nawaheshimu sana hawa watu jaman,mungu awalinde

  • @official_kingzimira
    @official_kingzimira 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @nkingalaboratory
    @nkingalaboratory 9 หลายเดือนก่อน

    Nawatakia ushindi mnono ZAWADI IPO PAMBANANE MFUNGE MAGOLI 3-2

  • @saimonrichard8743
    @saimonrichard8743 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RodahAdonice-dz4sm
    @RodahAdonice-dz4sm 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyez Mungu azidi kuwatumia jaman , oppareshen si kitu rahis kwakwel

  • @Highzuru_Aman-highzuru5
    @Highzuru_Aman-highzuru5 10 หลายเดือนก่อน

    Nikija kutibiwa naomba nipatiwe huduma na huyu binti aisiii #mashallah

  • @hassanluziga6796
    @hassanluziga6796 10 หลายเดือนก่อน

    Garama hamjataja

  • @aminamnyoloka1853
    @aminamnyoloka1853 10 หลายเดือนก่อน

    Duuhh nilimzalisha mama mwez Feb alikua na Hali km iyo ila n yy now anaendelea vzr mung n mwema

  • @SoniaYunusu-ze7zq
    @SoniaYunusu-ze7zq 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awape maisha marefu wahudumu wote wa afya

  • @Richie_bowdown
    @Richie_bowdown 10 หลายเดือนก่อน

    💯🙌

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 10 หลายเดือนก่อน

    Namba zenu kwanza mana unaumwa meno

  • @eliudsabuhoro
    @eliudsabuhoro 11 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana🎉🥰💥

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 11 หลายเดือนก่อน

    Eeh mungu niepushie mbali na gonjwa hili

  • @HalimaMsangi-mf5hs
    @HalimaMsangi-mf5hs ปีที่แล้ว

    Nyie nimewavulia kofia aisee..nililala nilivoamka nikahisi bado sijafanyiwa chochote

  • @subiramahmoud4715
    @subiramahmoud4715 ปีที่แล้ว

    Nahitaji attachment hapo nna diploma ya nurse pia ni mwanafinzi wa mwaka wa tatu B.Anaesthesia

  • @subiramahmoud4715
    @subiramahmoud4715 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako tuongee kidoho coz nataka attachment hapo plz nisaidie

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 ปีที่แล้ว

    Sura hazionekani

  • @Highzuru_Aman-highzuru5
    @Highzuru_Aman-highzuru5 ปีที่แล้ว

    Pride of NYAMWEZI LAND NKINGA REFERRAL HOSPITAL

  • @MichaelKangeta-lt2gh
    @MichaelKangeta-lt2gh ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @galyezawitahona6353
    @galyezawitahona6353 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana NRH administration kwa kuamua kuifanya Hospitali kuwa kimbilio

  • @isayangwibombi4342
    @isayangwibombi4342 ปีที่แล้ว

    Mahusiano ni mhimu katika kazi hii inasaidia kuimarisha huduma hasa pale mahusiano yanakuwa ya kusaidiana .hongera Dr chaula kwa kazi nzuri hasa unazofanya kwa ajiri ya nkinga hospital

  • @bonifacehamis4088
    @bonifacehamis4088 ปีที่แล้ว

    Hard work 🔥🔥🔥

  • @JeremiaBaruti
    @JeremiaBaruti ปีที่แล้ว

    Wale kutibu macho wapo Cataract na wako wapi tuwafuate

  • @JeremiaBaruti
    @JeremiaBaruti ปีที่แล้ว

    Kazi mzuri Mungu awabariki no zenu tujue mko wapi

  • @elizabethbujiku4561
    @elizabethbujiku4561 ปีที่แล้ว

    Hongeren sana.kazi iendelee.NKINGA TUMAINI LA AFYA YAKO.

  • @AmanChombe
    @AmanChombe ปีที่แล้ว

    Pongenzi

  • @leahkagine2925
    @leahkagine2925 ปีที่แล้ว

    Aah hongereni sana. Kazi nzuri!!

  • @science_fact93
    @science_fact93 ปีที่แล้ว

    Naona Leo content creater ametumia kinywaji gani 😂😂😂

  • @Rosemerry-kp3bg
    @Rosemerry-kp3bg ปีที่แล้ว

    Jmn m ninashida hii ila niko dr